rais

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Mkutano wa 42 wa Wakuu wa Nchi wa SADC (DRC) leo Agosti 17, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa 42 wa Wakuu wa Nchi wa SADC Nchini DRC leo tarehe 17 Agosti, 2022.
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais akikabidhi magari katika Mradi wa Kukuza Utalii (REGROW), Agosti 17, 2022

    Makamu wa Rais ameshiriki wa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi Magari maalum yatakayotumika katika kuboresha Miundombinu ya Utalii yaliotolewa na Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW) Mikumi mkoani Morogoro, leo Agosti 17, 2022
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Joe Biden asaini Mswada wa Bilioni 700$ kuboresha Afya, Kodi na Tabia Nchi

    Rais wa Marekani Joe Biden ametia saini mswada wa Dola Bilioni 700 ambao unalenga kupambana na Mabadiliko ya #TabiaNchi na gharama za #Afya huku akipandisha kodi kwa matajiri. Sheria hiyo inajumuisha utekelezaji wa ahadi za miaka kadhaa za Bunge ili kupunguza Bei ya Dawa zinazoagizwa na...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa Marekani akutwa na COVID-19

    Ikulu ya Marekani imesema Jill Biden, Mke wa Rais wa Marekani Jill Biden amepimwa na kukutwa na maambukizi ya COVID-19. Taarifa ya Elizabeth Alexander, Mkurugenzi wa Mawasiliano kutoka ofisi ya Mke wa Rais imesema Jill Biden anakabiliwa na home kidogo na ameanza kutumia dawa ya Paxlovid...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Ajali za barabarani zimezidi kupoteza Maisha ya Watanzania. Hatua madhubuti zichukuliwe kudhibiti

    Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan naomba kukuomba uchukue hatua madhubuti na za makusudi katika kudhibiti ajali za barabarani hapa nchini kwani zimekuwa zikigharimu Maisha ya watanzania. Leo Mbeya, Sengerema , juzi juzi hapa watoto wa shule huko Mtwara...
  6. Valencia_UPV

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Chebukati anafaa kuwa Rais wa Kenya

    Dr. Chibukati kwa namna ya uongozi alioonyesha IEBC anastahili kuongoza taifa kubwa zaidi kiuchumi Afrika Mashariki. Ikiwezekana uchaguzi wa marudio awemo ili iwe rahisi kutangaza kwa uwazi bila tashwishwi! SWALI: Familia yake inaishi nchi gani kwa sasa?
  7. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maafisa Usalama warejeshwa nyumbani kwa Rais Mteule Ruto

    Mwaka mmoja baada ya Maafisa wa Idara ya Usalama kuondolewa kwenye makazi ya aliyekuwa Naibu Rais, William Ruto na nafasi yake kuchukuliwa na Maafisa wa Polisi wa Utawala, leo wamerejeshwa rasmi. Kwa mujibu wa sheria ya ulinzi wa viongozi, Rais Mteule William Ruto anapewa ulinzi wa maafisa 200...
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kwa Rais Mteule Ruto na Hayati Rais Magufuli, kwa Mungu kila kitu kinawezekana

    Ninajua machache juu ya Rais Mteule Ruto juu ya Imani yake kwa Mungu lakini kwa uchache huo yatosha kusema Ruto NI muumini wa Mungu wa kweli Kama alivyokuwa Hayati Magufuli. Nakumbuka Hayati Magufuli aliwahi kukiri ni Mkapa ndie aliyemshawishi kugombea Urais na Magufuli alipoonesha kutaka...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kilimo biashara, dhana ya kimapinduzi ya Rais Samia yenye tija kubwa

    Serikali kupitia Benki ya kilimo Tanzania Agricultural Development Bank (TADB) imeweza kuwa mdau mkubwa kuwezesha mabenki kutoa mikopo kwa wakulima kutoka Benki mbili zinazotoa mikopo kwa wakulima hivi sasa kufikia 14. BAJETI YA KILIMO Serikali imeweza kuongeza bajeti ya huduma za Ugani kutoka...
  10. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mifugo kubishana hadharani na Rais ni utovu wa nidhamu

    Tumeshuhudia Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki akipinga hadharani maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyeagiza vitalu vya NARCO vifutwe na kupewa vijana wahitimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo SUA ili kutengeza fursa za ajira kupitia ufugaji Mambo ambayo Waziri alipaswa kuyafanya ni mawili...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tutumie sarafu za mtandaoni Cryptocurrency au Tutumie sarafu moja ya jumuiya ya Afrika Mashariki?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la Benki Kuu ya Tanzania jijini Mwanza, aliitaka Tanzania kujiandaa na matumizi ya sarafu za mtandaoni au Cryptocurrency. Ambapo alitoa wito kwa Benki kuu ni vema waanze kufanya kazi za maendeleo...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aondoka Nchini kwenda DR Congo leo Agosti 16, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiagana na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 1) Dar es Salaam wakati akielekea Jamhuri ya Kidemokraisa ya...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awapongeza Wakenya kwa kumaliza Uchaguzi Mkuu kwa amani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa Twitter ametuma salamu za pongezi kwa Wakenya katika uchaguzi Mkuuu uliomalizika kwa William Ruto kushinda nafasi ya Urais. Katika ujumbe wake Rais Samia amewapongeza Wakenya kwa kufanya...
  14. benzemah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ruto Ameshinda, Je, ni kweli Rais Uhuru Kenyatta Ameshindwa? Au Odinga kachezewa Mchezo?

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Kenya (IEBC), jana ilimtangaza Ndugu, William Samoei Arap Ruto kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Kenya. Ruto ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya, na amehudumu chini ya Rais Uhuru Kenyatta kwa takribani miaka 10 sasa. Pamoja na urafiki wa muda...
  15. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kwanini Rais Samia mpaka sasa hajampongezi Rais Mteule William Ruto?

    William Samoei Ruto ametangazwa kuwa Rais mteule wa Kenya. Marais kadhaa wa nchi jirani wamempa pongezi kupitia Twitter ila sijaona kwa Rais wetu Ni kuwa alikuwa anataka Raila ashinde?
  16. R

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Siku ya sensa iwe siku ya mapumziko kwa Rais Samia

    Pole na majukumu mazito ya kuijenga Tanzania. Ninapenda kuchukua nafasi hii kukuomba Rais uamrishe siku ya sensa iwe ni siku ya mapumziko. Hii ni kwasababu zifuatazo; 1. Siku ya kwanza ikiwa ni mapumziko nina amini makarani wetu watafanya kazi nzuri kwa kua watapata taarifa nyingi na sahihi...
  17. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu kufanyia kazi hoja za Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG) Bandarini

    Mamlaka ya Bandari (TPA) imefanya upembuzi wa mifumo yake ili kushughulikia hoja za Mdhibiti wa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2022/21 ya kuwa mifumo inasomana na hivyo kudhibiti upotevu wa mapato. Vilevile, imebainisha kuwa kipindi cha kuanzia Julai 2021 hadi Juni 2022...
  18. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kitakachotokea baada ya Rais Mteule wa Kenya kutangazwa leo

    1. Mwenyekiti wa Tume wa Huru ya Uchaguzi, IEBC anatakiwa kumkabidhi Rais Mteule Cheti (Mshindi wa Urais lazima ajitokeze kupokea Cheti) 2. Mwenyekiti lazima awasilishe kwa maandishi taarifa ya Matokeo kwa Jaji Mkuu na Rais aliyepo Madarakani, (Uhuru Kenyatta) 3. Kama itatokea Pingamizi la...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza askari wenye vitambi kurejeshwa mafunzoni

    Kauli hii kabambe imetolewa na Mh Rais Samia Suluhu Hassan huko Tanga, wakati akifunga mafunzo ya awali ya askari wa Uhamiaji kwenye Chuo cha Boma Kichaka Miba Mkoani humo . Mh Rais amesema kwamba ili kurejesha Ukakamavu kwa Askari wa Uhamiaji inapaswa wote wenye vitambi kurejeshwa kuhenya ili...
  20. Ben74

    JamiiForums Tanzania Jicho langu katika ziara ya Rais Nyanda za Juu Kusini

Back
Top Bottom