rais

  1. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kushuhudia Utiaji Saini wa Mkataba wa Bilioni 400 za Kujenga Skimu za Umwagiliaji hekta 95,000

    Nawasalimu kwa jina la JMT.. Taarifa mpya ni kwamba Siku Rais wa JMT mh.Samia S.Hassan atashuhudia utiaji Saini wa Mkataba wa Ujenzi wa skimu ya umwagiliaji yenye ukubwa wa hekta 95,000 wenye thamani ya TSH.Bil.400. Tukio hilo litafanyika siku ya kilele cha Sikukuu ya Wakulima Nanenane...
  2. Jesusie

    JamiiForums Tanzania Shaka: Rais Samia ametupia moto unaowaka kwenye nyasi kavu, Tanzania Royal Tour Rally sasa kutumia helikopta

    SHAKA ANENA RAIS SAMIA AMEWASHA KIBIRITI KWENYE NYASI KAVU KUIBUA FIKRA KWA TAIFA JINSI YA KUIMARISHA UTALII, KUKUZA UCHUMI NA HISTORIA YA NCHI. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amewataka viongozi wa chama na serikali kuwashirikisha...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nani mkweli kati ya Rais Samia na Waziri Bashungwa?

    Wakati anaapisha baadhi ya viongozi Mh. Rais Samia alimshushia sifa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Joan Kataraiya. Ikumbukwe huyu ni miongoni mwa mabinti wadogo kabisa kutoka CCM walioteuliwa katika nafasi hiyo. Mh. Rais alisema Mkurugenzi huyo amefanya vizuri sana...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaonyesha rangi yake halisi kwa viongozi wazembe

    Hotuba iliyotolewa na Mh. Rais wakati wa kuwaapisha viongozi mapema siku ya jana ni muendelezo wa kasi yake katika kuhimiza utendaji wenye tija kwa watumishi wa umma. Baadhi ya mambo yanayohimizwa na Mh. Rais ni pamoja na ; 1. Utendaji wenye tija kwa watumishi wote wa umma katika Wizara...
  5. Monica Mgeni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyotekeleza kwa vitendo sera ya Diplomasia ya Uchumi

    Na Chacha Wangwe Jr Ujio wa Rais wa Zambia nchini Mh.Hakainde Hichelema ni muendelezo wa uthibitisho wa kazi kubwa iliyofanywa na inayoendelea kufanywa na Rais Samia Suluhu katika kuhakikisha sera ya mambo ya nje ya Tanzania inakuwa yenye tija kwa uchumi na ustawi wa Taifa letu lakini pia...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampokea Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema aliyekuja kwa ziara ya siku moja

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpokea Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Rais Hichilema amekuja nchini kwa ajili ya ziara ya Kiserikali ya siku moja. Ziara hiyo inakusudia kuimarisha zaidi mahusiano mazuri...
  7. Royal Tour

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wateule wa Rais msiwapotezee muda wananchi kupata haki zao katika migogoro ya ardhi

    Siku za hivi karibuni hasa kuanzia serikali ya awamu ya tano mpaka sasa, wananchi wameacha kuamini mifumo rasmi ya utoaji haki badala yake wanaamini viongozi wa kisiasa mfano wakuu wa wilaya, mikoa, mawaziri na watendaji katika vyama vya siasa katika kudai haki hasa ile inayojikita katika...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mamlaka ya Rais yapunguzwe katika Katiba Mpya?

    01 Agosti 2022 Rais kupunguziwa madaraka siyo inamfanya kuwa dhaifu bali inampa uimara. Uwiano mihimili ya dola: bunge, mahakama na serikali kuu / legislative, executive and judicial . Teuzi za wateuliwa wa rais ni nyingi kupita kiasi na kusababisha mkwamo , hadi wateuliwa wanajiuliza je...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hawezi kufanya ‘effective reforms’ kwa sababu anautaka Urais

    Nakumbuka Baba wa Taifa Mwal. Nyerere, miaka ya 70, Wabunge walitaka kujiongezea mishahara. Akauliza “Nchi hii masikini, mnaotaka wawape mishahara mikubwa ni wananchi masikini, watatoa wapi hizo hela za kuwapa?” Wakang’ang’ania. Akasema basi hili sikubaliani nalo. Twende kwa wananchi...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aapisha viongozi aliowateua. Aonya wanaojaribu kutaka kuzijua rangi zake

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuapisha viongozi mbalimbali wakiwemo Wakuu wa Mikoa katika Ikulu ya Dar es Salaam, leo Agosti Mosi, 2022. Ratiba inatarajiwa kuanza saa 10:30 Jioni. ==== Aliyozungumza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa wakati wa uapisho. Rais anawaamini kuwa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mambo aliyoyafanya Rais Samia Suluhu yanayomgusa moja kwa moja Mtanzania

    Haya ni baadhi ya mambo yaliyofanywa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan; Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mambo mengi sana likiwemo lile la elimu bure kutoka primary mpaka advance pia amesema kwa wanafunzi wa kidato cha sita watakao faulu vizuri masomo ya sayansi watapata ufadhili wa...
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Mali lamshutumu Rais Macron kwa Ukoloni Mamboleo

    Serikali ya kijeshi nchini Mali imemshutumu Rais Emmanuel Macron kwa tabia ya "ukoloni mamboleo na udhalilishaji" na kumtaka aache ukosoaji wake kwa Jeshi la nchi hiyo na kuchochea chuki ya kikabila Hii ni kufuatia matamshi ya Rais Macron wiki iliyopita wakati wa ziara yake Afrika Magharibi...
  13. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tazama hapa pensheni ya ustaafu ya Rais wa Kenya

    Salaam Wakuu, Kweli Urais sio jambo la kitoto. tazama hapa malupulupu anayopata Rais wa Kenya akiondoka madarakani. malupulupu ya ustaafu kwa Rais wa Kenya
  14. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Marekani ni baba wa demokrasai na haki Dunia ila ni kwanini hawajawahi kumpa mwanamke nafasi ya kuwa Rais?

    Hapo vip! Binafsi nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana dhidi ya Marekani kujinasibu Duniani ya kwamba ni Baba wa Demokrasia na haki ila haijawahi kutawaliwa na mwanamke hata nafasi ya makamu wa rais ni lulu kwa mwanamke. Je, kuna siri au sababu gani wanayoijua hawa wazungu... NB: Tukumbuke...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi awataka wahitimu wa Kozi ya Usalama na Stratejia kuyatumia vema waliyofundishwa

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewataka wahitimu wa Kozi ya Usalama na Stratejia kuyatumia kwa vitendo maarifa waliyoyapata katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), kilichopo Kunduchi Jijini Dar es Salaam. Dkt. Mwinyi ameyasema hayo...
  16. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete tarehe 11/12/2012 alifungua jengo la hosipitali Mbagala Zakhiem, leo limechakaa

    Jengo la hospitali ya Mbagala Zakhiem lilifunguliwa na Rais Kikwete Desemba 2012, leo hii jengo hilo halifai kwa matumizi kwani lina nyufa nyingi sana, kwa ujumla limechakaa kupita kiasi likiwa na umri wa miaka 10 tu! Je, haya majengo ya Serikali hukaguliwa kila hatua ya ujenzi na mamlaka husika?
  17. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Idadi ya Nchi zinazoongozwa na Rais mwanamke Africa

    Ninaomba kupatiwa Idadi ya nchi Za africa zinazoongozwa na Mara is wanawake.
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine, Zelenskiy atangaza zoezi la kuondoa raia katika Mji wa Donetsk

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy ameamuru raia waliopo katika Mji wa Donetsk kuondoka haraka kutokana na kuendelea kwa mapigano kati ya Wanajeshi wake dhidi ya vikosi vya Urusi. Zelenskiy ametoa maagizo hayo katika taarifa yake fupi ya video, akisema kuwa Serikali yake itawasadia wote...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia acha Kumtumia PM Majaliwa Kuelezea Jambo, kwani haeleweki, haaminiki tena na ana 'PhD' ya Kudanganya na Kukurupuka

    WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali inapopandisha mishahara inaangalia zaidi kima cha chini na kwamba asilimia 23 iliyosemwa na Rais Samia Suluhu siku ya Mei Mosi iliwalenga zaidi wenye kipato cha chini. Majaliwa ameyasema hayo leo Julai 29, 2022 akitoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya...
  20. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Wanawake msimuangushe Rais Samia Suluhu

    Rais Samia Suluhu anaendelea kuwaaamini wanawake kwa kuwateua katika nafasi za uongozi, ili kuleta usawa wa jinsia katika kutoa uamuzi. Kitendo cha kuongeza idadi ya wanawake katika uteuzi wa wakuu wa mikoa na makatibu tawala, ni uthibitisho kuwa Rais anatoa fursa . Ili kuendelea kuaminiwa na...
Back
Top Bottom