Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa Viwanja vya Mashujaa Jijini Dodoma leo tarehe 25 Julai, 2022
- Rais amewasili katika viwanja vya mashujaa Dodoma.
- Gwaride la kumbukumbu ya siku ya Mashujaa limefanywa
-...
Mh Balozi ameyasema hayo ndani ya Kanisa, huko Muryaza Wilayani Butiama, alipokuwa kwenye misa ya shukrani kwa Mungu kwa kulitumikia Jeshi la polisi na hatimaye kuwa balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe
Chanzo: Azam TV
RIDHIWANI ASISITIZA WIZARA YA ARDHI INAFANYA KAZI KUBWA YA KUPIMA NA KUPANGA ARDHI KWA MATUMIZI BORA, HATI 8 ZAKABIDHIWA TANGANYIKA.
Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi.
Salamu za Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb)- Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa Wananchi wa Kijiji cha...
GTs,
Nina maoni:
Naona kabisa Mh. Rais akimteua Dkt Ashatu Kijaji kwa nafasi ya waziri wa Fedha na Mipango itakuwa vema kwa uchumi wetu.
Sababu:
1. Dkt Ashatu ni msomi na mbobevu katika masuala ya mipango na fedha.
2. Dkt Ashatu ni muadilifu na mwenye maadili
3. Dkt Ashatu ni mcha Mungu na...
Utafiti Marekani ya 73 kati ya 143 zenye uwezekano wa kuwa na Rais mwanamke.
Hii ilijidhihirisha pale tuliona Trump mwenye sera Tata akinyakua kiti dhidi ya Hilary Clinton (Mwanamke).
Ni vema tunapoamua kujifunza Kwa wakubwa Hawa basi tujifunze Kila kitu.
Vitabu vya torati navyo haviko kimya...
Rais Samia amejizolea umaarufu kuwa mtu ambaye anatoa ahadi nzuri sana na tamu sana kusikika masikioni. Lkn linapokuja suala la utekelezaji ahadi hutekelezwa ama kinyume na ahadi au hatekelezi kabisa. Hii ndiyo tunaita "danganya toto" style. Nitatoa mifano mitatu tu hapa chini.
1. Rais Samia...
Siku moja nilikuwa Dodoma, jioni nikafika kwenye hotel moja inaitwa Morena kwaajili ya chakula cha jioni. Huwa napenda kwenda maeneo ya vile hususani nyakati za jioni maana kuna mengi waweza kujifunza japo vyakula vyao ni bei ghali.
Katika meza nyingine walikuwepo wabunge wawili wa chama tawala...
Sasa ni dhahiri kwamba maisha ya Watanzania yamekuwa magumu kuliko awamu zote zilizopita , familia nyingi sasa zinakula mlo mmoja tu, huku Maharage yakiwa Chakula Muhimu kabisa.
Ni kweli kwamba Mambo ya Utekaji, kuokota viroba vya maiti baharini na kwingineko na ubambikaji kesi za uongo...
Halafu wakati ukijiandaa ( ukiniandalia ) Majibu yangu kwa Maswali niliyokuuliza nina Swali lingine Kwako, kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na JWTZ kwa Kawe Lugalo.
Makamu wa Rais na hao Watendaji wote niliowataja hapo juu pamoja na wa JWTZ ni kwanini hilo Ghorofa...
Kwakuwa Serikali ya CCM inabebwa na public servants ila kwà niliyoyasikia jana CCM msije mkaiba kura, mama ni mwanamke wa kiislam msimchonganishe na MUNGU wake!
Makato ya Lazima ya Vyama vya wafanyakazi kwa jina la Ada ya UWAKALA ifutwe.
Kujiunga na Vyama vya wafanyakazi libaki kuwa Jambo la hiari.
Hii ni DHULMA.
Wabunge Wana mishahara ya 3.8M kwanini kiasi kinachoongezwa hawaweki kwenye BASIC kwasababu wanajua kitakatwa.
Mtumishi hatakuja kupata...
Imenikera! Tena imenikera kweli kweli! (In dikteta's voice). Wakulima tunaishi nchi hii kana kwamba hatuna serikali. Hakuna anayetujali kwa chochote Wala kwa lolote.
Hatukopesheki, hatuna bima ya afya na idadi yetu haijulikwni. Na waliofikisha umri wa miaka 60 (umri wa kustaafu) bado wanalima...
Baada ya sintofahamu ya kutimua makandarasi Zanzibar, leo Rais Mwinyi katoa tamko la kuwapoza makandarasi.
Akiweka jiwe la msingi hospitali iliyojengwa na mkandarasi mzawa, amesema ataendelea kuwapa zabuni makandarasi wazawa miradi ya serikali.
Hilo tunalipokea kwa moyo wa furaha, maana ndio...
20 July 2022
Washington DC
TAARIFA YA KIKAO KIJACHO CHA RAIS BIDEN NA VIONGOZI WA AFRIKA / US - AFRICA SUMMIT 2022
Rais Joe Biden awaalika Viongozi wa Afrika kwa Majadiliano Washington
Taarifa ya Ikulu ya Marekani maarufu kama White House imetolewa kuelezea mwaliko wa Rais wa Marekani kwa...
Tanzania tuna hifadhi ya gesi iliyofikia ujazo wa Trilion 57 cubic f.
Kwa mujibu wa hotuba ya Rais wakati wa kusaini mkataba wa kwanza wa uwekezaji wa Gesi baina ya Serikali na wawekezaji kuna vitalu takribani 28 vya gesi bado havijafanyiwa utafiti jambo ambalo endapo litafanyika linaweza...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua barabara ya Afrika Mashariki (Arusha Bypass) km 42.4 Ngaramtoni Arusha, leo Tarehe 22 Julai, 2022
=======
Hotuba ya Rais Samia, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania
Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa Mungu na...
KASI YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA ELIMU, CCM YATOA NENO KWA RAIS SAMIA
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya elimu, unaendelea kutoa matunda mazuri katika sekta hiyo...
Samahani kwa wale huenda mtaendeshwa na hisia za kichama na ushabiki pasipo kuwa na uwelewa wa miundo ya vyombo vya ulinzi na mienendo yake.
Kwanza nianze kwa kusema vyombo vya ulinzi na usalama ndio dola na dola ndio nguvu ya walio shika serikali.
Kwa uzowefu wangu na uwelewa wangu na hata...
Wanadhani hukugundua mpango wao na Rafiki yao unayempelekea Moto Kwake kuwa asije ili uje Wewe na wamsaidie kwa kutumia Mbinu ya Mrusi kisha yakukute huko huko Geneva ya Afrika au ukirejea Kwako Kigali.
Wamesahau kuwa Wewe ni zao tukuka la Marekani na Israel (Kiujasusi/ Kinjagu) na kwamba una...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.