rais

  1. M

    Kafulila: Bei ya mafuta Nairobi ni ghali sana pamoja na Ruto kuwa Rais, Dar bei iko chini. Hongera Rais Samia

    Gthinkers wasalaam, Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa Twitter. Ukweli ni kwamba bei ya mafuta imeshuka sana Tanzania japo hatujaona waliokuwa wakilalamikia kupanda kwa bei wakipongeza kushuka kwa bei. Pia Soma hii, 👇👇👇 BEI...
  2. N

    Serikali ya Samia imeboresha lengo lake la Elimu bure

    Kila mtahiniwa wa kidato cha nne na sita alitakiwa kulipa ada ya mtihani TZS 50,000. Baada ya kufuta ada na michango isiyo muhimu, Serikali imefuta ada ya mtihani kwa shule za Serikali ikiwa ni sehemu ya azma ya Mhe. Rais Samia Suluhu kuifanya elimu kuwa nafuu.
  3. K

    Serikali ya Rais Samia Kupima na Kumilikisha ardhi

    Serikali ya awamu ya sita kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imetenga kiasi cha TZS bilioni 50/= kwaajili ya programu ya kupanga, kupima na kumilikisha ardhi nchini. Pesa hizo zitakopeshwa kwa Halmashauri 55 nchini kutekeleza programu hiyo. "Kuhusu masuala ya ardhi...
  4. Picha ya Rais William Ruto kuuzwa Tsh. 5,900

    Katika tangazo lililotolewa leo Alhamisi Sept. 15, 2022, Msemaji wa Serikali, Cyrus Oguna amesema Picha ya Rais itapatikana katika ofisi za Idara ya Habari zilizopo Uchumi House ghorofa ya 5, Nairobi. Oguna aliongeza kuwa watu binafsi katika kaunti wanaweza kununua picha za Rais kutoka ofisi za...
  5. TANESCO ya Rais Samia , Iache Uhuni , Watanzania walifunuliwa Macho na Hayati Magufuli!!

    Et Mgao wa Umeme kuanzia 15--18/9 . Sababu , Kupungua Kiwango Cha maji pale Kihansi na Pangani .......... Niwaulize, Kwa hiyo kuanzia tarehe 19 , Maji hapo Kihansi na Pangani yatakua yamejaa ?????? ACHENI UHUNI.!!. Mbona wakazi wanaozunguka maeneo hayo wanakiri kutokupungua Kwa maji ...
  6. Naiona sura ya Rais Ruto, ila Utendaji madhubuti wa maendeleo na uthubutu kama alionao 'Genius' President Kagame

    Na sikushangaa wala sijashangaa sana kwani ndiyo maana hata Siku Moja kabla ya Kuapishwa Kwake Rais Mteule wa Kenya Dkt. William Ruto alitumia muda mwingi kufanya Mazungumzo na Rais wa Rwanda 'Genius' Paul Kagame tofauti na wengine ambao aliishia Kuwasalimia tu. Nimeweza kufuatilia Hotuba...
  7. TRA tunaomba update ya hii kauli ya Rais

    TRA mnakumbuka hii kauli ya Rais? Mmefikia wapi? Jana nimesikia TRA kwa upande wa kodi ya majengo wamepata msamaha wa riba kuanzia July hadi December. Mbona kwa wafanyabiashara zingine hatusikii kauli ya TRA? Mnangoja nini?
  8. Kurejea kwa Vitendo vya Uhalifu. Rais wangu Samia acha polisi wafanye kazi

    Hivi karibuni kumetokea kuongezeka kwa vitendo vya kihalifu hasa katika jiji la Dar es Salaam. Leo hii kwenye taarifa ya habari imetangazwa kuwa wahalifu hawa wameua mtu mmoja eneo la Kawe. Haya yanatokea kukiwa kumemalizika kikao cha wakuu wa polisi ambapo Rais Samia aliwaeleza mambo mengi...
  9. RAIS WA EU: Ulaya itashuhudia kipindi kigumu sana hivi karibuni

    Rais wa Halmashauli ya umoja wa Ulaya Ursula Von der Leyen ametahadharisha juu ya kipindi kigumu kiuchumi, nishati na mgogoro mkubwa wa kibenki kitarajiwacho Ulaya na Ulimwenguni kwa ujumla baada ya Urusi kuitumia nishati yake ya gesi na mafuta kama silaha ya kulipiza kisasi kwa umoja huo...
  10. N

    Juhudi za Rais Samia zinavyoleta mageuzi ya kiuchumi katika utalii 2022. Hongereni watanzania

    Licha ya kuwa na vivutio vingi vya utalii na fukwe bora kabisa Duniani, bado sekta ya utalii haikuweza kufikia viwango vinavyotakiwa kwa kukosa Branding ya kutosha. Kuanzia Mwezi January hadi Mwezi July 2022 ongezeko la watalii limekuwa kwa 62% ambapo watalii wapatao 742,133 wameweza kutembelea...
  11. Nina uhakika ni wana EAC wachache sana tuliyemuelewa Jana 'Genius' Rais Museveni wa Uganda

    "Tujikite kwanza katika kujua tujikite na Policy of Prosperity au ile Policy of Interest au twende nazo zote kwa pamoja ili Kuwasaidia Watu Wetu" "Bila ya kuwa na Mikakati thabiti ya kuhakikisha tunaimarisha Kwanza Regional Marketing na kusisitiza Economic Integration kwa Ukanda wetu bado...
  12. M

    Rais Samia nakushauri unda upya serikali yako!

    Ndugu Rais Japo watu wanapenda kukuita rais wa awamu ya sita lakini mimi nakuona kuwa wewe ni rais wa sita kutawala nchi yetu anayekamilisha awamu ya tano. Haina mantiki kwa mfano eti Rais akitawala wiki moja kisha akaacha kuwa Rais kwa sababu zozote za kikatiba mfano kifo halafu eti tuiite...
  13. M

    Baada ya Kuapa naanza kumuona Rais Ruto kama ni Mtu mwenye Papara, Kukomoa, Unafiki na Visasi Moyoni

    Anachokisahau tu ni kwamba Rais aliyemaliza muda wake ni Mafia hasa na karibia 95% ya System ya Kenya Iko Himayani Kwake. Rais Ruto aangalie sana yasiye Kujitokeza yale ya tarehe 17 Machi, 2021 kwa Majirani zake. Anaanza kunipa Wasiwasi mkubwa.
  14. Rais Dk. William Ruto nimependa IQ yako, Commitment, daring na your Love for Kenyans, ila huna Uchumi wa kutenda Uliyoyaahidi

    Na hapa ndiyo Kosa Kubwa Marais wengi Wateule hasa wa Barani Afrika huwa mnafanya kwa kuja na Honey Speech zenu tena za Kusisimua na kutia Moyo ila implementation huwa ni Zero. Rais Mteule wa Kenya Dk. William Ruto baada ya kukusikiliza Kiumakini na Hotuba yako ambayo kwa 90% imelenga Uchumi wa...
  15. Katiba Mpya: Rais akifanya kosa la jinai ofisini ashitakiwe, Trump ni mfano mzuri

    Leo Trump anachunguzwa na Serikali ya Marekani kwa wizi wa siri nzito za serikali. Siri hizo Trump anazifahamu kwa vile alihusika nazo, lakini kitendo cha kuziiba(kwa maana ya kuondoka na nyaraka za serikali kijinai) , Trump inawezekan akashitakiwa mahakamani. Nchi yetu Tanzania vivyo. Katika...
  16. Miguna Miguna athibitisha kurejea Kenya baada ya Rais Ruto kumpa kibali

    Wakili aliyehamishwa Miguna Miguna ana kila sababu ya kutabasamu baada ya Rais William Ruto kuondoa arifa nyekundu zilizotolewa dhidi yake. Katika taarifa yake mnamo Jumanne, Septemba 13, wakili huyo alibainisha kuwa alipokea hakikisho kutoka kwa Amiri Jeshi Mkuu kuhusu hali yake ya uhamishoni...
  17. Rais Ruto kuwaapisha Majaji 6 waliokataliwa na Uhuru Kenyatta

    Akizungumza Jumanne, Septemba 13, Rais Ruto amesema kwa mujibu na ahadi yake ya kuunga mkono Uhuru wa Idara ya Mahakama, ameidhinisha uteuzi wa majaji ambao waliteuliwa na Tume ya Huduma za Mahakama (JSC) mwaka wa 2019. Rais aliongeza kuwa ataongoza hafla ya kuapishwa kwao Jumatano, Septemba...
  18. J

    Rais wa Uganda ahudhuria sherehe za Ruto na mobile toilet

    Kenya. Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni amehudhuria sherehe za kuapishwa kwa Raisi mpya wa Kenya kwa kusafiri na ndege maalumu ya Rais huku akiambatana na washauri wake wa karibu. Katika hali ya kushangaza, Rais huyo wa Uganda ameambatana na mobile toilet katika msafara wake, mobile toilet...
  19. Kama ilivyo kwa Tanzania, CCM kushinda kila term ndivyo itavyokuwa kwa Kenya Rais kuwa Mkikuyu au Mkalenjin

    Big up kwa Kenya kuwa na Demokrasia kiwango cha juu kuzidi Tz lakini linapokuja swala la uraisi kuna utofauti mdogo sana kati ya Tz na Kenya . Kiti cha urais kina mamlaka makubwa sana, hii ni nafasi executive sio ya kuiletea masihara hata kidogo na kuna system tayari ipo kuhakikisha kiti hiki...
  20. PICHA: Gari lenye choo maalum cha Rais Yoweri Museveni wa Uganda

    Gari hili lina jiko kubwa, eneo la ofisi na sehemu ya kupumzika pia shughuli za mapishi zinafanyika wakati gari likiwa kwenye mwendo ambapo Rais anaweza kupata chakula kwa wakati anaotaka Kwa nje gari hili lina mifumo mingi ya kumsaidia Dereva kwenye kuliendesha, mifumo hiyo inahakikisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…