rais

  1. saidoo25

    JamiiForums Tanzania CCM iko wapi hadi Mawaziri wanampotosha Rais kiasi hiki

    Chama cha Mapinduzi (CCM) ni chama kinachoshika dola na kinaundwa kuanzia ngazi ya Shina, Tawi, Kata, Wilaya, Mkoa hadi Taifa lakini jambo la kusikitisha sana licha ya Wanachama wake wawili Mwigulu Nchemba na Januari Makamba kumpa taarifa za uongo Mh Rais wetu ambaye ni Mwenyekiti wa CCM na...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Samia ‘kuwafunda’ mabalozi wa Tanzania nje ya nchi kuanzia tarehe 14-21 Nov 2022

    Mkutano huo uliopangwa kufanyika Zanzibar kuanzia Novemba 14 – 21, 2022 ni wa kwanza tangu Rais Samia alipoingia madarakani na unabeba kaulimbiu isemayo: “Mwelekeo Mpya Katika Kuimarisha Diplomasia ya Uchumi”. Hayo yamebainishwa leo Novemba 12, 2022 na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari tambueni Mwalimu Nyerere alikuwa Rais wa kwanza, kwanini Benki ya Watu wa Zanzibari haina picha ya Nyerere, ina ya Mwinyi na Samia?

    Kwanza nimekataa kupewa huduma ya ufunguzi wa akaunti baada ya kukuta picha ya Samia Suluhu Hassani na Dkt. Mwinyi kwenye Benki ya Zanzibari. Hii ina maana nyie hamtambui ya kuwa Baba wa Taifa alikuwa Baba wa Tanzania means Tanganyika na Zanzibar?
  4. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto anahitaji Tsh. Trilioni 51 kutekeleza ahadi zake kwa Wakenya

    Kupitia ripot ya Tathmini ya Athari za Gharama ya Mpango wa Mabadiliko ya Kiuchumi wa Bottom-Up 2022 hadi 2027', ofisi ya bajeti inakadiria kutumia fedha hizo kutekeleza kikamilifu ilani ya Rais Ruto ndani ya miaka 5 ya muhula wake. ====================== The Kenya Kwanza campaign clarion call...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini ACT Wazalendo wasimpinge Rais Mwinyi Zanzibar? Lazima kuna Tatizo

    Mada inajieleza. ACT ni mdau ndani ya Serikali ya Zanzibar. Makamu wa kwanza wa Rais ndie mshauri Mkuu wa Rais ingawa Rais hapangiwi la kufanya sawa. Tatizo linakuja kwenye Dhamira ya kweli ya kile anachohubiri Rais Mwinyi. Haiwezekani katika hali ya mashaka ya kile kilichotokea uchaguzi wa...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usipende kila mara 'Kuingizwa Chaka' hivi bali shtuka mapema kwani unaniangusha sana tu

    "Mtendaji Mkuu wa DAWASA ameniambia ukiacha hii hali ya ukame tunayopitia Dar es salaam upatikanaji wa maji upo asilimia 94. hii ina maana kwamba tupo karibu sana au tumeshafikia ile asilimia tuliyoelekezwa na CCM ya asilimia 95" - Rais Chanzo: EATV Mimi GENTAMYCINE siyo Mathematician kama...
  7. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza CC ya CCM leo, macho na masikio ya Watanzania ni majina ya Walioteuliwa kugombea nafasi za Mkoa na Taifa

    === Ni masaa machache tu baada ya kurejea kutoka katika Mkutano wa Dunia wa Uhifadhi wa Mazingira wa 27 yaani COP27 huko Nchini Misri, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Tanzania ni nchi yenye deni dogo ukilinganisha na nchi zote zilizoko Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hongera Rais Samia

    Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Watanzania watampa Rais Samia tuzo ya heshima mwaka 2025

    SHAKA: WATANZANIA WATAMPA RAIS SAMIA TUZO YA HESHIMA MWAKA 2025 Ampongeza kwa namna anavyochapa kazi bila mbwembwe wala zogo Asisitiza Chama kuridhishwa na juhudi hizo kwani matokeo yanaonekana Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kwa hapa alipotufikisha Rais Samia anastahili kupongezwa, kuungwa mkono na kutiwa moyo, alipokea nchi katika kipindi kigumu sana

    Ndugu zangu mnyonge mnyongeni lakini Haki Yake mpeni, Rais Samia Anastahili kupewa Haki yake, Haki ya kupongezwa, kuungwa Mkono, kupewa Faraja, kutiwa Moyo na kupewa ushirikiano. Rais Samia Alipokea Nchi katika Kipindi Kigumu Sana kiuchumi, Alipokea Nchi kipindi Cha mlipuko wa ugonjwa wa CoVID...
  11. blogger

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji tathimini ya safari za Rais Samia

    Ndugu zangu watanzania sisi ndo walipa kodi wa nchi hii. Rais hana pesa zake wala CCM haina pesa zake.. hivyo basi tuna kila sababu ya kufahamu matumizi ya kodi hizi za watanzania masikini. Rais alikuwa China juzi ametoka huko akaunga EGYPT. Safari zake kwa kipindi hiki cha mwaka na miezi sasa...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akizindua mradi wa maji Kigamboni na kugawa mitambo ya Kuchimbia visima, Leo Novemba 11, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji Kigamboni na kugawa mitambo ya Kuchimbia visima, Leo Novemba 11, 2022 ===== Mradi wa maji wa Kigamboni umezinduliwa rasmi na Rais Samia, Rais amejafungua maji na yanatoka kwa wingi. Rais amekata utepe na...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Thamani ya Tanzania kwa China ni kubwa baada ya kuchaguliwa mara mbili na Rais Xi Jinping

    China na Tanzania ni nchi ambazo zimekuwa na urafiki, undugu na ushirikiano wa kina tangu enzi za waasisi Mwenyekiti Mao Zedong na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Urafiki huu umeendelea kudumishwa na viongozi wengine wote wa pande zote mbili waliofuatia baada ya waasisi hao, na kuendelezwa...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mkulima mbaroni kwa kumvunjia heshima Rais Samia na Dkt. Kikwete mtandaoni

    MKAZI wa Kidete mkoani Morogoro anayejishughulisha na kilimo,Piniston Nzali (20) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kujibu mashtaka matatu ya kuchapisha mtandaoni taarifa yenye kuharibu hadhi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu...
  15. yahoo

    JamiiForums Tanzania Rais wa Club African na Bodi ya Wakurugenzi wajiuzulu

    Kufuatia matokeo ya kichapo kutoka kwa Yanga, Rais wa Club Aficain na Bodi ya Wakurugenzi wametangaza kujiuzuLu kupitia mitandao yao ya kijamii. Daima mbele, nyuma mwiko!
  16. Execute

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia ameshindwa kazi basi ajiuzulu maana hali inazidi kuwa mbaya

    1. Umeme umekuwa bidhaa adimu kwenye maeneo mengi huku kila siku kukiwa na matamko ya megawati. 2. Upatikanaji wa maji safi na salama imekuwa ni anasa maeneo mengi na hasa katika jiji la Dar es salaam. 3. Vifurushi vya intaneti vinapandishwa kadri watoa huduma wanavyojisikia ikiwa ni pamoja na...
  17. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama yamfutia Naibu Rais kesi ya Ufisadi wa Tsh. Bilioni 139

    Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ameruhusiwa kuondoa kesi ya Tsh. Bilioni 139.8 dhidi ya Richathi Gachagua huku Mahakama ikionya kuwa anaweza kukamatwa tena iwapo ushahidi utapatikana. Ofisi ya DPP Noordin M. Haji ilituma maombi ya kufuta kesi hiyo kwa madai ya kufunguliwa kwa shinikizo la DCI...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hana mchezo wala subira kwa atakayechezea fedha za umma

    Ndugu zangu Rais Samia anahangaika huku na kule kutafuta fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimaendeleo, anahangaika kila mahali kutafuta wawekezaji , anashindwa kupata hata muda wa kupumzika na Familia ili kuona watanzania wanapata huduma Bora na karibu kabisa ya makazi yao...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Vunja Baraza la Mawaziri Nchi ipone. Waziri Majaliwa Habebeki

    Salaam Wakuu, Nchi ilipofikia, Viongozi wetu hasa Mawaziri wanatakiwa wajitafakari na kujisahihisha waone wanajipa Marks ngapi. Kama inafika wakati Wasaidizi wa rais wanamdharau kisa ni Jinsia ya Kike, kuna nini tena? Anawaagizi hivi wanafanya ambavyo hawajatumwa. Wamekalia Majungu na...
  20. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kulingana na namna Rais Samia anavyoupiga mwingi. Basi aishi miaka mingi (Milele)

    Wakuu amani iwe nanyi. Baada ya kushuhudia mateso makuu ya kimwili na kiroho katika awamu ya Tano, naam amani imerejea rasmi maana naiona milango ya mafanikio ikifunguka mmoja baada ya mwingine. Katika awamu hii ya sita nimeshuhudia Kwa macho yangu namna maisha ya wengi yalivyobadirika...
Back
Top Bottom