rais

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Rais Samia kuimarisha huduma za kibingwa bobezi

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, imeongeza fedha za kusomesha Wataalamu bingwa na bobezi hadi kufikia shilingi Bilioni 8 kutoka Shilingi Bilioni 3 za mwaka wa fedha 2021/22, utakaosaidia kuboresha huduma kwa wananchi na kupunguza Rufaa za nje ya nchi. Mpango...
  2. Mavipunda

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Maji na DAWASA wanampotosha Rais

    Wakati Mhe. Rais anafungua mradi wa maji kule Kigamboni hivi karibu, Ndugu Juma Aweso alitamka mbele ya Mhe.Rais kwamba kuanzia siku ile jiji la Dar es Salaam linapata maji kwa 100%. Alitoa kauli hiyo huku akijifananisha na Kocha wa Yanga alivyopindua meza Tunis. Wakati wa hotuba yake mama...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Joe Biden: Inawezekana ni kweli Urusi haijaishambulia Poland, uchunguzi unafanyika

    Baada ya kombora kutua katika Kijiji kimoja Nchini #Poland na kuua watu wawili kisha kudaiwa Urusi ndio imehusika, Rais wa Marekani, Joe Biden amesema kuna uwezekano kombora hilo halikutokea Urusi. Amesema: "Siwezi kusema wazi moja kwa moja kuhusu ushiriki wa Urusi hadi uchunguzi ukamilike.”...
  4. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Rais John Pombeo na David Albert (sehemu ya pili)David Albert alivyomtapeli Rais John Pombeo

    Tunaendelea na simulizi ya kweli ya Rais John Pompeo na swahiba wake David Albeet Basheet Baada ya Rais Pompeo kuingia madarakani alitengeneza chamandani ya chama kwa kutoa wenye chama na kupachika watu wake,akatengeneza serikali kivuli isiyo rasmu ndani ya serikali yake. David Albeet Basheet...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameonesha ushupavu na umadhubuti katika kuongoza nchi na kukabiliana na changamoto

    Ndugu Zangu Rais Samia Ameonyesha yeye Ni kiongozi shupavu sana, Asiye yumbishwa Wala kupelekeshwa na maneno maneno, Nikiongozi asiye fanya maamuzi pasipo kufanya uchunguzi wa kina, kiutafiti na kitaarifa, Ni kiongozi mwenye Msimamo usio yumba Wala kutetereshwa, Ni Kiongozi Mtulivu na mwenye...
  6. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni dhaifu kulingana na mambo yanavyokwenda?

    Wakuu habari za mchana? Ni matumaini yangu kuwa mko poa,katika siku za hivi karibuni kumezuka mijadala kadhaa mitaani, katika mitandao na hata kimataifa kuwa uongozi wa Rais Samia umeghubikwa na sintofahamu nyingi hususan katika masuala muhimu na ya msingi yanayolenga maisha ya wananchi moja...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ghana: Rais amfuta kazi Waziri wa Fedha kwa tuhuma za rushwa

    Hatua hiyo imefikiwa baada ya kudaiwa aliomba rushwa kwa mwekezaji wa madini ya dhahabu ili amtengenezee njia ya kufanikiwa. Aidha, Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo amempeleka kiongozi huyo, Charles Adu Boahen kwa waendesha mashtaka ili kukabiliana na tuhuma hizo. Inadaiwa Boahen aliomba Dola...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Kuna mliotuaminisha kwa Urusi kukimbia Kherson ni mtego, haya Rais Zelensky afanya ziara Kherson

    Haya tuone kama rais atanasa kwenye mtego wenu, mlisema Urusi ametoroka ili kuwavuta Ukraina waingie kichwa kichwa kwenye mtego, fanyeni sasa. Nakumbuka hata wakati Warusi wanaikimbia Kyev mlisema ni mtego fulani hivi...hii mitego lini itanasa, maana kila Mrusi akitoroka sehemu mnasema mtego...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafahamu changamoto ya umeme nchini, tuombe mvua zinyeshe. Hata yeye anaumia

    Ndugu zangu kumekuwa na malalamiko juu ya changamoto ya umeme Hapa Nchini, Hali iliyosababishwa kwa kiasi kikubwa na Hali ya ukame iliyoikumba nchi yetu na kupelekea kupungua kwa kina Cha maji katika mabwawa yetu ya kuzalishia umeme, Sote tunafahamu umuhimu wa umeme katika uchumi wetu, umuhimu...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania RC wa Kagera Chalamila hizo Milioni 10 za Rais Samia kwa Wavuvi Waokoaji ni za kuwapa Wagawane au Wafunguliwe Akaunti Benki?

    Rais Samia alipotoa hizo Pesa Tsh Milioni 10 alisema wazi kabisa kuwa ni Asante kwa Wavuvi kwa Uokoaji wa Manusura wa Ajali ya Ndege Mkoani Kagera ya Precision Air na hakusema kuwa Wafunguliwe Akaunti Benki kama ulivyofanya Wewe. Kwanini unakuwa na Kiherehere sana Wewe? Na kama kweli nia yako...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Ramaphosa atajiuzulu kama atakutwa na hatia ya utekaji na ufisadi

    Vincent Magwenya, Msemaji wa Rais Cyril Ramaphosa amesema tuhuma za kuficha Mabilioni ya Fedha shambani kwake zikithibitishwa kuwa na ukweli Rais atawajibika. Hata hivyo amemtetea kwa kusema kuwa "Kwa hali ilivyo hakuna mashtaka ya jinai dhidi ya Rais, mnachokisikia ni msururu wa taarifa za...
  12. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanategemea kuona ukali wa Rais Samia katika kikao cha dharura cha Baraza la Mawaziri leo

    Moja kati ya habari inayosubiriwa kwa hamu na umma wa Tanzania ni yatakayojiri leo katika kikao cha dharura cha baraza la mawaziri aliloitisha leo Rais Samia ikiwa na ajenda mficho 4 unaoakisi kutoa majibu sahihi juu ya masuala yafuatayo: 1. Ajali ya ndege ya Precision Air kutokana na kile...
  13. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Nini kinachomsibu Rais Mwinyi kwa uteuzi wa aliyekosa imani ya Wazanzibar uchaguzi 2020?

    Wanajamvi kumekuwa na sintofahamu juu ya uteuzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi mkuu 2020 hadi kuondolewa katika nafasi hiyo. Kuna jambo halipo sawa au ni mikakati ya kujiimarisha Kiserikali. Karibuni.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Chini ya Uongozi wa Rais Samia, Vikundi 52 vyanufaika Arusha

    Msisitizo wa Rais Samia Suluhu ni 10% za mapato ya Halmashauri zitolewe kama mkopo kwa Vijana, wananawake na walemavu. Pesa hizo zinasaidia makundi hayo kujiajiri na kuendesha maisha yao ya kila siku. Mkoani Arusha milioni 404.5 zimetolewa kwa vikundi 52 vya ujasiriamali. Katika vikundi hivyo...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kikao cha dharura cha Rais na Mawaziri kije na majibu haya kuhusu matukio ya ajali nchini

    Wakati Rais Samia akitarajiwa kufanya kikao cha Dharura na Baraza la Mawaziri kujadili suala la Ajali ya Ndege ya Precision Air iliyoua watu 19, haya ndio yanayosubiri majibu ya Serikali. Uwajibikaji wa Idara za Uokoaji nchini ukoje?, Idara hizo zina Miundombinu sahihi na inayostahimili hali...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Msamehe Dr. Fenella Mukangara

    Salaam Wakuu, Dada wa Taifa Dr. Fenera Mkangara kaifanyia Makubwa Tanzania, sio Vizuri kumuacha anahangaika Mtaani. Ni Mwana CCM asiye yumba. Kama kamkosea Rais Samia naomuombea Msamaha. Bado anazo nguvu za kulitumikia taifa. Mara ya Mwisho kumuona Majukwaani ni Uchaguzi wa 2015. Kwanini...
  17. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aitisha Baraza la Mawaziri kwa dharula, kujadili ajali ya ndege ya Precision

    Rais Samia Suluhu ameitisha kikao cha dharula na baraza la mawaziri kujadili ajali ya ndege ya precison iliyobeba uhai wa watu 19. Wakati ajali inatokea Rais Samia alikuwa nchini Misri. Mara ya mwisho baraza la mawaziri kuitishwa kwa udharula huu ni miaka ya 90. ===== President Samia Suluhu...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Rais ndiye anajua kwa usahihi miradi itaisha lini na kiwango cha uchumi wa taifa letu

    Rais ndiye anatafuta pesa zote za miradi na kujenga uchumi wetu. Hivyo ni yeye ndiye anajua kwa undani zaidi ukamilikaji wa miradi na level ya uchumi wa taifa letu. Tuwe makini kumsikiliza Rais wetu anapohutubia.
  19. Jelamashele

    JamiiForums Tanzania Kumwita Rais mama ni sexism. Ni mbaya sana. Tena ukiwa CCM ni zaidi

    Watz mnaweza kudhani sio kitu serious. Ila kumwita mwanamke kwa kuvizia majina ya jinsia ni sexism. Ni Aina ya jambo halina heshima. Ni mbinu za kufanya mtu wa kawaida kwa hiyo mambo mengine kuchomekewa. Wahuni wanasema unamvunja bei ili kumtia katika reli. Haya mambo hata katika maofisini...
  20. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Rais Samia amesababisha nianze kurejesha imani yangu kwa wanasiasa

    Huyu mama yuko simple na mkweli, anaeleza kama ilivyo na kuwa tayari kurekebisha badala ya kutukana au kulaumu laumu mabeberu..... Binafsi huwa nimewachoka na kuwakinai wanasiasa, kwa hii video inaonyesha bado kuna wachache wanaoweza kufuatiliwa...
Back
Top Bottom