Kwenye siasa kila maamuzi yanazaa matokeo na matokeo yanaweza kuwa chanya au hasi. Hapa chini nitaweka baadhi ya matukio ya kimaamuzi yaliyofanyika kimakosa na Rais Samia mwanzoni mwa utawala wake na yanamgharimu vibaya kwa sasa.
1. Kurithi baraza la mawaziri la Magufuli. Mbali na kuwa lilikuwa...
Ukiangalia tangu Samia aingie madarakani ajira zimefunguka kila pahala. Sector binafsi imekuwa more strong kiasi Cha kua absorb unemployed youths in street. JPM alirundika graduates miaka mitano hamna ajira serikalini Wala sector binafsi tukawa tunasisitizwa tujiajiri kupitia umachinga so PhD...
UMATI UCHAGUZI WA CCM NI SALAMU ZA TSUNAMI 2024-2025.
Shaka asema idadi hiyo kubwa inatokana na uongozi bora wa Rais Samia,
Asisitiza uchaguzi wa mwaka huu umevunja rekodi kwa kuwa haijawahi kutokea
====
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema mwitikio mkubwa wa wanachama kujitokeza katika...
Habarini,
Ninaomba yeyote aliye karibu na Mhe. Rais amfikishie ombi langu mbele yake nalo ni kufanya uteuzi wa nafasi zilizo wazi kwa muda mrefu hususani za utendaji kama wakurugenzi
Uteuzi wa nafasi hizo utasaidia utendaji mzuri na kuacha kufanya kazi kwa kujionyesha. Kukaa muda mrefu bila...
Huyu atakuwa amelewa. Hajui madaraka yakoje na tayari anaanza kuwa na akili za Kibeberu. Anaongea maneno gani haya?
Utamaduni huu wa kuiga kwa mabeberu. Ni utamaduni wa hovyo. Anataka alete machafuko Kenya na East Africa? Nadhani ameshachoka kuwa Rais. Au ameshiba wenzake wenye uzoefu na Urais...
Anaitwa Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, Afisa Mstaafu wa Jeshi anayehudumu kama Rais wa 2 wa Equatorial Guinea tangu Agosti 1979 baada ya kumpindua na kumhukumu kifo Mjomba wake Macías Nguema.
Raia 425,000 wanapiga Kura katika Taifa hilo lenye watu 1,512,450. Obiang anachuana na Buenaventura...
Humlipii mtoto ada, kuanzia darasa la kwanza hadi kidato Cha sita hizo hela ulizotakiwa kulipa ada unazifanyia nini?
Rais amedhibiti kwa kiasi kikubwa Mfumuko wa bei za bidhaa, tunaona kushuka Kwa bei za Mafuta, pembejeo za kilimo n.k. Hizo hela zinazobaki baada ya punguzo mnazifanyia nini...
RAIS WA FIFA GIAN INFANTINO.
Rais wa FIFA Gian Infantino ameibuka leo na kutoa kauli yenye utata ikiwa imebaki siku moja kuelekea ufunguzi wa mashindano ya Fainali za Kombe la Dunia yanayotarajiwa kufanyika nchini Qatar.
Infantino ambaye ni raia wa Switzerland mwenye asili ya Italia amesema...
Mwakani Elon Musk atazindua huduma ya internet kupitia kampuni yake ya Starlink. Elon Musk alisema kwenye tweet yake kuwa mwakani atazindua huduma ya internet ambayo itakuwa inapatikana dunia nzima bila kujali eneo gani upo.
Ikumbukwe kuwa internet ya Elon Musk itakuwa inarushwa na satellite...
DR. BASHIRU ALLY WAKULIMA WAMEMUELEWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ACHA WAMSIFIE ANAUPIGA MWINGI CHUKI YA NINI?
DR. BASHIRU ALLY Acha serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN ifanyekazi yake ya kuboresha Mazingira ya Kilimo nchini. Chuki, kinyongo na Uchochezi hauna nafasi acha...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki kikao kazi cha Mabalozi na Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Nje leo tarehe 19 Novemba, 2022 katika Ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar
SEHEMU YA MAZUNGUNZO YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MABALOZI WANAOWAKILISHA TANZANIA NJE...
Maneno ya Rais Samia Suluhu ili kuhakikisha haki inatendeka “Naomba mkae na wadau wengine mwangalie uwezekano wa kurekebisha sheria za kuweka mtu mahabusu. Kwenye nchi nyingine, mtu hakamatwi mpaka upelelezi umetimia".
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa mkombozi kwa wakulima nchini, tunaona jinsi serikali inavyopambana katika kuwainua wakulima kwa kutoa mbolea za ruzuku, kufuta tozo zilizokuwa kero kwa wakulima nchini, kutafuta masoko ya mazao nje ya nchi; tumeshuhudia kwa...
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Jubilei ya Miaka 50 ya Utume na Huduma ya Kanisa la Waadventista wa Sabato leo Tarehe 19 Novemba, 2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma
SAMIA SULUHU HASSAN - RAIS
Kwanini hajawahi kuhudhuria...
'Characters zako zifuatazo zitanifanya niendelee Kukukumbuka, Kukupenda na Kukuona ulikuwa Rais bora Tanzania kwa Kizazi cha sasa na hata Kijacho
1. Hukuwa Mnafiki na Mwizi
2. Uliiamini zaidi Akili yako Kubwa
3. Hukuwa Muoga wa Kufa / Kuuwawa
4. Ulikuwa ni Mzalendo wa Vitendo
5. Hukulea...
Nape Nnauye: Tangu Rais Samia mnaona, hatusikii watu wanafinywa finywa, mambo yanakwenda. Wewe sema pumua ukalale.
Halafu sisi tutapima, la maana tutabeba, linalotokana tu na hasira utakuwa umesema, umepumua, sisi tumekusikia maisha yanaendelea na tunatamani Nchi ya namna hiyo.
Hakuna tena more death threats kama ilivyokuwa kipindi kilichopita tulishuhudia vitisho vingi kuliko wakati wote ule wa vyama vingi vya siasa katika our political history.
Rais Samia ni Kiongozi bora anafahamu umuhimu wa vyama siasa na vile vya Wafanyakazi hawezi kusema wapinzani wake...
Moja ya sifa za Rais Samia Suluhu Hassan ni muumini mzuri wa mageuzi yenye lengo la kubadili fikra, dhana na mitizamo ambayo imekuwa kikwazo kwa jitihada za vijana katika kufikia mafanikio katika nyanja za biashara na uchumi.
Sifa nyingine ya Mama ni usikivu, mrahisi kufikika, mfariji na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.