rais

  1. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia piga kazi usihangaike na siasa zao chafu zenye nia mbaya

    Karibu kila Rais kuanzia Mzee Mwinyi aliljikuta akilazimika kuzoea kufanya kazi huku akiisikia sauti ya mtangulizi wake ikiongelea namna anavyoendesha nchi. Huu umekuwa ni mtihani mzito wa kuirithi ofisi nzito ya urais. Mzee Mwinyi anaikumbuka hotuba ya Mwalimu Nyerere mwezi March 1995 pale...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania msikilizeni Dkt. Wiliam Ruto Rais wa Kenya anayoyasema hapa

    Sikilizeni madini
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said nchi uliyoitaja inaitwa 'Tunis' iko Bara gani Kijiografia?

    "Nipende kuchukua nafasi hii Kuwahakikishia wana Yanga SC kuwa tunaenda kupindua matokeo nchini Tunis na kusonga mbele" Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said. Chanzo: Sauti yake aliyoisambaza mwenyewe katika Electronic Media zote leo. Yaani huna hata mwaka uongozini umeshaanza kudata...
  4. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Wakati nchi iko kwenye changamoto lukuki, Rais, Makamu wa Rais na Waziri mkuu wako nje ya nchi

    Wakati nchi ikiwa kwenye changamoto lukuki, mfumuko wa bei, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna mikopo watoto wa vyuo hawajalipwa pesa cha ajabu viongozi wakuu na mawaziri waandamizi wako nje ya nchi kwa inayoitwa mialiko ya kitaifa. Rais wa nchi yuko China, Makamu wa Rais yuko Ivory Coast...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mapokezi Rasmi ya Rais Samia Nchini China

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping katika ukumbi wa Great Hall of the People, nchini China leo tarehe 03 Novemba, 2022 ===== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Rais Putin: Wao wabaki na Ushoga wao, wasitulazimishe

    Hii inaweza kuwa Hotuba yake ya Pili inayovunja Rekodi ya Hotuba yake ya Kwanza ya Munich 2007, hotuba Makini, yenye utulivu inayohitaji Utulivu kumuelewa. Kuna Nchi zina Marais bwanaa, watu wenye Uwezo wa akili wa Ziada, Mtu anaielezea Dunia mithili kama kaichora yeye mwenyewe. Wengine...
  7. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Namshauri Serikali iagize mchele nje mapema kabla mambo hayajaharibika

    Hali ya chakula ni mbaya sana kwa sasa! ikitokea upungufu wa sukari serikali huwa inaagiza nje, chakula kimepanda bei mara dufu! nyinyi mnaotembelea ma v8 hamjui chochote kuhusu hali hii, Jakaya aliagiza mchele China na Japani ,japo haukuwa mtamu lakini uliokoa sana kipindi kile! Bashe yuko...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amewasili salama China, hii hapa picha akiwa Uwanja wa Ndege Beijing

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Peking, Beijing nchini China kwa ajili ya ziara ya Kiserikali tarehe 02 Novemba, 2022. ================ Kufahamu ziara nyingine za rais Samia tangu aingie madarakani soma...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni mwanadiplomasia namba moja Afrika

    Rais Samia Suluhu ni mwanadiplomasia namba moja africa ameimarisha diplomasia katika nchi mbalimbali na leo ameelekea nchini China kwa ziara ya siku tatu. Habari za haraka kuhusu ziara ya Rais Samia Suluhu nchini China. 1. Amekuwa Rais wa kwanza wa Afrika kukutana na Rais Xi tangu kuongezewa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kazi juu ya kazi, sasa Bei ya Mafuta inaendelea kushuka, Watanzania tutegemee neema ya kupungua kwa mfumuko wa bei

    Ndugu zangu Hali ya mafuta inazidi Kuendelea kuleta matumaini kwetu watanzania kwa kushuka Bei, Ikumbukwe kuwa miezi michache iliyopita Bei ya mafuta petrol,Dizel na mafuta ya Taa ilikuwa haishikiki Wala haikamatiki, Hali hii ilipelekea kupanda kwa bidhàa nyingi Sana hasa kwa kuzingatia ukweli...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwani una 'Tatizo' lolote lile hadi kila mara ujitokeze 'Matamasha' ya Kukuombea?

    Mtume wao Mwamposa alivyotonywa na Watu wa Mfumo wasio na Vifua vya Kutunza Siri kutokana na Viapo vyao kuwa ataondolewa Tanganyika Packers Kawe haraka sana akaandaa Tamasha la Kujipendekeza kwa Rais Samia kwa Kusema ni la Kumuombea akiwa na Mategemeo kuwa 'atalainishiwa' na hatoondolewa...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Katudanganya Watanzania au Mtakwimu Mkuu ndiyo Muongo zaidi?

    "Nichukue nafasi hii kwa mujibu wa Katiba Kutangaza kuwa idadi ya Watu wote waliohesabiwa Usiku wa Sensa ni 61,741,120 hivyo Watanzania kwa muda wa miaka hii Kumi tumeongezeka kwa Asilimia 3.2 tu" Rais Samia Suluhu. Chanzo: Media zote Tanzania "Taarifa iliyotolewa Juzi ya Watu 61,741,120 siyo...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ataka kikosi kazi cha nishati safi ya kupikia

    Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza kuanzishwa kwa kikosi kazi kitakachoshughulikia nishati safi ya kupikia, lengo likiwa kuanzisha safari ya kulitoa Taifa kwenye matumizi ya nishati isiyofaa. Kikosi kazi hicho ambacho hakitakuwa cha Serikali pekee, kitahusisha pia sekta binafsi na wadau wa...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana mpango wa kumtua Mama kuni kichwani

    Leo Rais Samia Suluhu ametusisitiza wananchi kutumia nishati safi ya kupikia ili tuondokane na madhara yatokanayo na nishati isiyo safi lakini pia amegusia suala la maji ambalo linawatesa sana wakazi wa Dar es salaam, Amesema Lengo la kutoa elimu na kusisitiza matumizi ya nishati safi ya...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ipo siku CHADEMA watamkumbuka Rais Samia na kuelewa dhamira yake ya kuwatumikia Watanzania kwa uzalendo na upendo

    Ndugu zangu naweza nisieleweke haya maneno kwa Sasa kutokana na muda kuwa haujafika, nimeona niyaseme haya ili ibaki katika kumbukumbu, CHADEMA lazima wafahamu kuwa katika mazingira na siaza za kiafrika Ni ngumu Sana kumpata Rais aina ya Rais Samia, viongozi aina yake hupatikana katika nchi...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Pwani wanakata sana miti na kusababisha uhaba wa maji

    Rais Samia amesema shida ya maji inayoendelea katika Mkoa wa Dar es salaam imesababisha na athari za kimazingira ikiwemo kukata miti. Amesema mkoa wa Pwani unaongoza kwa kukata miti iliyoko kando ya mto Ruvu unaoleta maji Mikoa ya Dar es Salaam na hivyo wanasababisha uhaba wa maji. Rais...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Lita Milioni 70 za Maji kutoka Kigamboni ziingizwe Dar es Salaam kusaidia upungufu wa Maji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa la Nishati Safi ya Kupikia, Leo Novemba 1, 2022 Prof. Anna Tibaijuka Mbunge mstaafu Profesa Anna Tibaijuka amesema Watanzania wengi wanafahamu umuhimu wa gesi lakini bado wanalazimika...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais wa Tanzania nchini China kuleta fursa mpya kwa maendeleo ya uhusiano kati ya nchi hizo mbili

    Mkuu wa Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Aldin Mutembei, amesema, ziara ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nchini China itaendeleza uhusiano kati ya nchi hizo mbili. Profesa Mutembei amesema, ziara hiyo ya siku tatu kuanzia tarehe 2 hadi 4 itatoa fursa zaidi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais wa Tanzania nchini China ni ishara ya kuimarika kwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Mambo ya China ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Humphrey Moshi amesema, ziara ya rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nchini China itaimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili. Profesa Moshi amesema, ziara ya rais Samia nchini China si kama tu ni...
  20. Area 56

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awapiga dongo wakazi wa Dar

    Je kuna ukweli kwenye dongo hili alilorusha Rais Samia kwa wakazi wa Dar?
Back
Top Bottom