rais

  1. JamiiForums Tanzania Fahamu makosa makubwa matano ya mwanzo ya kisiasa ya Rais Samia ambayo yanamgharimu sasa

    Kwenye siasa kila maamuzi yanazaa matokeo na matokeo yanaweza kuwa chanya au hasi. Hapa chini nitaweka baadhi ya matukio ya kimaamuzi yaliyofanyika kimakosa na Rais Samia mwanzoni mwa utawala wake na yanamgharimu vibaya kwa sasa. 1. Kurithi baraza la mawaziri la Magufuli. Mbali na kuwa lilikuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Rais wa FIFA atoa tamko kuhusu Qatar

  3. JamiiForums Tanzania Huyu ndio Rais wa wanyonge sasa siyo yule anajisifu tu wakati wanyonge wanakufa njaa au kutekwa

    Ukiangalia tangu Samia aingie madarakani ajira zimefunguka kila pahala. Sector binafsi imekuwa more strong kiasi Cha kua absorb unemployed youths in street. JPM alirundika graduates miaka mitano hamna ajira serikalini Wala sector binafsi tukawa tunasisitizwa tujiajiri kupitia umachinga so PhD...
  4. JamiiForums Tanzania Shaka: Mafuriko na Utitiri huu wa watu kwenye Chaguzi ndani ya CCM ni ishara ya Ushindi wa Tsunami 2024|25 na kukubalika zaidi kwa Rais Samia Suluhu

    UMATI UCHAGUZI WA CCM NI SALAMU ZA TSUNAMI 2024-2025. Shaka asema idadi hiyo kubwa inatokana na uongozi bora wa Rais Samia, Asisitiza uchaguzi wa mwaka huu umevunja rekodi kwa kuwa haijawahi kutokea ==== Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema mwitikio mkubwa wa wanachama kujitokeza katika...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tunaomba Rais ufanye uteuzi kwa nafasi zilizo wazi muda mrefu

    Habarini, Ninaomba yeyote aliye karibu na Mhe. Rais amfikishie ombi langu mbele yake nalo ni kufanya uteuzi wa nafasi zilizo wazi kwa muda mrefu hususani za utendaji kama wakurugenzi Uteuzi wa nafasi hizo utasaidia utendaji mzuri na kuacha kufanya kazi kwa kujionyesha. Kukaa muda mrefu bila...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Polisi inapaswa kuwalinda watu wote bila kujali vyama vyao

    Huyu atakuwa amelewa. Hajui madaraka yakoje na tayari anaanza kuwa na akili za Kibeberu. Anaongea maneno gani haya? Utamaduni huu wa kuiga kwa mabeberu. Ni utamaduni wa hovyo. Anataka alete machafuko Kenya na East Africa? Nadhani ameshachoka kuwa Rais. Au ameshiba wenzake wenye uzoefu na Urais...
  7. JamiiForums Tanzania Rais aliyetawala muda mrefu zaidi duniani anapigiwa kura tena leo

    Anaitwa Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, Afisa Mstaafu wa Jeshi anayehudumu kama Rais wa 2 wa Equatorial Guinea tangu Agosti 1979 baada ya kumpindua na kumhukumu kifo Mjomba wake Macías Nguema. Raia 425,000 wanapiga Kura katika Taifa hilo lenye watu 1,512,450. Obiang anachuana na Buenaventura...
  8. JamiiForums Tanzania Sidhani kama Kuna Mtanzania aliezidiwa na Maisha Rais wetu anafanya kazi nzuri

    Humlipii mtoto ada, kuanzia darasa la kwanza hadi kidato Cha sita hizo hela ulizotakiwa kulipa ada unazifanyia nini? Rais amedhibiti kwa kiasi kikubwa Mfumuko wa bei za bidhaa, tunaona kushuka Kwa bei za Mafuta, pembejeo za kilimo n.k. Hizo hela zinazobaki baada ya punguzo mnazifanyia nini...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa FIFA awapa makavu wazungu dhidi ya Afrika

    RAIS WA FIFA GIAN INFANTINO. Rais wa FIFA Gian Infantino ameibuka leo na kutoa kauli yenye utata ikiwa imebaki siku moja kuelekea ufunguzi wa mashindano ya Fainali za Kombe la Dunia yanayotarajiwa kufanyika nchini Qatar. Infantino ambaye ni raia wa Switzerland mwenye asili ya Italia amesema...
  10. JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania

    Mwakani Elon Musk atazindua huduma ya internet kupitia kampuni yake ya Starlink. Elon Musk alisema kwenye tweet yake kuwa mwakani atazindua huduma ya internet ambayo itakuwa inapatikana dunia nzima bila kujali eneo gani upo. Ikumbukwe kuwa internet ya Elon Musk itakuwa inarushwa na satellite...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru Ally, wakulima wamemuelewa Rais Samia acha wamsifie anaupiga mwingi, chuki ya nini?

    DR. BASHIRU ALLY WAKULIMA WAMEMUELEWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ACHA WAMSIFIE ANAUPIGA MWINGI CHUKI YA NINI? DR. BASHIRU ALLY Acha serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN ifanyekazi yake ya kuboresha Mazingira ya Kilimo nchini. Chuki, kinyongo na Uchochezi hauna nafasi acha...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Zipo Siasa za kuvutana baina ya Mafahari wa dunia na kutaka kuziburuza nchi za Afrika katika Migogoro yenye maslahi yao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki kikao kazi cha Mabalozi na Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Nje leo tarehe 19 Novemba, 2022 katika Ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar SEHEMU YA MAZUNGUNZO YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MABALOZI WANAOWAKILISHA TANZANIA NJE...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu anasimamia haki za wananchi

    Maneno ya Rais Samia Suluhu ili kuhakikisha haki inatendeka “Naomba mkae na wadau wengine mwangalie uwezekano wa kurekebisha sheria za kuweka mtu mahabusu. Kwenye nchi nyingine, mtu hakamatwi mpaka upelelezi umetimia".
  14. J

    JamiiForums Tanzania Chuki na uchochezi wa Dr. Bashiru Ally kwa serikali ya Rais Samia

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa mkombozi kwa wakulima nchini, tunaona jinsi serikali inavyopambana katika kuwainua wakulima kwa kutoa mbolea za ruzuku, kufuta tozo zilizokuwa kero kwa wakulima nchini, kutafuta masoko ya mazao nje ya nchi; tumeshuhudia kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Suala la Mitihani na Usaili kufanyika siku ya Jumamosi tutalitazama

    Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Jubilei ya Miaka 50 ya Utume na Huduma ya Kanisa la Waadventista wa Sabato leo Tarehe 19 Novemba, 2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma SAMIA SULUHU HASSAN - RAIS Kwanini hajawahi kuhudhuria...
  16. JamiiForums Tanzania Hayati Rais Magufuli ningejua ungekufa ghafla vile ningekuwahi unipe Spirit yako ili niipandikize kwa Marais wajao wa Tanzania

    'Characters zako zifuatazo zitanifanya niendelee Kukukumbuka, Kukupenda na Kukuona ulikuwa Rais bora Tanzania kwa Kizazi cha sasa na hata Kijacho 1. Hukuwa Mnafiki na Mwizi 2. Uliiamini zaidi Akili yako Kubwa 3. Hukuwa Muoga wa Kufa / Kuuwawa 4. Ulikuwa ni Mzalendo wa Vitendo 5. Hukulea...
  17. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Tangu Rais Samia mnaona, hatusikii watu wanafinywa finywa

    Nape Nnauye: Tangu Rais Samia mnaona, hatusikii watu wanafinywa finywa, mambo yanakwenda. Wewe sema pumua ukalale. Halafu sisi tutapima, la maana tutabeba, linalotokana tu na hasira utakuwa umesema, umepumua, sisi tumekusikia maisha yanaendelea na tunatamani Nchi ya namna hiyo.
  18. JamiiForums Tanzania Kwa hapa tulipofika, Rais Samia anatufikisha nchi ya Ahadi

    Hakuna tena more death threats kama ilivyokuwa kipindi kilichopita tulishuhudia vitisho vingi kuliko wakati wote ule wa vyama vingi vya siasa katika our political history. Rais Samia ni Kiongozi bora anafahamu umuhimu wa vyama siasa na vile vya Wafanyakazi hawezi kusema wapinzani wake...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli angekuwepo hai asingekuwa amekopa hata senti 5 kwa hii miezi 18

    kama nchi tumerudi nyuma Sana mikopo imekuwa mingi sana Magufuli alikataa huu mkopo wa Corona
  20. N

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia ana sifa nzuri au mbaya katika uongozi wake?

    Moja ya sifa za Rais Samia Suluhu Hassan ni muumini mzuri wa mageuzi yenye lengo la kubadili fikra, dhana na mitizamo ambayo imekuwa kikwazo kwa jitihada za vijana katika kufikia mafanikio katika nyanja za biashara na uchumi. Sifa nyingine ya Mama ni usikivu, mrahisi kufikika, mfariji na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…