rais

  1. Roving Journalist

    Rais Dkt. Samia anazindua Nyenzo za Utekelezaji wa Dira 2050 | Ikulu Dar | 03 Agosti, 2026

    https://www.youtube.com/live/Motr1Qogzvc?si=0zWibpltOzbHFz0w
  2. Pascal Mayalla

    Asante VP Bal. Dr. Nchimbi kwa Maneno Makubwa, ya Faraja na Matumaini Kuhusu Katiba. Unamsaidia Sana Rais na Utawasaidiwa Sana Watanzania Iwapo...!

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo, ambayo ni kumshukuru na kumpongeza Makamu wa Rais Balozi Dr. Nchimbi kwa maneno makubwa ya maana sana yenye faraja na matumaini makubwa kwa Watanzania kuhusu katiba mpya. Kiukwe huyu mtu, anamsaidia sana Rais Samia na atawasaidia...
  3. amarina

    Akija Rais atakaye deal na bodaboda nitamshukuru

    Hizi taka taka barabarani zinakera mno. Yaan nakumbuka enzinza tex maisha yalikuwa mazuri. Hawa waharibifu hata sijui nani amewaleta. Ni kero kero barabarani, kwenye ndoa, usalama wa mahouse girl, watoto wetu wa kike yaani ni tafrani. Siku akaja kiongozi mkuu wa nchi akatoa oder ama...
  4. Mkalukungone Mwamba

    FIFA: Hakuna anayeuza soka", Ni mpango wa rais Gianni Infantino wa kuruhusu wawekezaji kununua hisa

    Shirikisho la soka duniania FIFA limesema "hakuna anayeuza soka", lakini mpango wa rais wake Gianni Infantino wa kuruhusu wawekezaji kununua hisa katika biashara za mashindano ya FIFA umeibua upinzani mkubwa. - UEFA imetishia kususia Kombe la Dunia ikiwa mpango huo utaidhinishwa, huku Concacaf...
  5. R

    Hivi ndege ya Rais wetu Gulf Stream iko wapi??

    Nani anajua ndege ya serikali maalum kwa Rais aka Gulf Stream iko wapi? Na kama ipo mbona mkuu wa nchi haitumii kwa safari zake badala yakeainatumia ATC Dreamliner?
  6. BOB LUSE

    Rais kwanini anahangaika na Matumizi Mabaya ya fedha kualika Vyama visivyo na Wawakilishi ( Vyama Feki)?

    Rais ni Taasisi yenye Watu Makini, Waliobobea/ Weredi katika Fani zao mbalimbali, nachelea kuelewa kwanini katika zamani hizi bado anakumbatia Mawazo ya kutumia Mavyamq Feki kufanikisha ajenda yoyote ya kitaifa! Tuna watu Waliobobea katika utafiti, Intelligence.kwanini muendelee kulipa...
  7. L

    Rais Aelekea Angola Kuwa Mgeni Rasmi Katika Hospitali Ya Rufaa iliyopewa Jina La Mwalimu Nyerere. Apata Baraka Za Mama Maria Nyerere Kabla ya Kupaa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ameelekea Nchini Angola ambako amepata Heshima kubwa ya Kuwa Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Hospitali Kubwa ya Rufaa ambayo imepewa Jina la Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu...
  8. Roving Journalist

    Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Angola, aambatana na Mama Maria Nyerere kuzindua hospitali ya Nyerere

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mama Maria Nyerere muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kuelekea Luanda, Angola ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Hospitali iliyopewa jina la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage...
  9. M

    Ni kweli CCM ndio inayotawala, ila wanaotawaliwa hawapo isipokuwa kundi la wauwaji pekee na 2030 tutadili nao

    Huu ndiyo ukweli uliopo Chawa mpoo!! 2030 au kabla ya hapo, wauwaji wote hamtajitetea, Kila aliyeshiriki kufanya mauwaji au kuhusika kwa namna yoyote Ile, hatakaa salama! TANZANIA yenye matumaini na Amani, ipo yaja
  10. kavulata

    Rais wa TFF Karia kamaliza, wachambuzi wa mpira wanabwabwaja kwenye mike badala ya kuchambua mpira. Ligi ikianza wajirekebishe.

    Wachambuzi wetu wanakera sana. Wanahukumu wachezaji, viongozi wa timu, wafadhili, waamuzi, bodi ya ligi, TFF kama vile wanao ushahidi wa kile wanachokihukumu. Wamepata ajira kwenye chombo cha habari cha mtu lakini wanakaa nyuma ya mike ya chombo hicho wakiwa kama wasemaji wa Simba au Yanga...
  11. Waufukweni

    Rais Mwinyi amjibu Othman Masoud kuhusu kukopa Tsh. Trilioni 1.6 kwa ajili ya ujenzi wa mji wa AFCON

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa ufafanuzi kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Mji wa AFCON unaojengwa Fumba, Zanzibar, akimjibu Aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman ambapo amesisitiza kuwa mradi huo ni...
  12. 2

    Mwinyi Hussein Rais wa JMT 2030-2040

    Kwa utulivu wake wa namna ya kuyaunganisha makundi mbalimbali ndiye Rais wa Tanzania 2030-2040
  13. Hance Mtanashati

    Miaka mitano sasa imetimia nchi inaongozwa bila rais (Auto Pilot State)

    Tanzania tumeweka rekodi ya kipekee sana. Takribani miaka mitano sasa imetimia nchi inaongozwa bila ya kuwa na rais wa nchi. Miaka hii mitano kila mtu sasa kawa msemaji, hatuna yule kiongozi mkuu wa nchi kutuongoza nchi imekuwa kama Auto pilot state.
  14. O

    ODM Yasaka Nafasi ya Naibu Rais, Yamuunga Mkono Oparanya kwa Uchaguzi wa 2027

    Chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kimeongeza shinikizo la kutaka nafasi ya Naibu Rais katika uchaguzi mkuu wa 2027, huku baadhi ya viongozi wake wakimuunga mkono Waziri wa Ushirika na Maendeleo ya Biashara Ndogo na za Kati, Wycliffe Oparanya, kuwa mgombea mwenza wa Rais William Ruto...
  15. K

    Bila Rais Samia hii nchi ingejifia kitambo sana,Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili

    Rais samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili na nina uhakika bila yeye hii nchi ingejifia kitambo sana Rais samia kipenzi cha wanyonge na kiboko ya wapizani na nina uhakika wapinzani wanampenda na kumkubali sana Muda mfupi Rais samia amejenga miundombinu mingi sana...
  16. D

    Askofu Nyaisonga Rais mpya AMECEA. Tanzania bado imara

    ASKOFU MKUU GERVAS NYAISONGA ACHAGULIWA KUWA RAIS MPYA WA AMECEA Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mbeya Mhashamu Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga, amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki (AMECEA). Uchaguzi huo umefanyika wakati wa Mkutano...
  17. U

    BILL CLINTON Aliwapa Wapalestina ardhi yote ya GAZA na asilimia 97 ya Ukingo wa Magharibi lakini hawakutaka kuwa na nchi yao bali kuua Wayahudi!

    RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI BILL CLINTON ADAI KUWA Aliwapa Wapalestina ardhi yote ya GAZA na asilimia 97 ya Ukingo wa Magharibi wa mto Jordani (West Bank) lakini kiuhalisia Wapalestina hawakutaka kabisa kuwa na nchi yao wenyewe bali walichokitaka ni kuendelea kuua wayahudi
  18. Wakusoma 12

    Kwa mazingira ya kisiasa kwa sasa hatuwezi kujipatia katiba mpya halali na yenye kutetea na kulinda haki za raia. Viongozi wote ni Null and void

    Kwanza kabisa niseme mifumo wa mahakama na bunge ni mifumo iliyoparalise na haina nguvu za kusimamia mchakato wa katiba mpya. Majukumu ya Bunge na Mahakama katika nchi yenye utawala wa sheria ni pamoja na Bunge (Legislature) 1. Kutunga sheria – kutengeneza na kupitisha sheria zinazotawala...
  19. Ngongo

    Waziri Mkuu na Spika waliondolewa na sasa Makamu wa Rais yupo njiani ?

    Heshima sana wanajamvi Mheshimiwa Rais Samia alishindwa kufanya kazi na Kassim Majaliwa Waziri Mkuu wa JMT. Katika harakati za mfifisha Majaliwa akaunda nafasi ya Naibu Waziri Mkuu cheo ambacho hakipo kikatiba. Ulipofika muda wa uchaguzi mkuu Majaliwa hakuruhusiwa hata kuchukua fomu ya...
  20. L

    Nimewaona Ma RAIS 5 Baada Ya Rais Samia. Wote Wamepikwa na Wamepitia Mikono Mwake ,Uwezo Wao na Uzalendo Wao Ni Mkubwa Sanaa Kwa Taifa letu. Tuwaombee

    Ndugu zangu Watanzania, Nimewaona na kuonyeshwa Ma Rais 5 Watakaofuatia na kuongoza Taifa letu baada ya Kumaliza Muhula wake Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Hapo 2030. Ni viongozi Wachapakazi ,wazalendo ,waadilifu ,wacha Mungu na wenye Dhamira ya kweli na Dhati...
Back
Top Bottom