Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Soko la Kariakoo, Dar es Salaam Februari 08, 2026 baada ya soko hilo kufanyiwa ukarabati.
Ikumbukwe kuwa mara ya mwisho kwa Samia kwenda kwenye soko la Kariakoo mara ya mwisho tarehe 1 Juni 2021. alipofanya ziara ya ghafla, na kisha kuzungumza na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan, akiagana na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Al Maktoum (DWC) Dubai, mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya Kikazi, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Rais Dkt. Samia alishiriki kwenye Mkutano...
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amemteua bila kukusudia mtu aliyekufa kuwa mjumbe wa kamati itakayoandaa uchaguzi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
Msemaji wa ofisi ya rais amesema hii leo kwamba mamlaka zilipitiwa wakati wa uteuzi baada ya Steward Sorobia Budia, mwanasiasa wa zamani wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kossovo, Mhe. Vjosa Osmani-Sadriu, kabla ya kufanya vikao na Viongozi mbalimbali pembezoni mwa mkutano wa Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS2026), tarehe 3 Februari, 2026 Madinat Jumeirah...
Suala la bunge kutaka kumsifia rais linaonesha bunge limegeuka kuwa wasemaji wa rais badala ya wananchi.
Ni bunge haramu hilo linaenda kinyume na makusudi ya kuundwa kwake ni wawakilishi wa wananchi sio wa rais.
Hii ndio shida ya kuwaingiza mbumbumbu bungeni hawajui wameenda kufanya nini...
Hoja ya bunge kutaka kumsifia rais halina msingi wowote wala faida kwa wananchi na linaegemea maslahi ya mtu mmoja yasiyo na maana.
Hizi ndio baba wa taifa anaziita siasa za kimalaya, bunge Tuacheni siasa za kimalaya kusifia mtu hakuwezi kuleta maendeleo kwa wananchi na kuwaondoa kwenye...
Sasa inabidi TUKUBALIANE. Kwamba; TUTENGE siku moja, kuanzia ASUBUHI hadi JIONI, CCM wamsifie RAIS, mpaka WACHOKE. Baada ya hapo TUENDELEE na MAMBO YA MSINGI kama watu wenye AKILI TIMAMU
Rais samia ameondoka nchini kwa kificho. Hatujui anakwenda kukutana nani, atakaa siku ngapi na ameandamana na nani. Ni ajabu. Kwanini tufichwe wakati anatumia fedha zetu mbali na kutumia jina letu maana anakwenda kule eti kutuwakilisha wakati anajiwakilisha? Huu nao ni ufisadi wa kimfumo...
Watu ambao tunasubiri hotuba ya rais pale mahakamani tarehe 9 tukutane hapa kwanza kutakuwa na darasa la sheria.
Akiachiwa tu tutaandamana nchi nzima kushinikiza mabadiliko na wahusika wote wa mauwaji kuwajibishwa.
Mwambieni aliye tengeneza kesi hii ya uongo inafaida kwa umma kwani tunapata...
Salaam!
Mh Jaji Mkuu hakukosea, na hakuteleza alliotamka neno Mh Rais.
Mh Rais aliyetajwa hapo ni Mh Rais wa TLS ndugu Mwabukusi .
Sasa wenye data za kuungaunga waangaliapo video,tafadhali msipotoshe umma kwa makusudi.
Mh Mwabukusi ni Rais halali kabisa na alishinda kihalali kabisa.
Nj hayo tu.
Samia to the World!!!!!
Mheshiwa Dr. Samia Suluhu Hassani amesafiri leo tarehe 02. 02. 2026 kuelekea Falme za Kiarabu UAE. Ambapo atashiriki katika mkutano wa World Government Summit (WGS 2026) na Uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS.
Ushiriki wa Tanzania katika WGS unaakisi...
Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini 2026 yenye kauli mbiu ‘Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa’, jijini Dodoma, amegusia suala la Oktoba 29, 2025 akisisitiza kuwa kila anayepaswa kuwajibika...
https://www.youtube.com/watch?v=Kgl17Gp9Vec
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, 2026, yenye kauli mbiu: “Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa.”
Inafanyika leo Tarehe: 2 Februari...
Hii ni mara ya kwanza nchi kupata rais anayeishi kwenye mapango na kujificha hakuwa hivi alipo ingia anajua ameuwa watu wengi sana.
Ndio maana anatajwa tajwa na kina mwigulu kila siku na bunge kila siku ili kumpumbaza amekataliwa na haibadilishi kitu.
Kama ungebahatika kutembelea jiji la Cairo hususani siku ya tarehe moja mwezi wa saba mwaka 2007, ungegundua ni siku na mwezi ambapo hali ya hewa ilikuwa ni joto kali sana kiasi kwamba muda wote ungekuwa unatokwa na jasho.
Mitaa mingi ya mji wa cairo ikiwa ina msongamano ndivyo ilivyozidi...
Ile OFISI inayokarabatiwa ya MAKAMU wa Rais ni kuchezea fedha za UMMA,
MAKAMU wa Rais Tanzania ni OFISI ya kutulizia mijitu nguri michokonoko dhidi ya WENZAo ndio maana kupewa KAZI zinazo usu mazingira TU Sasa mtu WA mazingira OFISI kama Ile ya Nini?
Nchimbi kwa Nini hakupanda miti juzi?
Ndugu zangu Watanzania,
Nawapeni tu taarifa ya kuwa kama kuna mtu ama watu ama kikundi cha watu iwe ni ndani ya Nchi ama kutoka nje ya Nchi kinachoweza kuwa na mawazo ama Dhamira ya kumhujumu Rais wetu na Kumkwamisha Rais wetu Mpendwa katika kulitumikia Taifa letu. Ni lazma wafahamu ya kuwa...
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amezitaka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi pamoja na Wizara ya Katiba na Sheria kufanya uchunguzi wa kina ili kujiridhisha kama watu wote waliokamatwa katika matukio ya Oktoba 29, 2025 wameachiwa huru, kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.