rais

  1. Sifi Leo

    Chalamila umeisikia KAULI " sisi tunaichukia Serikali"? Msaidie Rais kumjuza ukweli

    Akizungumza mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila hivi karibuni, Elias ametaja changamoto kadhaa zinazowasibu kwenye eneo hilo ikiwemo mrundikano wa mizigo mingi kupita uwezo, suala la rushwa na kukosekana kwa choo. Mzungumzaji ni Elias Jonas Mwang'ingo ni Dereva wa Lori...
  2. The only

    RAIS MWINYI: Jina lako linapolomoka umaarufu kwa mradi usionatija wa MABASI

    Baba! Baba! Baba! Nimekuita mara tatu,hakuna mtu kajijengea jina zuri kwa marais ukiondoa Muasisi wetu karume kama wewe ,yaani Mheshimiwa umempiku mpaka Mzazi wako .Nia yako imethibitishwa hadharani wewe unaitakia mema Zanzibar ,toka ukanyage ikulu sijawahi kuona kasoro yako makuu ulofanya hata...
  3. Kamanda Asiyechoka

    Kama kada wa CCM anatekwa na kuumizwa alafu Rais na mwenyekiti wa CCM yupo kimya, utekaji na mauaji havitaisha

    Watu wengi tulitarajia atoe hotuba kali sana kupinga haya masuala ya utekaji na mauji. Lakini hata alipo uliwa Mzee Ali Kibao, rais alitamka kifo ni kifo tu👇
  4. Ponjoro wa Kinondoni

    Kwenye katiba Mpya Rais wa Nchi atokee Yanga.

    Tundu Lissu ni Yanga, Mwalimu Nyerere ni Yanga. Tafadhali sana, katika mabadiliko ya katiba ya nchi, Rais atokee Yanga tu.
  5. Zack Abdul

    Rais Tshisekedi atua Tanzania kuimarisha uhusiano

    Rais Tshisekedi atafanya ziara ya siku 3 nchini Tanzania kuendelea Kuimarisha Uhusiano wa Kihistoria na Ushirikiano wa Kikanda Ujio wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Félix Tshisekedi, nchini Tanzania kuanzia Agosti 17 hadi 18, 2026, kwa mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan...
  6. Soul21

    Bashe alimchoma Mpina mbele ya Rais huku nyumba uhalifu ulifichwa?

    Nakosa majibu kati ya Bashe na Mpina nani alikuwa mwalifu? Nimekosea heading!!
  7. L

    Kwa Nguvu Na Ushawishi Alionao Rais Samia Kwa Sasa Ipo Siku Marekani Atakuja Kulalamika kuwa Tanzania Imeingilia Uchaguzi wao na Kupanga Matokeo .

    Ndugu zangu Watanzania, Mti Wenye Matunda ndio Hupigwa Mawe . Tanzania ya Rais Samia Ndio Lulu Ya Afrika, kwa Sasa ndio Taifa ambalo lina uwezo na nguvu ya kuzungumza na likasikika na kusikilizwa . Ndio Taifa lenye ushawishi na uwezo wa kushawishi na kuungwa Mkono na Mataifa mengi. Tanzania...
  8. L

    Rais Samia Ameongeza Ushawishi Wa Tanzania Barani Afrika na Duniani Kote Kwa Ujumla wake. Ingekuwa Ni Nchi Ndiye Angekuwa Rais Wake

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Kwa sasa Tanzania ndio Habari ya Mjini Barani Afrika,Ndio Jina linalotamkika midomoni Mwa Wa Afrika. Ndio Nchi ambayo kila mtu anatamani kuitembelea na kufika na ndio sababu ya kuona ongezeko kubwa sana la idadi ya watalii wanaokuja kutalii na na hata...
  9. Idugunde

    Dk Muchunguzi uchawa wote kusifia uovu wa CCM ni kwa sababu alisoma na Rais Samia. Taifa letu halitapata wasomi kama akina Sengondo Mvungi (RIP).

    Taifa linakuwa na msomi kama huyu Dk Denis Muchunguzi litafika mbali kweli? Msomi mzima anajikomba badala ya kueleza ukweli na uhalisia wa siasa mbovu zinazoendelea nchini. Wasomi kama akina Dk Sengondo Mvungi hawatatokea tena. Hawakujikomba wala kujipendekeza.i Dk Denis kusifia uovu wote wa...
  10. Roving Journalist

    Patrobas Katambi: Rais Samia yupo sahihi kuunda Tume 2 za Oktoba 29

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema uamuzi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuunda Tume ndio utaratibu wa Sheria za Kikanda na Kimataifa ambapo ametoa mifano ya nchi mbalimbali zilivyounda tume za kuchunguza masuala yaliyotokea katika nchi zao.‎ Ameyasema hayo alipokuwa...
  11. F

    Undumilakuwili huu wa TEC na Kitime mpaka lini?

    KITIMA, TEC NA KIKAO NA RAISI: UNAFIKI HADHARANI Padre Kitima anadai TEC wamemtuma atueleze kilichojiri. Kwanza sijui nani alimwambia watu wa Imani isiyo yake wanataka awaeleze shughuli yao? Mbona hatuwasikii Anglican, BAKWATA, KKKT na wenzao wakitueleza mambo Yao kama Taifa? Hii ni moja ya...
  12. Nyani Ngabu

    Seriously, hivi Samia ni Rais kwa mujibu wa uchaguzi gani?

    Hivi huyu Samia ni Rais kwa mujibu wa uchaguzi gani? Wote tunajua Oktoba 29 hakukufanyika uchaguzi. Wote tunajua tume ya uchaguzi ilitangaza matokeo ya uongo. Wote tunajua Samia hakupigiwa kura na watu milioni 31 kati ya milioni 32 waliodaiwa na tume kuwa walijitokeza kupiga kura. Wote...
  13. R

    Briefing ya TEC na Rais by Fr. Kitima

    Sikiliza
  14. Idugunde

    Kada wa CCM amwambia wazi rais Samia, haogopi kutekwa wala haogopi mtu

    Kada wa CCM kachafukwa👇 Pia Soma: Wakili Dkt. Masoud: Video iliyowekwa kichwa cha habari kuwa: 'Kada wa CCM amvaa Samia, hatukuogopi wewe Siyo Mungu' imepotoshwa
  15. The Palm Beach

    Mzee Joseph Butiku, Respect is not granted like a cake on the plate. Respect for public leaders is earned!!

    Wazee kama hawa wanatukosea sana vijana. Tukiwakosoa, wanatuona hatuna adabu wala heshima kitu ambacho sio kweli kwa sbb wao ndio wakekosa kujiheheshimu ili na jamii iwape heshima yao.. Laiti angejua kuwa heshima hapewi mtu kwa sababu tu ya umri wake au cheo chake, basi asingeweza kutoa...
  16. Zee la madawa

    Nilimnyima siti mtoto wa Rais Rutto( Charlene)

    Week hii miongoni mwa story kubwa mitandaoni ni kuchumbiwa kwa mtoto wa Rais Samuel Ruto na ndugu yetu wa kitanzania Isaya Yunge. Kupitia story hiyo nikakumbuka kisa changu cha sekunde kadhaa na binti huyo. Mwaka 2023 October nilikwenda Mombasa kushiriki mkutano mkubwa wa program ya...
  17. K

    Mkutano wa TEC na Rais Samia Ikulu Chamwino: Je, ni Toba ya Kweli na Kukiri Makosa ya Serikali, au ni 'Geresha' la Kisiasa Kupoza Nyoyo?

    Wakuu wa jukwaa hili, Mkutano wa tarehe 10 Agosti 2026 kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) huko Dodoma haupaswi kuchukuliwa kama kikao cha kawaida cha kunywa chai na kupiga picha za tabasamu za Ikulu. Huu ni mkutano uliogusa donda ndugu la taifa letu...
  18. Etwege

    Hukumu ya kifo kwa Rais wa Syria inatuma ujumbe gani kwa wahusika wa October 29?

    #HABARI: Wakazi wa mji wa Idlib nchini Syria wamekusanyika kusherehekea baada ya mahakama kumhukumu kifo Rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al Assad. Mahakama moja nchini Syria imemhukumu kifo kwa kutokuwepo rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al-Assad, kwa makosa yanayohusiana na uhalifu...
  19. C

    Hawa mashabiki wa Simba wanaosema wakawashitaki viongozi wao kwa Rais Samia wana akili kweli?

    Nasikitika kusema kuna mashabiki maarufu kama influencer wa Simba hawana akili timamu na nikama hayawani mmoja anaitwa nyumbu. Rais Samia ndiye huyu mlimzomea kwenye Simba day mwaka jana,leo mnajitoa akili eti mnaenda kushitaki viongozi wenu? Nyumbu ni mnyama ambaye akikimbizwa na Simba na...
  20. Sifi Leo

    Mtu kwao bhana! Tabasamu la Rais Samia akiwa zenji, hajawai lionesha akiwa bara tangu alipoapa kuwa Rais, nais lipo jambo.

    Mwenyezi Mungu Baba alituumba kwa mfano wake yeye mwenyewe, hii sio KAULI yangu ni ya Mungu mwenyewe, nenda kasome maandiko matakatifu. Sambamba na kufanana nae, pia alimpa mwanadamu akili za kutawala viumbe vyote ILA hapo si kwamba ukiwa Rais UNAKUWA na akili kuliko mpaka viumbe wenzako yaani...
Back
Top Bottom