Yani kwa sasa hata jambo dogo tu anajisikia tu kusema nakuweka miezi sita na hutoki hata aje nani.
Hii nchi kwakweli tumefika pabaya sana, hili kundi la polisi hili itafutwe tu namna ya kushughulika nalo maana sasa hawa wamesha kuwa ni watesi wa raia kabisa, wababe hata katika mambo ya kawaida...
Katika juhudi za kuimarisha usalama, Umoja wa Umbwe Sinde Community umeandika historia mpya ya maendeleo ya kijamii kwa kuchukua hatua madhubuti za kuboresha usalama na huduma za afya kwa wakazi wa eneo hilo, baada ya kukamilisha ujenzi wa Kituo cha Polisi Kibosho.
Umoja huo umefanikiwa...
Sometimes unaweza kusema tofauti yao ni uniform tuu
Mwaka 2005 vibaka/wezi waliruka ukuta wakavunja mlango wakaiba jikoni na sebuleni kisha wakaenda kufanya karamu kwenye gari
Kulipokucha nikaenda police kuripoti, baada ya mahojiano askari akanijulisha kuwa wezi wangu wanatoka eneo fulani...
Polisi wameua watu 4 kwa siku moja.
Sasa hivi Polisi wanachukulia Binadamu kama kuku. Wanakuua muda wowote wanapojisikia na hakuna cha kufanya.
Na ukienda kufuatilia, uliyeenda kufuatilia unauawa pia.
Nchi haina mwenye.
Watu wanne wanaodhaniwa kuwa majambazi wamefariki dunia wakati...
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesimulia kisa cha mkazi wa Arusha ambaye amelizwa kiasi cha takriban Sh600 milioni na kijana aliyemuamini akamchukulie mkopo.
Kutokana na kisa hicho, Dkt. Mwigulu amemuagiza Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Justine Masejo, kijana huyo apatikanae na ikiwezekana ukoo...
Kuna mapolisi wengine ni wana hofu na mungu ila ni ngumu kuwaona na wanapigwa vita.
Nakumbuka kuna mkuu wa kituo pale magomeni alikuwa mtu wa swala tano ,yani hataki kuona mtu kaonewa ila walimuondoa.
Kwa mambo ya ajabu yaliopo hapa tanzania mlitakiwa nyie muoneshe mfano sio kuwafurahisha...
Simbachawene analeta usanii. Yuko pale kwa vile polisi ni makatili. unadhani ataweza kufanya reforms?
BILA pressure ya wananchi na external pressure hakuna kitu!
Time will tell!
Anaandika Liberatus Mwang'ombe
Mpaka uzi huu unapanda hewani, jeshi la utekaji la polisi hawajatoa kauli yeyote
UPDATE
Mdogo wake Thadei Kweka aitwaye JB Kweka, kupitia Club House amethibitisha kutekwa kwake. Ameeleza zaidi kuwa polisi wamekiri kumkamata. Tukio la kukamatwa kwake limejiri...
Nimeona hii clip ya mchekeshaji Crazy Kennar, inaakisi hali halisi ya jeshi la Polisi ambapo askari wamejikuta wakiwatumikia wanasiasa kufanikisha mambo yao huku lenyewe likiendelea kulalamikiwa na kudharauliwa.
Hakuna mtu anayepinga kuwa kulitokea uhalifu kipindi watu wanaukataa utawala wa Rais Samia ile oktoba 29.
Lakini swali la msingi je hawa wahalifu walikuwa na siraha za kivita? Shoot to kill ikatokea na watu wengi wakapoteza maisha.
Polisi wamechukiwa na wameonekana hawana mioyo ya kibinadamu...
Nimeona kwa wenzetu kenya wana idara inajitegemea inaitwa Independent oversight authority (IPOA).
Kama polisi watafanya makosa basi wanaweza nao kuchunguzwa na kukamatwa na hiyo idara.
Ila hapa kwetu malawi sasa yani polisi anakufanyia makosa alafu na yeye anaomba ulete ushaidi wa kosa.
Mh. Waziri,
Soma mkasa huu kwa makini na uweze kujua haswa watanzania wanataka Nini kuliko kuanza kuwahubiria kuhusu maboresho mnayotaka muyafanye kwa Jeshi la Polisi.
Mnamo tarehe 29 Oktoba - 03 November, 2025 Kuna familia zilishuhudia wapendwa wao wakikamatwa na Jeshi la Polisi na...
DeletedMember281674
Thread
jeshi la polisi
mambo ya ndani
mtu
polisi
wananchi
watanzania
Nimepokea ujumbe wenu WA kunitaka niwape USHAIDI kama kweli Nini najua kabla na baada ya uchaguzi kilichagiza machafuko?
Kwanza niwambie siji.
Pili niwambie nawajua nyinyi ni watii wake huyu RAIS.
TATU nawasaidia nendeni kwa chacha awaeleeze alivyokamatwa ndo mtajua yakuwa tarehe 29 nchi YETU...
Mmetoa pongezi kwa wananchi kuwa wametunza amani.
Ukweli ni huu: Watu bado wanatafakari the way forward baada ya vifo vya watu 10,000 ( as per current unconfirmed testaments).
As long as hamjatenda HAKI, basi hakuna AMANI watu wamepoa kidogo wanatafakari what next!
HAKI HAKI HAKI then AMANI...
Ni tukio la dakika tano.
Kuna raia amegongwa kama sio na polisi waliopo doriaa hapo majani ya chai itakuwa ni Jeshi maana wote wapo eneo la tukio na wanauzoa mwili na kufuta futa damu Ili kupoteza ushahidi.
Tafhadhali mpelekeni hosptali huyo Mtanzania haraka sisi jirani tunawaona kwa madirishaa
Jeshi la polisi mkoani Tabora limewahakikishia wananchi ulinzi na usalama katika sherehe za Krisimasi na Mwakampya..
Akizungumza na Waandishi wa habari leo Disemba 24, 2025 Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora,Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa polisi, Richard Abwao amesema jeshi la polisi litaendesha...
Ina maana polisi wamekuwa daraja ambalo wao ndio mahakama sasa,walikuwa wana jificha ia wapo wazi.
Wanaweza kukamata mtu bila kumpa maelezo kosa lake,wakakushikiria watakavyo,wakaomba pesa kama msamahaa,wakaamua ufe au wakufanye chochote,wakaamua kukupeleka gerezani kama ni sehemu yao,wakaamua...