polisi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Polisi msiuingie mtego wa kuzuia maandamano ya 9D ama kwa makusudi au kwa bahari mbaya.

    Wenzenu watakuwa nje ya nchi na familia zao wakiwaangalia kwenye TV, wakati ninyi mnapambana na raia ambao hata baada ya masaa ya kazi mnaenda kuishi nao huko mitaani. Mwenye masikio na asikie. Tarehe 9D siyo siku ya utani. Polisi atakayeliona onyo hili amtaarifu na mwenzie.
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chalamila: Nimeona watu wanaenda mikoani,huu ni msimu wa sikukuu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa watu wanaosafiri kwenda mikoani ni jambo la kawaida linalotokea kila mwaka, na si kitu cha kushangaza au kuhusishwa na sababu nyingine. “Naomba niwaambie kitu kimoja: kama kweli kuna adui, atakuwa amefanikiwa endapo atagundua kuwa...
  3. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya 9 December 2025

    Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Desema 9, 2025, likisema kuwa yamekosa sifa za kisheria za kuyaruhusu kufanyika, ikiwemo kulenga uvunjifu wa amani. Aidha, Jeshi la Polisi limesema hakuna barua yoyote iliyofikishwa au kupokelewa ya kutoa taarifa ya kufanyika...
  4. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi yapiga marufuku maandamano ya Disemba 9

    Jeshi la Polisi Tanzania limepiga marufuku “maandamano ya amani yasiyo na kikomo,” yaliyotangazwa kufanyika Desemba 9, 2025, likisema yamekosa sifa za kisheria na yanaashiria mipango ya uhalifu unaoweza kuhatarisha usalama wa taifa. Katika taarifa iliyotolewa Desemba 5, 2025 na Msemaji wa Jeshi...
  5. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mange alituaminisha kuwa Oktoba 29 kuwa Jeshi na polisi wote wapo kwetu sisi tutoke tu kisha wao wamalize

    Mzuka wana Jamvi ? Nakumbuka siku karibia na October 29 Mange alituhakikishia kuwa tusiliangushe Jeshi na kwamba vyombo vya usalama Jeshi na polisi hawapo pamoja na Rais Samia na wanatumia message maofisa wengi na Askari wakimtaka awaaambie Watanzania watoke kwa wingi wasipoteze hii nafasi wao...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nani anawapa mamlaka Polisi kuweka namba zisizojulikana kwenye gari zao binafsi?

    Mfano hii unayoiona hapa ina zaidi ya miaka mitatu ina NAMBA HIZI. Gari hii iko Mwanza. Kuna gari binafsi za polisi kwenye Boot (buti) unakuta kuna NUMBER PLATES nne mpaka tano tofauti. Za nini? Za kazi gani? Kwanini kwenye gari binafsi? Tunaomba serikali ifuatilie jambo hili, linatupa...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Niffer kama kweli kaachiwa huru, kwanini gari lilomchukua lilikuwa na Polisi wa kike na hapo hapo kaitishiwa Vyombo vya Habari

    Haya ndio mweshimiwa lissu aliyakataa yani utoke kwa makubaliano kisa mkubwa na sio mahakama. Angalieni video vizuri ya niffer ambayo unaona alivyotoka mahakamani bado yupo na mapolisi na usalama. Hii script ya CCM kusema raisi kawa na haki ni uwongo.
  8. Pakome

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kupitia taarifa hii iliyotolewa na Jeshi la Polisi, itoshekusema kuwa vijana wa Gen Z wanachokitafuta watakipata

    Swala la vijana wa Gen Z kujihusisha na matumizi ya silaha pamoja na nia ya kuharibu Uchumi wa Taifa kama taarifa hii ilivyotolewa na Jeshi la Polisi inadhihirisha kuwa vijana hawa ni wahalifu na sio waandamanaji wala wazalendo wa Taifa lao Hakuna mzalendo wa Taifa lake anayepigania haki kwa...
  9. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Waarabu wa Chakechake wameshaanza kutuma meseji za Ki-Polisi kwa wananchi

    Inaonekana waarabu wa Zenji wameshapewa mamlaka ya kutuma meseji kwa niaba ya Jeshi la polisi. Sharia ndio nini?
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nimesikia polisi wanasema waandamanaji wanaandamani minara D9 kama waliuwa watu hawashindwi kuharibu minara ili internet izimwe

    Nimesikia polisi wanasema waandamanaji wanaandamani minara Niseme ukweli watanzania hawadai minara wala maandamano hayahuusiani na minara ukisikiona minara imeharibiwa ujue polisi ndio wameharibu kama wameuwa watu kuharibu minara hawashindwi ili kukosekana kwa internet Hata hivyo kuharibu...
  11. Babumawe

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hizi za jeshi la polisi, basi tarehe 9 kazi tunayo

    kauli ya msemaji wa Jeshi DCP David Misime kuhusu mbinu ya waandamanaji juu ya matumizi ya silaha za moto dhidi ya jeshi hilo inaashiria dhahiri zitatembea njugu za kutosha. Na utata zaidi utakuja pale jeshi la polisi walipodai kwamba waandamanaji Wana nia ya kuharibu minara ili nchi ikose...
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Onyo: Polisi hawana mamlaka ya kulinda amani na wananchi ikiwa wanauwa watu sasa wanalinda au ni wauwaji

    Onyo: Polisi hawana mamlaka ya kulinda amani na wananchi ikiwa wanauwa watu sasa wanalinda au ni wauwaji. Polisi watakao ingia mbele ya umma wanaweza kushambuliwa vikali hali inayoweza kuhatarisha maisha yao kutokana na kile kinachoitwa mauwaji ya halaiki waliyo yafanya Anae uwa watu ni...
  13. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Picha: Polisi sharia ni nini ? Hatujazoea hizi lugha huku Tanganyika

    Hii haijatumika kimakosa, tunajua Polisi wanaanza kuingia taratibu kwenye Lugha za Kiislamu, maneno Sharia, Kadhi na mengine itabidi tuyazoee, lakini isiwe ghafla hivi jamani !!!
  14. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Polisi Morogoro: Tumefanya mahojiano na Rasel Mpuya muhadhiri chuo cha SAU, Tumemruhusu aendelea na majukumu yake, uchunguzi ukiendelea

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro katika kutekeleza majukumu yake ya kuzuia na kutanzua uhalifu limefanya mahojiano na Rasel Mpuya Madaha (49), mhadhiri wa chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine na mkazi wa Morogoro. Soma Pia: Polisi Morogoro wamemkamata Muhadhiri wa Chuo kikuu cha SUA Prof. Rasel...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na jinsi Samia alivyowalaumu wazazi wa vijana waliouwawa na Polisi!

    Nimeshangazwa sana na jambo hili. Mimi nilitegemea Samia angetumia wakati huu kulipooza taifa linalopitia wakati mgumu wenye uchungu mkubwa kwa kupoteza vijana maelfu kwa maelfu, lakini cha ajabu mno ni kumwona Samia akiwalaumu wazazi wa vijana waliouwawa eti kwanini hawakuwazuia watoto wao...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia, tafadhali waongezee mishahara polisi, bila polisi Dar es Salaam leo ingekuwa majivu

    TEC na watu wote wapumbavu walitaka jeshi la polisi liache vijana huru kuanzia ile tarehe 29 September mpaka pale ambapo ofisi zote za umma Dar es salaam zingekuwa majivu. Walitaka polisi wawaache vijana wawe huru kupita nyumba za wana CCM na watumishi wa umma wote pamoja na maaskari na kuwaua...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tuhuma za Jeshi la Polisi kuzuia majeruhi wasitibiwe wapelekwe mochwari ni za kusikitisha. IGP lazima ajiuzulu.

    Documentary ya CNN ilitaja tukio hili, Padre Kitima kataja tukio hili, wahudumu wa hospitali walizungumza jambo hili kuwa polisi walikuwa wakiwazuia kuwatibu majeruhi. Hata kama serikali itakana kama kawaida yake lkn hili tukio ni la kinyama sio la kibinadamu kabisa. Hivi leo polisi waliofanya...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima: Rais aliwahi kusema huwezi kuwa Polisi halafu ujichunguze. Kwanini sentensi hii isiongelewe leo?

    Katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania padre Dkt. Charles Kitima amesema kuliwahi kutokea tatizo la polisi Mtwara 'Rais akasema huwezi wewe kuwa polisi umefanya hivi halafu ujichunguze' huku akihoji kwanini sentensi hiyo isiongelewe leo? Pia amehoji serikali kuunda tume ya...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima: Inaonekana kuna chombo chenye nguvu kubwa kuliko Polisi. Demokrasia hakuna, kwanini vijana wasilalamike?

    "Kuna matatizo ya msingi hayajashughulikiwa yamelundikana na tumeamua kuacha kusimama kwenye ukweli watu wanatekwa hakuna solution. Inaonekana kuna chombo chenye nguvu kubwa kuliko polisi wanaopaswa kuzuia utekaji. Vijana wanapoona vijana wanapoona kuna chombo ambacho kina nguvu kuliko...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Polisi Mwanza wakamata wahalifu 12 waliojificha mapangoni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza Iimewakamata na kuwatia mbaroni watuhumiwa 12 wanaodaiwa kuwa wahalifu, wakiwa wamejificha kwenye mapango yaliyomo Mkoani humo, huku wakidaiwa kuwa na vifurushi vya bangi. Akizungumza wakati wa doria hiyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa...
Back
Top Bottom