Hivi sasa unaambiwa kuwa polisi wanatembelea nyumba kwa nyumba kuwajulia hali wananchi.
Pichani: Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Lupakisyo Mwakyusa ametembelea familia ya Mzee Mabile Nunda na Bi. Chambi Licholi wa Kijiji cha Bilulumo, kwa lengo la kuwajulia hali na kusikiliza kwa makini changamoto...
Mwanamume mmoja anayeaminika kuwa na umri wa miaka 40 aliyetambulika kama Mitchell Dopoh amedaiwa kumlawiti Mbuzi na kusababisha kifo cha mnyama huyo.
Kulingana na ripoti, uchunguzi wa awali unaendelea kwa sasa, kwani maafisa wa sheria waliopewa eneo hilo bado hawajatoa matokeo rasmi kuhusiana...
Naibu Kamishna Mstaafu wa Polisi (DCP) Michael Kamuhanda amefariki Januari 29, 2026 majira ya Asubuhi katika Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza alikokuwa anapatiwa Matibabu.
Huyu jamaa alokufa alizaliwa 1954
MY TAKE
Huyu jamaa ndo aliamuru Mwandishi wa Habari wa CHANNEL TEN, Daud Mwangosi...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Award Karonga, ambaye ni kiongozi mwandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa tuhuma za uchochezi na makosa mengine ya kijinai.
Award Karonga, ambaye ni mkazi wa Katumba, anashikilia nyadhifa za Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Rungwe...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Fredrick Mbwambo, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa tuhuma za wizi wa fedha za michango zilizokuwa zikikusanywa kwa ajili ya Mwenyekiti wa chama hicho aliyeko gerezani kwa tuhuma za uhaini, Tundu Lissu.
Kwa mujibu wa...
Kufuatia tuhuma zilizotolewa na Chama cha ACT Wazalendo kupitia mitandao ya kijamii kuwa aliyekuwa diwani wa Kata ya Nyamgali, Majaliwa Abbas Hamis, kifo chake kina utata na kwamba hakikutokana na ajali, Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limesema yeyote mwenye taarifa na ushahidi wa kweli tofauti...
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema:
“Tokea lini katika nchi hii kupanda miti ikawa kosa? Polisi anitajie kifungu chochote cha sheria kinachomruhusu kuwazuia wanachama wa CHADEMA kupanda miti. Tuna sheria ya mazingira...
Kama alivyotoa tamko Jenerali Muhoozi Kabobi atafutwe apatikane akiwa hai au amekufa
Ila nimegundua ukishaitwa Polisi kidogo unakuwa hamnazo yaani zinafyatuka, hapo wakiulizwa mnamtafuta kwa kazi gani na wao watajibu ni order ya Jenerali
Waziri Mkuu, Dk.Lameck Nchemba ameagiza kubadilishwa matumizi ya fedha za vinywaji, kalenda, sherehe na zawadi kisha zielekezwe kwenye miradi iliyokwama ili kuongeza mapato ya wananchi.
My observation; Ufisadi uliokithiri kwa was kubwa serikalini anauacha anakuja kikimbizana na bidagaa!
Leo asubuhi nimekutana na video mbili zinazosambaa sana mitandaoni ambazo kwa kweli zinahuzunisha na kusikitisha. Video hizo zinaonyesha vijana wawili wakipigwa vibaya kwenye miguu yao kwa kutumia mpini, hali inayoonekana kuwa ni mateso ya kikatili yasiyo na utu.
Kwa sasa, haijulikani tukio...
Mwandishi wa Sky News anayehusika na masuala ya Afrika, Yousra Elbagir, pamoja na timu yake, wamekamatwa na vyombo vya usalama vya Uganda baada ya kunaswa wakirekodi askari wa polisi na jeshi wakipiga na kuwatesa wafuasi wa kiongozi wa upinzani Bobi Wine.
Hivi karibuni Yousra Elbagir alimfanyia...
POLISI WAKANUSHA TAARIFA YA KUCHOMWA KWA NYUMBA YA ASKARI ARUSHA.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limekanusha taarifa inayosambaa katika mtandao wa kijamii ikieleza kuwa nyumba ya kiongozi wa Polisi Mkoani humo imechomwa moto.
Akitoa taarifa hiyo leo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Kamishna...
Wananchi wa Mkoa wa Geita wamehimizwa kuacha tabia ya kuwaogopa askari polisi na badala yake wawaone kama ndugu wanaowalinda, si maadui.
Wito huo umetolewa na Kamishna wa
Polisi Jamii Tanzania, CP Faustina Shilogile, katika mkutano na makundi mbalimbali ya jamii wakiwemo waandishi wa habari...
Siku chache baada ya mahabusu Michael Rambau (18), kudaiwa kujinyonga ndani ya Kituo Cha Polisi Kati-Moshi, mkoani Kilimanjaro, waombolezaji waliokuwa wamekusanyika leo nyumbani kwa wazazi wa marehemu huko Rau, Manispaa ya Moshi ili kushiriki ibada ya maziko yake, wanadaiwa kumfukuza na kumzomea...
https://www.youtube.com/watch?v=-ZZrAoiAmqc
Uchunguzi wa DW umebaini ushahidi wa kuaminika unaoonyesha kuwa vikosi vya usalama vilitumia nguvu za kikatili dhidi ya raia wakati wa vurugu zilizofuata uchaguzi wa Oktoba 29 nchini Tanzania.
Maandamano yalizuka katika miji mikubwa ikiwemo Mwanza...
baada
dw yathibitisha aina ya risasi
hapo
jeshi
jijini mwanza
kichwa
kumkamata
mauaji
mauaji ya oktoba 29
mpya
mwanza
oktoba
oktoba 29
polisi
risasi
ushahidi
wambura
Baada ya kudaiwa kuwa Mgombea Urais Bobi Wine amechukuliwa na vyombo vya usalama na kupelekwa kusikojulikana hapo jana, Solomon Kampala ameandika kupitia mtandao wa X kuwa alifanikiwa kutoroka wakati wa shambulio la polisi na Wanajeshi wa UPDF waliokuwa wamezunguka makazi yake na kuzuia kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.