polisi

  1. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Intelijensia ya Polisi inafanya kazi wakati gani? Kwanini magari kama haya yanatembea Dar bila Sheria kuzingatiwa?

    Kimsingi, Tanzania haina namba za usajili zenye herufi O. Ni ajabu kuona gari hili linatembea jijini Dar na hakuna wa kuligusa. Bado mnaamini tunafuata utawala wa sheria? Au the so called “hakuna aliye juu ya sheria”?
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natembeya Adai Walinzi Wake Wameondolewa kwa Mara ya Pili, Ataka Majibu Kutoka kwa Mkuu wa Polisi

    Gavana wa Trans Nzoia, George Natembeya, ameibua wasiwasi baada ya kudai kuwa maafisa wa polisi waliokuwa wakimlinda wameondolewa kwa mara ya pili, huku akiitaka Idara ya Kitaifa ya Polisi (NPS) kutoa maelezo rasmi kuhusu uamuzi huo. Katika taarifa aliyotoa Alhamisi, Oktoba 15, 2026, Natembeya...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mvutano Kwenye Magari: Dereva Amtimua Polisi Aliyetua Ndani Bila Kitambulisho

    Tukio la kipekee limewashangaza wengi baada ya video kusambaza ikionyesha mzozo mkali kati ya dereva na afisa wa polisi aliyekuwa ameingia ndani ya gari la dereva huyo bila kufuata taratibu zinazofaa. Katika video hiyo, dereva huyo alionekana wazi akiwa amekasirika, akimtaka afisa huyo wa polisi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Makonda awashukia wananchi wanaotaka polisi wasipongezwe

    Hata polisi amejitahidi polisi amejitahidi kuokoa... Ah... Naomba nisikilizeni jamani. Mimi nachukua kile kilichonyooka. Mimi niko kwenye ukweli. Hatuwezi kuwa jeshi la polisi limefanya kazi ya maana kuokoa maisha ya watu hamtaki kusikia. Ila wangekosea wakafa mngekuwa wa kwanza kuanza kwenye...
  5. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Polisi na wanajeshi siku hizi hata kuvaa nguo zao wanaona kama wanazaraulika.

    Miaka ya nyuma ukiwakuta kwenye uniform zao unapata msisimuko sana. Ila wao wamekuwa na aibu tokea October 29. Wengine mpaka wamefikia kuto jionesha kazi zao.
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa sana! Kumbe na Polisi wakifiwa Wanalia! 🤔

    Salaam Wakuu, Najua hakuna ambaye amesahau mauaji ya 29.10.2025. Watoto wetu waliuawa kama nzi. Mawazo yangu nikawaza labda polisi hawafiwi wala hawaumii mtu akif kutokana na mafunzo wanayopewa ya kuua. Nimeshangaa kuona Polisi wanalia wakati wa kuaga miili ya wenzao? Hivi ni kweli walikuwa...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watu zaidi ya 30, wakiwemo Askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki Dunia katika ajali Morogoro

    Watu zaidi ya 30, wakiwemo askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki dunia na wengine 37 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro. Akizungumzia ajali hizo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Andrew Kantimbo, amesema ajali ya kwanza imetokea eneo la...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Polisi ni mali ya Nani? Kabudi Vs Chacha.. Watanzania wanawatizamaaaaaa

    .
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tukio la kukamatwa kwa Wananchi katika Hospitali ya Selian Arusha kwa utaratibu wa ajabu kabisa

    Jioni ya tarehe 6, askari polisi waliovaa nguo za kiraia walifika katika Hospitali ya Selian jijini Arusha na kumtoa wodini kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Lobulu Masiaya Tome. Baada ya kumpeleka katika eneo la mapokezi la hospitali hiyo, walimpiga pingu, wakampandisha kwenye gari na...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya wanafunzi Ufaransa: Kama ingelikuwa hapa polisi wangelikwisha UA over a million students!

    Mwanafunzi Mmoja tu ndiye kapoteza mkono. Hakuna maiti hata moja ie hakuna aliyepotea maisha... Hapa kwetu zaidi ya milioni wangelikuwa maiti!
  11. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Aunt Ezekiel azua taharuki Muonekano wake kwenye Movie mpya 'REHANI'

    Muigizaji Mkongwe Nyota Kwenye Kiwanda Cha Filamu Tanzania Aunty Ezekiel amezua taharuki leo kwa muonekano mpya akiwa amevaa mavazi ya Magereza na amenyoa kipara. Siku ya jana Oktoba 6, 2026 kuna video pia ilisambaa mtandaoni akionekana anakamatwa na Polisi lakini hekaheka zake zote leo...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kauli za Mwenyekiti BAVICHA Taifa Deogratius Mahinyila zamponza, aitwa polisi kwa mahojiano

    👉 Vyama vya siasa nchini Tanzania vinapaswa kufanya shughuli zao ndani ya mipaka ya sheria na kanuni zilizowekwa. 👉 Kiongozi yeyote wa kisiasa anapotoa kauli za uchochezi au zinazokiuka sheria za nchi, lazima awajibishwe kisheria. 👉 Kuitwa kwa Kiongozi wa Chadema Deogratias...
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wastaafu TISS, JWTZ, POLISI na vyombo vikuu vya Ulinzi na Usalama-hali hii inawatia ya nchi aibu kubwa!

    Sijui wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama waliostaafu wanajisikiaje sasa hivi kwa hali ya nchi , siasa zake na usalama wa nchi kwa ujumla. Hali haitii moyo kabisa. Viongozi wa sasa ni maslahi binafsi kwanza, nchi baadaye. Kula kwa urefu wa kamba. Vyombo nilivyovitaja vilikuwa na viongozi wake...
  14. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Maandamano Makubwa Yazuka Ufaransa na Spain huku Polisi wakitukia Nguvu kubwa kuyazima. Je, huko hakuna Katiba Mpya na Demokrasia wanayodai CHADEMA?

    Miaka ya karibuni Chadomo wamekuwa wakidai kwamba CCM imeshindwa kuleta maendeleo Kwa sababu eti kisa hakuna Demokrasia na Katiba Mpya kama Ulaya. Na kwamba Katiba Mpya as per Chadomo ndio muarobaini wa matatizo na huko Ulaya na USA hakuna shida kabisa Kwa vile Wana Demokrasia na Katiba nzuri...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania, wakamateni Dotto Magari na Dudu Baya muwashikilie kwa muda. Mbona Tanzania tunaenda kuwa taifa la kijinga kiasi hichi??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Juzi hapa Waziri Katambi aliwaita baadhi ya wasanii akiwemo Dudu Baya na Dotto Magari. Dotto alienda, Dudu Baya akagoma. Dotto alipewa somo la maadili mema, Dudu baya akapewa summons/arrest warrant ya Polisi. Dudu Baya hakukamatwa, Dotto Magari akaachana na somo la...
  16. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Tulipiga kelele za wezi kuzuia tukio lililoonekana ni la utekaji, nashangaa tumeitwa Polisi kwa ajili ya tukio hilo

    Jumamosi, katika eneo la Manzese, karibu na kibanda changu cha chipsi, kulitokea tukio ambalo lilitutia wasiwasi sisi tuliokuwa eneo hilo. Kulikuwa na bodaboda mmoja aliyesimamishwa na watu waliokuwa kwenye gari aina ya Noah. Mwanzoni, sisi tuliokuwa pale kijiweni hatukuhisi kwamba kuna jambo...
  17. McLaren

    JamiiForums Tanzania Polisi: Tunamshikilia mkazi wa Basutu kwa kumjeruhi na kumpiga kwa nyundo Stanslaus Richard maeneo ya miguuni na magotini

    Jeshi la Polisi mkoani Manyara linataarifu umma kuwa linamshikilia Samson Gichochi (32), mkazi wa Basutu Wilaya ya Hanang' Mkoani hapa kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kumpiga na nyundo Stanslaus Richard maeneo ya miguuni na magotini. Taarifa za awali za tukio hilo zinaonesha mtuhumiwa alifanya...
  18. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Yule wa kigamboni alivutwa Nyeti(pumbu), na mkewe akamripoti polisi, na polisi walimpuuza, huyu wa Bunju A alitishiwa bastola akaripoti polisi,wakampu

    Jeshi la polisi linaendelea kuingia katika kashifa mbaya dhidi ya matukio ya mauaji yanayoendelea nchini Tanzania. Awamu hiii ukiondoa ile ya kigamboni ambapo, bwana mmoja alivutwagwa pumbu, na mkewe mbele ya Mama yake mzazi, akaenda akaripoti polisi na polisi walimpuuza kwa kumpa maneno ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Chondechonde: Watanzania ninajua mnahasira kali juu yaliyotokea Oktoba 29. Punguzeni makali ya vibuyu dhidi ya polisi

    Elekezeni mashambulizi na kwingineko👇
  20. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Polisi : Marufuku Bajaji kubeba abiria siti ya Mbele.

    Sheria ipo, polisi hapa anakumbushia tu, abiria wa bajaji ni 3 tu, hao wanaozidi wakipata ajali bima haiwatambui. Bajaji kalipa LATRA kubeba abiria 3 u, wewe unayeongezea untafuta balaa tu. Bajaji zote zinazopata ajali na bairia mbele, hakuna anayepona , sababu, derev anakuwa kashikilia...
Back
Top Bottom