polisi

  1. M

    JamiiForums Tanzania AI yafika Polisi, wagoma kubaki nyuma kiteknolojia. wafyatua maudhui kuzuia upotoshaji kuhusu kifo cha Msemaji wao, Misime

    AI yafika Polisi, wafyatua maudhui kuzuia upotoshaji kuhusu kifo cha Msemaji Misime Hapo awali walitoa tangazo la kukanusha posta ya kugushi iliyokuwa ikisema Msemaji wao Kafariki.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuanzia Leo Septemba 29 boda boda na bajaji wasiofuata sheria kubanwa na Polisi

    Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limeanza operesheni maalumu ya kuwabana waendesha bodaboda na bajaji wanaokiuka sheria na kanuni za usalama barabarani. Operesheni hiyo, inayoanza Septemba 29, 2026 na kutekelezwa nchi nzima, inalenga kuongeza utii wa sheria na kupunguza makosa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Atoweka tangu Mei 12, 2026, mke aripoti Polisi, adai kuna mtu amemwambia mumewe ametekwa na “Mtu Mkubwa”

    Mariam Vincent Mahimbo, mkazi wa Buza, Chama Yombo, Temeke amekuwa akimtafuta mume wake, Ally Nanjasye kwa zaidi ya miezi mitatu tangu alipoondoka nyumbani Mei 12, 2026, baada ya kupigiwa simu na dereva wa bodaboda aliyemweleza kuwa alikuwa na kazi ya kwenda kuiona. Mume ambaye alikuwa...
  4. makpridash

    JamiiForums Tanzania Hawa trafiki polisi wanaposimamisha daladala wanataka nini

    Nimepanda daladala uelekeo flani yaani daladala imepigwa mkono mara 7 sijii nini kinaendelea
  5. mirindimo

    JamiiForums Tanzania NI RASMI IMETHIBITISHWA JKT, JWTZ NA POLISI NI MALI YA CCM

    Kutokana na kauli ya Kada wa CCM kua majeshi yote ni mali ya CCM na Hakuna jeshi lolote lililokanusha mpaka sasa, hivyo imethibitika kua majeshi yote ni mali ya CCM
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri na wakuu wa idara kuwekwa Selo na Mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Ng’wilabuzu Ludigija, kwa kutoshiriki zoezi la usafi

    Mkuu wa Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, Ng’wilabuzu Ludigija, amemuamuru Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo pamoja na Wakuu wa Idara wote kuripoti kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) kufuatia kukaidi kwao mara kadhaa agizo la kushiriki katika zoezi la kufanya usafi wa mazingira wilayani humo.
  7. Son of Israel from Africa

    JamiiForums Tanzania POLISI ,JWTZ, TSS NA VYOMBO VYOTE WAJE WAKANUSHE MANENO YA MDUGU CHACHA KAMA.SIO.KWELI

    Ndugu Familia salamu kwnu nyote bila.kujali itikadi zenu za Kisiasa ,Kodini,nafasi zenu kiukwasi na hata kikabila na ukandaa. Jana jioni nimepata nafasi ya.kimsikiza Ndugu Chacha huko Iringa ameongea mambo mengi ikiwepo utenguzi wa aliyekuwa katibi wa Ccm Iringa sema sio hoja yangu Hoja...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Afrika Kusini waanzisha msako baada ya watu 17 kuuawa katika shambulio la risasi klabuni

    Polisi nchini Afrika Kusini walisema siku ya Jumapili Septemba 27, 2026 kuwa wameanzisha msako mkali baada ya watu 17 kuuawa katika shambulio la risasi usiku wa Jumamosi Septemba 26, 2026 kwenye kilabu cha pombe (tavern) katika mtaa wa Wedela, kusini magharibi mwa Johannesburg. Huduma za...
  9. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Polisi wa India wanagonga kwelikweli.Mtuhumiwa anagongwa huku akipelekwa alipotendea uhalifu

    Mtuhumiwa anafungwa kamba anapelekwa eneo alilofanyia uhalifu huku akigongwa kweli kweli.ngekuwa bongo hii sijui ingekuwaje
  10. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Hoja za Dudu baya zinashinda gani? Kwanini walengwa hawapeleki mashaka yao polisi?

    Kila nikijifikiria issue ya Dudu baya, naona kabisa ni yuko sahihi Maana washtakiwa wote wanaishia kuomba radhi na kutaka yaishe Ila serekali inaingilia kati, hasa hawa basata kama wa kina nani wakati wahusika na wanaozushiwa chakula hawasemi lolote? Hii inathibitisha kuwa jamaa anapiga...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Video: Polisi adaiwa kumuua mwananchi kwa risasi Kilosa

    Kaka Mwaipaya habari. Hapa ni Kilosa Morogoro Polisi amempiga mwananchi risasi kama unavyoona tunaomba utupazie sauti, huyu sio mwizi Bali ni raia mwema, kinachotuumiza ndugu yetu amepoteza maisha, tulimpeleka hospital wakasema tupeleka PF3 ya Polisi kwenda Polisi, Polisi wakakataa kutoa PF3...
  12. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Polisi wamfunga pingu mwananchi na kumuacha aendenazo nyumbani

    POLISI WAMFUNGA PINGU MWANANCHI NA KUMUACHA AENDENAZO NYUMBANI. Kijana mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Giles George Mkazi wa Wilaya ya Nkasi amelalamika kufungwa pingu na askari wawili wa Jeshi la Polisi (Majina Kapuni) kwa siku tatu, kuanzia Jumamosi Septemba 19 hadi Jumatatu...
  13. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Dodoma Labaini Raia Aliyedhaniwa Kutekwa Alikimbia Madeni na Kwenda Kahama

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limetoa taarifa kwa umma kufafanua utata wa kutoweka kwa Mohamed Bakari (28), mkazi wa Mbwanga Wilaya ya Dodoma mjini, ambaye aliripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha mnamo Septemba 17, 2026, na kuzua hofu ya kutekwa. Uchunguzi wa awali wa Jeshi la...
  14. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Polisi waliofariki Singida wameagwa, je, mahabusu waliofariki wataagwa wakimaliza kesi zao?

    Tangu ajali ya gari iliyotokea Singida na kuua mahabusu na askari wanaozungumziwa ni askari tu huku mahabusu hatujui kama wao bado wanaendelea na tuhuma dhidi yao,! Kumbe gari lilibeba watu na mahabusu.
  15. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Polisi na vyombo vya habari wamewekewa filter za kutangaza matukio na idadi ya watu.

    Kutokana na kashi kashi ya October 29 mpaka leo na mambo yanayoendelea bado kidonda kibichi. Serikali ya CCM ilipofikia na kufikia sasa kuzibiti vyombo vya habari na polisi kwenye taarifa,Kwa sasa wamewapangia jinsi ya kutoa taarifa mbele ya wananchi. Kuna habari moja ya boti iliyozama ikiwa...
  16. polokwane

    JamiiForums Tanzania Polisi muwe na aibu mmekuwa waongo kupindukia kwa unyeti wa taasisi yenu hamkupaswa kuwa waongo hivyo, dereva tu anapata wapi ujasiri kuteka?

    Hao ni wenzenu hao wa kitengo cha utekaji dereva wa kawaida hawezi kujiwekea namba za kiusalama kienyeji tu, lakini hana ulazima wa kuwa na bastola toy yeye ya nini? Halafu dereva tu anaoata wapi nguvu ya kutaka kumteka dereva wa kampuni kubwa kabisa ya usafirishaji ? Halafu awe dereva tuu ...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Polisi maisha yenu ni magumu sana amkeni ,msitumiwe na watawala

    Polisi wetu ni njaa Kali lakini Cha kushangaza watatumika ovyo. ,au elimu ndo changamoto .amkeni amkeni . Ukiambiwa fanya jifanye haujaona au hukuelewa Askari mzima hata nauli ya kwenda kaazini Hauna alafu unabebeshwa libunduki uue raia aisee na Mtatumika mpaka lini Kama Hauna Cha...
  18. Puna

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna mapambano kati ya Polisi na wananchi Tunduru

    Taarifa nilizozipata hivi punde ni kuwa Kuna mapambano kati ya wananchi na Polisi Kijiji Cha Mbesa kata ya Mbesa, Tarafa ya Nalasi,Wilaya ya Tunduru, jimbo la Tunduru kusini. Polisi wanavunja milango nyumba Hadi nyumba kukamata wanaume,wengi wamekimbilia mashambani.Mwenye taarifa Zaidi atujuze...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi: Dereva wa Basi la SATCO alitishiwa na silaha bandia (Toyi), aliyetishia akamatwa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia dereva wa TARURA Wilaya ya Dodoma, Sath John Masawa (31), kwa tuhuma za kumtishia kwa kitu kilichodhaniwa kuwa bastola dereva wa basi la SATCO, Said Fadhili (54). Tukio hilo linadaiwa kutokea baada ya basi hilo lenye namba za usajili T308 EME, aina...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Polisi 5 na Mahabusu 7 Wafariki Duniani Ajalini Singida Wakielekea Mahakamani. Wagongwa na Gari La Mafuta Lililo Feli Breki Mlima Sekenke.

    Ndugu zangu Watanzania, Taarifa ndio kama hivyo ambapo watanzania wenzetu wamepoteza Maisha katika ajali mbaya huko Mkoani Singida . Ambapo Gari la mafuta lililo feri Breki liligonga gari lililokuwa limebeba mahabusu waliokuwa wanapelekwa Mahakamani.
Back
Top Bottom