Ndugu Wadau,
Mnamo tarehe 18 Julai 2026, kati ya saa 2 usiku hadi saa 7 usiku, katika Mji Mdogo wa Ilula, Wilaya ya Kilolo, kulifanyika operesheni ya kukamata wananchi iliyosababisha taharuki kubwa kwa wakazi.
Kilichotokea:
Zaidi ya watu 100 walikamatwa bila taarifa rasmi. Wengi walikamatwa...
Tuanze na:
JESHI LA POLISI TANZANIA.
Wajibu mkuu wa jeshi la polisi kwa jamii ni kulinda maisha ya watu na mali zao. Kazi hii inafanyika kwa mujibu wa sheria ili kuhakikisha amani, utulivu, na usalama vinatamalaki katika nchi.
Majukumu makuu ya polisi kwa jamii yamegawanyika katika maeneo...
Polisi wanachoweza ni kukamata watu wanao panga maandamano tu. Ila usalama wa watu barabarani hawawahusu.
Hampati taairifa za hatari kama hizi ila mnapata za CHADEMA tu, kazi yenu nini sasa iwapo gari kama hili linaloweza kuhatarisha maisha ya watu na mali zao linatembea barabarani.
Mmesahau...
Askari wa Jeshi la Polisi nchini, wameuzingira Msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni, ambao awali ilidaiwa aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Walid Omari Kawambwa, angekwenda kuswali Swala ya Ijumaa.
Katika mitandao ya kijamii kulisambazwa taarifa za waumini kujikusanya katika msikiti...
Mnafaili mengi naye ila mnapompeleka kuna siku wana anawauza tena anawauza kwa kupenda sifa.
Siku zake zinakaribia sio kwenye kutetea CCM na utawala wake ila hapo hapo mwambie hisa tambuu anaweza kumponza.Huyu dotto magari sijui kama anaelewa kuna mafia na mafia wanamuangalia hapo alipo
Nimekagua gari yangu kwenye mfumo wa Polisi unaonesha nina faini ya ubovu wa gari, faini hiyo imepigwa Mlandizi ndani ya wiki tatu zilizopita wakati sijawahi kufika kabisa na gari, pia kwa muda huo lilikuwa halitumiki.
Nimejaribu kufuatilia kwa mamlaka husika nimekwama, Leseni hiyo siyo yangu...
Moja kwa moja kwenye mada.
Wilayani Ukerewe kumekuwepo na wimbi kubwa na wizi wa kuvunja maduka na vibaka mitaani hasa usiku.
Hivi karibuni kumekuwepo na wimbi kubwa la watu kuvunja maduka na kuingia kuiba pesa. Wezi hao wanapitia kwenye paa, wanakata nyaya za cctv kamera na kuiba pesa.
Pia...
Hii inathibitisha kuwa hii nchi imewashinda hawa walio madarakani.
Hivi kweli ingekuwa hao ni wanaojitambulisha kuwa ni waandamanaji, je wasingekamatwa?
Huyu anayeitwa IGP nadhani ni bosheni tu. Huenda IGP halisi ni mafwele na wauaji wenzake ndomana wakina Mwaipopo wako na ujasiri wa kuvaa...
Ukifika pale kituo cha msimbazi kariakoo sana sana labda vyumba vya wakubwa ila wote waliobaki ni kama ofisi za walimu Temesa walivyo.
Uwezi kuelewa kompyuta inakaa wapi,foil ya chips na vidari vya nani,madaftari ya mwanafunzi gani yani vurugu tupu.
Huko nje yani utazani vijiwe vya kahawa na...
Jeshi la Polisi nchini limetangaza kuwatia mbaroni jumla ya watuhumiwa 130 katika mikoa mbalimbali kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha vitendo vya kihalifu nchini ambapo watuhumiwa hao wanadaiwa kutumia vikao vya ndani na mitandao ya kijamii kuratibu mikakati ya kuvuruga amani na usalama wa...
Anaandika Hilda Newtown kutoka ukurasa wake wa X-TWITTER...
==================
Baada ya Gen-Z kutangaza Maandamano ya Amani ya 7/7 #77Tunatoka.
Sasa maandamano haya kwa MaRPC na Wakuu wa Wilaya nchini, wao wakaigeuza kuwa fursa ya kutapeli Wafanyabiasha wenye Maduka pamoja na wamiliki wa Petrol...
Naitwa Batuli Selemani Kiberenge, Mwalimu wa shule ya sekondari Mirijo na mkazi wa kijiji cha Mrijo wilaya ya Chemba. Mnamo tarehe 2 Julai 2026 binti yangu mwenye umri wa miaka 8 (jina nalihifadhi ili kulinda faragha yake), mwanafunzi wa darasa la 4 shule ya msingi Sanzawa, alitekwa na kisha...
Kuna mambo yanaendelea ni ya kushangaza, Sasa ona Leo hata kazi za ujenzi wa taifa na uchumi wa individuals hazijafanyika kisa Waandamanaji wamealikana wao wenyewe lakini walioandamana na kwa gharama kubwa ni askari wetu.
Hii tabia Sasa inajirufia sana, uchaguzi nao tumekuwa na tabia hii ya...
Vyombo vya ulinzi na usalama vikiendelea na doria kuhakikisha usalama Sikukuu ya Sabasaba Julai 7, 2026 mkoani Dar es Salaam kufuatia Maandamano yaliyopangwa kufanyika leo
Polisi, Serikali na CCM pamoja na magenge yao kutwa wanaimba kuna watu wanataka kuvurugu, sasa unajiuliza hili limetoka wapi? Wananchi wamesema wanaandama kwa Amani nyie habari za maanadamano kutokuwa ya amani, sio watu watafanya vurugu mmeyatoa wapi?
Mnaashumu kuwa yatakuwa na ghasia na kuleta...
Kuna habari hapa ilitoka sijajua ni nani ila alitoa tahadhari kwa viongozi wa chadema na watu wenye mapenzi na nchi wawe makini wanaweza kuvamiwa na vikundi vyenye ofisi za polisi.
Ila ile mada inageuzwa kuwa wao ndio wameona
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limesema kuwa majukumu ya ulinzi na usalama wa rai na mali zao ni jukumu lao na sio kikundi cha watu
Akizungumza wakati akihojiwa Jambo Tv, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ACP Gallus Hyera amesema kuwa kama watu wanazo taarifa zinazoashiria uvunjivu wa amani ni...
Sasa Waandamanaji wamegeuka wauaji hata kabla ya maandamano. Kwamba Jeshi limeshaanza kuwakamata Wanaofanya mipango hiyo ya kuua Viongozi wa Serikali.
Jeshi la Polisi Tanzania limesema linaendelea kufuatilia kwa karibu viashiria vya baadhi ya watu wanaodaiwa kuhamasisha vurugu na kupanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.