polisi

  1. tpaul

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Polisi waliofanya mauaji ya Oktoba 29 wamepandishwa vyeo mara 2

    Habari za kiintelejensia zilizovuja kutoka duru za kipolisi ni kwamba polisi wote walioshiriki kuwaua raia kati ya Oktoba 29 hadi Novemba 5 wamepandishwa vyeo mara 2. Upandishaji huu wa vyeo umeenda sambamba na idadi ya watu ambao kila mmoja aliua. Waliwaua watu wengi zaidi, wamepandishwa cheo...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa hiyo vyombo vya ulinzi na usalama vilikubali kutumika CCM ibaki madarakani licha kuhatarisha raia na uchumi wa nchi?

    Moja ya vitu vitakavyobadilishwa kwa wivu mkubwa sana baada ya Taifa hili kupata ukombozi wa kweli ni kuweka kiapo cha Utumishi wa Umma pamoja na vyombo vya ulinzi na Usalama kuwa ni kuilinda Katiba, kuwalinda Wananchi na Kulinda misingi ya Haki, Uhuru na Umoja wa Kitaifa. Jambo la pili...
  3. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Polisi tunajua nyie hamfi mnapewa pesa kuua maskini wenzenu. Tunakuja tena mtuue sawa

    Nye si mwapewa mamilioni ili muue maskini wenzenyu wanaotetea haki zao. Mwataka muwe tajili kama Elon Muski. Hehee! Mwatii amri haramu kumwaga damu za wenzenyu mliambiwa nye hamfi. Mayii! Mwambieni awaongezee posho zaidi ili mtuue zaidi. Twataka mwaka huu muwe mamilionea. Mle bata kwa pesa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Vituo vya Polisi 159 vilichomwa moto

    Leo waziri mkuu ameeleza takwimu ya sehemu ya hasara iliyopatikana tarehe 29 October kuwa ni Vituo 159 vya polisi, magari binafsi 1600, vituo vy mafuta 600, magari ya serikali 1200 ambulance 200 nyumba binafsi nyingi walijaribu kuchoma TCRA, Tanesco, ghala za mafuta kurasini , bandari ...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuhusu madai ya Polisi kupewa amri ya kuua raia: Mwigulu ahoji Polisi wengi pia walikufa, nani alitoa amri wauawe?

    Majibu ya kitaalamu sana! Hili la polisi kugeukana wenyewe kwa wenyewe na kuuliwa itakuwa ni kweli, maana tunasikia polisi wamekufa lakini mtaani hakuna taarifa hiyo, itakuwa waliuawa kipindi tupo kwenye lockdown ambako walikuwa wamebaki wenyewe barabarani! Tuna ndugu na jamaa polisi, na...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Mnagombanishwa tu na polisi wetu, hivi mnajua polisi waliodhurika ni wangapi?

    “Hivi mmefuatilia katika vurugu zilizokuwa zinaendelea, mmefuatilia muone wangapi walikuwa na silaha? mnagombanishwa tu na polisi wetu, hivi mnajua polisi waliodhurika ni wangapi? Hivi mnajua vyombo waliodhurika ni wangapi? Mnajua wangapi mle walikuwa wanalikuwa na silaha? Hivi mnajua wangapi...
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wananchi wahoji kufuatia kauli za serikali; Yaani tupeleke miili vyumba vya kuhifadhi maiti halafu kuifuata twende polisi!

    Ikumbukwe siku ya jana msemaji wa serikali alisema wananchi waende kuchukua miili polisi na sio sehemu husika ya kuchukua wapendwa wao, hali iliyozua mjadala mkubwa kwa wananchi. Kuna wananchi walipeleka miili kwenye baadhi ya hospitali lakini walikuta haipo, na kuna wengine tangu maandamano ya...
  8. Damaso

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mmefeli sana

    Taarifa zilizotolewa kuhusu madai ya “mwanajeshi wa Marekani” kukamatwa Tarime zimeibua maswali mazito kuliko majibu. Kutaja jina lisilo la kawaida kama Onkuri Ongeta. Pamoja na picha zinazomuonyesha mtu huyo akiwa amejipamba kwa pete kama Mganga wa Kienyeji na mavazi yasiyoendana na mafunzo ya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe aendelea kuhamasisha vijana kudumisha utulivu na kutoa taarifa za uhalifu

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Mahamoud Banga, ameendelea kukutana na makundi ya vijana kuhamasisha utulivu na kuwataka waripoti wote wanaofanya uchochezi pamoja na wageni wanaoingia nchini kinyume cha sheria Aidha, amewaeleza vijana hao kuwa kile...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.

    Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.
  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 "Jeshi la Polisi, hawa tukiwapoteza msiwatafute", Odemba ampelekea moto Faris kwa kauli yake Tata

    https://www.instagram.com/reel/DRXwUPxDA6x/?igsh=NzVlODN0Y3ZydDVq
  12. McLaren

    JamiiForums Tanzania Polisi: Padri Josephat Misigaro hakutekwa. Aliitwa kwa mahojiano baadaye akaachiwa huru

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa Padri Josephat Misigaro, Paroko wa Parokia ya Nguruka wilayani Uvinza, pamoja na wananchi wawili wanaofahamika kwa majina ya Vedasto na Selule, wametekwa na watu wasiojulikana. Polisi wamesema taarifa hizo ni...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Dunia kuanza kulitambua Jeshi la Polisi Tanzania kama Kundi la Kigaidi

    NI wakati wa kupaza Sauti dunia nzima kuwa Tanzania sio Salama kwa wageni na Wenyeji, Ni wakati wa kusema Tanzania tuna State sponsored terrorist organization. Makundi ya kigaidi huteka, huua. Kwa taarifa zilizopo Tangu October 29 Watu waliotekwa na Waliouliwa na Kundi hili ni kubwa kuliko...
  14. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jeshi la Polisi Mbeya lakiri kumshikilia Clemence Mwandambo kwa tuhuma za Uchochezi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Awali ya "Saint Clemence" ndugu Clemence Kenani Mwandambo, mkazi wa Uzunguni "A" Jijini Mbeya kwa tuhuma za uchochezi. Mtuhumiwa alikamatwa mnamo Novemba 21, 2025 saa 5:20 asubuhi maeneo ya Uzunguni Jijini Mbeya akitoa na kusambaza...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Utekaji na mauwaji ya polisi yatapelekea vita vya sisi kwa sisi machafuko makubwa na hatuvichukulii kama vitisho bali wehu na upumbavu

    Utekaji na mauwaji ya polisi yatapelekea vita vya sisi kwa sisi machafuko makubwa na hatuvichukulii kama vitisho bali wehu na upumbavu
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Serikali ya samia inateka na kuuwa ndugu zetu wengi sana kila siku unafikiri tutawafanya nini hawa polisi wapumbavu #D9

    Serikali ya samia inateka na kuuwa ndugu zetu wengi sana kila siku unafikiri tutawafanya nini hawa polisi wapumbavu #D9.
  17. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo polisi walioko doria mtandaoni WAKO NORMAL wanavyoona watu wanavyoumia kisa wao?

    Enyi polisi mlioko doria mtandaoni MKO NORMAL mnavyoona watu wanavyoumia kuomboleza KUULIWA ndugu zao? Lakini Yesu aliwaonya muwe watu wa haki.
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi: Video ya utekaji Arusha ni uzushi, tumewakamata kwa tuhuma za kuhamasisha maandamo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linapenda kutoa ufafanuzi juu ya picha mjengoe zinazoonekana katika baadhi ya mitandao ya kijamii zikieleza kuwa, kuna vijana wawili wametekwa Jijini Arusha. Taarifa sahihi ni kwamba, kwa nyakati tofauti tuliwakamata na tunaendelea kuwahoji vijana hao ambao ni...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Polisi mlitoa onyo kutosambaza video za kuleta taharuki. Sasa CNN mtawafanyaje?

    Nailiza polisi wetu tunawafanyaje CNN
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchunguzi wa CNN: Madaktari waliambiwa na polisi wasitibu waliojeruhiwa, bali wawapeleke Mochwari wafie huko!

    Wakuu, Ripoti ya CNN imetoka, watu wenggi wametuma shuhuda zao na kuthibitisha yaliyotokea. Katgi ya hayo ni madkatri waliosema polisi walikuwa wakiwakataza wasitibu wale waliojeruhiwa, badala yake wapelekwe mochwari wafie huko.
Back
Top Bottom