ndoa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

    Mwanamama huyu ni maarufu sana huko Instagram. Hufanya biashara ya chakula kwa mafanikio makubwa sana. Pia huamasisha wanawake kufanya mazoezi na Mambo ya maendeleo. Kwakweli ana majumba ya kifahari, magari na hujinasibu mumewe Dr. Baba Iman Baba wa mwanae mmoja humpa support kubwa Sana...
  2. JamiiForums Tanzania Madhaifu matano (5) yanayodidimiza Mahusiano na Ndoa

    Makala hii ni tafakari huru kuhusu mambo ya msingi katika mahusiano. Hapa utapata tafakari ya maana ya maneno na imani ambazo zinatutatiza wengi wetu. 1. Mchanganyiko mkubwa kuhusu maana ya mahusiano, mapenzi na ndoa: Labda kipengele hiki tuanze kwa kueleza kuwa kunaweza kuwepo ndoa, lakini...
  3. JamiiForums Tanzania Ndoa ni jambo la Kheri lakini wa dada msiache ndoa iwafanye muwe watumwa wa mapenzi

    Kila mtu anapenda kufunga ndoa na kuwa na familia. Bahati mbaya kwetu wanawake ni mwanaume anaefanya maamuzi kuwa huyu ndiye ananifaa katika safari ya maisha. Hapa hakuna formular wengine watapenda binti mzuri, wengine wanapenda kwasababu ni kabila moja, wengine wanapenda msomi ni mambo...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi ambaye atakuwa mke wangu wa ndoa soon

    Habarini ndugu zangu, nimeingia kwenye jukwaa ili kutafuta mpenzi wa kike ambaye ataenda kuwa mke wangu ivi karibuni: SIFA ZANGU: Urefu: Ni mrefu wa wastani Umbo: sio mnene wala sio mwembamba sana. Rangi: Maji ya kunde Dini: Christian (RC) Elimu: Degree 1 Status: Single na sijawahi kuwa na mke...
  5. JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani sahihi ya kufunga ndoa, unakoendeshea shughuli zako au ilipo asili yenu?

    Mfano unaishi mji A ambao ndiko makazi yako na ndiko unapoendeshea shughuli zako za kila siku, kiasi kwamba watu wako unaoshirikiana nao kila siku wanapatikana Mji huo. Pia, una makazi yako Mji B ambako huko ndio asili yako, wazazi, ndugu na jamaa wengine wanapatikana kwa wingi. Utafunga...
  6. JamiiForums Tanzania Wadau: Kuwahi kumaliza Tendo la Ndoa na kuchelewa kipi kina madhara? Na kipi ni sahihi?

    Habari ndugu zangu Naombeni msaada wa kutambua kuhusiana na hoja tajwa hapo juu. Generation ya leo tunashuhudia vijana, na hata rika za kati kwa madai ya kuwahi kumaliza tendo la ndoa na wengi wao kutafuta dawa kukabiliana na tatizo.
  7. JamiiForums Tanzania Ametoka na millionaire miaka 20 bila ndoa wala mtoto

    Nilikuta hii stori kwenye Women Magazine, inamhusu dada mmoja mzaliwa wa Urusi lakini ni raia wa Uingereza. Aliwenda Uingereza na wazazi wake akiwa mdogo. Jina lake Natasha. Natasha akiwa na miaka 20 na mwanafunzi wa chuo kikuu, alikuwa binti mwenye kujipenda sana. Siku moja akiwa amejipamba...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi wa kike ambaye kama itapendeza tutafunga ndoa

    Hello, I hope you are all fine,poleni na Majukumu ya hapa na pale back to the point nahitaji rafiki wa kike ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa. Huu ni wasifu wangu: Jinsia- am a Boy,miaka 30 Kimo- mrefu, rangi maji ya kunde. Umbo-mwili wa kawaida si mnene...
  9. JamiiForums Tanzania Fahamu hili kabla hujaamua kuacha ndoa au kutoka nje!

    Never give up on one another. Love can overcome all forms of hate. Love is strong. Love is real. Hold on to it and never let go. Also. Always. Love God!!!
  10. JamiiForums Tanzania Ndoa inayodumu inaanza kama hivi...

    Kila ndoa ina historia yake hasa kuhusu jinsi wahusika walivyo kutana, mlolongo wa mahusiano yao na mpaka kutokezea kwenye ndoa. Hii ni ndoa ambayo kwa kweli binafsi nimevutiwa nayo. Nawe nakukaribisha kuitazama kisha utoe maoni yako.
  11. JamiiForums Tanzania Tuunde Sheria mpya ya Ndoa kwa mtindo huu ili kuepuka upweke

    LET US CREATE NEW LAW IN BREAKING MARRIAGE or MARRIAGE TO BE COME DIVORCED ITSELF AFTER SEPARATION. Hey, my Funs to day DON NALIMISON a Musician, Human Rights Defendant and Security Affair Advisor giving you some points to show that a Marriage has already broken in Law an Fact due to one party...
  12. JamiiForums Tanzania Ni yupi kati ya hawa wahusika wakiingia kwenye ndoa hutulia?

    Aliyefanya uhuni sana katika ujana wake halafu akaingia katika ndoa, na yule ambaye hakufanya uhuni katika ujana wake akaingia kwenye ndoa. Ni yupi akiingia katika ndoa hutulia? na ni kwanini hutulia?
  13. 5

    JamiiForums Tanzania Mnalionaje hili la wakati wa kudamshi bado sekunde chache mtoto anaamka anataka kuanguka kitanda

    Nimeona nililete hapa kwa wataalamu wa mambo yetu kwa wale walio kwenye ndoa labda tayari wameshapata mtoto 1 ivi au zaidi. Kuna wakati unakuwa na hamu sana na mama watoto mpaka unafika ule wakati unakuwa upo kileleni labda bado kama sekunde kadhaa kukamilisha taratibu mtoto anaamka na...
  14. JamiiForums Tanzania Nilikuwa kahaba nikiwa kwenye ndoa

    Purity Wanjiru alitoroka kwao na kuanza kuishi maisha ya utotoni akiwa na umri wa miaka 13 Kila anapokumbuka alikotoka maishani, Purity Wanjiru hudondokwa na machozi asijue la kufanya. Purity ambaye ni mama wa watoto wawili anasema hakuwahi kufikiria kwamba kuna wakati angeuza mwili wake...
  15. JamiiForums Tanzania Nilivunja Ndoa Zangu 3 Kulipiza Kisasi (Kisa Cha Kweli)

    Mkasa : NILIVUNJA NDOA ZANGU 3 KULIPIZA KISASI Mwandishi: IRENE MBOWE (Irene Mbowe Kungwi Lao) Imeletwa kwenu na: BURE SERIES KISA CHA UKWELI ANACHOSIMULIA CHARLOTE, ANASEMA HIVI, MAJIBU YA MAMA WA HAWARA WA MUME WANGU YALIVYOSABABISHA NIKAVUNJA NDOA TATU. Charlote, mwanamke aliyeishi kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Kama sex ingekuwa sababu ya ndoa...

    If SEX can make a man, marry you then all prostitutes would be married. A man commits where he has PEACE. Be his PEACE & he'll run to you be his WAR & he'll run from you
  17. JamiiForums Tanzania Mambo manne ambayo mwanaume ayajue kabla ya kukukuruka na ndoa

    4 THINGS EVERY MAN MUST KNOW ABOUT A WOMAN BEFORE MARRIAGE 1) THEY LOVE COMPLIMENTS It is wicked for your wife to put effort into her looks, taking care of you (and the kids) and making you happy daily and you never pay her any compliments. In fact that kills her moral and spirit. Women...
  18. JamiiForums Tanzania Mume hanyimwi tendo la ndoa. Mpe haki yake, soma maandiko

    Ndoaa NYINGI zinapoanzaa kuchokana hutumia tendo LA NDOA kuadhibiana Hii n moja ya SUMU KUBWA KWENYE NDOA.mkifika.stage hii inahitaji MMOJA wenu ama wote kusimama nafasiyake na kumwomba Mungu Awaweke SAWA else mkishindana mtatuongezea majani pale kinondoni ama mbwen na ununioo Anza kuchukua...
  19. JamiiForums Tanzania Huenda Wanawake wengi wangekuwa na Hekima na Busara ya hali ya juu kama huyu Dada, basi Ndoa zingedumu na Wanaume tungeacha hata Kuwasaliti

    " Mfano nimekuta mume wangu anacheat na mwanamke mwingine ninayemfahamu, siwezi kumfuata yule mwanamke nikamtukana, nitaanza na mume wangu na kumuuliza kwa sauti ya upole " - Riziki. globalpublishers Tatizo ni kwamba Wanawake wenye Utu, Hekima, Upendo na Busara kama ya huyu Dada Mungu Baba...
  20. JamiiForums Tanzania Ndoa ilivyoteteresha imani yangu (Kisa Cha Kweli)

    Mkasa : NDOA ILIVYOTETERESHA IMANI YANGU Mwandishi: IRENE MBOWE (Irene Mbowe Kungwi Lao) Imeletwa kwenu na: BURE SERIES Hiki ni kisa cha ukweli kabisa, anachokielezea Flora, Mwanamke ambaye anakiri Imani yake kutereteka kwa sababu ya Ndoa yake. Alikuwa na alilelewa kwenye familia yenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…