ndoa

  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kafulila katika mtihani wa kiapo cha ndoa, Je atamsaidia mkewe aliyeko CHADEMA katika kampeni?

    Haya mambo huwa yana ugumu wake. " Tutashirikiana na kusaidiana katika Shida na Raha hadi kifo kitakapotutenganisha" Sasa sijaelewa hapa kada wa CCM David Kafulila aka tumbili kama ataizingatia ahadi hii ya uaminifu katika ndoa wakati mkewe Kishoa atakapopambana na kada maarufu tena daktari wa...
  2. JamiiForums Tanzania Eti jamani urembo wa mwanamke unachangia kunogesha tendo?

    Wadau eeh! Its time. Najaribu kuvuta taswira ya wanawake warembo na wazuri. Huwa najiuliza hivi uzuri/urembo wao unaweza kuchangia kunogesha tendo. Mimi kwa akili yangu najuaga mwanamke akiwa mzuri/mrembo kwenye tendo ndio atanoga tofauti na wale wenye urembo wa kawaida. Wale wenye urembo wa...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzee atibua harusi akidai maharusi ni watoto wake

    WAPENZI wawili waliokuwa tayari kufunga ndoa katika eneobunge la Bura, Kaunti ya Tana River walilazimika kusitisha harusi yao baada ya mwanamume kujitokeza ghafla harusini akidai yeye ni baba yao. Anne Magwi na Jotham Munini, watoto waliolelewa na wazazi wa kambo, walikuwa wamefika kanisani...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Miaka ijayo Ndoa nyingi zitakuwa hivi...

    Katika hali ambayo haikutarajiwa, Ann Magwi na Jonathan Munini kutoka Kenya, wamelazimika kukatisha zoezi la kufunga ndoa, baada ya James Sidai kujitokeza kanisani na kusema yeye ndio Baba yao Mzazi, Baba huyo aliingia kanisani akiwa na Dada yake na kusema ndoa hiyo isifungwe kwa kuwa Maharusi...
  5. JamiiForums Tanzania Mambo niliyojifunza katika ndoa

    Ndoa inajengwa kwenye msingi wa ukweli, uwazi na kuaminiana. Ni jambo jema mke/mume kujua kazi yako, unapofanyia kazi na hata kipato chako, lakini kuna mambo ukiyaweka wazi tatizo litatokea. Mfano wapenzi hupenda kuuliza maswali kama vile: uliwahi kudate wanawake wangapi? Kama idadi ni kubwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Mabinti wanaoikaribia 30 wana kiu kali ya ndoa

    Mabinti ambao wako Dakika za majeruhi wanakaribia kuinusa miaka 30 wana kiu kali ya ndoa, ukiwa naye kimahusiano hata kama mahusiano mabichi yana wiki mbili ataanza kauli za kuhusu ndoa, wako desperate sana. Yuko tayari kukupiga hata limbwata akuteke.
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA kuathiri ndoa na ajira

    Nimeisoma ilani ya uchaguzi ya CHADEMA kurasa zote. Nimeona kasoro nyingi sana lakini kwa leo nitazungumzia kaosro mbili ambazo zina athari kwa jamii ya watanzania nazo ni ndoa na pia kwa watakaokuwa wanamaliza masomo na kutafuta kazi. Pia nitazungumzia na ushoga jao haupo katika ilani lakini...
  8. JamiiForums Tanzania Tupe mkasa wako ulivyoishia kumuoa uliyedhani utapiga na kusepa

    Katika maisha ya vijana wengi mahusiano mengi yanakuwaga ni mwanaume kumtamani zaidi mwanamke hivyo mwanamke hugeuzwa chombo cha kustarehesha viungo vya mwanaume. Hapo mwanaume nae mara nyingi anakuwa na plan zake kwamba hapa najipigia tu, nikimchoka naenda kwingine. Hali inaweza kuwa tofauti...
  9. JamiiForums Tanzania X-girlfriend anavuruga ndoa yangu

    Tatizo kubwa ni kwamba tunaishi mtaa mmoja. Alipata bwana mpya akaniacha kwa matusi na kejeli. Nami nikapata mpenzi alipojua akaanza kumlisha maneno mpenzi wangu kwamba mimi sifai ndo sababu aliniacha. Mpenzi wangu aliponieleza iliniuma ila nikajitetea kwamba anichunguze kama aliyoambiwa ni...
  10. JamiiForums Tanzania Wadada/wanawake upo tayari kukaa bila ku test mitambo mpaka siku yenu ya ndoa?

    Hii imezoeleka na sasa hivi imeshakuwa kama kawaida yetu wanaume wote kuambiwa tunapenda kutest mitambo hata kabla ya chochote kile,sawa tumekubali hii kwetu (hasa mimi) kukaa na wewe kama kaka na dada eti nasubiri siku ya ndoa ndio tukwichi kwichi Uvumilivu na ujinga huo sina. Nikae nasubiri...
  11. JamiiForums Tanzania Sherehe za ubatizo, ndoa, kifo, mahari,hitma nk sasa kutozwa kodi hata ukifanyia nyumbani kwako

    Sherehe za ubatizo, Ndoa, kifo, mahari,hitma nk Sasa zinatozwa kodi hata ukifanyia nyumbani kwako. Hii ni aibu Kubwa kwa Serikali hii. https://t.co/pDXnXxa4zD
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Mahusiano ya kimapenzi na ndoa hayana formula maalum?

    Jackson alimwoa Jackline ndoa ikavunjika, Jackson anadai Jackline hana heshima,mmbea,akirudi nyumbani ni kelele mwanzo mwisho, Jackline anadai Jackson hayuko romantic na anampiga mara kwa mara. Hassan alimwoa Rehema na ndoa ikavunjika, Hassan anadai Rehema hana heshima ,mmbea na ni mtu wa...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye ajira hizi wanapata shida kwenye Soko la Ndoa. Wanaume huwakwepa

    Kumekuwa na malalamiko sana kutoka kwa Makundi haya ya Wanawake kuhusiana na mtizamo wa Wanaume wengi juu ya Kazi zao. 1. Wanasiasa 2. Manesi 3. Masekretari 4. Askari/ Wanajeshi 5. Wanasheria 6. Wafanya biashara wanaosafiri safiri 7. Air hostess 8. Wasanii Wanaume wengi wamekuwa wakiogopa kuoa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Unatarajia kufunga ndoa karibuni? (Honeymoon experience)

    Kama unatarajia kufunga ndoa karibuni chukua nafasi ya punguzo la bei kwa safari za utalii lililosababishwa na na janga la CODID-19 kula fungate (honeymoon)kwenye mbuga maarufu duniani ya Serengeti. Tegemea ushauri wa kitaalamu kutoka kwa muongoza watalii mwenye uzoefu wea miaka 14 aliyeongoza...
  15. JamiiForums Tanzania Ndoa ikiwa changa raha sana

    Mkiwa mnaishi wenyewe bado kupata watoto, ndani ya mjengo mkubwa ni raha sana. Alafu uwe na mzigo wa maana, unaweza kuiona dunia yote ni ya kwako. Tunasema hapo maisha ni full shangwe, hakuna kuchelewa kufika nyumbani, muda wote unatamani muwe wawili tu kwenye eneo lenu la kujidai. Vijana...
  16. JamiiForums Tanzania Mahari na Tendo la Ndoa vina uhusiano gani?!

    Money Penny me bado sijaelewa, kwani Mahari na Tendo la Ndoa vinaingiliana vipi?! Money Penny: kwanini?! Mdau: huyu bwana amenilipia mahari milion 8, lakini tangu tufunge ndoa NI kama ananilioiza mahari aliolipa Money Penny: analipizaje sijaelewa Mdau: huko kitandani ananifanya Kwa nguvu...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya kimapenzi na tendo la ndoa

    Wakuu inakuwaje pale unapoanzisha mahusiano ya kimapenzi na binti kisha kuwekeana au kumwekea msimamo wa kufanya tendo la ndoa baada ya kuwa mmeunganishwa kwa ndoa tu, yaani hakuna kujuana kimwili mpaka ndoa, kwanini inakuwa ngumu kwa binti kuvumilia hili na kusubiri tendo la ndoa mpaka ndoa...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Suala hili la ndoa na usaliti

    Wakuu habarini za kazi, poleni majukumu na shughuli za hapa na pale katika kujitafutia mkate wa kila siku na imani mko vizuri. Tuingie kwenye point, kiukweli mimi ni kijana wa miaka 25 nimekuwa member wa muda mrefu sana wa JF toka nikiwa na miaka 21 katika kusoma comments za watu mbali mbali...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

    Mwanamama huyu ni maarufu sana huko Instagram. Hufanya biashara ya chakula kwa mafanikio makubwa sana. Pia huamasisha wanawake kufanya mazoezi na Mambo ya maendeleo. Kwakweli ana majumba ya kifahari, magari na hujinasibu mumewe Dr. Baba Iman Baba wa mwanae mmoja humpa support kubwa Sana...
  20. JamiiForums Tanzania Madhaifu matano (5) yanayodidimiza Mahusiano na Ndoa

    Makala hii ni tafakari huru kuhusu mambo ya msingi katika mahusiano. Hapa utapata tafakari ya maana ya maneno na imani ambazo zinatutatiza wengi wetu. 1. Mchanganyiko mkubwa kuhusu maana ya mahusiano, mapenzi na ndoa: Labda kipengele hiki tuanze kwa kueleza kuwa kunaweza kuwepo ndoa, lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…