nchi

  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nchi hii haiwezi endelea kama tusipokubali kufikia hatua hii ya Kujikana

    Kwa sasa utagundua hakuna kitu kinachotuunganisha watanzania. Hakuna. Unaweza sema ni chama. chukulia ccm.utagundua wakati wa mapambano kati ya ccm na cdm ccm wote watakuwa dhidi ya cdm.watawatenga ccm wakiamini wao wameshikamana. Ila ingia ndani ya ccm.waweke kwenye udini.watajigundua wote ni...
  2. Richard

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea sasa CHADEMA ni mpango toka nje kuingiza nchi matatizoni. Serikali ina kazi ngumu huko mbele

    Chadema ni chama cha siasa chenye wanasiasa ambao si makini. Ni chama kilichokusanya watu wanojiita wanasiasa lakini hawana mbinu za kuishi kwenye siasa. Miaka mitano ilopita Chadema walipata shida na hawakuweza kujinafasi na serikali ambayo iliongozwa na raisi ambae hakuwa tayari kuvumilia...
  3. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ukitaka kukuza uchumi hakikisha nchi inazalisha chuma na inajitosheleza

    Rais amesema apewe muda akuze uchumi kisha ndipo atafuatilia mambo mengine. Ni jibu zuri kiasi maana ni ahadi. Sasa ili uchumi ukue haraka inabidi nchi yetu iweze kuzalisha chuma na ijitosheleze katika uzalishaji huo. Ni ngumu sana nchi kuendelea na kuwa ya viwanda bila kuwa na chuma. Hakuna...
  4. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi ya Rwanda imeendelea kuliko Mkoa wa Kagera?

    Habari wa ndugu. Ni swala ambalo liko wazi kuwa nchi ya Rwanda imeendelea kwa vipimo vingi ukilinganisha na mkoa wa Kagera. Hizi sehemu mbili zimepakana na hali ya hewa na mambo mengine wanafanana kwa karibu sana. Lakini ukiangalia sehemu hizi mbili utaona kama Kagera ina Advantage ya kuwa...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tume Huru itairejesha Tanzania mikononi mwa wananchi

    Tume huru ndio kila kitu. Itajenga Tanzania imara na itakayo ogopeka na kila mtu. Tanzania itarudi mikononi mwa wananchi. Uchaguzi ufanywe tume huru ndio iwe inaamua, kura itakua adhabu kwa viongozi wanaofanya Tanzania ni mali yao. Wabunge wasio na sifa wote wataenguliwa kwenye sanduku.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tumerudi kuibomoa nchi kuilinda CCM, mama kibao kikigeuka kisima kitakauka maji

    Chama Cha mapinduzi pambaneni kwa hoja achaneni na dola. Mnatia aibu mambo madogomadogo yanayowekwa kimkakati na wapinzani wenu yawachafue kimataifa mnashindwaje kuyang'amua. Vimitego vidogo vidogo mnavyoshindwa kuving'amua ndivyo binawapa mailage ya kisiasa chadema na wafuasi. Mmekubali kuwa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla: CHADEMA watengeneze kwanza Katiba mpya ya chama chao kabla ya kukimbilia katiba ya nchi, wawatendee haki wabunge 19

    Mwandishi wa habari nguli nchini na mwanasheria Pascal Mayalla amesema Chadema wanapaswa kurekebisha kwanza katiba ya chama chao kabla ya kukimbilia kudai katiba mpya ya nchi. Pascal amesema Chadema hawana fedha za kuitisha kikao cha kujadili rufaa za wabunge wake wa viti maalumu sasa fedha za...
  8. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tuache alama ili nchi yetu ipate maendeleo ya haraka

    Je tutaacha alama hapa duniani pale muda wetu wa kuishi kulingana na wito na kusudi la kuwepo kwetu hapa duniani utakapokuwa umefikia ukomo? "Haijalishi umeishi miaka mingapi bali umeweka alama gani katika miaka uliyoishi" ni moja ya mstari ambao huwa tunausikia katika misiba na mafundisho...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie Rais Samia atambue kuwa yuko kwenye junction muhimu sana ya mustakbali wa nchi hii

    Kama Samia atakuwa ni mtu wa kukaa chini na kufikiri kwa makini basi atagundua kuwa yeye kuwa hapo siyo accident, Bali Mwenyezi Mungu amemuweka hapo kwa sababu maalum. Machozi na vilio ambavyo watanzania walipitia katika utawla wa Magufuli, Mwenyezi Mungu aliamua kuwafanyia wepesi kwa kumuondoa...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Hiphop DX wameidhalilisha nchi, tuwashukieni mzimamzima

    Haiwezekani kwenye picha kuwe na kijana tajiri anayemiliki escallade 2 na mi mali kibao yenye thamani kama dollar millions 400 ,kijana ambaye hadi anao ujeuri wa kuwatukana forbes na kuwaambia kama vipi wa m google, kijana ambaye anavaa saa "original" yenye thamani ya milioni 80 na kama haitoshi...
  11. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yasitisha uchaguzi mkuu TFF, Wallace Karia aitwa Mahakamani

    Mahakama Kuu ya Tanzania imesitisha Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) na kuwaita Rais wa TFF, Wallace Karia, Bodi ya Wadhamini & Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, kujibu hoja kwa nini uchaguzi huo usisimamishwe. Wanatakiwa kufika mahakamani hapo kesho asubuhi.
  12. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Nchi hii watembea kwa miguu na abiria hatuna haki kabisa

    Nchi hii wanaothaminika ni wamachinga pekee watembea kwa miguu na abiria hawana haki kabisa na inawezekana wamefutwa kabisa kwenye kamusi ya wanyonge. Haiwezekani vituo vyote vya daladala na sehemu za watembea kwa miguu kuwa ndiyo sehemu ya kusimika biashara za hao wanaoitwa wanyonge. Siku...
  13. Leak

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hatutompa muda Rais na hatukubali. Viongozi wa CHADEMA watakiwa kujiandaa kuanza mikutano nchi nzima

    Baada ya Rais kusema kuwa anataka apewe muda ili ajenge uchumi kwanza na mambo ya katiba na mikutano ya hadahara itafata baadae. Mh Mbowe leo amesema wazi kuwa hawatompa muda Rais samia na hawatakubali bali watafanya mikutano ya hadhara na watadai katiba kwa njia yeyote ile inayofaa na...
  14. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Kuelekea olympic, ukabila na ubinafsi unavyoleta vikwazo kwa wawakilishi wa nchi

    Kwa mfuatiliaji mzuri wa michezo hasa riadha, atakubaliana nami kwamba wachezaji watatu wa kitanzania waliofanikiwa kufuzu kushiriki mashindano ya Olimpiki 2021 yanayotarajiwa kutimua vumbi kati ya mwezi Julai na Agosti mwaka huu, wanayo nafasi kubwa ya kufanya vizuri katika michuano hiyo na...
  15. Opportunity Cost

    JamiiForums Tanzania Nchi zenye Uchumi mkubwa Afrika -Tanzania yaporokoma na kutoka 10 bora

    Nawasalimu kwa Jina la JMT. Kwa Mujibu wa makadirio ya Nchi zenye Uchumi mkubwa yaliyofanywa na shirika la fedha Duniani IMF kwa mwaka 2021,Tanzania imeporomoka na kushika nafasi ya 11. Kwa miaka zaidi ya 10 ,Tzn imekuwa miongoni mwa Nchi zenye Uchumi mkubwa barani Africa kwa GDP,lakini kwa...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Upepo umegeuka, King Muswat wa Eswatini aikimbia nchi

    Tuna mambo ya kujifunza kwa yanayotokea duniani kwa namna nyingi. King Muswati, wa Eswatini, amekimbia nchi baada ya kuona nguvu ya wanaodai demokrasia imeongezeka. Lakini tukumbuke, Waswatzi, wamekuwa chini ya uongozi wa kitemi, unaompa mtemi wao nguvu kubwa isiyohojiwa kwa mila na mapokeo...
  17. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi zilizochanja wananchi wake na kuchukua tahadhari zote ndio zinaendelea kuongoza kwa maambukizi na COVD-19

    Juzi Rais wa Rwanda katangaza kufunga vyuo na shule kuanzia 01.07.2021. Kenya curfew imekuwa extended for 60 more days Uganda Ligi kuu imelazimishwa kumalizika coz ya Covid. Burundi, India, Brazil na nyingine mambo ni yaleyale. Japan wametangaza WIMBI LA TANO...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba ashangazwa na Rais Samia kumuachia mtu aliyekula njama katika wizi wa shilingi zaidi ya bilion 300 za Escrow kwa kutoa bilion 26 tu

    Akiongea na waandishi wa habari leo profesa Lipumba ameonyesha kushangazwa na hatua ya Rais Samia kumuachia huru mtu aliyekula njama za kukwapua zaidi ya shilingi bilion 350 za Escrow kwa kutakiwa kulipa shilingi bilion 26 tu, Profesa anahoji hizo pesa nyingine sasa zinakwenda wapi, na...
  19. Patriot

    JamiiForums Tanzania Mwelekeo wa Rais Samia kwa maendeleo ya nchi ni upi?

    Nahisi kama tuna bahati mbaya sana ya kupata viongozi wasio na maono (vision). Tumejidai kupima mafanikio ya Rais ktk siku 100. Huwa haitegemei mambo yanayoonekana ktk siku 100, muhimu huwa ni mpango mkakati wa kufikia malengo fulani. Je, tumeweza kujua Rais Samia ana malengo gani na nchi...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ni nchi gani Mkuu wa usalama umewahi kuteuliwa Balozi tofauti na Tanzania?

    Ni kawaida kwa viongozi wakubwa nchini wanapoteuluwa kuiona fursa ya uteuzi nakusau umuhimu wakulinda na kuhifadhi hadhi ya juu aliyopewa. Kumteua mkuu wa usalama kwenye cheo chochote kunatua dosari nafasi hii. Narafakari Ni nchi gani imewahi kumteua mkuu wa usalama kushika nafasi ya ubalozi...
Back
Top Bottom