Tangu mh Nchimbi ajiudhuru mpaka sasa ni takribani siku ya nne lakini hakuna kauli yoyote ya mkuu wa nchi.
Kwa namna ya ukubwa wa jambo lenyewe ilipaswa mpaka sasa nchi iwe imesikia kauli yoyote kutoka kwa raisi lakini yuko kimya.
Kimkakati ni kama anaupima upepo kusikilizia yanayoendelea...
••Kwenye uwazi na ukweli ndipo tunapokosea,
••Mambo ya siri,mikataba ya siri ndilo tatizo kubwa.
••Wakati taifa letu likielekea kwenye uchumi mkubwa the way ndipo tunapojiongezea maadau wengi zaidi wa kiuchumi,maadui hawa wengi ni miongoni mwetu sisi wenyewe kwa kutumika na walio nje wenye...
Ndugu zangu Watanzania,
Hata Hayati Baba Wa Taifa Amewahi kusema na kuandika katika kitabu chake cha Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania cha Mwaka 1994 ya kuwa Ukimtikisa Rais Wa Nchi unakuwa Umeitikisa Nchi yaani Huwezi kumtikisa Rais wa Nchi na Nchi ikabakia Salama.
Unaweza kumtikisa...
Kwa Nini watu wanaipenda ccm kuliko MASRAHI ya nchi tatizo lipo wapi
Ni pesa au Nini kilichojificha ..
Msukuma unasema kupigana short
Kwa hyo kudai KATIBA ni kupigana short ,mauji ya October ni kupigana short,kutekwa ni kupigana short ,polepole yupo wapi ni kupigana short
Kwa hyo...
Kila nikijaribu kuangalia changamoto tunazokutana nazo hasa unaposhughulika na mambo ya kiserikali unagundua kwamba kila siku kero zinaongezeka.
Sasa nini faida ya hawa maprofesa na madokta waliojazana kwenye uongozi?
Tija Yao ni nini hasa tofauti na wasio kuwa na level hizo.!?
Kama wewe kweli ni mzalendo utaendelea vipi kuwa ndani ya Chama ambacho Makamu Wa Rais wa nchi anafukuzwa kwasababu ya kusema watanzania wapiganie katiba mpya.
Tujiulize kwanini hao waliobaki katiba mpya inawapeleka huko. Na hao TIS wanafanya kazi kwa niaba ya nani?
Je Gwajima amelambishwa asali?
Je Gwajima amepata vitisho ?
Je Gwajima ameona aliokuwa anawatetea sio watu sahihi ni heri ajiunge na wenzake wana ccm kujichotea mali za uma nk?
Hatujamzoea hivi , au kuna mahali wamembana kaona akifanya fyoko watamfilisi ikiwezekana kumbambikia kesi?
Jasusi...
Pale Madagasca Bwana Rajolina alichaguliwa, akaapa, akateua Waziri Mkuu na baraza lake la mawaziri.
Kabla hata mwaka haujaisha akafukuza Waziri Mkuu wake na kuteua mwanajeshi kuwa Waziri Mkuu mara baada ya muda akalalamika kuwa wanajeshi wanataka kumuua!
Mara hili mara lile akatangaza...
Nyie wanaCCM msiokubaliana na yanayoendelea nchini, uoga wenu ndiyo kitanzi cha tsifa hili. Ni lazima mpandishe joto la kisiasa nchini ili muafaka wa kitaifa upatikane.
Tokeni kwenye mashimo yenu ya woga na hofu, mje mtoke hadharani mseme, mkemee, mshauri na mtoe misimamo. La sivyo atanyakuliwa...
Ukweli kwamba anainyosha nchi. Kila goti litapigwa kuanzia Dar hadi Ruvuma, kupitia Lindi na njia ya kuelekea kwa sugu
Kama alifanikiwa bunge la katiba hana hata kajeshi kamoja na hata hili atafanikiwa. Mama shujaa
Mtawala asipokupenda tu kichwa kinawekwa juu ya mkuki iwe fundisho kwa wengine 😂😂🙌
Waliowahi kuiona watanielewa😂
Ni mwendo wa kuwindana na kukaa kimachale machale sana.
Sory naomba kujua kwa kuwa makamu ameshatangaza kujiudhulu na Rais akapokes barua yake ya kujiudhulu akadhibitisha.alafu hapo hapo au siku kadhaa kabla Rais hajateua Makamu wake ghalfa ikatokea(japo hatuombei itokee)Rais nae akafariki je!tutapiga kura upya kumpata Rais mwingine au nchi...
Maana wazalendo tusiokuwa na uwezo wowote wa kulazimisha mabadiriko tukipaza sauti tunalazimishwa kujiuzulu, au kupotezwa. Sasa nauliza huko kwenye majeshi yetu hatuna wazalendo ambao hawawezwi kupotezwa wala kulazimishwa kujihuzulu wanapopaza sauti ya kulinda mali za watanganyika? Captain Tesha...
NI Tanzania tu ambapo wananchi wanakaa kimya pale ambapo watetezi wa haki zao kama kina Ben Saanane, Ali Kibao, Luhaga Mpina, Tundu Lissu, Job Ndugai, Hamphrey Pole Pole au hata Dr. Nchimbi, wanaondolewa katika uongozi, kutekwa na kuuwawa au kufunguliwa kesi za mchongo na watu wanakaa kimya tu...
Hili swali ni lazima tulipatie jibu. Nchimbi anaweza kufikishwa mahakamani..hawatamuacha "astaafu". Anaweza kuwa kizuizini asiondoke, asiseme na asikutane na watu anaowataka.
Damian analazimisha migogoro ya Kikatiba..alianza na Ndugai..Sasa Nchimbi..na anayekuja ni jaji yeyote wa Mahakama ya...
abdul hafidh
biashara
binafsi
entebbe
hafidh ameir
hizi
ikulu
kujadili
matairi
mbili
mtoto
mtoto wa
mtoto wa rais
mtoto wa rais samia
na rais
nchi
rais
rais samia
rais wa uganda
samia
sekta
sekta binafsi
uganda
ujumbe
wake
Kama kila Kiongozi anayetaka kutumia akili zake anafukuzwa au kutolewa kwenye mfumo kimya kimiya tusipoamka sasaivi basi Tumekwisha.
Ata Samia angesimamia 4R kwa ukweli Wangemuondoa. Naamini kuna genge Kusini mwa Africa limefanikiwa kuteka kabisa hizi nchi.
Haya Matajiri yasiyoisha kwenye...
Inasikitisha sana Kwa kweli kwa nchi ilipofikia.
Imekua nchi ya mfano kwa miaka mingi.
1) Ilikuwa nchi ya mfano kwa kupigania haki ya watu wengine duniani kote walikokua wanaonewa na watawala wa wa hovyo.
2) Sasa imekuwa nchi ya mfano wa mambo ya hovyohovyo na ya kijingajinga hapa duniani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.