"UNPD hawawezi kushinda uchaguzi huu, hakuna muujiza. Sasa wameamua kutumia mbinu za Tanzania. Zambia si Tanzania na Tanzania si Zambia. Hii ni Zambia, hatuwezi kutumia mbinu za nchi zilizofeli katika demokrasia.
Wale wanaofikiri wanaweza kutumia mbinu zilizotumiwa na Tanzania, hawawezi...
Waafrika tuliwafukuza wakoloni, which was completely a right thing to do cause watu weusi na watu weupe hatuwezi kuchangamana. It failed in South Africa, na huko USA it's been hundreds of years na bado hadi leo wanahangaika to blend people together
Shida inakuja, baada ya kuwafukuza tukafanya...
Zipo Nchi nyingi Duniani zilizowahi kufanya maridhiano ya pamoja kwa njia zinazotofautiana zikitumia mbinu na mikakati tofauti ili kufanikisha amani na utulivu. Nchi hizo ni pamoja na:
Rwanda– Baada ya mauaji makubwa ya kimbari mwaka 1994, Rwanda ilifanya juhudi za maridhiano ya kitaifa...
Kuna wakati huwa nahisi Tajiri M ,Timu S na viongozi wake wanapitia kipindi kigumu sana ambacho wanashindwa kuweka wazi kila kitu .
Kulingana na forbes Tajiri M ni tajiri namba 1 Nchi T kwa kipindi kirefu, na ashawahi kuwa tajiri mdogo zaidi kwenye top 50 Bara A .
Kulingana na Kiongozi M ...
1. Mtoto wa Raisi
Kuna tofauti kubwa sana ya kuoa mtoto wa Rais na mtoto ambaye mzazi wake amekuja kuwa Rais mbeleni (ni watu 2 tofauti)
2. Nchi tofauti.
Tofauti za kitamaduni,kimazingira na kimalezi.
Ni ngumu sana "Wazee wa kimila" kukupitisha kwenye "chujio la jadi" lakini jamaa amepenya...
Kwanini mfano Shirika la nyumba lisiweke nyumba kwa ajili ya wanafunzi mfano kwa Dar es Salaam? Mwanafunzi anapanga nyumba sawa na mfanyakazi au mfanyabiashara Kariakooo?
Yaan Mwanafunzi anapanga karibu na danguro ? Hostel za magufuli zimeokoa maisha ya wanafunzi wengi kuongeza idadi ya...
Kuna kila dalili ya Ema The Boy kung'atuliwa ila ni namna na wakati sahihi wa kumng'atua ndiyo Kizungumkuti. Inadaiwa katumiwa rafiki yake Jasusi Kutoka TISS, Ema kamjibu kawaambie waliokutuma "Mimi sio mwepesi na sio Mwoga"
Habari zikarudishwa kwa Mtuma mjumbe kuwa Kasema never.
Komalia...
Ripoti hii si uchunguzi wa kweli; ni jaribio la kisiasa la kuficha nyayo za utawala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufuatia uchaguzi wa Oktoba 2025 ambao, kwa mujibu wa taarifa hii, ulikuwa wa udanganyifu na ulioambatana na ukatili. Naibu Jaji Mkuu wetu anaitwa kushiriki katika Tume hiyo kama...
Miaka zaidi ya 100 iliyopita, Kabla ya Vita vya Kwanza vya Dunia, Wajerumani walikuwa na mipango mikubwa ya maendeleo ya miundombinu Tanganyika.
Baadhi ya mipango ilikuwa tayari imeshakamilika. Kwa mfano, reli inayotumika hadi sasa kutoka Dar es Salaam hadi Kigoma, yenye urefu wa takribani...
"Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya;
basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao."
(2 Mambo ya Nyakati 7:14. Hili ni ahadi maarufu sana).
MJI WA NINAWI
Ninawi, mji wenye watu...
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alitoa maoni katika ufunguzi wa mkutano wa serikali leo. Maelezo Muhimu:
Hakika umegundua jambo la kuvutia: Iran inashambulia nchi zote katika eneo hilo, na hata nje ya eneo hilo, lakini kuna nchi moja ambayo haishambulii - Nchi ya Israeli Kwa sababu...
Marekani imekuwa ikizishinikiza nchi kadhaa za Afrika kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), ikiwa ni pamoja na kutishia kuchukua hatua dhidi ya serikali zitakazokataa kufanya hivyo, gazeti la Le Monde liliripoti Jumanne.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio...
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, amemwaga povu zito akilaani vikali utekaji, utesaji na ukatili aliofanyiwa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kazungu Bakari, huku akitahadharisha kuwa wimbi hilo la kihalifu linaiweka nchi kwenye taswira mbaya mno kisheria na kimataifa.
Kupitia...
Binafsi napenda sana watanzania tufanikiwe na huwa najisikia vibaya watanzania tunavyosota , bongo ngumu sasa nashare experience yangu nA nyie, moja fahamu mimi ni dealer wa usifirishaji wa nafaka na soko langu kubwa ni nchi hizi 1. Congo drc 2. Zambia 3. Malawi ,
kuna fursa nyingi huko...
Ndiyo maana ,tuna -;
1. Baba wa Taifa.
2. Rais -amiri jeshi mkuu.
3. Mwenyekiti wa chama.
4. Mifumo kamili ya uendeshaji inayojitegemea (ndani ya nchi)
5.Raia kuwa huru (kujiendesha kibinafsi ili mradi kutokuvunja Sheria za nchi (zilizosimikwa)
USHAURi WA BURE.
Katafuteni Taifa ambalo...
Kwa kawaida Watu au waafrica tunapozungumzia maendeleo tunaongelea vitu kama Ajira,Miladi wawekezaji kutoka nje,mikubwa,Au kugundulika kwa rasilimali kama mafuta,dhahabu au gesi .
Lakini kamwe hatuangali mifumo na nguzo hizi zinazotengeneza na kukuza uchumi.
Nguzo ya kwanza : UAMINIFU
Uaminifu...
Namshangaa Samia na matume yake.
Tume ya CHANDE ilimwambia vijana walilipwa ili waandamane, walilipwa ili wachome nchi , hao vijana zaidi ya elfu 2 ameshawaua na yeye ndo alitoa amri watu wauwawe akidhani anakomoa CHADEMA.
Leo anaagiza tume tena ikachunguze wale vijana aliyo waua kuwa...
07 Agosti 2026
Uhamishoni
Nje ya Tanzania
Bw. David Jumbe msaidizi wa karibu wa mheshimiwa Tundu Lissu katika mahojiano exclusive 07 Agosti 2026 UHAMISHONI NJE YA TANZANIA
https://m.youtube.com/watch?v=sZ0ZZ6LjIck
David Jumbe, msaidizi wa karibu wa Makamu Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA (Tundu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.