nchi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini tuhamie Burundi na sio nchi nyingine?

    Mwigulu Nchemba kasema asiyetaka tozo ya miamala ahamie Burundi. Ni kwanini asiseme kuhamia nchi nyingine. Burundi kunani?
  2. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Zile stori za Tanzania ina utajiri wa rasilimali nyingi ni uongo, au kuna shida mahali?

    Tokea tunakua tukisikia Tanzania tuna rasilimali nyingi sana, lakin tokea inchi imepata uhuru hizo rasilimali zimeshindwa kuwa msaada kwa wananchi Mfano nchi za kiarabu Kuna rasilimali ya mafuta tunaona jinsi gani zilivyowasaidia, nchi kama south Africa na Botswana tunaona dhahabu na almasi...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania WHO: ni nchi 10 tu duniani zilizofanikiwa kuwapatia chanjo wananchi wake kwa idadi kubwa

  4. Z

    JamiiForums Tanzania Unapoendesha nchi kijamaa, andaa tozo za kijamaa

    Tuna miradi mikubwa ya kitaifa. Hii ikikamilika itasaidia wananchi wote kijamaa. Miradi kama SGR, bwawa la umeme, kiwanda cha dawa ni miradi ya kimkakati zaidi kuliko kujenga mashule vijijini. Hao wavijini waitwe kwenye harambe wafyatue matofali wajenge madarasa. Labda wachangiwe mabati, sementi...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania ni mzigo kwa nchi, ni hasara kwa nchi

    Naomba niseme haya ni maoni yangu binafsi, na ni mtizamo wangu binafsi, na ndivyo ilivyo. Bunge la Tanzania lililojaa utitiri wa wabunge hadi wabunge feki, ni mzigo kwa nchi ni hasara kwa nchi wala halina faida yoyote Utitiri wa wabunge wa majimbo, wabunge wa viti maalumu wabunge wa kuteuliwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania SoC01 Athari zinazoweza kujitokeza kutokana na tozo mpya katika miamala ya fedha kwa njia ya simu kwa uchumi wa nchi yetu

    UTANGULIZI Hivi karibuni tumeshuhudia Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania likifanya mabadiliko ya sheria ya fedha, (The Finance Act) na kuongeza kifungu namba 46A, kifungu kidogo(1) kinachosema kwa tafsiri isiyo rasmi; “Kutakuwa na tozo zitakazokatwa kwenye miamala ya fedha kwa njia ya simu...
  7. L

    JamiiForums Tanzania China yakaribisha nchi nyingine kujiunga nayo kushirikiana na Afrika katika mapambano dhidi ya COVID-19

    Katika mkutano wa wakuu wa China, Ufaransa na Ujerumani uliofanyika hivi karibuni kwa njia ya video, rais Xi Jinping wa China alitoa wito kwa Ulaya kutoa chanjo dhidi ya COVID-19 kwa Afrika, na pia kuisaidia kukabiliana na shinikizo la madeni linalotokana na janga hilo. Juu ya hilo, kuna vyombo...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, kitendo cha nchi ya Burundi kupenda kushirikiana zaidi na nchi moja ya 'EAC' ni Afya kwa 'Usalama' wake wa Taifa?

    Ni kawaida kabisa kuisikia nchi ya Burundi au kupitia Rais wake wakipenda sana 'Kujianika' juu ya Mipango yao ya 'Kiustawi' na 'Rasilimali' zake kwa nchi moja Rafiki ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Je, Wabobezi wa Mambo ya Kiitifaki na Kiusalama kitendo hiki cha Taifa la Burundi kupenda...
  9. Richard

    JamiiForums Tanzania IMF na Benki ya Dunia ni taasisi kubwa ambazo hujidhihirisha na watu wanoteuliwa kuwakilisha nchi katika masuala ya fedha

    Hizi Taasisi kubwa kama IMF na Benki ya Dunia huwa wana taratibu za kujidhihirisha kabla ya kumpokea mgeni kutoka nchi fulani ambae huteuliwa kuwa waziri wa fedha. Dr Phillip Mpango ni mwenyeji katika taasisi hizi za fedha duniani. Ukiongelea masuala ya uchumi na Dr Mpango hupati shaka kwamba...
  10. dubu

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Polisi wazuia Kongamano la Katiba Mpya

    Polisi wa Nyakato Mwanza, wamezua kongamano la Katiba mpya kwa Sababu walioandaa Kongamano kawajatoa taarifa Polisi. Hivyo likifanyika bila kibali cha Polisi litakuwa ni batili.
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanataka kuvuruga amani ya nchi, tuwe nao makini kama Taifa

    Ukweli ni kuwa walishapoteza direction kwa muda wa miaka sita toka uchaguzi wa mwaka 2015 na mpaka sasa hawa gea ya kuwapa kick ya kuweza kuwini watanzania. Wanataka kupitia hoja ya kudai katiba mpya kama njia ya kuonekana wanatetea wananchi ili kuchafua amani ya taifa letu. Hawa watu ni watu...
  12. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Miezi 4 bila Hayati Magufuli: Kwanini Magufuli aliweza kuijenga nchi bila tozo ya mshikamano?

    MIEZI 4 BILA JPM:KWA NINI RAIS MAGUFULI ALIWEZA KUIJENGA NCHI BILA TOZO YA MSHIKAMANO!? Leo 12:50hrs 18/07/2021 Mwana wa kweli wa Afrika, Son of the soil, Hayati Rais Dr. John Pombe Magufuli,ndani ya miaka mitano aliifanya Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati bila tozo ya mshikamano akifanya...
  13. L

    JamiiForums Tanzania SoC01 Hewa ya ukaa na mabadiliko ya tabia ya nchi

    Hewa ya ukaa ni hewa inayotokana na vitu mbalimbali hasa Shughuli za kibinadamu kama vile viwanda,usafirishaji,uchomwaji misitu na vichaka wakati wa uandaaji wa Mashamba kwa ajili ya kilimo . Hewa ya ukaa ni moja kati ya hewa yenye uchochezi mkubwa wa mabadiliko ya tabia ya nchi. Hewa ya...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nchi nzima wananchi wameongeza chuki dhidi ya Chama cha Mapinduzi (CCM)

    Kwa sisi tuliofatilia hali ya kisiasa na kijamii kuanzia kuingia kwake madarakani 2015 na uchaguzi wa muhula wa pili 2020 tulijua kabisa na kubashiri janga linaloenda kuikabiri nchi yetu. Kwa sisi tulioona na kushuhudi uhuni ule wa uchaguzi, matumizi mabaya ya fedha kudhibiti Haki na demokrasia...
  15. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zaiomba Benki ya Dunia msaada wa Tsh. Trilioni 231.9 kukabiliana na Corona

    Wakuu wa nchi 13 za Afrika wamekutana Abidjan nchini Ivory Coast na kufanya mazungumzo ya jinsi ya kuhuisha uchumi kutokana na athari za virusi vya corona, kuongeza uwekezaji na upatikanaji wa ajira. Mkutano huo umefunguliwa na Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast aliyetoa wito kwa Benki ya...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania SoC01 Utunzaji wa Mazingira, Mabadiliko tabia ya nchi na maendeleo ya nchi yetu

    Tunayategemea mazingira, tunaishi ndani yake, hapana Shaka bila ya mazingira maisha yetu hayawezekaniki, pengine niseme, Sisi ni watoto wa mazingira, nayo ndiyo Mama yetu anayetulea Kwa kutupatia kila tunachokihitaji, hata hivyo katika Mazingira vipo vitu vingi hasa, vingine hata hatujui kazi na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu wa utawala bora katika nchi za Afrika

    Niende moja kwa Moja kuelezea utawala Bora Ni Ni kitu gani. Utawala Bora Ni ile Hali ya serikali,shirika au taasisi kuongoza Kwa kufuata misingi ya Haki,uwazi na uwajibikaji . Katika nchi nyingi za jangwa la Sahara,utawala Bora imekuwa Ni kitu adimu Sana kwani nchi takribani zote zinaongoza...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hii ni timu ya Taifa U23, Maajabu hayatakuja kuisha nchi hii

    Tozo ya miamala imepiga mpaka kumbukumbu zimeruka
  19. R

    JamiiForums Tanzania Tuliwambia hii Nchi bila wapinzani kuitetea ni kazi bure. Mmeona wenyewe. Msilie sasa kaeni kwa kutulia.

    Ni miaka mingi sana wapinzani tumekuwa tukipigania maslahi ya taifa kwa udi na uvumba. Kwa miaka yote tumekuwa na matokeo chanya ikiwemo kuzipinga bajeti nyonyaji kwa wananchi. Ilifika mahali bajeti pendekezwa za Mbadala kutoka kambi ya upinzani Bungeni zinachanwachanwa kwenye makamera ili...
  20. Opportunity Cost

    JamiiForums Tanzania Kuondoka kwa Majeshi ya Marekani Nchi Afghanistan kumewaachia maafa makubwa wananchi

    Ni huzuni kweli kweli,nimeona taarifa ya BBC ikionesha mateso wanayopata Raia wa Afghanistan kutokana na vita Kati ya Taleban na Majeshi ya Serikali. Watu Wana njaa,wanauwawa na Wana majeraha ya risasi na mabomu.Marekani wamekosea Sana kuondoka huku wakijua jeshi la Nchi ni dhaifu.Matokeo yake...
Back
Top Bottom