nchi

  1. Mzalendo_Mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Marekani Afrika afungua mazoezi ya kijeshi baina ya US na Tanzania

    Kamanda wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) Jenerali Stephen Townsend, alikuwa na ziara ya siku mbili nchini Tanzania, tarehe 27 na 28 Julai, ambapo alikutana na maafisa waandamizi wa jeshi na kufungua mazoezi ya kwanza ya pamoja ya kijeshi ya nchi hizi mbili toka mwaka 2017...
  2. 6WaS9

    JamiiForums Tanzania Kwa YouTube content creators na wanaomiliki YouTube channel ni kweli U.S imepeitisha sheria ya kodi kwa raia wa nchi zingine pia 30% Tax ?

    Nilokuwa na pitia YouTube kuna channel kadhaa raia wa nchi zingine wanalalamika kuhusiana na kodi ambayo Marekani imepitisha ya 30% kwakuwa YouTube ni kampuni ya "kimarekani". hivyo basi kuqnzia sasa YouTube channel creator watakuwa wanalazimika kulipa kiasi hiko cha kodi kwa asalimia hizo...
  3. mngony

    JamiiForums Tanzania Gwajima anawakilisha lile kundi linalotaka kumkwamisha Mama kuongoza nchi, hili la Chanjo ni kisingizio tu

    Tunakumbuka kuwa kulikuwa kuna fununu za jitihada za kutaka Mama asishike usukani baada ya Mzee kufariki, na hali hiyo ilichangia kuchelewa kutangawaza kifo cha Mzee mpaka pale Mkubwa wa Mapiganaji wetu alivyoingilia kati Tunakumbuka wakati wa mazishi ya Mzee kule kijijini Mkubwa wa Mapiganaji...
  4. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Israel nchi ya Bara Asia ya kati na Mwanachama wa Ulaya kukubaliwa kuwa Mwanachama wa African union imekaaje hii?

    Umoja wa nchi huru Africa umeipatia kiti cha kudumu Taifa la Israel kama Mjumbe wake sawa sawa na Nchi za Umoja wa Africa katika baraza lake kuu japo haipigi kura... ikumbukwe Israel alishawahi kuwa Mwanachama hapo mwanzo Miaka 19 Iliyopita Israel tayari inamahusiano na nchi zaidi ya 46 kati ya...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hakuna kurudi nyuma. Simamia hapo hapo, Hii nchi ukiwasikiliza watu haitaenda

    Kwanza kabisa nakupongeza kwa ukipofikia. 1. Kwenye chanjo 2. Kwenye Makato ya Kodi Tanzania ilipokuwa imefikia ilikuwa ni pabaya sana. Watu waliaminishwa ujinga na wakaendelea kuishi kwenye ujinga. Tumepoteza watu wengi sana kutokana na kuaminishwa kuwa Tiba asili inatibu Corona badala ya njia...
  6. Richard

    JamiiForums Tanzania Tumsikilize mchungaji Gwajima, tusimbeze. Chanjo zote zina bechi tofauti na kuna nchi hukataa baadhi ya bechi na nyingine ni zile zilizobakia

    Utangulizi- Nawaomba Mods msihamishe uzi huu. Mchungaji Josephat Gwajima asimamia maeneo mawili katika hoja yake. Kwanza, kilichomo kwenye chanjo na pili chanjo dhidi ya wanajeshi na walinda usalama wa nchi. La kwanza kuhusu kilichomo kwenye chanjo au (content). Mchungaji Gwajima anadai ni...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Uraia na Haki inahitajika sana Tanzania!

    Nimeanza kuona umuhimu wa watu kusoma na kuelimika. Angalia sisi ndani humu tulivyomakondoo mpaka vyombo vya nje cnn, aljazeera, sky news nk ndo wanatusaidia kudai haki na inaonekana wao neo wameguswa zaidi na uonevu na ni kama wanaandamana invisibly lakini sisi hakuna tunachojua hata...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ni Mbunge au rais wa nchi fulani?

    Naombeni musikilize hotuba ya Ndugai kwa madiwani. Sikilizeni anavyotetea suala la makato kwa njia ambayo binafsi nimeshindwa kuelewa kama hiyo ni hotuba ya mbunge au rais. Kwa ujumla utaona shida inakoanzia ni wapi. Huyu ni mbunge mzoefu, bado ana akili ya aina hii. Tunakwenda wapi na mbunge...
  9. Jacobus

    JamiiForums Tanzania Fainali ya ASFC Kigoma mgeni rasmi angekuwa Rais wa nchi

    Najaribu kuamini kuwa Rais SSH ni mpenda soka ila upande wa Simba au Yanga ni siri yake. Ile mechi ya ligi ya tarehe 3/07 hakupaswa kwenda uwanjani na kuwa mgeni rasmi kwani ilikuwa mechi tu ya kawaida ya ligi. Mechi aliyopaswa kuwa mgeni rasmi ni hii ya kesho tarehe 25/07 kwani ina umuhimu wake.
  10. D

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi ya kuboresha Sekta ya Afya ili kuongeza pato la nchi

    Tanzania ni nchi ambayo pato lake bado lipo katika ukuaji japokuwa tupo katika uchumi wa kati ila tunasafari ndefu ya kufika pato la juu. Hili tutaweza kulifikia endapo nchi na wananchi wake tukawekeza nguvu kasi ambayo itazaa matunda mazuri kwa miaka ijayo. Leo ninawazo zuri ambalo kwa namna...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ni kama nchi iko kwenye Auto Pilot

    Auto Pilot, kwa uelewa wangu tafsiri isiyo rasmi, nchi inajiendesha. Kwa sababu gani nasema hivyo. Ni kama ifuatavyo. 1. Kuhusu tozo. Mheshimiwa waziri wa fedha na Mipango ndugu Mwigulu Nchemba alisema mama amesikia kilio cha Watanzania ila cha ajabu mpaka leo hakuna kinachoendelea kuhusu...
  12. Informer

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yatoa Katazo la Misongamano isiyokuwa ya lazima kukabiliana na UVIKO

    TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI. TAMKO LA KATAZO LA MISONGAMANO ISIYOKUWA YA LAZIMA Tarehe 22 Julai, 2021 - Dar es Salaam. Ndugu Wananchi, kama tunavyofahamu Tanzania iko kwenye mapambano ya kudhibiti maambukizi ya UVIKO-19 ikiwa ni wimbi la 3 la mlipuko huu tangu uingie nchini Machi...
  13. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini fursa ya ufadhili wa kimasomo nje ya nchi ni kwa ngazi za juu tu za elimu?

    KWANINI FURSA YA UFADHILI WAKIMASOMO NJE YA NCHI NI KWA NGAZI ZA JUU TU ZA ELIMU? UTANGULIZI. Katika nchi yetu ya Tanzania na afrika kuna wimbi kubwa la wasomi ambao wanawaza kwenda nje ya nchi kwa mgongo wa scholarship zinazotolewa na nchi za marekani,ulaya na asia.Katika namna yakutafuta...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nchi yenye wanasiasa Magaidi si sehemu salama kwa uwekezaji

    Nchi nyingi zenye viashiria vya Ugaidi zimekuwa zikiyumba kiuchumi. Lakini pia raia wake upata shida Sana wawapo nje ya mataia yao kwa usumbufu wa upekuzi na ufauatilia unaomiza. Kutangaza nchi kwamba ina viongozi Magaidi Ni kosa kubwa kiuchumi na kisiasa pia. Kwa Mataifa ambayo yanaelewa...
  15. Richard

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni moja ya nchi zaidi ya 50 zilizo kwenye orodha iitwayo "RED LIST". Serikali inafanya jitihada zipi kujitoa humo?

    Nchi zaidi ya 50 nyingi za kutoka mabara ya Afrika na Asia zimo katika orodha iiwtayo "RED LIST", Orodha hiyo iliwekwa kwa zile nchi ambazo hazitoi takwimu za kuridhisha juu ya idadi ya watu waloambikizwa ugonjwa wa Covid-19 na pia idadi ya vifo vilivyotokana na maambukizi ya ugonjwa huo...
  16. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya kidikteta

    Mimi kama Mkenya nahuzunika sana kuona kwamba tumezungukwa na nchi za kidikteta. Kenya is the only democracy in East Africa. Mkubwa wa Upinzani Freeman Mbowe na wafuaswi wake wamekamatwa usiku wa kuamkia jana na wanashikiliwa na polisi. Inakisiwa kwamba watashtakiwa kwa madai ya ugaidi. Yaani...
  17. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Mbowe na CHADEMA mnataka kumkwamisha Rais Samia kwakuwa amewalegezea kidogo?

    Friends and Enemies, Mbowe na CHADEMA wanataka kutupeleka wapi Tena? Je, ni kweli kwamba walishazoea ile hali ya kupelekwa kibabe na mwendazake na wameikumbuka kisha wameanza kutingisha kibiriti? Katiba mpya ni suala la mchakato, ni suala mtambuka na jumuishi kwa makundi mbali mbali ndani ya...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nchi imechanganyikiwa, hatukuandaa viongozi sasa tunalipaua Taifa

    Kinachotokea Leo hii Tanzania kuandikwa na kuripotiwa Duniani vibaya kwa miaka mitano mfululizo ni matokeo yakutoandaa viongozi na kukosekana kwa exposure; zamani viongozi walikuwa wanachanganywa waliokulia nje na waliokulia mazingira ya ndani ili wapeane mbinu zakisiasa na kujua namna yakutatua...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu mwenye akili timamu duniani ambaye atapinga au kuzuia Katiba ya nchi kuboreshwa, kwa sababu huwezi ukaboresha Katiba ikawa mbaya zaidi

    Labda watu hawaelewi maana ya Katiba au umuhimu wa Katiba ya nchi, au Katiba ya nchi ni kwa ajili ya nini na nani. Lakini hakuna mtu duniani, kama ana akili timamu, atazuia wazo la kuboreshwa kwa Katiba ya nchi. Mtu anaefanya hivyo ni mwendawazimu, au hajui kazi ya Katiba ni nini, au utaratibu...
  20. rosemarie

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anajaribu kuendesha nchi kama Hayati Dkt. Magufuli?

    Habari za kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema Mbowe na watendaji wengine wa Chama huko Mwanza zinashangaza sana Watanzania wanajiuliza Rais Samia anajaribu kuiga au kumuiga Magufuli? Maswali yamekuwa mengi kwani hana leadership style ya kwake ya kufanya kazi? Kwani zile ahadi alizotoa za...
Back
Top Bottom