nchi

  1. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Chadema inakosa watu makini wa kujua adui wa demokrasia nchini ni nani?

    Kuna Uzi nilisema humu NI vigumu kufikia malengo ya Democrasia na utawala wa Sheria ata 80% kwa utawala wa Mama yetu pendwa japokuwa NI kiongozi mzuri na sio muumini wa utawala wa kimabavu. Swala la Democrasia duniani zipo za Aina mbili. Democrasia ya magharibi. AMBAYO inatoa mwanya wa vyama...
  2. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania FAIDA ZA EAC: Tanzania tunapokea wafanyakazi & wanafunzi wengi zaidi kutoka nchi wanachama kuliko nchi nyingine

    Niko napitia gazeti la The East African hapa ukurasa wa tatu wanasema Tanzania tunaomgoza kwa kuwakaribisha watu wa nchi wanachama kuja nchini mwetu KUISHI na KUFANYA KAZI. Kwa ufupi ni kwamba Tanzania tunaongoza kutoa vibali vya kazi na makazi katika EAC. Kenya wanafuatia wa tatu ni Burundi...
  3. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa COVID-19 unaonekana nchi za Afrika kuwa wakutisha kuliko Nchi za Magharibi

    Wadau kama niwafatiliaji wa michuano ya mpira uefa euro 2020 inayoendelea utaona kwamba wenzetu janga hili haliwagusi watu wamejazana uwanjani na hawana barakoa kulikoni sisi huku Afrika. Nini kinaendelea nyuma ya pazia kuhusiana na janga hili la corona? Sisi kama watanzania hili swala...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tawala nyingi za kiafrika hunguka kutokana na Wakuu wa Nchi kupotoshwa na wapambe wao

    Kiongozi wa nchi anakuwa na wapambe wa kila namna. Hawa wanakuwa na jukumu la kumjuza mkuu wa nchi juu ya masuala muhimu ya taifa analoongoza . Hata akina Nkwame Nkurumah walipotoshwa na baadae wakajikuta wanapinduliwa. Maana kiongozi akipotoshwa huwa hasimamii kweli na madhara yake hufanya...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Wageni kutoka nchi tisa watafanyiwa vipimo vya haraka kabla ya kuingia

    Wizara ya Afya ya Zanzibar imetangaza watu kutoka nchi tisa ambazo tayari zimethibitisha kuwa na maambukizi ya virusi vipya watalazimika kufanyiwa vipimo vya haraka kabla ya kuingia Zanzibar Nchi zilizotajwa ni India, Uganda, Marekani, Uingereza, Peru, DR Congo, Afrika Kusini, Ufilipino na Brazil
  6. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Kitaalamu tunamuitaje huyu

    Wakuu Ukisikia Mungu Kaumba Kwa Mfano Na Urefu Sahihi Hapa Ndipo Kwenyewe Wakuu. Hii Mbegu Itakuwa Ya Nchi Gani? Maana Sio Kwa Urefu Huu [emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]
  7. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Tuwe serious na uongozi wa nchi yetu

    Wanabodi kiongozi ni kioo cha anaewaongoza. Kazi kubwa ya kioo ni kuangalia mwonekano wako au wa kitu ambacho macho hauwezi ona moja kwa moja. Vivyo hivyo kwa kuwa kiongozi, jamii inayoongozwa utazamwa na kupimwa kutokana na kiongozi wake. Sinashaka na uongozi wa juu wa nchi yangu Tanzania, ila...
  8. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania David Kafulila kuteuliwa kuwa DC baada ya kujiuzulu U-RAS ni uthibitisho kwamba nchi hii kuna watu hawatakiwi kuwa Jobless?

    Hii imekaaje ? Mtu anachaguliwa nafasi fulani, anafanya baada ya muda anajiuzulu kwenda kutafuta nafasi anayoitaka mwenyewe. Cha kushangaza mtu huyo huyo teuzi nyingine zikifanyika unamuona kateuliwa tena. 🙄 Je, hakuna watu wengine au what's so special na hawa watu ? Nadhani wakati wa kura...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awekeze kwenye utawala wa sheria, katiba mpya na tume huru ya uchaguzi

    La muhimu ni kwa Rais Samia kwa hii miaka minne, au mitatu, aipatie Tanzania katiba mpya. Asijikweze sana kutaka kugombea hapo 2025, hilo si lake. Awaachie wenyewe. Zaidi ajikite kwenye kuwekeza utawala wa sheria, Katiba mpya na tume huru ya Taifa ya Uchaguzi, mambo matatu hayo yatamuweka...
  10. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania INAKUWAJE: Umekuwa Mbunge, umesoma nje ya nchi, umefanya kazi Obama foundation lakini bado unavizia teuzi za uDC, uRAS ?

    Kiukweli serikali iheshimu sekta binafsi. Kujiajiri kwa mafanikio ni kipaji cha kipekee sana. Hivi inawezekana vipi Joshua Nassari kutumia pesa za ubunge kwenda kusoma nje, lakini unarudi kutafuta teuzi ??? Lijualikali alikuwa anatafuta teuzi mpaka analia licha ya kuwa na mshahara, posho na...
  11. James Martin

    JamiiForums Tanzania Tishio la Wakenya kuitaka ardhi yetu ni zaidi ya Wachina na wazungu

    Wakenya ni majirani zetu na ndio nchi pekee duniani ambayo naweza kusema tunachangia vitu vingi sana. Kwa mfano, tunaongea lugha moja, chakula chetu kinafanana na kuna makabila mengi ambayo yapo Kenya na Tanzania. Pamoja na ujirani wetu na mila na tamaduni kufanana lakini pia kuna tofauti kubwa...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunajifunza nini kwa Siasa za Dunia hasa Makamu akionekana na 'Pistol' Kiunoni, ila Mkuu wa nchi hiyo hiyo akiwa 'Huru' kabisa?

    Na mnavyojitahidi Kujilinda na hizo 'Pistol' zenu kwa Uwoga wenu na Kujihisi kwa 'Madhambi' mliyofanya mjitahidi pia hata Corona 'iliyowakosakosa' na Dally Kimoko Viruses mjilinde nayo kwa 'Silaha' hiyo hiyo. Karibuni sana hapa Kwetu Herzegovina.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Iran nchi inayoongoza kwa kuikopesha Tanzania

    Naam, siyo wengine bali ni walewale watoto wa Ayatollah ndiyo wanaoongoza kutupiga tafu kwenye mikopo Siyo China, wala Marekani wanaoongoza kutukopesha ili tufanye mambo ya maendeleo, bali ni Wairani. Wairan ni watu walionyooka sana, hawapendi kuburuzwa, ni watu wanaojiamini. Pamoja na wao...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Upatikanaji wa Mayai Nchi Tanzania

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI TAARIFA FUPI KUHUSU TAARIFA ZINAZOZUNGUKA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII (SOCIAL MEDIA) JUU YA KUSHUKA KWA BEI YA MAYAI NCHINI 15 JUNI 2021 1. UTANGULIZI Tarehe 15/06/2021 Wizara ya Mifugo na Uvuvi iliona ujumbe unazunguka kwa njia ya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Is it true that the telecast of covid-19 horrible situation in Uganda is just a propaganda?

    ABOUT THE FOOTAGE below:- In Uganda, people of Kasese almost killed health officials following their illicit move of burying an empty coffin which they claimed to be carrying the Covid-19 dead body. This came after the long lived and widespread rumours in Uganda, that the government is...
  16. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Charity Ngilu: "Kazi ya william ruto ni kutangatanga tu na sio kumsaidia Kenyatta!"

    "Huyo Ruto hawezi saidia Nchi yetu, anahitaji kutuonyesha factory ata moja ambayo ametengeza. Amekuwa Deputy President miaka tisa sai lakini amefanya nini? Unaangalia mtu na Uongozi wake sio mdomo. Badala ya kumsaidia Rais Uhuru Kenyatta, kazi ni kutangatanga tu. Gavana wa Kitui - Charity Ngilu.
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo: Ukitaka kula mema ya nchi kuwa mbunge

    Mishahara yao haikatwi kodi, wanapata kiinua mgongo kila baada ya miaka mitano pasi kuchangia mfuko wa jamii. Tena mafao yao yanatoka kwa wakati stahiki hakuna njoo kesho.
  18. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

    Nimekaa nikafikilia maisha yamenipiga, kazi niliyokuwa nayo haikidhi kabisa mahitaji yangu ya kila siku, nina mke, nina mtoto, ninao ndugu wanao nitegemea, baba, mama na wadogo zangu mbaya zaidi mimi ndie kaka mkubwa wa familia, najiona kabisa nimeanguka, najiona napoteza uelekeo kila kukicha...
  19. mama D

    JamiiForums Tanzania Mnaosema Hayati Dkt. Magufuli ndiye aliwaambia Wamachinga wajenge mabanda kila mahali, sikilizeni maagizo yake

    Wamachinga ni wananchi kama wengine na wana haki ya kuishi mijini kama watanzania wengine. Mkitaka kuwahamisha hakikisheni mmeandaa mazingira ambayo hayataathiri biashara zao, maana hii ndio kazi inayowafanya wazilee familia zao na kusomesha watoto. Hawa watu hawakupenda kuwa wamachinga kwahiyo...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Serikali yaagiza uvaaji barakoa kwenye mikusanyiko

    Serikali ya Tanzania imeagiza wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa corona kwa kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko, ili kujikinga na wimbi la tatu lililoibuka katika mataifa mbalimbali. Wakuu wa mikoa na wilaya wameagizwa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo kwa kuzishirikisha kamati za...
Back
Top Bottom