Mtu anaejiamini anamfukuza mwizi kimyakimya bila kupiga kelele, hata wanyama wanaojiamini habweki sana wakiona adui yao.
Kuna wakati Watanzania walitaka kuaminishwa kuwa makelele mengi hadharani ni dalili njema za kujiamini na uongozi bora, lakini sasa imedhihilika kuwa sio kelele nyingi...
Kufanya mapinduzi ni kukamatwa na kuondolewa kwa serikali na mamlaka yake. Kwa kawaida, ni kukamata madaraka kinyume cha katiba na kikundi cha kisiasa, jeshi, au dikteta.
Hata hivyo vipi katiba yenyewe inaporuhusu kumuondoa raid kutokana na mapungufu ya kisheria.....
Hilo ni moja tu kati ya...
Ndio, ni lazima uwe mbumbumbu asiyeweza kupata taarifa ya mambo yanavyoenda hapa nchini hasa upande wa siasa, na hata ukizipata basi usiwe na uwezo wa kuchenjua mbivu na mbichi.
Uzalendo ni kama imani, ili uwe na imani thabiti pale mbele kwenye usukani lazima akae undisputed role model...
Katika kutoa taarifa za makusanyo pale Morogoro Msemaji wa Serikali amesema Serikali kwa mwezi Septemba mwaka huu serikali imekusanya Tilion 1 na zaidi cha ajabu Wastaafu wana miezi 11 wengine 12 hawajalipwa MAFAO acha pensheni MAFAO, je, kuna ukweli wowote wa makusanyo haya au kuna kitu nyuma...
Leo wamepitisha matangazo jijini Mwanza kwamba kwanzia jumatatu hawataki kuona machinga yoyote mjini, lakini hatujui wanataka watuone wapi, wanaotangaza haya wao ni watumishi wa serikali wanatembelea magari, kipato chao ni serikalini,
Sisi kipato chetu ni mtaani kwanini mtufukuze?
Tukale...
Mahakama ya Haki za Binadamu ya Canada ambayo mwaka 2016 iliituhumu serikali ya nchi kuwa imefanya ubaguzi wa kimbari, kutumia mabavu na kuua Wahindi Wekundu wenyeji wa nchi hiyo imeitaka serikali ya Ottawa kuwalipa fidia Wahindi Wekundu kwa kupatikana na hatia ya kukiuka haki zao za kibinadamu...
Kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa tangu uje utawala wa Kizayuni karibu na mipaka ya nchi, Iran imezidi kuguswa na suala la usalama wa mpaka wake wa kaskazini magharibi na kwa sababu hiyo harakati za utawala huo haramu zinafuatiliwa...
Hivi hii imekaaje unakuta mtu ni waziri ama mbunge anakuwa na maendeleo makubwa kwelikweli kuliko hata nchi yake
Hebu tazama watu kama Lowassa jinsi walivyo mabilionea wakati maskini wanazidi kuongezeka kila kukicha hapa danganyika
Kwa nini mbinu wanazozitumia kujiletea maendeleo binafsi...
Kuna mambo lazima tuseme ukweli, hata kama ni ukata lakini si kwa hali hii. Mitandao yote ya simu wamepandisha gharama za bando za internet bila hata kujulisha wateja wake, nini kimetokea ikiwa ni miezi 3 tu baada ya vifurushi kupandishwa wananchi wakapiga kelele sana vikashushwa chini, leo...
Habarini Bavicha na Chadema kwa Ujumla
Leo napenda kuwashauri jambo la kuwasaidia kutokana na trend yenu ya kuanzisha vi thread humu kuongelea kesi ya Mbowe na kuleta nadharia zenu kuhusu watu waliokuwa Wanajeshi ambao wamedhibitiwa na vyombo vya ulinzi na Usalama
Napenda kuwashauri hivi...
Ili nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na uthubutu. Maamuzi ambayo muda mwingine hayatapendwa na wananchi. Mambo kama haya hayawezekani chini ya demokrasia.
Hata wanaotuhubiria demokrasia kila siku wanajua kuwa haifai pale maamuzi magumu yanapohitajika. Ndiyo maana mataifa...
Na Elivius Athanas.
0745937016.
Nchi nyingi za Kiafrika zimeendelea kuwa tegemezi Barani Ulaya, Amerika, Asia na Mataifa mengine toka Mabara ya nje.
Serikali nyingi za Afrika, zimeendelea kutegemea mikopo, misaada na sera za kiutawala na kiuchumi kutoka Mataifa hayo.
Utumwa huu usiokoma...
Habari za leo ndugu zangu wa chama cha CHADEMA. Leo nataka niwaibie siri ila siwalazimishi kuifuata ni juu yenu.
Ni hivi,
"CHADEMA mkimwomba msamaha Magufuli na kuamua kufuata sera na maono yake, 2025 mnachukua nchi kilaini sana".
Nimeyasema haya kwasababu alitaka mjenge naye uchumi lakini...
Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu mkubwa mwenendo wa kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu. Nafuatilia kwa kwenda mwenyewe Mahakamani. Hata sasa nipo Viunga vya Law School of Tanzania ilipo Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi kwa ajili ya...
CCM KUWEKA MISINGI MADHUBUTI KUENDELEZA SANAA NCHINI
Dar es Salaam
25 Septemba, 2021
Akizungumza kupitia jukwaa la wasanii liloandaliwa na kampuni ya Marketing Africa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka amesema serikali ya CCM itaendelea kuweka misingi Imara ya...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Elim Pentekoste Tanzania, Peter Konki amewaomba Watanzania kila mmoja kwa nafasi yake kufanya maombi kwa ajili ya taifa la Tanzania na rais Samia Suluhu Hassan Mungu aweke walinzi juu ya ufahamu wake ili uamuzi atakaoufanya katika nchi uwe wa busara na wenye tija kwa...
Baada ya Rais Uhuru na Samia kutoa agizo kwamba mazungumzo yafanyike ili kuondoa vikwazo vya kibiashara, juzi wakuu wa serikali hizi mbili walifanya kikao cha siku tatu huko Mombasa na kukubaliana kuondoa vikwazo 12 zaidi. Sasa vikwazo 18 pekee ndio vimesalia na vitaondolewa kabla ya mwaka huu...
Na Fadhili Mpunji
Niliposoma maoni ya Rais Xi Jinping kwenye barua aliyoiandika tarehe 14 Septemba kukumbuka mchango wa Bw. Edgar Snow, Bw. Shafick George Hatem, Bw. Louis Eli, na Bw. Israel Epstein nilifarijika sana. Kilichonifanya nifarijike ni kwamba bila kujali wewe ni nani, uliotoa mchango...
Sio kwamba msikusanye kodi hapana ila Kuna mambo mengi TRA wanafanya ambayo yamekua ni kero kwa wafanya biashara unakuta mtu katoka na mzigo China Ile kutua tu AirPort anakutana na msururu wa TRA apo na wapo serious vibaya mno wanakagua mzigo mmoja baada ya mwingine.
Unakuta mtu kabeba simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.