Nimetafakari Sana mapinduzi mengi duniani na hasa haya ya hivi karibuni ya Guinea conacry kumbe kimsingi kabisa wenye nchi ni wanajeshi na sio hawa wanasiasa wanaotusumbua kwa vimidomo vyao.
Dombouya alipompindua rais wake aisee rais alikuwa mpole Sana alikaa kwenye Kochi kwa utulivu Kama...
Wanaukumbi.
Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN.
Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu...
Utashangaa viongozi waliopatikana kwa njia za kidemokrasia, wizi wa kura, mapinduzi na ving'ang'anizi madarakani eti wote wanajiita marais waliostahili kutumia kodi za mataifa yao kuhudhuria mkutano.
Wakubwa wanachojali pale sio ulipatikanaje kuwa Rais wa nchi yako, bali nitapata nini kutoka...
Tangu kuripotiwa kwa kisa cha kwanza cha Ugonjwa wa UVIKO19 katika jimbo la Wuhan nchini China, maambukizi ya virusi hivyo yamepindukia visa milioni 200 huku zaidi ya watu milioni 4.5 wakipoteza maisha. Kubadilika kwa aina za virusi vya corona kama Alpha, Beta, Delta nk., kunaongeza chumvi...
Kuna mtu anaweza kuja na nadharia zake dhaifu kupinga lakini huu ndio ukweli. Hakuna mtawala aliyewahi kukubali kukaa chini na kupendekeza mabaliko ya katiba bila msukumo kutoka kwa wananchi kupitia matukio magumu yatakayomlazimu kukaa kupatanishwa na mahasimu wake.
Alipata kuyasoma haya...
WanaJf, Salaam!
Nimefanya utafiti mdogo kwenye sekta ya viwanda nikagundua mrundikano wa tozo, kodi, na ushuru vinavyotozwa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kwa mfano kwa wilaya ya Bukoba mmiliki wa kiwanda cha kuongeza tofali za block hukutana na kodi, ushuru na tozo hizi:-
(i)...
Aidha ripoti ya maendeleo ya binadamu ya mwaka 2013 iliyozinduliwa na Umoja wa Mataifa, ilibainisha zaidi ya nchi 40 zinazoendelea zilifanya vizuri zaidi ya matarajio katika maendeleo ya binadamu ndani ya miongo iliyopita karibuni, huku mafanikio yao yakiserereka pasina kushuka kasi na viwango...
Wanajukwaa kuanzia leo nimeona mabadiliko kwenye Akaunti yangu ya Mpesa upande wa Tozo za kutuma Pesa kwenda Mitandao mingine na kwenye Tozo za lipa kwa Simu Ndo kusema kuwa vodacom wanapuuza Makubaliano waliyoyaweka, Watanzania wanyonge Tunalia na Tozo hizo!
Tulianza mahusiano vizuri tu baada ya mwezi akapata scholarship kusoma nje ya nchii baada ya mwezi mmoja, mawasiliano yakapungua kinoma, na sasa cha kushangaza ameniblock kabisa..
Nifanyeje wanazengo na bado nampenda?
Kesi ya uhaini hukumu yake Ni kifo na Ugaidi hukumu zake Ni hafifu zaidi Ni kitu gani kinaipa serikali yetu hofu ya kutaka watu wasijue kinachoendelea mahakamani?
Ingekuwa nchi za wenzetu kesi hii ingekuwa live luningani hapa kwetu Kuna shida gani?
Kama mnabisha ushahidi upo hapa kesi...
Ndugu wana JF nimeona nishare na ninyi kile walichonieleza hawa marafiki zangu niliokutana nao South Africa kipindi nahangaikia ndoto zangu kuhusu mtazamo wao kwa aliyekuwa rais wetu JPM.
Kuna rafiki yangu raia wa Kameruni ila kwa sasa anaishi Marekani. Jamaa ni PhD wa uchumi na amefundisha...
Maafisa uhamiaji mkoani Sumbawanga (Kanongo) wanaongoza kwa kuchukua rushwa na kuwasumbua wageni wanaopita kwenda nje ya Nchi. Leo nikiwa kwenye gari nimeshuhudia wakongo mani waliokuwa na vibali vyote kupita nchini Malawi wakisumbuliwa na kulipishwa fedha nyingi dola 300 kila mmoja...
Tanzania baada ya nusu mwongo hatimaye Rais personal wa JMT anatua Umoja wa Mataifa
Kwamiaka mitano mfululizo iliyopita aliyekuwa rais wa JMT Hayati Dk John Pombe Joseph Magufuli yeye alituma wawakilishi marazote.
Nikwamara ya kwanza Rais wa JMT anafika mwenyewe Baraza Kuu la Umoja wa...
Huu ni ujumbe mahsusi kwa wawakilishi wa makampuni, viwanda na biashara zote wakiwemo wajasiriamali.
Hakuna sababu ya kuhangaika na safari za nje ya nchi kufuata bidhaa au huduma. Ni upotevu wa muda, gharama na kujiingiza kwenye hatari ya kupata maambukizi ya ugonjwa hatari wa Uviko19...
Kama tungebahatika hata kupata chama kimoja tu kinachojiendesha kitaasisi hapa Tanzania, 2025 tunge zungumza mengine, maana kilamtu leo anajua kuwa CCM inakuna nazi.
Lakini lolote linaweza tokea kwani mama tayari amesema kunavijicho choko ndani tena vinapitia kwenye vijigazeti vya Uhuru.
BBC wa ajabu Sana hawa.
Eti Tanzania ni nchi ya 23 kwa nguvu za kijeshi. Eti Congo DRC ni ya 10. Uganda 14 na Kenya 12.
1. Egypt, 2. Algeria 3. Nigeria 4 south Africa 5. Ethiopia 6. Angola 7. Sudan 8. Morocco 9.Libya na 10 ni Congo DRC.
Maajabu hayaishi duniani. Mbona Libya, Ethiopia, Congo...
Tanzania ni nchi ya pili barani Afrika kwa kuwa na Uhuru mkubwa wa kutoa maoni baada ya Africa kusini iko chini kidogo ya Uingereza||
Je! CHADEMA mnalijua hili?!
" Hakuna kama Samia "
GOODNEWZ: Tanzania rasmi nchi ya pili Barani Africa kwa uhuru wa kujieleza|kutoa maoni baada ya Africa ya...
Wasalaam,
Leo ilikuwa maadhimisho ya cku ya demokrasia duniani ambapo kwa hapa tanganyika mgeni rasmi alikua mh Rais wa JMT. Sasa nimesikitika na vijembe alivyokua akirusha wakati akihutubia ikiwemo kauli za kibaguzi dhidi ya wanaume.
Mh Samia hajaongelea hali ya demokrasia hapa tanganyika...
Waziri Mkuu wa Haiti, Ariel Henry amepigwa marufuku kuondoka Nchini humo kufuatia uchunguzi unaoendelea kuhusu kuhusika kwake katika mauaji ya Rais Jovenel Moïse yaliyotokea Julai 2021
Mwendesha Mashtaka anatazamia kufungua mashtaka dhidi ya Henry ambaye ametakiwa kuelezea uhusiano wake na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.