nchi

  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Rais mtaafu Kikwete akitoa ushauri wa jinsi ya kuongoza nchi atatoa ushauri huu?

    Wakati wa uongozi wake aliwahi sema kuwa watu wasimuandame kuwa anasafiri sana. Alisema kuwa huko watu wanapesa sana hivyo ni muhimu atoke akahemee. So kama JK akiombwa ushauri wa kuongoza nchi bila shaka ushauri wa kutoka na kuomba kwa kila anayeonekana ana pesa utakuwa ni wa kwanza kabisa...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa wala nchi hii: Mkutano wa TEHAMA umekwisha na maazimio ya kinafiki

    Limkutano huko Arusha lilikuwa na mbwembwe kwelikweli aisee yaani nimekaaa hapa natengeneza apps fulani bando limeisha kabisa kushoto kulia hata buku 3 ya kupata gb 2 sina niweze kuchukua baadhi ya vitu online na kucheki tutorials Ama kweli hili li nchi nuksi sana , walivyokuwa wanajiliza...
  3. Jesusie

    JamiiForums Tanzania Tanzania huenda tukapata Least Deleveloped Countries Fund ( LDCF ) kwenye US$100B za COP

    Agenda ya US$100B kwa nchi masikini baada ya Rais Samia kurejea nchini tutarajie chochote kutoka COP26? "Hakuna kama Samia " Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ni miongoni mwawajumbe 197 wa baraza la 26 la Uhifadhi wa Mazingira duniani yaani COP26 lililoketi kwa kipindi cha Siku 12...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ni Chama kipi kinakidhi vigezo vya kuiletea Nchi yetu maendeleo ya haraka?

    Kwa kuwa chama kina dhamana ya kuiweka serikali madarakani na kuisimamia, kubuni na kuitekeleza ilani ili kutatua kero za wananchi na kuwaletea maendeleo. Kwa maoni yako unadhani ni chama gani kwa hivi tulivyonavyo sasa kwa muundo wake kikatiba kwa dira yake na kwa utamaduni wake kinakidhi...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini haiitwi Vatican Country badala yake inaiwa Vatican City?

    Hii inafikirisha kidogo jamani. Vatican ina mabalozi nchi zote lakini haijiiti nchi ya Vitican bali mji wa Vatican. This brings much confussions. Au mnasemaje nyie? Na cha ajabu haiko hata kwenye nchi za umoja wa Ulaya yaani EU. This still brings antagonistc behaviour
  6. The Dictator

    JamiiForums Tanzania IRAN: Ni nchi pekee duniani watu wanaruhusiwa kuuza figo zao kihalali

    Unaambiwa! Ikiwa biashara ya viungo vya ndani vya binadamu bado ni haramu katika nchi karibia zote duniani, Iran ndio nchi pekee duniani inayotoa vibali na ruhusa kwa watu kuuza figo zao kihalali. Serikali huandikisha wanunuzi na wauzaji, kuwalinganisha na kuweka kiwango cha bei elekezi kwa...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Sudan: Wanaopinga Mapinduzi ya Kijeshi waitisha maandamano ya nchi nzima

    Wanaopinga Jeshi kuchukua Madaraka wameitisha maandamano ya Nchini nzima wakitaka kurejeshwa kwa Serikali inayoongozwa na Raia ili kurejesha Taifa hilo katika Demokrasia. Maelfu ya wananchi tayari wamekuwa wakiandamana kupinga Mapinduzi yaliyoongozwa na Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, na...
  8. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Mwanaume gani hujawai hata kutoka nje ya nchi?

    Unakuta mwanaume hana hata passport. Hajawai jata kutoka nje ya nchi hata Kenya tu awajawai kufika. Mwanaume hana exposure. Hivi mwanaume unakosaje passport? Mwanaume unakosaje kutoka nje ya nchi jamai?. Wanaume wa hivi wanakuaga wapo wapo tu hawajui hata dunia inavyokwenda. Wanakuaga na...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zafaa kuiga mbinu za kisasa za kilimo kutoka China

    Na Tom Wanjala Mnamo mwaka wa 1978, China ilikuwa miongoni mwa mataifa maskini duniani. Kutoka mwaka huo, taifa hili likaja na mikakati na harakati za kujitoa kwenye hali hii ya umaskini iliyokuwa tishio kwa mamilioni ya raia wake. Ikiwa ni nchi pekee ulimwenguni yenye idadi kubwa zaidi ya...
  10. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Kama atafanikiwa kwenye hili basi atakuwa ndio Rais bora katika historia ya Tanzania na huenda akakumbukwa kwa vizazi hata vizazi

    UTANGULIZI: Nimiaka zaidi ya arobaini (40) sasa tangu kugunduliwa kwa uwepo wa gesi Asilia huko Likong'o-Mchinga Lindi Pembezoni mwa bahari ya Hindi yenye futi za ujazo trilioni 57.7, Gesi hii baada ya kuchimbwa na kupoozwa kwa nyuzi Joto -260`F au -162'C nakuwa gasi miminika ndio inaitwa...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nchi hii hata watu wote wawe na Degree moja, haiwezi kuendelea

    Kwema Wakubwa! Kwa tathmini zangu ninazoziamini kuliko kitu chochote kile. Nachelea kusema, nchi hii hata watu wote yaani wote milioni 60 tuwe na Degree moja moja na zaidi kamwe haiwezi kuendelea. Kwa bahati nzuri Mimi ninayo hiyo degree hivyo ninachokiongea nakielewa vizuri Sana. Kama...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe anisikilize mimi na si yule mzungu, apige magoti chini kwa mama aje tujenge nchi Taifa linahitaji mchango wake

    Sisi kanisa tumefundishwa kuwa sharia haiwezi kumkomba mwanadamu, na mafundisho yetu kupitia bwana Yesu Kristo huwa tunaenda mbali zaidi kwa imani kuwa Taurati/sharia haiwezi kuleta haki kwa jamii, haiwezi kuleta amani kwa jamii isipokuwa kwa jina la Yesu mnakaa chini na kuonyanyana kwa zabiri...
  13. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu kiasi gani kwa nchi kudhibiti fedha za kigeni?

    Wakuu, tuliona jinsi JPM alivyofunga brueau de change ghafla na kuweka wanajeshi wakilinda. Hii ilikuwa oparesheni kubwa na ya kushtukiza. Bila shaka ilikuwa na umuhimu mkubwa sana. Naomba kuelimishwa umuhimu wa nchi kucontrol fedha za kigeni.
  14. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Hakuna nchi iliyoendelea kupitia machinga

    Kuweka rekodi sawa, Duniani kote hakuna nchi iliyoendelea kupitia MACHINGA, eg. US, UK, UAE, Qatar, Kuwait, Botswana, SA. 1. Hawalipi Kodi. 2. Ni bomu linalosubiri kulipuka kwa usalama wa biashara rasmi na mji kwa ujumla. NB: Warasimishe biashara kwa kujiunga vikundi na kuvisajili Kisha...
  15. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Simba Sc ikipigwa nchi hutulia.

    Mitaaani kuanzia kariakoo Msimbazi hadi mitaa ya huku kwetu huwezi kusikia makelele. WanaSc punguzeni makelele mnaposhinda hasa mkipata kabao komoja.
  16. BAK

    JamiiForums Tanzania Nchi inakoelekea kunatisha

  17. B

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wetu na nchi za kiarabu una tija? Una uhusiano na gani watawala wa regime hii?

    Hizi habari zimeanza kusikika Sana,hizi safari za masharikk ya mbali zimeibuka Sana,Ni ipi tija?Wakina Benjamini na John waliziona hizi fursa ambazo wenzetu wanaziona leo? #HABARI Waziri wa Nishati January Makamba, amewasili nchini Saudi Arabia kwa mwaliko wa Waziri wa Nishati wa Saudi Arabia...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema, achana na Siasa za kuongelea watu, na majungu jikite nini utaifanyia nchi hii ya Tanzania

    Godbless Lema ni mmoja ya wanasiasa mahiri, na uwa nampenda kwa misimamo yake, na hasa kipindi cha mwanzo alivyoingia Bungeni. Ila shida moja ambayo naona inazidi kukua na kutamalaki. Lema amekuwa muda mwingi anaongelea watu binafsi, si vibaya mara moja kujadili utendaji wa mtu katika majukumu...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Wabunge wote wa CCM wameshindwa kutetea maslahi ya wamachinga nchi nzima. Nini maana yake?

    Ndugu wanaJamiiForums habari za asubuhi. Ni jambo la kushangaza tena sana, kwamba ktk majiji ya Tanzania hasa Dar es Salaam na Mwanza majiji yanayokuwa kwa kasi sambaba na fursa nyingi za kiuchumi na biashara. Katika majiji haya hivi karibuni na hata sasa wamekuwa wakibughudhiwa na serikali...
  20. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Tanzania haina uzoefu wa kuwa nchi ndiyo maana mambo mengi hayana 'consistence ya kitaifa'

    Kumradhi kwa kila mtu naomba nisionekane nimetukana ila huu ni mtazamo wangu tu. Kila kitu ni uzoefu. I mean kila kitu ili kifanyike kwa usahihi mkubwa panahitajika uzoefu. Hii ni law of nature in doing things. Watu wengi hulalamika kuhusu mwenendo wa Tanzania kisiasa, kielimu, nk. Watu...
Back
Top Bottom