nchi

  1. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Ni nini wajibu wa Mabalozi wa Nchi na Waziri wa Mambo ya Nje?

    Kwa sasa nchi inapitia kwenye wakati mgumu kutokana na kupanda kwa gharama za maisha, mfumuko wa bei na milipuko ya magonjwa. Kiongozi mkuu wa nchi kila mara yuko nje ya ofisi. America, Zanzibar, Uganda nk. Je, kazi za mabalozi ni zipi? Je, safari hizo zina tija kwa taifa?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nchi inapokuwa na Waziri Mkuu mlalamikaji na mshangaaji bila kuchukua hatua zenye matokeo, shida iko wapi?

    Ninaona waziri mkuu akianika madudu ya serikali kama raia asie na mamlaka. Anakuwa mtu wa kusoma uovu kwa kushangaa na kulalalmika, nikisha hakuna kinachoendelea juu ya maovu hayo. Tatizo ni kwamba hana uwezo?, si kazi yake?, hana nia thabiti zaidi ya propanganda za kisiasa? AU genge la uharibu...
  3. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Nashauri Royal Tour izinduliwe Nchi nzima. Kumbe ina faida kubwa kwetu Watanzania kiasi hiki? Sikuwa najua

    Ule uzinduzi wa Marekani ulikuwa na faida sana kwa wale ambao tulipata nafasi ya kwenda kuhudhuria kule na kuhamasisha. Ingawa tulikaa siku chache sana lakini si haba. Wengi wameweza kufanya kitu nyumbani. Wengine wamepaua,wamenunua tugari,viwanja n.k mimi nimeangalia wanaopinga hii ni wivu tu...
  4. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliwezaje kukopa kwa Wazungu ikiwa aliharibu uhusiano na nchi za Ulaya?

    Leo 10:15pm 07/05/2022 Kabla ya Rais Magufuli kuingia madarakani Mwaka 2015, Tanzania ilikuwa katika uchumi wa chini, ukiwa katika uchumi wa chini kabisa, sera ya taifa na lengo linapaswa kuwa kuelekea uchumi wa kati wa ngazi ya chini, hii ni hatua moja kutoka katika uchumi wa chini,adhma na...
  5. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Kama Zitto Kabwe unaweza kununuliwa ukipewa nchi si utatupiga mnada?

    Bwana Zitto anasema Magufuli hakuwa mkweli na aliendesha miradi mikubwa kwa fedha za mikopo. Kauli ya bwana Zitto ni muendelezo wa baadhi ya wanasiasa nchini kwetu kushindana na Maiti ya hayati Dr. Magufuli ingawa ukweli unaonekana wazi kuwa Maiti ya shujaa wetu ina nguvu kuliko watu hao walio...
  6. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Dunia inazidi kuwaamini wanawake kwenye Uongozi wa juu wa Nchi

    Kwa mara nyingine tena Ms Leni Robredo atapita alimopita Carazon Aquyo na Gloria Aroyo. Ni VC president na mgombea nafasi ya Rais.. Huyu ndio Samia wa Filipino 👇
  7. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mawaziri mizigo wanaligharimu taifa na wananchi wanyonge wanataabika. Mkuu wa nchi yupo kimya kana kamba haoni. Hili ni tatizo

    Kwa nini mafuta yanapanda kwa namna hii huku kumbe yalinunuliwa zaidi ya miezi minne iliyopita. Kwa nini yapande sasa hivi mwaka huu 2022. Kwa nini huyu waziri wa pesa na tozo hajajiongeza kuangalia namna ambavyo tozo zinazosababisha mafuta kupanda bei kushushwa? Au kwa sababu yeye tozo...
  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado ni nchi maskini sana

    To be honest Watz 90% Bado tunaishi Maisha ya kuunga unga Hiyo 10% ndo kidogo wanaishi Maisha Mazuri yenye Nafuu . Mafuta yamepanda kidogo lakin watu wameamua kupaki Magari ndani huku wengine wakiomba msaada was kuchangiwa Mafuta . Yaani nashangaa watu wanawatukana jobless lakin still na. Wao...
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabadiliko makubwa Turkana, nchi hii kila kona raha tu

  10. S

    JamiiForums Tanzania Kodi kubwa kwenye mafuta ndio chanzo kikuu cha bei ya mafuta kuwa juu nchi hii

    Waulizeni watawala wanatoza kodi kiasi gani kwa kill lita moja ya mafuta yanayoingia nchini ndio mtajua nini hasa chanzo cha hizi bei kuwa juu. Sasa kwakuwa kodi ziko juu, issue ya vita inafanya bei ambazo teyari ziko juu, ziwe juu zaid na hiki ndio kinatutesa leo hii. Suluhisho ni kwa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yapeleka chuki ya dhidi ya Russia kwenye mkutano wa kundi la nchi 20

    Fadhili Mpunji Mgogoro wa Ukraine unaendelea kufichua hali ya umwamba kwenye siasa za kimataifa, ambao sasa umefikia hatua ya nchi moja kuzilazimisha nchi nyingine kufuata msimamo wake, na kufanya vitendo vya kulenga nchi zisizokubaliana na hali hiyo. Kwa baadhi ya nchi za magharibi, dhana...
  12. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Nchi ambayo Wafanyabishara wanaweza kugharamia safari za Rais za Kitaifa na Kimataifa haiwezi kujali maslahi ya wananchi wa kawaida

    Juzi tuliambiwa gharama za safari za rais za kitaifa na kimataifa zinagharamiwa na wafanyabishara ambao hawatajwi majina. Katika akili ya kawaida, kama wafanyabishara wanagharamia safari za mkuu wa nchi nje ya nchi na ndani ya nchi maana yake tayari rais ameshakuwa compromised na...
  13. Poker

    JamiiForums Tanzania Idadi ya Wasimbe Tanzania ni kubwa kuliko nchi yoyote ya Afrika

    Hali nchini Tanzania imekuwa mbaya mno Wasimbe wanaongezeka kila kukicha kwa mujibu wa takwimu zilizofanywa huko Africa Kusini katika kila wanawake 10 wasimbe ni 7. Bado haijajulikana shida hasa ni nini ila kwa mujibu wa wasimbe hao baadhi wanadai walikosa uaminifu huku wengine wakidai tamaa ya...
  14. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Endelea kuwatafuta mama lakini!!! Ni mwekezaji gani atakuja kuwekeza kwenye nchi iliyojaa uhalifu kila kukicha na umeme usio na uhakika?

    Nimeshuhudia matukio ma4 ya uhalifu ndani ya wiki moja. 1. Ndugu yangu kabisa kavunjiwa duka wezi wamekuja na gari wamezoa kila kitu (Tahadhari: kama una biashara ya vinywaji usilaze friji nje usiku likifanya kazi, wahalifu wanatumia umeme huo kukata milango na kofuli) 2. Ndugu ya jirani yangu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya utasusia kununua mafuta ya urusi baada ya miezi 6. Urusi yawakebehi kwa kusema wataendelea kuyanunua kupitia nchi nyingine kwa bei juu!

    Nchi zinazounda umoja wa ulaya (EU) zimekubaliana kususia kununua mafuta ya urusi baada ya miezi sita. Lakini zimeziruhusu nchi mbili za Hungary na Slovakia ziendelee kununua mafuta ya urusi maana zenyewe zilisema ""piga ua hawawezi kuachana na mafuta ya Urusi". Lakini nchi ya Urusi imezikebehi...
  16. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kutumia stoku ya nchi kupunguza bei ya mafuta?

    SERIKALI HAINA UWEZO WA KUPUNGUZA HIZI BEI ZA MAFUTA? Na Elius Ndabila 0768239284 Nimesoma bei mpya ambazo zinaongeza maumivu mara dufu kwa mtu wa chini. Nimesema zinaongeza maumivu kwa mwananchi wa Chini kwa kuwa natambua wengine wanaotumia sawa sawa kodi za wavuja jasho maumivu hayawafikii...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna mkakati wa kuwatisha viongozi wa nchi hii?

    Wana JF na Watanzania, Kuna kundi limejitanabaisha humu kama wao ndio waamuzi wakuu wa hatma ya nchi. Huko nyuma mwandishi mmoja wa kundi hilo amekuwa akiandika na kuyaita maandishi yake kama "maono", badae akaanza kusema anawasilisha yaliyopitishwa "mezani", badae alivyopata kuaminika hasa...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Hivi wauza mafuta / (petrol, dizeli) ni akina nani nchi hii?

    Wana JF, Wananchi.. Hili ni swali... Hebu tusaidiane hapa kujua kiunaga ubaga, hawa wauza mafuta Tanzania ni akina nani.. Yani wale wa jumla, na wa rejareja (hizi petrol stations) Nalenga hasa kupata wenye hisa/ au wamiliki, na marafiki zao... Naomba tusaidiane tujue kwa sababu, si kosa...
  19. kyagata

    JamiiForums Tanzania Marais wa wenzetu wanachokifanya wakiwa nje ya nchi na watu wanaokutana nao

    Inapendeza sana for sure
  20. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Serikali kuilipa Symbion Tsh Billion 356

    Serikali Kupitia Wizara ya Nishati (Tanesco) kuilipa kampuni ya Symbion Tsh Billion 356 baada ya kuvunja mkataba wake na Tanesco awamu ya 5. Kampuni ya Symbion ni Kampuni iliyokuwa ya Kimarekani ambayo ilikuwa ikifua umeme na kuiuzia Tanesco! Kampuni ya Symbion ilifunguliwa rasmi awamu ya 4 na...
Back
Top Bottom