nchi

  1. Bepari la bariadi

    JamiiForums Tanzania Stand kuu ya mabasi kukosa huduma ya choo kwa masaa zaidi ya sita kwa kisingizio za kutokuwa na maji ni uwendawazimu, hiki ni kioo Cha nchi

    Ni upumbavu ambao haukubaliki wala kuvumilika stend kuu kama hii ya Magufuli Mbezi louis kuendelea kukusanya mapato huku abiria wakitoa pesa zao kwaajiri ya huduma ya choo,Kisha wanaambiwa ni haja ndogo tu maana maji hakuna almost 6hrs now tokea kusitishwa kwa huduma hiyo muhimu.bila hata kutoa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kwa asili ya Watanzania tunahitaji Rais wa kidemokrasia ila mwenye tabia za kidikteta au Katiba yenye Meno Makali

    Watanzania wengi Wana sifa kuu Tatu ambazo sio nzuri kwa afya ya Taifa lolote:- 1. Wavivu 2. Wezi na sio waaminifu 3. Wanapenda sana starehe /maisha mazuri kuliko kufanya kazi. Sasa kwa sifa hizo mbali na kwamba tuna kila kitu ni Ngumu sana kuendelea labda tupate EITHER Katiba inayong'ata watu...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hivi kama nchi tumeshindwa kabisa kutengeneza mbolea?

    Katika utengenezaji wa mbolea kitu kigumu kupata ni Phosphate. Hii haiwezi tengenezwa kama material zingine za mbolea, Nitrates nk. Phosphate huchimbwa. Duniani nchi inayoongoza kwa kuwa na phosphate nyingi ni Morocco. 75% ya phophate yote duniani ipo Moroco. Tani bilioni 50. Mazao yanapokua...
  4. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameingia katika biashara na kuwadekeza wafanyabiashara. Nchi inakufa

    Ni vigumu kuamini lakini ndio ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani! Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mkiishamaliza makongamano ya Katiba Mpya nchi nzima, mtafanyeje?

    Sasa hivi naona mnaelekea kumaliza nchi nzima kwa makongamano ya katiba mpya! Lakini sioni kama kuna tija yoyote mlipoishapita pote wala wananchi hawana Habari na katiba mpya, Mnafanya tu vituko mara mwende uwanjani na blauzi za katiba mpya, mara muingie kanisani na blauzi za katiba mpya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wapinzani simameni na Rais sakata la Bomba la mafuta; Mabadiliko ya tabia nchi hayasababishwi na Bomba la mafuta pekee, wanaharakati wanatumika

    Kuna clip inatrend baada tu Mhe. RAIS kutoka nchini Uganda ikionyesha kikundi kidogo Cha watu wakipinga uwekezaji kwenye Bomba la mafuta eti Ufaransa Kuna joto Kali kutokana na mabadiliko ya tabia nchi. Hawa wazungu Sasa wamekosa hoja, kwamba tuache kufanya maendeleo kisa kwao Kuna joto. Mbona...
  7. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Waziri Katambi: Vijana ambao hawajapata mikopo ya Halmashauri pengine ni Wakenya

    Si kweli kwamba vijana wa nchi hii hupata mikopo bali mikopo yote ihusuyo vijana hugawanwa na Viongozi wa chama tawala na vijana wao nao ni wale tu walio na connection. Katambi acha dharau na hilo litakukosesha jimbo. === Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 18, 2022, bungeni jijini Dodoma, wakati...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rostam alikimbia nchi, Seth, Rugemalila et al walikaa Gerezani; matajiri hawa wamejifunza nini kuhusu mfumo mbovu wa siasa Tanzania?

    Huwa natafakari Sana kuhusu thamani ya Watu wasio waadilifu, upanda ghafla na kushuka ghafla. Safari ya utajiri wa Rugemalila na Seth unifanya nijiulize haya yote twajilimbikizia ya Kazi Gani kama ayawezi kutumika kutulinda? Rostam afadhali yeye alikimbia nchi, akakamatwa ndugu yake na rundo la...
  9. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kama Halima aliahidiwa kazi ya kukopwa miloni 30+ ili akimbie nchi. Hawa wapinzani vinara Lissu na Lema wamepewa kazi ya malipo kiasi gani?

    Kama ni binadamu wa kawaida, mchambuzi mzuri wa siasa na mwanaharakati huwezi Sasa kukosa mashaka juu ya Mwenendo wa Freeman Mbowe tokea awali kabisa. Uwenda anajenga upinzani bandia na wanaharakati hutumika kuwapumbaza tu. Anasema alikuwa tayari kumuajili mdee South je kafanya hivyo kwa Lema...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Gharama za kupata kibali cha kusafirisha cereals kwenda nje ya nchi

    Salaam wakuu Naomba kujua makadirio ya gharama za kupata kibali kuweza kusafirisha cereals kwenda nje ya nchi. Je ni gharama gani naweza kuingia katika kufuatilia suala hili. Kama Kuna mtu ameshawahi kufanya hili au anafanya export hiyo naomba mrejesho wa gharama zake.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Hili janga la kufunga na kufungua nchi dawa yake tutaipata lini na wapi?

    Nikiri wazi kuwa nchi yetu inajichanganya sana kwenye mwendelezo wa uongozi wake. Ukiangalia tunavyoongozwa ni kana kwamba tumeongozwa na vyama tofauti vya kisiasa, wakati inajulikana fika kwamba tangu tupate uhuru tumeongozwa na chama hichohicho, sana sana kilijibadilisha jina. Takribani Kila...
  12. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Kwa hili Rais anastahili pongezi

    NILIPATA kuandika miaka ya nyuma kuwa Tanzania inateswa na mambo makuu mawili; Ujuaji na ukosefu wa uadilifu. Mosi; watu wanajua sana. Sehemu yenye kuhitaji utaalamu, yule ambaye fani haimhusu anaweza kuzungumza na kuonekana anajua zaidi. Mwaka jana, Jumuiya ya Wanasheria Tanganyika (TLS)...
  13. APA CHICAGO

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wenye roho mbaya na roho za husuda nchi hii

    Kuna watu wanaroho za korosho,roho mbaya kwa watumishi wa Umma katika nchi hii.Hawataki kuona watumishi wa umma wanaongezewa kipato. Baada ya taarifa ya ikulu Jana kutoka ikisema mhe Rais Samiah Suluhu Hassan amekubali kufanya nyongeza ya mishahara kwa asilimia 23.3% kwa watumishi wa umma...
  14. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Shaka: Nchi tatu zinajadili ili Samia awe Rais wao

    Hiyo ndiyo habari inayoenea kwa kasi zaidi kwa sasa hapa Duniani! Kwa mujibu wa Shaka Nchi zaidi ya tatu zinamtaka Samia awe Rais wao.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais sio mama aliyewanyonyesha watanzania. Anatakiwa asimamie nchi kwa mujibu wa katiba. Sio akikosea asikosolewe kisa ni mwananamke

    Nimeona mahala kwenye mitandao ya kijamii rais wa JMT anasema watu wasipambanae kisa tu eti yeye ni mama. Hapa nafikiri anataka kupindisha mambo. Kwanza nafikiri hakuna anayependa kupambana na mkuu wa nchi bali watu huwa wanataka mambo yeende sawa kwa mujibu wa katiba ya JMT. Lakini kama rais...
  16. MWAISEMBA CR

    JamiiForums Tanzania Raisi Samia sio mfalme na sio mungu wa kuombwa kufanya kila kitu katika nchi yetu

    ✳️RAISI WA NCHI SAMIA SULUHU HASSAN SIO MFALME NA SIO MUNGU WA KUOMBWA KUFANYA KILA KITU KATIKA NCHI YETU‼️ 🔵Na:Shujaa©️®️Ⓜ️ Ni kawaida katika jamii zetu za kiafrika kusikia wananchi wakikimbilia kwa maraisi wao kueleza shida, kuomba misaada kutoka kwao, kuwaomba wawafanyie maendeleo haya...
  17. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Nchi hii raia wanaishi kwa hofu leo nimevamiwa na vibaka mkuki umenisaidia

    Hali ya Amani katika nchi yetu imetoweka kabisa watu wanaishi Kwa hofu, Leo usiku saa 8 :43 Vibaka walivamia kwangu walikuwa 9 , Wakaweka Mawe Makubwa Kwenye Milango yote. Nafuga kuku na Kanga , wakaingia Kwenye Banda la kuku, Nikasikia Kanga wanapiga kelele nikachukua slaha yangu , nikazima...
  18. Bowie

    JamiiForums Tanzania NATO Genge la Nchi Wahuni

    Nchi ya Ukraine imeingia katika vita na Urusi baada ya kudanganywa na hili genge la wahuni wa nchi za NATO. Ikumbukwe wakati wa vita baridi miaka ya 80s kulikuwa na NATO iliyokuwa ikiongozwa na Marekani na Warsaw iliyokuwa ikiongozwa na USSR. Baada ya nchi na taifa la USSR kusarambatika...
  19. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Hichilema wa Zambia kama Magufuli wa Tanzania

    Mambo makubwa mawili anayofanya Rais wa Zambia katika kujenga nchi leo ndiyo aliyokuwa anafanya Magufuli enzi za uhai wake. Leo hii Zambia wanafurahi.
  20. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Hivi hii nchi yetu yote hakuna sehemu kuna mafuta tuchimbe?

    Uganda wana mafuta ghafi, wanafanya uzembe wanauzia Total. Hivi sisi nchi yote hii haina sehemu kuna mafuta kweli?
Back
Top Bottom