nchi

  1. Part Asifiwe kilen Malila

    JamiiForums Tanzania Zifahamu athari za elimu inayofundishwa katika nchi za Dunia ya tatu kama Tanzania

    Elimu elimu elimu 😜😜😜😜 ni moja kati ya chemsha bongo kubwa ambazo Zinakumba jamii nyingi za Afrika Hadi Leo !!! Jamii zetu Zina vijana wenye talent, uwezo ,vipaji, vision na hamu ya kufanikiwa lakini Bado mfumo wa elimu unakwamisha maendeleo. Zifuatazo ni athari za elimu inayofundishwa katika...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Matatizo makubwa ya Nchi zetu na Bara la Afrika yanatokana na 'software za ubongo na sio hardware'. Yaani tatizo ni 'minds'

    Fikra/Akili ni muhimu sana huhusishwa katika kujinasua kwenye minyororo ya kitumwa. Tanzania na Afrika kwa ujumla tunapenda kutuliza matatizo na sio kuyatatua Yaani tunameza 'pain killers' tu na sio dawa za kutibu. Tumefungwa kwenye minyororo ya Utumwa wa Fikra na Utumwa wa Kiuchumi. Tatizo...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kumbe Watanzania Wana Uwezo Kuwa Mabilionea, Walikosa Mitaji na Mbinu!. TotalEnergy Mkombozi, Yamwaga Fursa za DODO Nchi Nzima!. Tuchangamkie Fursa?.

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala elimishi za "Kwa Maslahi ya Taifa". Tanzania sio masikini, Tanzania ni nchi tajiri sana yenye Rasilimali lukuki, ila watu wake ni masikini Kwa Umasikini wa files. "Umasikini m-mbaya kabisa ni umasikini wa fikra"-JK Nyerere...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Serikali na wasomi wa nchi hii mnafanya nini? Je! Ni halali tuwaite wasomi uchwara?

    Kama kweli ikiiwa tunataka nchi yetu Ipige hatua, ni vyema kila changamoto inayojitokeza, tuione kama fursa ya kutufikisha pahala! JPM ingawa hatumpendi, lakini wakati wa Covd 19, yeye aliona kuwa ni fursa, wakati mataifa mengine wakijilockdawon, yeye alihimiza wananchi kuchapa kazi, na mwisho...
  5. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ni Nchi Ajabu Tanzania kushindwa kuvuna Gesi na mafuta inasubiri sekta binafsi kazi hiyo

    Katika Mambo tuliyopumbazwa na mabeberu ni kuacha shughuri za uzalishaji na kutegemea kukusanya Kodi Pekee Hilo kosa kubwa Sana na ,tunatakiwa kubadilisha mind set zetu Mambo mengine ni mtambuka siyo Kila kitu sekta binafsi, project ya baharini kuvuna Gesi inagharimu Kama trillion 7 lakini...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Putin asema nchi za Magharibi zikiondoa vikwazo Urusi itauza nje chakula na mbolea

    Rais Putin jana alisema Urusi inapanga kuuza nje chakula na mbolea ili kutoa mchango katika kukabiliana na msukosuko wa chakula duniani, lakini sharti lake ni kuwa nchi za magharibi zitaondoa vikwazo vilivyowekwa kutokana na madhumuni ya kisiasa. Habari kutoka tovuti ya Ikulu ya Urusi imesema...
  7. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Katiba, Nchi gani Dunia hii iliyowahi kubadilisha kwa hiari?

    Sijawahi kusikia hata siku moja Katiba ikiombwa, Katiba hushinikizwa au kulazimishwa kama ukipenda na sababu ni moja wale wanaotaka Katiba mpya wana nia ya kuingia madarakani ambapo kwa Katiba iliyopo wanaona hawana chance, wale waliokuwa na power ambao ni wanufaika wa Katiba iliyopo hawawezi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Demokrasia gani inayopiganiwa na vyama vya Upinzani? Sioni Chama cha kukipa Nchi

    CCM ni Chama ambacho kina misingi na utaratibu wa namna kinavyojiendesha ndio maana utaona viongozi wanaachiana madaraka kwa taratibu hizo. Utasikia mtu kapita kwa asilimia 100, bila kupingwa etc.. ni taaratibu zao na Wanachama wao wanazipenda. Huku kwetu upinzani Mtu akishaanzisha Chama au...
  9. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Wanaccm wenzangu tambueni takwa la katiba Sio la CHADEMA ni la wananchi na wenye nchi ambao hata Mwenyekiti anawajibika kwao

    Makomredi Tusipoteze muda kwa kupiga sarakasi na kufanya uharamia kwa vyama vya siasa vya upinzani nchini. Tutambue takwa la katiba ni la wananchi na wenye nchi ambao Mwenyekiti wetu anawajibika kwao. Tumshauri aachane na sarakasi za kuzuia mchakato huo kwa visingizio visivyo na mashiko...
  10. MUTUYAMUNGU

    JamiiForums Tanzania Makosa kama haya ni aibu kubwa kwa nchi yetu

    Hebu jionee mwenyewe
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kwa mwaka mmoja nimeongoza Nchi vizuri

    Rais Samia Suluhu ametaja changamoto tatu ambazo amekutana nazo tangu awe Rais wa Tanzania lakini ameonyesha nguvu ya Mwanamke kwa kuongoza Nchi vizuri na katika hali fulani amezidi hata kile kilichofanywa na Wanaume ndani ya mwaka mmoja. Akizungumza wakati akishiriki Mdahalo wa Wakuu wa Nchi...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kati ya Misri na Ghana, ipi ilikuwa nchi ya kwanza Africa kupata uhuru?

    Shuleni tumefundishwa kuwa nchi ya kwanza kupata uhuru ni Ghana, mwaka 1957. Lakini Egypt ilipata Uhuru wake mwaka1952. Ikiondoa waingereza na mfalme. Sasa imekaaje tukasema Ghana ndiyo ya kwanza kupata uhuru?
  13. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika tunadharauliana wenyewe kwa wenyewe. Hii si sawa

    Miaka ya nyuma tumesaidia nchi nyingi sana katika harakati za Ukombozi. Kupinga Ubaguzi,Ukandamizaji ba Uonevu. Nchi nyingi. Tuna maeneo na mitaa mingi kwa Majina ya Wanaharakati na wakombozi wa Africa. Mitaa kama Nkrumah n.k na hata Shuleni nakumbuka kulikuwa na Mabweni kama Nkrumah, Samora...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nchi nyingi zaripoti kesi za monkeypox

    Takwimu zilizotolewa karibuni na Shirika la Afya Duniani (WHO) zimeonesha kuwa, kuanzia tarehe 13 mwezi Mei, nchi 12 zimeripoti kesi 92 zilizothibitishwa za maambukizi ya virusi vya monkeypox, na kesi nyingine 28 zinazoshukiwa, na mpaka sasa hakuna vifo vilivyoripotiwa kutokana na ugonjwa huo.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia akienda nje ya nchi hapokelewi na viongozi wenzake wa juu?

    Kwema jamani? Hivi mbona Rais wetu akienda nje ya nchi anapokelewa na watu wa ajabu tu? Mfano alivyoenda USA alipokelewa na mtu mwenye cheo sawa na mtendaji wa kata huku kwetu. Atleast alivyoenda Uganda juzi niliona wamempa mapokezi ya heshima. Leo kaenda huko Ghana kapokelewa sijui na wakuu...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mauzo ya gesi nje ya nchi ya Tanzania yakiongezeka pato la serikali kwenye gesi litaongezeka pia?

    Mkataba wetu na mwekezaji kwenye gesi unasemaje? Baada ya vikwazo vya kuuza gesi kutoka Urusi bila shaka hata gesi yetu itapata soko kubwa huko nje ya nchi, hasa Ulaya. Je, hii itakuwa na manufaa gani kwa pato la taifa?
  17. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Nani anaendesha nchi endapo Rais na Makamu wa Rais watakuwa nje ya nchi?

    Katiba yetu inasemaje kuhusu chain of command, najua Rais akiwa hayupo Makamu hukaimu, sasa nimesikia Rais na yeye anaondoka ina maana Rais na Makamu wake wote wako oversees, nani anakaimu?
  18. S

    JamiiForums Tanzania Wanaobahatika kuwa Marais wa nchi hii wanapoteza fursa ya kuingia katika historia ya kudumu kwa kushindwa tu kuwapa Watanzania Katiba Mpya

    Huu ndio ukweli mchungu kwa wote waliowahi kuwa Maraisi wa nchi hii baada ya Mwalimu Nyerere kuondoka madarakani.Raisi Mstaafu Kikwete alikaribia sana kupata nafasi hii ya kihistoria ila inawezekana alipotoshwa na wenzake ndani ya chama na huenda hili ni jambo analolijutia katika maisha yake na...
  19. Google Diggers

    JamiiForums Tanzania Marais wateue waliosomea international relations kuwakilisha nchi kimataifa

    Ndg zetu Wanaopata kuwa ambassadors wanaabisha nchi. Mods naomba urekebishe title. Marais wateue waliosomea international relations and diplomacy Mh Rais ateue wenye fani wataalamu wa uhusiano wa kimataifa wawakilishe nchi yetu kimataifa. It's a joke kumuweka MTU kama bosheni
  20. S

    JamiiForums Tanzania Russia imeikatia umeme Lithuania, mwaka huu nchi za EU lazima ziwashe makoroboi (vibatari)

    TANESCO (Russia) ya nchi kadhaa za Umoja wa Ulaya yaendelea kuzichachafya nchi za EU zilizozoea kupewa umeme wa dezoo. Safari hii TANESCO hiyo ya nchi kadhaa za EU imeamua kuikatia umeme Lithuania kutokana na linchi hilo kushindwa kulipia gharama za huduma ya umeme... Acha upepo uendelee...
Back
Top Bottom