nchi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa, elewa Dubai siyo nchi, bali ni Mji

    Kutokana na upotoshaji ambao umekuwa unaendelezwa na viongozi wetu, binafsi kama raia nimeshindwa kuvumilia. Hii imekuja baada ya leo kumsikia tena Mh. Kassim Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu, kusema kilichopitishwa na bunge ni makubaliano kati ya nchi mbili. Nchi ya Tanzania, na nchi ya Dubai...
  2. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mikataba Yenye Usawa: Jinsi ya Kulinda Maslahi ya Nchi

    MIKATABA YENYE USAWA: JINSI YA KULINDA MASLAHI YA NCHI Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI: Mikataba ni sehemu muhimu ya uhusiano kati ya nchi na nchi, au kati ya nchi na makampuni. Mikataba inaweza kuwa na athari kubwa kwa uchumi, maendeleo na ustawi wa nchi. Kwa hivyo, ni muhimu kuhakikisha...
  3. Richard

    JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la Jumamosi, Putin, Lukashenko na Prigozhin wameuthibitishia ulimwengu kwamba wao ni "gangsters" halisi na Russia si nchi ya kuichezea

    Kwa hayo yaliyotokea Jumamosi yameithibitishia dunia kwamba Russia ni nchi kubwa, na hatari sana duniani kwa kila kitu. Pia Putin, Lukashenko na Prigozhin ni watu hatari sana na ni wale twasema "real gangsters". Prigozhin amewahi kufungwa jela kama miaka 10 hivi na akatolewa kwa msamaha wa...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Uswisi Yajitosa Kutatua Changamoto ya Maji Ulanga Morogoro

    AWESO AAHIDI KUSIMAMA NA SALIM ILI KUMALIZA TATIZO LA MAJI ULANGA Waziri wa Maji Jumaa Aweso(Mb) amemuahidi Mbunge wa Jimbo la Ulanga Mhe.Salim Alaudin Hasham kuwa atatoa ushirikiano wa kina yeye na ofisi yake katika mapambano ya kuhakikisha wilaya ya Ulanga inamaliza Changamoto ya upatikanaji...
  5. S

    JamiiForums Tanzania NATO walalamika kuwa Prigozhin kuhamishiwa Belarus kunahatarisha zaidi usalama wa nchi za NATO za ukanda huo

    Baada ya Prigozhin kuwasili rasmi nchini Belarus jana jumanne, NATO wameanza kulialia na kulalamika kuwa kuhamishwa kwa kiongozi wa Wagner, Prigozhin, na askari wake nchini Belarus kunahatarisha zaidi usalama wa nchi za NATO zilizo karibu na Belarus. Malalamiko hayo yamezungimzwa na marais wa...
  6. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Mambo ya hii nchi yamenichosha sana, ni kama ku-deal na watoto watukutu

    Nchi hii inachosha sana ukiangalia mambo inayofanya, vurugu kila kona na wala huoni mambo ya maana yakifanyika. Ni kama kuwa na watoto watundu, unamkataza hiki anafanya kile, ukimkataza kile anarudi kwenye hiki. Ni kama vile wakubwa wanafanya "Trolling" ili kuwaudhi tu wananchi. Nimechoshwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Huu Mkataba siyo Intergovernmental, Dubai siyo Nchi

    Huu mkataba hauna hadhi ya intergovernmental yani IGA kwa sababu Dubai siyo nchi bali ni serikali ya mkoa kama serikali ya mkoa wa Simiyu. Kwanini huu mkataba wanauita IGA wakati haukidhi matakwa ya kuitwa hivyo? Nasimama kuelimishwa. " Can Dubai on its own enter the intergovernmental...
  8. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Wakishakaa huko Ikulu wanaambizana hakuna mtu ana hatimiliki ya hii nchi

    Hawa watu wakishakaa huko Ikulu wanaambizana hakuna mtu ana hati miliki ya hii nchi, ndiyo wanaona inawapa uhalali wa kuingia katika mikataba yoyote wanayotaka. Kwa maana kwamba hakuna mtu yeyote anayeweza kuwaita wezi, kwa vile hawajaiba kitu cha mtu yoyote. Lakini ukitazama maandiko ya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania TLS waungane na Mbowe kuitafakarisha Serikali; nchi bado ina watu wazalendo. Hongera Sungusia

    Aliposema Mbowe ilionekana upinzani; aliposema Kitima ikaonekana Udini; akasema Warioba ikaonekana uzee unasumbua; akisimama Dr. Slaa akaambiwa alihongwa; Tundu Lisu hakujibiwa kabisa kama ilivyo kwa Lipumba na wazalendo wengine. Sasa imekuja taasisi ambayo inaundwa na watu wa vyama vyote; dini...
  10. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Elimu ya hii nchi ina balaa kubwa katika elimu. Hebu ona hizi Combination

    Kuna Tahsusi hata sielewi manufaa yake hasa ni yapi katika ujenzi wa Taifa
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kwa nchi kutegemea ushauri wa Legal Officer (Hamza Johari), na kuiingiza nchi kwenye mkataba

    Utangulizi: Katika taaluma ya sheria kote dunia, na kwa kipekee hapa nchini Tanzania, ili mtu akidhi vigezo vya kuwa mshauri, au kuwakilisha watu mahakamani, au kushauri mambo msingi ya kisheria , au kuhakiki nyaraka mbalimbali ni lazima awe na taalum hiyo katika ngazi au nafasi ya uwakili...
  12. tpaul

    JamiiForums Tanzania Wabunge walihongwa na DP World; ushahidi huu hapa!

    Naingia kwenye mada moja kwa moja nisiwachoshe na maneno mengi. Ukimsikiliza huyu mbunge kwa umakini utakubaliana nami pasi na shaka kwamba wabunge wa CCM walihongwa na kampuni ya DP World ili kuwauzia nchi. Inauma sana. Kumbe mkataba ulisainiwa tangu mwaka jana, sasa hawa wezi wanatuchora tu...
  13. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Hii kitu haikubaliki, hii nchi udini umeota mizizi sasa

    SAKATA LA KUPOTEA RAJAB OMARI MTANA KIJIJI CHA LULAGO HANDENI 2013 NA HUKUMU YA KUNYONGWA MASHEIKH 10 TANGA 2013 Waislam 10 wamehukumiwa kunyongwa kwa tuhuma za kuua mlinzi mmoja. Kufikia hukumu hii kuna mengi na chanzo chake kilianzia katika biashara ya hiliki na malipo ya ushuru kijijini...
  14. masai dada

    JamiiForums Tanzania Hoteli nzuri za kufikia unaposafiri kwenda nje ya Nchi

    Habarini Wakuu, Wengine huwa tunajilipua tu haswa kwenda kutizama fursa na kufanya biashara na kutalii. Unakuta hatuna guide wala wa kutupokea. Bila kusahau mikoa mbalimbali haswa ya kibishara. Na miji mikuu ya nchi kama Nairobi, kampala. Kwa wenye exposure jamani tuambien hotel za kufìkia na...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kutopandisha walimu madaraja kwa kuwa na mashauri ya kinidhamu ni kukiuka katiba ya Nchi, Ibara ya 13: 6(b)

    Baadhi ya walimu waliositahili kupanda madaraja ya kiutumishi 2023 hawajapandishwa vyeo vyao kwa sababu mbalimbali. Baadhi ya sababu ni walioko masomoni, walio likizo bila malipo na walio mashtaka katika kamati za kinidhamu katika wilaya mbalimbali kwa makosa mabalimbali. Kutompandisha mwalimu...
  16. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora katika Nchi za Kiafrika: Changamoto, Fursa na Mifano ya Dunia

    UTAWALA BORA KATIKA NCHI ZA KIAFRIKA: CHANGAMOTO, FURSA NA MIFANO YA DUNIA Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Muktadha: Utawala bora ni suala muhimu katika maendeleo ya jamii yoyote. Katika nchi za Kiafrika, suala hili limekuwa likijadiliwa sana kutokana na changamoto mbalimbali zinazokabili...
  17. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji katika Bajeti ya Nchi

    UWAJIBIKAJI KATIKA BAJETI YA NCHI NA KATIKA WIZARA . UTANGULIZI Uwajibikaji ni wajibu wa kutekeleza majukumu yako na kuhusika katika hatua na maamuzi unayofanya. Ni hali ya kuwajibika kwa matendo yako, matokeo ya vitendo vyako, na athari zake kwa wengine. Uwajibikaji unahusisha kuchukua...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Nchi imefunguliwa, matapeli wa mtandaoni wanawalenga maprofesa

    Kuna tapeli mmoja wa mtandaoni anayejiita Prof. Veriani Samweli Maswayaga sidhani kama ni jina lake halisi. Huyu bwana anashirikiana na mwana mama wa kizungu kuwarubuni Maprofesa wastaafu kuwa wana world Bank project ya mazingira hivyo wanahitaji washauri wa kufanya nao kazi kwenye miradi yao...
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hatari ya kuwa na vikosi binafsi katika nchi yaonekana Sudan na Urusi

    Yaliyoikumba nchi ya Sudan na kuingia kwenye vita vibaya vya wenyewe kwa wenyewe sasa yameingia nchini Urusi. Wakati nchini Sudan kulikuwa na jeshi la RSF linaloongozwa mpaka sasa na Hemedti ambapo jeshi lake linasemekana kuithibiti miji yote mitatu mikubwa ya nchi hiyo. Kule Urusi kuna jeshi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Tanzania ni nchi ya wajinga?!

    Tanzania kwa siku za hivi karibuni imedhihirisha kile ambacho Naibu waziri wa Afya Dk. Mollel aliwahi kusema; kwamba Tanzania wajinga ni wengi. Kwa bahati mbaya sana hata viongozi wakubwa na wasaidizi wa Rais, nachelea kusema kwamba na wao wamejidhihirisha kwamba ni wajinga. Hii pamoja na mambo...
Back
Top Bottom