Serikali ya Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria kadhaa bungeni ili sheria zote za zamani zinazokinzana na mkataba na DP world zibadilishwe ili ziendane na hiyo IGA ya Dubai Ports World ‼️
Angalieni
Muswada wa The Written Laws (Misc Amendment) No. 2 Bill, 2023 umesomwa kwa mara ya...
Mwaka 2004 CHADEMA iliingia ubia na NGO ya Kijerumani The Konrad Adenauer Stiftung (KAS) ili iwajengee uwezo wa kisiasa, kiutawala na kiufundi (technical assistance including capacity building for local leaders, programmatic support and structural coordination).
TUWEKEENI HUO MKTABA HAPA WA UBIA
Leo wakati Rais Samia akitoa hotuba katika hafla ya utiaji saini mikataba mitatu ya kusaidia bajeti kuu ya Serikali kutoka umoja wa Ulaya wakati wa kutambulisha mawaziri wake amewaita mawaziri wa Tanzania bara, nauliza kuna mawaziri wa Tanzania bara?
Kuna Serikali ngapi ndani ya nchi hii? Na...
Hapo ni Stand ya daladala Mbezi Louis kwenye foleni ya kusubiria Mwendokasi ya Kariakoo, huyu mwamba kila siku anawahi na spika yake na mic anapiga neno kisha anatembeza bakuli lake la sadaka. Tatizo hapo jirani kuna foleni nyingine ya mwendokasi ya kwenda Kivukoni ambapo napo kuna Mtaalam...
Tanzania hakuna timu tajiri, timu nyingi kama sio zote hazina misuli ya fedha za kusajili wachezaji wazuri sana na mabenchi ya ufundi class ya juu. Timu nyingi zinashindwa kuwalipa makocha na wachezaji signing fees zao na mishahara kwa wakati, wachezaji hawana bima na hazina viwanja vyao...
Mnazo sababu nyingi sana za kujadiliana na wananchi ili mpate nafasi ya kuongoza nchi,
1. Wizi umerudi woote kama awali, ufisadi serikalini kama kawaida.
2. Uuzwaji wa bandari za bara ni nyundo nzito sana kwa mpinzani wenu, hii pekee inaweza kuwatoa.
3. Mikataba mingi kusainiwa bila...
Rais Samia na wenzake walioapa kuilinda katiba na kuitetea nchi, bila ya aibu wameisaliti:
Kwamba siyo kuikanyaga tu katiba, bali wamefikia hatua ya kuin*ea?!
Kwa hakika na zipigwe kavu kavu!
Heshima kwako peno hasegawa.
Heshima kwako sana Dkt. Rugemeleza Nshala. Ama kwa hakika unastahili...
Hi
Nisiwachoshe mie Ngosha wa Sengerema
Iko Ivi kinachoisumbua hii nchi yetu ni Laana za Mzalendo wa kweli kiwahi kutokea nchi mwetu ,JPM mwana wa Chato.
Mama usiyape kisogo maono ya Mzalendo wa kwelii na
Majaliwa Kasimu Usiyape kisogo jambo hili
Nakufahamu vyema mikono yako ni misafi achana...
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dk Ashatu Kijaji amesema kampuni za nje zilizoshiriki katika maonyesho ya 47 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) mwaka huu zimeongezeka ikilinganishwa na mwaka jana.
Mwaka huu jumla ya kampuni 266 kutoka nje zimeshiriki maonyesho hayo...
Mpendwa rais wangu Dr. Samia Suluhu Hassan kumekuwa na maandamano hapo yakifanywa na vikundi mbalimbali, yalianzia mkoani Dar Es Salaam wakati wafanyabiashara wa Kariakoo walivyogoma, yakaenda Iringa wafanyabiashara vilevile, yakahamia Mwanza wafanyabiashara wa baa, leo yako Arusha...
Friends and Enemies,
Kwa tuliomsikiliza Wilbroad Slaa juzi pindi akihojiwa na kituo kimoja Cha redio amesikika akitoa kaul nyingi sana za dhihaka na kejeli Kwa serikali,Slaa akafikia hadi hatua ya kusema kwamba Rais AMEJIFICHA,hatoi kaul kana kwamba nchi hii haina Kiongoz.
Slaa lazima atambue...
Kinachoendelea Ufaransa,
kilichotokea Marekani wakati wa maandamo ya Black Lives Matter, na uhalifu mkubwa kwenye nchi ambazo watu weusi ni wengi kama vile Brazil, au nchi ya Afrika yenye influence ya wazungu kama South Afrika ni ishara kuwa mtu mweusi ukimchanganya na mtu mweupe lazima...
si kila mtu anaweza kuwa kiongozi, na wote hatuwezi kuwa viongozi lakini kiongozi mzuri ni yule mwenye haiba ya (stewarship) kutunza rasilimali za watu wake, lakini pia kukubali kukosolewa na kuwa tayari kutumia karama za wengine na kuchanganya na zake ili aweze kusaidia watu anaowaongoza...
Kwani ni lazima kuboresha bandari yetu kwa kutumia Dp World?
Kwani sisi hatuwezi kuwapa kandarasi wachina na kuboresha hayo maeneo muhimu na kuweza kuongeza ufanisi?
Bora kukopa China na kuwekeza hizo cranes kuliko kuuza Bandari ya Watanganyika. Kila kona ni kilio tu na hamuaminiki.
Dhana ya utumwa imekuwa ikibadilika kulingana na vipindi tofauti vya muda. Enzi za mababu zetu utumwa ulikuwa ni wakufungwa minyonyoro na kufanyishwa kazi ngumu bila ujira. Taifa likaja kupata uhuru ikawalazimu wakoloni kuacha makoloni yao ambapo kiukweli hawakupenda ndio maana wakaendeleza...
Ndugu zangu Huwa nakaa nakuwaza hivi kweli hii nchi sisi Watanzania ni yetu kweli au Kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia, kwani Kwa yanayoendelea ni kama vile nchi yetu inaongozwa na watu wasiokuwa na huruma hata kidogo.
Kiongozi atakacho kiamua yeye hata kama akina baraka za Wananchi...
Sheria kandamizi ziko vile vile
Teuzi za Watoto wa vigogo Kama kawaida
Nchi Ina vimfumo lundo ambavyo hata yeye mwenyewe hajui chochote
Mikataba mibovu ni Kama maji ya kunywa
Matumizi mabovu ya Pesa za umma kununua magazeti, media n.k
Masuala ya katiba yamekufa kifo Cha mende .Ni kanyaga twende...
Kwa nafasi yake katika jamii kama kiongozi mwandamizi mstaafu wa CCM na pia mfanyabiashara mkubwa mwenye ushawishi bila shaka Rostam Aziz anatakiwa awe makini sana na kauli zake kwenye public kwa sababu tulio wengi tunayapa uzito unaostahili maneno yoyote atakayosema.
Kwenye mkutano wa kujadili...
Kwa kweli tusipompongeza mama kwa utawala wake tutakuwa hatuna shukrani, tumeishi na utawala uliopita tukaona wafanyabiashara na matajiri walikua maadui, wakabinywa wakashindwa kufanya miradi ya maendeleo. Wakashindwa hata kujenga nyumba zao.
Kwa Samia kuna uhuru na njia kibao za kupiga, akili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.