nchi

  1. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Marekani na nchi za Umoja wa Ulaya zimepinga Azimio la UN la kukataza watu kuchoma Quran

    Umoja wa kimataifa, UN imepitisha azimio lililopigwa na nchi za Marekani na Umoja wa ulaya la kuzuia uchochezi na ubaguzi wa kidini hasa uchomaji wa Quran. Azimio hilo limekuja baada ya mwezi uliopita raia wa Iraq kuchoma Quran nje ya msikiti mkuu wa mjini Stockholm Sweden na kuchomea...
  2. comte

    JamiiForums Tanzania The Emirate of Dubai siyo nchi na uhusiano wa kimataifa ni jambo la Muungano ila ina uwezo wa kuingia makubaliano ya kimataifa kwa mujibu wa Katiba

    Mh. Madeleka ametumia ibara ya 120 ya katiba ya Umoja wa Falme za Kiarabu kujenga hoja kuwa The Emirate of Dubai siyo nchi na haina uwezo wa kuingia mikataba na nchi nyingine kwa sababu uhusiano wa kimataifa ni jambo la Muungano. Kwa bahati mbaya sana Mh. Madeleka anapotosha. Ni kweli The...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Baraza la Sanaa Zanzibar: Wanaume Wanaosukwa kama Wanawake kukamatwa, faini ni Tsh. Milioni 1 au kifungo cha Miezi 6

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imepiga marufuku tabia ya wanaume kusuka nywele na anayekamatwa faini yake ni Sh1 milioni au kifungu cha miezi sita au vyote kwa pamoja. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, Julai 11, 2023, Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Elimu na Utamaduni Zanzibar, Dk...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mariam Ditopile: Wakili Mwabukusi akemewe, ataleta machafuko katika nchi yetu

    Hili limetokea baada ya Wakili Mwabukusi kutoa kauli mbalimbali kuhusu bandari ikiwemo kusema Watanzania wasimuamini Waziri Mkuuu kwani ni muongo, na kwenda kufungua kesi ya kuishtaki Serikali ya Tanzania kuingia Mkataba wa Bandari na kampuni wa DP World. Mariam amesema Wakili Mwabukusi amekuwa...
  5. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Elibariki Kingu: Wabunge wa CCM tuko vizuri kichwani, tusingezeweza kupitisha mkataba usio na maslahi kwa nchi yetu

    Mbunge wa jimbo Singida Magharibi, Elibariki Kingu amejigamba kuwa wabunge wa CCM si wa mchezo linapokuja suala la matumizi ya akili, amesema kuwa mkataba uliopitishwa Bungeni ni salama kwa maslahi ya taifa Wabunge wa CCM tuliopitisha Mkataba wa Uwekezaji Bandarini tuko vizuri kichwani, pale...
  6. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Hii nchi sio viongozi pekee ndio waovu, bali ni wananchi wengi ni waovu pia

    Hawa viongozi hawa ni alama tu inayoonesha jinsi wananchi wote walivyo, kila mwananchi mahali alipo wengi wao akipewa nafasi lazima ajifanye ujanja kuiba... Ndio maana mtu mchamungu akistaafu hali ya kuwa amepata tu kile alichostahili...wananchi wenzio hawatokusifia kwa wema wako, ila...
  7. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Hiki ndiyo kipimo kidogo cha viongozi wa nchi husika kama wana upeo mkubwa

    Ukienda kwenye nchi yeyote kipimo cha haraka haraka ili ujue viongozi wao wana akili ya kuona mbali angalia mipango miji Mfano kama umeenda western countries, china, japan, au gulf countries kwa mara ya kwanza kabisa kitu ambacho kitavutia macho yako ni jinsi miji yao ilivyopangiliwa na kila...
  8. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali Wana nia ya kulitoa nchi kwenye umaskini?

    Wakati mwingine nahisi kukasirika! Hivi ni kweli viongozi wetu wanachukizwa na umaskini uliopo nchini? Angalia posho wanazolipana! Zinaendana na hali ya kiuchumi ya nchi? Angalia magari ya anasa wanayoyanunua kwa ajili ya matumizi ya watumishi wa Serikali! Wangeyanunuua kama wangetakiwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamevuka mto kichawi kwa kuruka na ungo, harafu wanarudi nyuma kujenga daraja!!

    Mkataba staili ya MANGUNGO unawasuta!! Dhamiri zinawasuta!! Wanakula lakini hawashibi!! wanacheka lakini hawana furaha!!! KISA: Watanzania wamewagundua walivyoridhia mkataba wa kuuza bandari zetu kwa bei ya bure tena kinyume kabisa na sheria zetu zilizopo!! Sasa wanajipanga kurekebisha sheria...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Magufuli alitufanyia mambo mabaya lakini hakufanya biashara na Rasilimali za Nchi

    Lissu alipokuwa katika mkutano wa hadhara Kisarawe jana 9/7/2023 alisema, Magufuli alitufanyia mambo mengi sana mabaya, aliongoza nchi kama mali yake binafsi, lakini asisingiziwe kwenye kufanya biashara na Raslimali za nchi yetu kama alivyofanya Mwinyi, Mkapa au Kikwete, na kwamba aliwavuruga...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Zijue nchi sita tajiri katika Afrika wakati Pato la jimbo la California linazidi pato lote la Afrika

    Hii ni orodha ya nchi sita zenye pato kubwa katika Afrika na nchi maskini sana katika Afrika. https://a-z-animals.com/blog/richest-countries-in-africa-today-ranked/ Did you know that the highest state Gross Domestic Product (GDP) in the United States measures greater than the highest country...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Swali: Je, Tanzania ni nchi ya Wajinga?

    Habari! Je, Tanzania ni nchi ya Wajinga? Je, ni wananchi ndio Wajinga au viongozi ndiyo wajinga? Leo ni miaka 62 tangu tumpoke Mwingereza Tanganyika lakini jiji kubwa la Dar es Salaam bado kuna mitaa hakuna maji safi na salama. Leo hii barabara za kuunganisha wilaya na mikoa yake nyingi ni za...
  13. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Naona wazi kabisa kukiwa na nchi ya Tanganyika Demokrasia itakuwa ni ndogo sana, nchi itaongozwa kimuseveni kwa mabavu zaidi

    Mzanibari pamoja na makando kando yake ila akiingia huwa kuna unafuu katika demokrwasia (hatujawai kuwa na demokrasia kamili) Tunapotoka kwenye awamu za uminyaji wa demokrasia basi mzanzibari akiingia ndio tunapata nafuu ya demokrasia kuanzia uhuru wa kutoa maoni, Vyama vya upinzani hupewa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka kupeleka hoja ya kuwa na serikali ya Tanganyika

    Kutokana na hali na upepo wa kisiasa, natumaini kwa wabunge wa Tanganyika huu ni Muda muafaka wa kupeleka hoja ya kubadili katiba na kuanzisha serikali ya Tanganyika na kuanzisha vifungu vya kulinda maliasili za watanganyika . That said, Rais JM Kikwete apewe muda wa kuongoza serikali ya...
  15. ankol

    JamiiForums Tanzania Jinsi uchumi wa nchi unavyoathiriwa na biashara ya bodaboda

    Salaam wadau. Leo ningependa kuelezea jinsi gani uchumi wa nchi unavyo/takavyoathiriwa na biashara ya bodaboda. Biashara hii inayokua kwa kasi kila uchao imekua ni kimbilio la vijana wengi wanaotafuta maisha hasa kutokana na ukweli kua ni biashara rahisi isiyohitaji mtaji na nguvu kazi kubwa...
  16. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Tunaweza mlaumu sana Rais Samia kwa hili, lakini hii nchi iliharibiwa sana na watangulizi wake, ni ile tu ukweli hausemwi

    Wakuu umofia kwenu. Niende moja kwa moja kwenye Mada... Nianze na lawama kwa watu wa serikali, na hasa kina Msigwa, kukwepa wajibu wao wa kusema ukweli, badala yake wanalipa hela nyingi wapiga porojo( nazungumzia hili la DP world) Tanzania nchi yetu kwa bahati mbaya sana ni nchi yenye...
  17. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Shairi: Ustawi Wa Taifa Kupitia Utawala Wa Sheria Na Usalama Wa Nchi

    Shairi: USTAWI WA TAIFA KUPITIA UTAWALA WA SHERIA NA USALAMA WA NCHI Imeandikwa na: MwlRCT Shairi hili linazungumzia jinsi utawala wa sheria na usalama wa nchi vinavyochangia ustawi wa taifa. Lina kusudi la kuelimisha na kuhamasisha jamii kuhusu mambo haya. Linatumia dhana za utawala wa sheria...
  18. Richard

    JamiiForums Tanzania Kwa tulipofikia ni bora serikali yote ijiuzulu na uitishwe uchaguzi kabla ya 2025 ili kupata serikali itayoipelekea nchi yetu mahali sahihi

    Ni wazi kuwa serikali ya sasa imeamua kuchukua maamuzi ambayo yamekosa ushauri na mwongozi sahihi. Kuna masuala kadhaa: 1. Mkataba wa bandari za Tanzania Bara na kampuni ya kimataifa ya DP world umewahishwa sana. NI wazi kuwa kulikuwa na mijadala kuhusu "terms" za mkataba hadi umauti...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania WHO yaongeza Nchi 9 za Afrika zitakazopokea Chanjo ya Malaria

    Nchi zilizotajwa ni pamoja na Benin, Burkina Faso, Burundi, Cameroon, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Liberia, Niger, Sierra Leone na Uganda ambazo zitaungana na Ghana, Kenya na Malawi zilizoanza kupokea Chanjo hiyo. Taarifa ya Shirika la Afya Duniani imesema jumla ya Chanjo Milioni 18...
  20. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya kihalifu nchini tishio kwa usalama wa raia na mali zao

    Ukatili na matendo ya unyang'anyi kama vile panyaroad, tatu mzuka na uhalifu wa aina nyingine nchini tayari ni tishio kwa usalama wa raia na mali zao. Hatua za kuudhibiti naona ni kama zinaenda kwa zimamoto huku vijana wengi wakizidi kujiingiza kwenye u-panya road, tatu mzuka, na matendo...
Back
Top Bottom