nchi

  1. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zinazoongoza kufanya mapenzi

    Top 10 sexually active African countries 1)- Burkina Faso🇧🇫 2)- Cameroon 🇨🇲 3)- Uganda 🇺🇬 4)- Gabon 🇬🇦 5)- Zambia 🇿🇲 6)- Senegal 🇸🇳 7)-Nigeria 🇳🇬 8)-Sao Tome Principe 🇸🇹 9)-Republic of Congo 🇨🇬 10)-Tanzania 🇹🇿 Source: Top 10 sexually active African countries
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imependekeza Sheria zinazolinda Maliasili na Kuikinga Nchi na Mikataba Mibovu zisitumike kwa DP World

    Serikali ya Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria kadhaa bungeni ili sheria zote za zamani zinazokinzana na mkataba na DP world zibadilishwe ili ziendane na hiyo IGA ya Dubai Ports World ‼️ Angalieni Muswada wa The Written Laws (Misc Amendment) No. 2 Bill, 2023 umesomwa kwa mara ya...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA kama mnataka tuwaamini ili tuwape nchi wekeni hapa mkataba wa uhusiano wenu na NGO ya Kijerumani The Konrad Adenauer Stiftung (KAS)

    Mwaka 2004 CHADEMA iliingia ubia na NGO ya Kijerumani The Konrad Adenauer Stiftung (KAS) ili iwajengee uwezo wa kisiasa, kiutawala na kiufundi (technical assistance including capacity building for local leaders, programmatic support and structural coordination). TUWEKEENI HUO MKTABA HAPA WA UBIA
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Samia, 'Tanzania Mainland' ni nchi gani?

    Leo wakati Rais Samia akitoa hotuba katika hafla ya utiaji saini mikataba mitatu ya kusaidia bajeti kuu ya Serikali kutoka umoja wa Ulaya wakati wa kutambulisha mawaziri wake amewaita mawaziri wa Tanzania bara, nauliza kuna mawaziri wa Tanzania bara? Kuna Serikali ngapi ndani ya nchi hii? Na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nchi hii ushindwe tu Mwenyewe kutafuta chimbo la hela. Jiite tu Nabii

    Hapo ni Stand ya daladala Mbezi Louis kwenye foleni ya kusubiria Mwendokasi ya Kariakoo, huyu mwamba kila siku anawahi na spika yake na mic anapiga neno kisha anatembeza bakuli lake la sadaka. Tatizo hapo jirani kuna foleni nyingine ya mwendokasi ya kwenda Kivukoni ambapo napo kuna Mtaalam...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kwenda Pre-Season nje ya nchi kwa timu masikini?

    Tanzania hakuna timu tajiri, timu nyingi kama sio zote hazina misuli ya fedha za kusajili wachezaji wazuri sana na mabenchi ya ufundi class ya juu. Timu nyingi zinashindwa kuwalipa makocha na wachezaji signing fees zao na mishahara kwa wakati, wachezaji hawana bima na hazina viwanja vyao...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA msipochukua nchi 2025 - basi!

    Mnazo sababu nyingi sana za kujadiliana na wananchi ili mpate nafasi ya kuongoza nchi, 1. Wizi umerudi woote kama awali, ufisadi serikalini kama kawaida. 2. Uuzwaji wa bandari za bara ni nyundo nzito sana kwa mpinzani wenu, hii pekee inaweza kuwatoa. 3. Mikataba mingi kusainiwa bila...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Rugemeleza: Kwa DP World, Samia na serikali yake wameisaliti nchi

    Rais Samia na wenzake walioapa kuilinda katiba na kuitetea nchi, bila ya aibu wameisaliti: Kwamba siyo kuikanyaga tu katiba, bali wamefikia hatua ya kuin*ea?! Kwa hakika na zipigwe kavu kavu! Heshima kwako peno hasegawa. Heshima kwako sana Dkt. Rugemeleza Nshala. Ama kwa hakika unastahili...
  9. JamiiForums Tanzania Laaana za Mzalendo wa Kweli zinavyoitesa Nchi na Serikali ya Bi tozo

    Hi Nisiwachoshe mie Ngosha wa Sengerema Iko Ivi kinachoisumbua hii nchi yetu ni Laana za Mzalendo wa kweli kiwahi kutokea nchi mwetu ,JPM mwana wa Chato. Mama usiyape kisogo maono ya Mzalendo wa kwelii na Majaliwa Kasimu Usiyape kisogo jambo hili Nakufahamu vyema mikono yako ni misafi achana...
  10. JamiiForums Tanzania Kampuni 266 za Nje ya Nchi zinashiriki maonesho Sabasaba 2023

    Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dk Ashatu Kijaji amesema kampuni za nje zilizoshiriki katika maonyesho ya 47 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) mwaka huu zimeongezeka ikilinganishwa na mwaka jana. Mwaka huu jumla ya kampuni 266 kutoka nje zimeshiriki maonyesho hayo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais wangu mpendwa nchi hii imekuwa ya migomo? Mbona wakati wa Magufuli hatukuona hata kikundi kimoja kikijaribu hata kuwaza kugoma? Why now?

    Mpendwa rais wangu Dr. Samia Suluhu Hassan kumekuwa na maandamano hapo yakifanywa na vikundi mbalimbali, yalianzia mkoani Dar Es Salaam wakati wafanyabiashara wa Kariakoo walivyogoma, yakaenda Iringa wafanyabiashara vilevile, yakahamia Mwanza wafanyabiashara wa baa, leo yako Arusha...
  12. JamiiForums Tanzania Wilbroad Slaa kusema Rais Samia amejificha kana kwamba nchi haina kiongozi, ungethubutu kusema hivyo kwa Hayati Magufuli?

    Friends and Enemies, Kwa tuliomsikiliza Wilbroad Slaa juzi pindi akihojiwa na kituo kimoja Cha redio amesikika akitoa kaul nyingi sana za dhihaka na kejeli Kwa serikali,Slaa akafikia hadi hatua ya kusema kwamba Rais AMEJIFICHA,hatoi kaul kana kwamba nchi hii haina Kiongoz. Slaa lazima atambue...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu nchi makini kama China au Urusi haiwezi kukaribisha watu weusi kiholela nchini kwao

    Kinachoendelea Ufaransa, kilichotokea Marekani wakati wa maandamo ya Black Lives Matter, na uhalifu mkubwa kwenye nchi ambazo watu weusi ni wengi kama vile Brazil, au nchi ya Afrika yenye influence ya wazungu kama South Afrika ni ishara kuwa mtu mweusi ukimchanganya na mtu mweupe lazima...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu zote hizi tuangalie tulipojikwaa ili tusonge mbele kuokoa taifa letu.

    si kila mtu anaweza kuwa kiongozi, na wote hatuwezi kuwa viongozi lakini kiongozi mzuri ni yule mwenye haiba ya (stewarship) kutunza rasilimali za watu wake, lakini pia kukubali kukosolewa na kuwa tayari kutumia karama za wengine na kuchanganya na zake ili aweze kusaidia watu anaowaongoza...
  15. JamiiForums Tanzania Hii nchi ni yetu sote. Bunge liyavunje maridhiano, DP World wasipewe banadari. Tutafute pesa na kuwekeza wenyewe

    Kwani ni lazima kuboresha bandari yetu kwa kutumia Dp World? Kwani sisi hatuwezi kuwapa kandarasi wachina na kuboresha hayo maeneo muhimu na kuweza kuongeza ufanisi? Bora kukopa China na kuwekeza hizo cranes kuliko kuuza Bandari ya Watanganyika. Kila kona ni kilio tu na hamuaminiki.
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wa nchi watumwa, wananchi wenye nchi watumwa, nani wa kuukomesha utumwa?

    Dhana ya utumwa imekuwa ikibadilika kulingana na vipindi tofauti vya muda. Enzi za mababu zetu utumwa ulikuwa ni wakufungwa minyonyoro na kufanyishwa kazi ngumu bila ujira. Taifa likaja kupata uhuru ikawalazimu wakoloni kuacha makoloni yao ambapo kiukweli hawakupenda ndio maana wakaendeleza...
  17. JamiiForums Tanzania Tusipo badili aina ya uongozi Tanzania inaenda kufilisika na kuwa ombaomba {fallen empires}

    Ndugu zangu Huwa nakaa nakuwaza hivi kweli hii nchi sisi Watanzania ni yetu kweli au Kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia, kwani Kwa yanayoendelea ni kama vile nchi yetu inaongozwa na watu wasiokuwa na huruma hata kidogo. Kiongozi atakacho kiamua yeye hata kama akina baraka za Wananchi...
  18. JamiiForums Tanzania Ukiachana na TEUZI, ni mabadiliko gani Samia ameleta nchi hii mpaka Sasa?

    Sheria kandamizi ziko vile vile Teuzi za Watoto wa vigogo Kama kawaida Nchi Ina vimfumo lundo ambavyo hata yeye mwenyewe hajui chochote Mikataba mibovu ni Kama maji ya kunywa Matumizi mabovu ya Pesa za umma kununua magazeti, media n.k Masuala ya katiba yamekufa kifo Cha mende .Ni kanyaga twende...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ameiweka serikali ya Tanzania mfukoni? Kwanini hakemewi kwa kuleta nadharia ya chuki na kudharau hadharani mhimili muhimu wa nchi?

    Kwa nafasi yake katika jamii kama kiongozi mwandamizi mstaafu wa CCM na pia mfanyabiashara mkubwa mwenye ushawishi bila shaka Rostam Aziz anatakiwa awe makini sana na kauli zake kwenye public kwa sababu tulio wengi tunayapa uzito unaostahili maneno yoyote atakayosema. Kwenye mkutano wa kujadili...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa sasa Nchi imechangamka, watu wanafunguka bila uoga. Hongera Rais Samia

    Kwa kweli tusipompongeza mama kwa utawala wake tutakuwa hatuna shukrani, tumeishi na utawala uliopita tukaona wafanyabiashara na matajiri walikua maadui, wakabinywa wakashindwa kufanya miradi ya maendeleo. Wakashindwa hata kujenga nyumba zao. Kwa Samia kuna uhuru na njia kibao za kupiga, akili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…