September 15 mwaka 2010
Mwanabodi Pascal Mayalla walikutana na mchungaji mtikila ambaye alimuhadithia mazingira ya kifo chake yatakavyo kuwa na muhusika na detail zote. Mtikila alirekodi audio ya matukio haya na aliripoti hata polisi kutoa taarifa. Naomba niweke hapa uzi huo ili ujisomee...
Jamani naomba mniunge mkono biashara yangu inakufa tra wanataka Kodi yao mwenye frem anataka Kodi yake nayaona maisha yangu yanakufa hivihivi.
Kilichonikatisha tamaa ni kuona serikali imerelax kabisa haina hata wasiwasi. Wanakuja na majibu rahisi mno, eti tusubiri miezi 6!
Naomba watanzania...
Kenya Uganda na Tanzania zimepewa nafasi ya kuandaa kwa pamoja fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka 2027 baada ya Shirikisho la soka Afrika (CAF) kutangaza kuwa ombi lao pa pamoja limeshinda dhidi ya maombi ya Algeria, Misri na Botswana ambazo nazo ziliomba.
Kwa kawaida utaratibu...
Tafadhali zingatia:
Maokoto
Urahisi wa ajira (za kisomi na zisizo za)
Urahisi wa maisha kwa mgeni kuweza kufit haraka
Ukali wa ubaguzi
Urahisi wa kupata Huduma (elimu, afya, usafiri nk.)
Hali ya hewa nk.
Ni nchi gani ambayo ni Best kwa kijana mpambanaji kwenda ikawa rahisi kutoboa?
Kwa...
Nchi ya Rwanda inajitapa kuwa Ina uchumi mkubwa na maendeleo makubwa baada ya vita ya 1914 kumbe wanaenda kuua na kuiba madini DRC.
Soma makala hii hapa chini
====
Rwanda is the ‘Wild West’ and should be removed from the mineral supply chain
Mining industry elites use...
Leo katika pita pita zangu mitandaoni, nikakutana na post ikionyesha kwamba Tanzania ni moja ya nchi zisizo na furaha duniani.
Hivi hawa wachambuzi wanatazama nini hasa mpaka wanatoa hizi takwimu?
Bila kupepesa macho na kupindisha maneno
Mimi ni CCM damu damu ambaye nimeanza kuwa Mwana chama wengi wenu hamjazaliwa, tokea Niko Pugu Mwaka 1979 na baadae tukasoma kupewa kadi ya CCM siyo zinazogawiwa Kama njugu!
Baada ya hapo nina machache tu ya kusema
1. Vetting ni ama haipo au...
Msafara A: Huu ni msafara wa Rais wa nchi fulani barani Africa ambayo tangu uhuru haijaweza kubuni hata sindano.
Msafara B: Huu ni msafara wa Waziri mkuu wa nchi inayo unda magari yanayotumika kwenye msafara A
Nchi kadhaa Barani Afrika zinatumia Teknolojia dhidi ya Wakosoaji, vikundi vya Upinzani, Waandishi wa Habari, na Watetezi wa Haki za Binadamu na kudhoofisha Uhuru wa Kujieleza na Haki za kujumuika na kukusanyika.
=================================
Over the last few years, Africa has experienced...
Nazungumza hili nikiwa na hasira kidogo, kwa wale tunaofanya biashara tuwe wakweli awamu hii tunaombwa rushwa kinguvu na mafisa wa serikali, jana nilikuwa napambania passport ofisi za uhamiaji, kilichonishangaza ni kijana mdogo tu ananiambia" bros ukitoa kama laki mmoja mimi nakupambania...
Juzi tu aliyekuwa mkurugenzi wa TANESCO Maharage Chande aliondolewa Tanesco na ktangazwa kuwa mkurugenzi mkuu TTCL. Leo baada tu ya siku tatu ametanguliwa na kufanywa kuwa Postamasta!
Jambo hili linaonesha jinsi serikali isivyo makini katika kufanya teuzi au maamuzi yenye maslahi ya kitaifa...
Wiki chache zilizopita tulishuhudia mjadala mkali kuhusu bandari, baadaye kukaibuka tetesi za rupia kupenyezwa kwa baadhi ya wakazi wa Ufipa ili wajiondoe katika mjadala huu.
Dkt. Slaa, Dkt. Nshallah, Mwabukusi, Tundu Lissu, TEC na wananchi wengine wakaendelea kutoa elimu kuhusiana na kile...
Ninasikitika sana!
Serikali imejisahau au ni watumishi wa umma wamejisahau?
Kuna mtumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini Botwana anaonekana kila mwezi akizurura na gari lenye namba za ubalozu wetu nchini Botswana.
Sababu za kimsingi kuwa na gari hilo mkoani kilimanjaro ni kuhudhuria mahakamani...
Haiingii akilini NSSF wamepata wapi huu ujeuri wa kuamua kuwatenga na kuwabagua watanzania wengine wote ili kuajiri wateule wao tu waliopewa nafasi kinyemela ya mikataba na kwa gia ya "kujitolea". Lazima nyuma yake kuna vigogo vinasukuma hii agenda nyuma ya pazia!
Haishangazi yalishaanza...
Pamoja na mgao wa umeme, kuna sehemu hazitakiwi kukatiwa kabisa. Nimemsikia GUSSIE anasema wasikate umeme Kariakoo. Ukweli ni kuwa Kariakoo ni moja ya maeneo yanayotakiwa kukatiwa kabisa umeme iwapo kuna mgao.
Kariakoo ni eneo ambalo dola za nchi hii zinaoenda kupotea. Ndiko hazina ya nchi hii...
Nchi ambayo inaelewa umuhimu wa umeme nyakati za usiku haiwezi kukata umeme usiku sababu ya mgao.
Mgao ni mchana na ndio umeme unatumika mwingi. Usiku umeme unatumika sana kwa ajili ya ulinzi ni kimaanisha taa, alarm na mawasiliano, lakini TANESCO wanakata umeme as if wanataka kumkomesha Waziri...
Umuofia kwenu....!
Kati ya mwaka 2018 na 2020 Tanzania ilipitia changamoto za uhaba mkubwa wa Cement na bei kuanza kupanda kiholela. Lakini baada ya kulifuatilia suala lile, nikaja kugundua kwamba, kuadimika na kupanda kiholela kulisababishwa Zaidi na utekelezaji wa miradi mikubwa ya ujenzi...
Ukweli usemwe Fiston Kalala Mayele aliona mbali uwepo wa Huyu Mwamba ndio maana alikimbia. Kumbuka Jean Baleke alimshinda Mayele ufungaji Bora huko ligi kuu ya DRC misimu mitatu iliyopita!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.