Zambia imekuwa Nchi ya 6 barani Afrika kuridhia uwekezaji wa Kampuni ya SpaceX kuanza kutoa huduma za Intaneti yenye kasi zaidi kupitia Starlink, hatua inayotajwa kuwa itapunguza urasimu kwa Watoa huduma waliopo pamoja na kuongeza Ubora wa Mawasiliano ya Mtandao.
Kampuni ya Starlink...
Huwa sielewi. Rish Sunak asili yake ni India, nchi yake ya UK imekuwa kwenye negotiation ya trade deal na India kwa miezi mpaka wanafika sehemu wanaweka pause then wanaendelea na sometime prime minister anafanya visit na anarudi patupu.
Marekani ili push UK ijiondoe EU kwamba trade deal itakuwa...
Kuna wa nchi moja Barani Afrika (kwa sasa nimeisahau) nina uhakika Taifa hilo likiingia Vitani na kuita/kuwaita Wanajeshi wake Wastaafu watakaorudi wote watakuwa ni Wagonjwa wa Kisukari, Figo, Ini, TB, HIV na BP, wanywa gongo maarufu vilingeni na wapiga debe vituoni.
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu malalamiko ya Bw. Emmanuel Gadi kuwa, TRA imetengeneza mfumo wa kuingiza mizigo nchini nje ya mfumo halali wa Serikali kinyume na Sheria ya Forodha.
Tunapenda kuufahamisha umma...
Unapokea dege la.bil 800+ alafu unachukua ujumbe wa watu 100 na zaidi kwenda nao Qatar na India kwa sababu gani za msingi?
Kuangalia namna green house zinazalisha mbogamboga ? Huko India kuna nini kipya mpaka ubebe watu mia mbilli na ushee kwenye ziara kama hii?
Huko India hakuna balozi ambaye...
Hivi hata nchi nyingine zinafanya hivi hivi kama Tanzania inavyofanya?
Stendi za Mwendokasi zilizojengwa Juzi tu eti leo zinakarabatiwa! Halafu wanaotangaza kuzikarabati ndio wale wale waliozijenga.
Yaani Tangu Uhuru hadi Kiama ni Ukarabati tu! haya mambo yataisha lini au ni njia yao ya...
Nishawahi kumtania Mkurya mmoja kwamba: 'Unajua ni kwa nini nyie kwenu (huko ukuryani) mna hasira sana bro? Ni kwa sababu serikali kila mara inawavutisha bangi maana ikikamata na kuchoma mabangi ma tani kwa mahekari basi ule moshi unasambaa mkoa mzima ndo unakuta wote ni kama wavuta bhangi tu...
Makundi mengi zaidi kote ulimwenguni yametokea kuwaunga mkono wananchi wa Palestina ili warudi kwenye makazi yao.Hali hiyo inaonesha kama kwamba mashambulio ya Hamas yameleta athari kubwa katika kuelezea madhila ya taifa lao.
Katika ufuatiliaji wa maoni kwenye mitandao ya kijamii imeonekana pia...
Hamas wasema Ijumaa hii wataitisha maandamano ya nchi za kiarabu kulaani mashambulizi anayofanya Israel huko Gaza tokea jumapili.
Waziri Netanyahu wa Israel alisikika akisema Israel inatarajia kupiga mashambulizi ya kutosha katika Mji wa Gaza yatakayofanya Wapalestina wasiyasahu kwa zaidi ya...
Mimi naona anafaa sana maana sasa hivi nchi imetulia sana. Kuna uhuru wa kila namna na Watanzania tunajisikia kuwa Watanzania na si watumwa ndani ya nchi yetu kama kipindi cha yule jamaa ambapo hata kwenye daladala tulikuwa tunaogopana.
Above all, naomba aongoze maisha yake yote mpaka...
Msimamo na vitendo vya mama Samia, Rais wa JMT, vinaongea zsidi kuliko maneno.
Mama Samia kahudhuria kwa niaba ya nchi yetu kongamano za Kilimo, biashara na maendeleo kwa ujumla.
Karibuni mama Samia alikuwa Doha kuendeleza ushirikiano katika kilimo na biashara, na sasa yuko India kwa...
Tumesikia kila mdomo wa Waziri na viongozi waandamizi wanaposimama kuhutubia ama kuzungumza wanamshukuru Rais kwa kutoa hela ambazo zimwtekeleza miradi ya maendeleo na miundombinu.
Hivyo wanatuaminisha kuwa fedha zote za miradi na maendeleo zinatolewa na rais. Na anayetoa hela hufanya hivyo kwa...
Mh. Waziri hongera kwa kuteuliwa kuwa waziri wa wizara hii muhimu kwa Taifa hili.
Pamoja na hongera nyingi ila ninaomba kukujulisha kuwa wizara yako imeshindwa kuisimamia Tume ya Madini nchini, kwasababu baada ya kuteuliwa yapo mambo ambayo kwa muda mfupi yameanza kuharibika tena kwa haraka na...
Kampuni ya kusambaza mtandao ya Starlink ya Elon Musk imepewa kibali cha kutoa huduma nchini Zambia.
Kwa sasa wazambia wataanza kupata internet ya kasi zaidi kutoka Starlink.
Kumbuka Starlink inakupa internet ya 1 Terabyte kwa chini ya shilingi laki 1 kwa mwezi kwa kazi kubwa na ukimaliza hiyo...
Sjawahi kujua ni kivipi Israel huwa ni vigumu kupigika.
Ukiondoa hiyo Imani ya kusema ni taifa la Mungu, lakini Je, Mungu hachukii kisirani?
Mbona hicho kitaifa kina watu na viongozi wenye kisrani sana.
Ni kagomvi mpaka nachukia, hakaogopi nchi kubwa wala mhuni kama Iran.
Naomba kujua...
Mwaka 1973 Israeli ilishambuliwa na Misri na Syria kwa kushtukizwa wakati wa majira ya sikukuu ya Yom Kippur. Misri walivuka mfereji wa Suez na kuingia Israel(Sinai). Wasyria nao wakaingia huko Golan.
Hali ilikuwa tete sana kwa Israel hadi jeshi likaamua kuwa liwaache Wasyria wafanye...
Ngoja sasa GENTAMYCINE nijiandae kwenda zangu Site Mapinga kujenga Nyumba za Watu ( nikiwa kama Saidia Fundi ) nikipitia njia niipendayo ya Boko Magengeni kisha naingia nayo kuelekea Mbweni Malindi kupitia Chuo cha Mafunzo Yasiyojulikana nivuke Mto Mpiji na nikatize Kiaraka kilipo Chuo cha...
Kwa uzoefu wangu mdogo, na nchi nyingi nimezijifunza kwa kusoma na kufuatilia maisha yao naona Tanzania licha ya madhaifu yetu ni sehemu bora sana.
Unaweza kwenda popote ukapokelewa utadhani mlifahamiana miaka mingi iliyopita.
Kama hauna ishu za kisiasa na ujanjaujanja maisha yako bomba sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.