nchi

  1. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kabisa hatupaswi kujilinganisha na nchi nyingine!

    Naungana kabisa na mheshimiwa Rais, kwenye suala la katiba hatupaswi kuwa na haraka kwa kujilinganisha na nchi nyingine. Vivyo hivyo hata kwenye masuala ya ukusanyaji wa kodi hatupaswi kujilinganisha na 'wenzetu Indonesia, Japan, Austraria' nk maana ni kweli hatufanani! Mara kadhaa tumekuwa...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa mazingira wa ITAC 2023 kufanyika Arusha, kushirikisha Nchi sita

    Mkutano wa Kimataifa wa Uwazi na Uwajibikaji (International Transparency and Accountability Conference - ITAC) unaotarajiwa kufanyika Septemba 28 na 29, 2023 wenye lengo la kutoa elimu na kuibuka utatuzi wa changamoto za mazingira unatarajiwa kushirikisha Wadau 300 kutoka Nchi sita...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya Watu Wanaojiua

    Wakati Bara la Afrika likiendelea kukabiliana na masuala muhimu kama vile Umaskini, ongezeko la Magonjwa Yanayoambukiza na Yasiyoambukiza, na Mtikisiko wa Masuala ya Kiutawala katika baadhi ya Nchi, Matukio ya Watu kujiua nayo yanaendelea kuwa janga linalokua kwa kasi. Mbali na changamoto za...
  4. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Nchi zinazotoa VISA bure, Wabongo tunafeli wapi kusongamana ughaibuni kama Wanaijeria

    Wabongo nyoso ni wananchi ambao hawana desturi ya kusafiri nje ya nchi. Wote tumesongamana hapa Nchini utafikiri watoto wanaosubiria nyumba ya urithi. Nchi zinazotoa VISA ya bure kwa Watanzania. https://www.instagram.com/p/CxC5PRyuwra/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== Japokuwa Nchi yetu inashika...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nchi 12 zenye Demokrasia Bora Barani Afrika

    Bara la Afrika bado linakabiliwa na changamoto kubwa kwenye masuala ya Demokrasia duniani, kwa mujibu wa Ripoti ya Economist Intelligence Unit (EIU), 12% tu ya Nchi za Afrika zina kiwango bora cha Demokrasia zikiongozwa na Mauritius. Nchi zenye kiwango kibaya zaidi cha Demokarasia ni pamoja na...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kwa mwaka 2023 Tanzania pekee ndiyo nchi ya SADC na EAC yenye records kubwa za kuweka wapinzani mahabusu, unadhani kwanini tumekaa kileleni?

    Nchi za SADC na EAC zina mfumo wa kidemokrasia na zinatumia katiba somehow inayoendana na Tanzania. Zina sheria na kuna wapinzani ambao baadhi yao wameweza hadi kuongoza nchi mfano Zambia. Lakini upo ustaarabu flan wa dola ambao umejengeka.; Ni aidha mpinzani kwenye nchi nyingine upo dhaifu...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu

    Kuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu. Taarifa zaidi kukujia hapahapa jukwaani. UPDATE: Waliokamatwa Karatu hadi sasa ni Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu Walinzi wote wa Tundu Lissu Katibu wa BAWACHA Catherine Ruge Mzee Hashim...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Marekani ni nchi ya dunia ya tatu

    Nchi ya dunia ya tatu ni nini? Nchi ya dunia ya tatu ni nchi yoyote ile isiyo na usalama wa uhakika( wa kutosha ) kwa raia wake na watu wote wanao ishi ndani yake. Vitu hivi huwezi kuvipata Marekani. Marekani hakuna usalama wa uhakika. Hakuna utu. Watu wanauana kwa sababu za kijinga kabisa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania 2025-2030 Tanzania kufanikiwa kufika nchi ya ahadi chini ya Rais Samia. Naiona Tanzania mpya

    Hii si ndoto ila ndio uhasia ulivyo na kama mtu ataiona ni ndoto basi aifikirie Ile ndoto tamu sana ya kufurahisha ambayo inaacha kumbukumbu za furaha. Ninaamini baada ya 2030 tutakuja kusema YAMETIMIA, RAIS SAMIA AMEFANIKISHA. Kufika nchi ya Ahadi sio jambo dogo na ugumu wake tunaona kwenye...
  10. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya Nchi za Kiafrika zina Majambazi na Magenge ya Dola badala ya vyombo vya Dola

    Wasalaam nyote, Kwa ufupi ifahamike hivyo ya kwamba kuna Nchi nyingi tu za Kiafrika zina Majambazi na Magenge ya Dola badala ya vyombo vya Dola. Kwa msingi huo usitarajie miujiza ya hivyo vyombo kufanya kazi kwa ustawi wa jamii zao na nchi zao. Ni hayo tu. Shukrani 🙏🙏🙏 Wadiz
  11. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hakika Hayati Magufuli Nchi Aliiweza

    Tunahitaji watu aina ya Magufuli kwa miaka 100 japo watanzania akili zitukae sawa. Kuna Mtu yuko Mahali yeye Kaamua kukaa Kimya anategemea mambo yatafanyika automatic.
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kufananisha Utaratibu wa Majeshi ya nchi zingine na wa Tanzania ni Upumbavu usiovumilika

    Sasa kama mnalisifia na mnalipenda Jeshi la Marekani kwa Utaratibu wake wa hasa Uniforms (Sare ) zao na Uvaaji wa Raia wa hizo Sare zao na Uzuri wa nchi yoo kwanini hasa hamhamii huko mkaishi na badala yake Sote tu tuko hapa hapa Dar es Salaam Tanzania tunasaka zetu Nyoka tu ili Kupambana na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la wananchi laonywa lisivunje katiba ya nchi kwa kufanya majukumu yasiyo yake kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi

    WAKILI MWABUKUSI ANATAKA MKUU WA MAJESHI AZUIE UVUNJIFU WA KATIBA. "Nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria na katiba. Kazi ya kukamata wa halifu ni ya Jeshi la Polisi. Jeshi la wananchi halina mamlaka kisheria na kikatiba kuingia kufanya msako mitaani kwa kisingizio cha kutafuta sare zao. Jukumu...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kusadikika: Nchi inayowapoteza wazalendo na kuwalinda mafisadi

    Asalaam Aleykum wapenzi wana JF wenzangu. Kati ya vitabu vigumu kabisa kuvielewa ni pamoja na vitabu vya Hayati Shaaban Robert na Mkerewe mmoja aliyekuwa anaitwa Euphrase Kezilahabi (kwa sasa marehemu). Hawa wanaume sijui walikuwa wanafikiri kwa kutumia mechanisms zipi maana vitabu vyao...
  15. Etwege

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu apendekeza sheria mpya ya Serikali kununua vitu vilivyotumika (mtumba)

    Mwigulu Nchemba amependekeza kwenye sheria mpya ya manunuzi serikali inunue ndege, vichwa vya treni, mabehewa ya treni, meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya, na wabunge wanasherehekea bungeni kwa nguvu sana. Yani baada ya vichwa vya treni mitumba kukosolewa na wananchi kwa nguvu sana...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ushauri: JWTZ/JKT wajikite kwenye tafiti za kisayansi na teknolojia. Wabuni silaha zao wenyewe

    JKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na...
  17. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Rasilimali za nchi zina wenyewe, nchi inaendeshwa kwa pesa za sigara, bia, pombe, vinywaji, kamari na PAYE tu

    Mchanganuo. - Mikopo inayokopwa inaonekana ndio hutumika katika (Miradi mikubwa kama SGR, Rami, Nyerere Gorge na kulipa mikopo mingine. - Tozo za Mafuta na simu hufanya (miradi midogo Kama madarasa, majengo ya Vituo vya Afya ) - Misaada kutoka kwa wazungu ndio hugharamia huduma za (Afya) -...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Je, ulishapata kuwazia Raia wa Jimbo la Nchi kutaka kujitenga na kuwa sehemu ya nchi Jirani?

    Hicho ndicho kinachotokea katika Jimbo la Gilgit-Baltistan la Pakistan ambalo ndiyo Jimbo pekee nchini pakistan lenye raia wengi ambao ni Washia. Kwa kifupi nchi ya Pakistan Raia wake wengi ni SUNN na Serikali ya Pakistan inaongozwa na sharia. Kutokana na malalamiko ya muda mrefu ni kuwa...
  19. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Rwanda ina uwezo wa kupokea basi 100 kwa wakati mmoja?

    Kuna kila dalili Yanga anapeleka Yutong zaidi ya 200 Rwanda. Wasiwasi wangu ni je Rwanda wamejipanga kwa huu ugeni wakuu? Kuna tetesi kuwa Kagame atakuwepo Rusumo kuwapokea wadau. Yanga hana kazi ndogo hata kidogo.
  20. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Serikali ichukue hatua hizi haraka ili kuinusuru nchi na tatizo la upungufu wa fedha za kigeni

    1. Serikali isitishe kwa muda matumizi yasiyo ya lazima (anasa) yanayohitaji fedha za kigeni kama vile kununua magari ya kutembelea viongozi na safari za nje ya nchi (zote mpaka za SSH hazina tija). 2. Kampuni za ndani zitakazolipwa kwa shilingi zipewe kipaumbele kwenye miradi ya ujenzi na...
Back
Top Bottom