mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kabwelavoice

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Stendi ya Daladala ya Mbezi Mwisho inanuka mkojo tupu

    Habari Wadau, Ukweli hii ni kero ambayo mwisho wa siku itakuja kuzaa magonjwa ya mlipuko. Stendi ya Mbezi mwisho ya daladala ambayo hata magari ya Mwendokasi yanapaki pale, kuna kero ya watu kukojoa hovyo ndani ya stendi huku walinzi na migambo wa jiji wakifukuzana na wamachinga tu lakini...
  2. Logikos

    JamiiForums Tanzania Huenda Man City wakawa na Mechi kila Katikati ya Wiki mpaka Mwisho wa Ligi....

    Wakimfunga Bayern Keshokutwa huenda Man City wakawa na Mechi bandika Bandua kila katikati ya Wiki na hapo kuna kiporo cha Brighton ambacho hakijapangiwa Siku (na ukiangalia siku ambayo itakuwa imebaki ni Jtano ya wiki kabla ya mechi ya mwisho) wakati wenzao wa North London game ni chache...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yanga kuchanika kwa jamvi siyo mwisho wa maongezi, 'overconfidence' imewamaliza leo

    Ni mechi ambayo Yanga waliingia kwa kujiamini sana, jambo ambalo ni sumu kwenye mpira wa miguu, wameanza mechi kwa taratibu sana uku wakipoteza ovyo mipira wakiwa wanaamini kwamba watafunga muda wowote. Wenzao wameingia kwa dhamira moja ya kupata magoli ili kuondoa unyonge wa miaka mingi, na...
  4. Area 56

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa mwisho: Nimeambiwa sio Baleke wala Mayele watakaofunga kwenye dabi ya leo

    Kwa mujibu wa unajimu wa mechi ya leo sio Baleke wala Mayele watakaokuwa katika scoresheet. Nyota zao haziendani na tarehe ya leo, leo ni siku ya viungo na mabeki kung'aa. Duru zinasema hapatakuwa na magoli mengi leo kwani magoli yatakuwa mawili au moja tu. Na hapatakuwa droo. Kwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Serikali: Katazo la kutumia Kuni na Mkaa kuanzia Januari 2024 linahusu Taasisi zinazolisha zaidi ya Watu 100 na sio Watu wote

    Msemaji mkuu wa Serikal Gerson Msigwa amesema Katazo la kutumia Kuni na Mkaa kuanzia January linahusu Taasisi zinazolisha zaidi ya Watu 100 na siyo Watu wote. Awali Waziri wa Mazingira Dr Jaffo alisema kuanzia January 2024 itakuwa ni marufuku mtu yoyote kutumia kuni na Mkaa kama nishati ya...
  6. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Waarabu na Wahindi wanaweza kuwaheshimu Watanzania wa asili na kuacha kuwadharau na kuwaona kama watu wa daraja la mwisho?

    Hakuna haja ya kumung'unya maneno, vitendo vinaongea na tunashuhudia kwa macho yetu kwamba jjamii hizo hukaa mbali kabisa na watanzania wa asili ya makabila ya hapa kwetu, wao huwa karibu zaidi na watu wa kuweka greese kwenye mambo yao pekee hasa viongozi wa juu tu ambao nao wakishamaliza muda...
  7. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Serikali: Januari 31, 2025 ni mwisho wa kutumia mkaa na kuni

    Deadline hiyo imetangazwa na Waziri wa Mazingira Suleimani Jafo. Baada ya January 31, 2024 taasisi zote za Umma na Binafsi ni marufuku kupikia kwa kutumia mkaa na kuni. Aidha Serikali imesema inataka kufikia 2030 Asilimia 80% ya Watanzania wote wawe wanatumia Nishati safi ya kupikia. Pia soma...
  8. Wizara Maendeleo ya Jamii

    JamiiForums Tanzania Kuzikumbusha Asasi za Kiraia (NGOs) kuwasilisha taarifa zao za mwaka 2022 na kulipa ada

    TANGAZO KWA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali anayatangazia Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kuwasilisha taarifa zao za mwaka 2022 na kulipa ada. Mwisho wa kulipa ada na kuwasilisha taarifa ni tarehe 15 Aprili, 2023. Baada ya tarehe hiyo malipo yote ya...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kama Warundi leo ndio wamekamilisha uchunguzi wa mauaji ya Mfalme wao wa mwisho, Iko siku pia watanzania watamjua mbaya wao!

    Mungu ni wa ajabu sana na utukufu wake ni wa kutisha sana, kwani hukumu zake ni za haki Ninachokifahamu ni hivi! Mtu akiuwa mtu, maisha yake yote huwa hawezi kupata Amani abadani kwa sababu hukumu ya Mungu juu ya uovu wowote hasa unaohusu UHAI wa mtu, huwa upo kifuani mwake, na moyo hutoa...
  10. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho kuamini kama Rais Samia ataendelea na Urais baada ya 2025

    Ndugu zangu, Uraisi siyo kazi ya kitoto. Urais siyo lelemama. Hata Nyerere alilitambua hilo hadi akasema mtu anayetumia nguvu au fedha kuingia ikulu ni wa kuogopwa kama ukoma. Tafasiri ya haraka haraka ni kwamba mpaka Dakika hii Samia nchi imeshamshinda, hakuna nchi ngumu kuongoza kama...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Chelsea mbioni kumrejesha Lampard hadi mwisho wa msimu

    Klabu ya soka ya Chelsea ya Uingereza iko mbioni kumrejesha klabuni hapo mchezaji na kocha wake wa zamani kama kocha wa muda hadi mwisho wa msimu Kwa mujibu wa Fabrizio Romano klabu hiyo inaendelea na mazungmzo na Julian Nagelsmann pamoja na Luis Enrique ili kupata mwalimu wa kudumu wa klabu...
  12. Texas Tiger

    JamiiForums Tanzania UFC 287: Israel Adesanya vs Alex Pereira II. Stylebender akipoteza itakuwa mwisho wa career yake UFC (?)

    Pambano ni Jumapili tarehe 9 April, 2023. 5:00 AM GMT Israel Adesanya aka The Last Stylebender Record: 23-2-0 HEIGHT: 6' 4" WEIGHT: 185 lbs REACH 80" STANCE: Switch DATE OF BIRTH: Jul 22, 1989 NATIONALITY: NIGERIA/NEW ZEALAND Ikumbukwe pambano lililopita UFC 281 Israel Adesanya alipoteza...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa ndege za kivita, funzo la vita vya Ukraine na Urusi

    Baada ya uvamizi wa urusi ndani ardhi ya jirani yake ukraine kumetokea hali tofauti ya namna vikosi vinaweza kupata umiliki ndani na nje ya uwanja wa medani. Matumizi ya silaha kubwa kama vifaru yameonekana kuwa vulnerable kwani imekuwa rahisi kushambuliwa na silaha nyepes za kubeba begani, "...
  14. TODAYS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania RAILA: Jumatatu Ndiyo Itakuwa Mama wa Maandamano, Gachagua Kasema Ndiyo Mwisho wa RAILA

    Nadhani jirani zetu hawa wana jambo lao ambalo inaonekana ni tofauti na siasa. Nilisema kama ni siasa basi wafungue server ila hawataki na hiki wanachotambiana kina nwisho mbaya. DP Rigathi anasema ‘Jumatatu itakuwa siku ya mwisho’ kwa Odinga kufanya maonyesho nchini Kenya, anasema haitakuwa...
  15. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Usiku wa Mabingwa Afrika:: Kijiwe Cha kusubiri matokeo ya mechi za mwisho esp Al ahly Vs Al hilal

    Tupo kijiweni kwetu tuendelee kupeana update za ligi ya Mabingwa afrika,,kwa mechi za Leo jumamos na Jumapil alfajiri,tujue Nani ataongoza makundi na vilevile kujua Nani atasonga mbele Kati ya Al ahal🇪🇬 vs Al hilal🇸🇩 Karibuni
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG 2021-2022: Rais Samia ataka baadhi ya mashirika yasiyo na tija kufutwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu leo amepokea ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) pamoja na TAKUKURU. Katika ripoti hiyo CAG aliyataja mashirika 14 yanayoendeshwa kwa hasara ikiwemo TRC, ATCL na NDC. Rais Samia alisema kwa muda baadhi ya makampuni yamekuwa...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Je, ni mwanzo wa mwisho wa Mwita Waitara mbunge wa Tarime Vijijini?

    Ni dhahiri kwamba Waitara "ameshauona mwisho" kabla ya kuufikia. Leo amefanya mahojiano na waandishi wa habari akilalamika kwamba serikali imeweka mipaka ya hifadhi ya Serengeti bila kumshirikisha, Waitara alikuwa akilia kwa kwikwi na akijiapiza kwa kidole. Anadai Chadema wamepita jimboni...
  18. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Mara yako ya mwisho kusoma Biblia au Quran ilikuwa lini?

    Amani ya Bwana iwe nanyi nyote, Ndugu zangu, Pamoja na pilikapilika na mihangaiko ya kutafuta mkate wa kila siku, inatupasa kuendelea kumtumikia Mungu mwenyezi aliyeziumba mbingu na nchi na vitu vyote tuvionavyo na tusivyo viona, Simu zetu zimekuwa karibu zaidi kuliko vitabu vitakatifu vya...
  19. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya 8 kutoka mwisho ripoti ya furaha Duniani

    Tanzania yaendelea kuangukia pua world happiness report 2023 baada ya kuwa kundi moja na nchi za Haiti, Afghanstan, Congo, Rwanda, Malawi na Lesotho. Vigezo vilivyotumika ni pamoja na upatikanaji wa haki, Rushwa, Matarajio ya maisha marefu, pato la mtu mmoja kitaifa, Ukarimu, Usaidizi wa Jamii...
  20. Masanja

    JamiiForums Tanzania Safari ya mwisho ya maisha-Kijijini au Mjini?

    Wanabodi hebu leo tutatazame kitu tofautI, Majority ya wengi wetu tumekuja mjini kutafuta maisha. Na hii ni kwetu almost wote, at least 90%. Na hii inasababishwa na ukweli kwamba fursa nyingi zipo mjini. Wengi tukifika mjini tunapambana na kufanikiwa. Wengine wanajenga majumba na kumiliki mali...
Back
Top Bottom