Habari ya sikukuu
Mtoko wangu wa leo sikutaka kwenda kuponda raha niliingia hapo mbezi stendi kuangalia hawa ndugu zetu walio jiajiri ili nijifunze vitu vipya ambavyo sivijui hawa watu wanaamka saa kumi za usiku na kulala mida mibovu sana middle of the night aisee utafutaji wao ni mgumu sana...
NIMEKUMBUKA miaka michache tu iliyopita, Simba walikuwa wanapigania maisha yao kwa Jonas Gerald Mkude. Wakati huo mkataba wake ulikuwa unakaribia kumalizika Simba na Yanga walikuwa wanahaha kumnasa Jonas. Simba walilazimika kutoa kiasi cha shilingi 80 milioni kuinasa saini yake kwa mkataba wa...
Mpaka sasa tumeachwa gizani hatujui mustakabali wa nchi yetu swala la mkataba wa bandari upande wa utetezi ukimsikiliza Mheshimiwa waziri mkuu ,waziri wa ujenzi na uchukuzi,na msemaji wa serikali hawa wote nimewasikiliza kauli zao kila mtu kila mtu anasema lake lakini bado hawakati kiu ya...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi atoa maneno mazito mjadala wa DP World
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, amejitosa kwenye mjadala wa uwekezaji wa kampuni ya Dubai ya DP World unaotarajiwa kufanywa kwenye bandari ya Dar es Salaam kwa kusema kuwa kuna...
Kama mkataba ni mbaya na ni wa milele,
Turufu yetu ya kwanza kujitoa ilikuwa kupingwa na bunge ingekuwa wazi kwamba mchakato wa kisheria haukamiliki kwa mtu mmoja kutia saini.
Hiyo wabunge wetu wanajigamba kuwa magwiji wa sheria hawakuona.
Sasa ni kuunda timu ya kuchunguza ambayo itaibuka na...
Kinachopigiwa kelele si mkataba maana kuna mikataba ya utekelezaji bado inakuja, kinachowaumiza kiundani ni mnyororo wa thamani pale bandarini vingi watapoteza watu wana makampuni yana secret tenda na TICTS.
Ipo kampuni zimekodisha Trekta, ipo kampuni imekodisha forklift hizi kampuni zilikuwepo...
Majukumu yako
Kuuza bidhaa dukani
Usafi wa ofisi wakati wote
Kuendelea na Mpesa na Tigo Pesa
Mshahara
200,000 kwa mwezi
Ofisi itatoa Mlo wa mchana
Ofisi itatoa malazi (sehemu ya kuishi) kwa anaetokea Mkoani Wakati wote atakapokuwa mfanyakazi.
ELIMU
Uwe umefika Chuo chochote
Usikie na kuelewa...
Habari za wakati huu!
Moja kwa moja nawaelekea TANROADS kuhusu hii barabara ya kimkakati inayoanzia darajani kimara mwisho kuelekea tabata bonyokwa mpaka tabata segerea.
Kwa muda mrefu hii barabara imekuwa ikisahaulika kuwekewa lami ilihali ina umuhimu mkubwa sana wa kupunguza foleni ya...
Ni mchezaji gani ameshinda mataji mengi zaidi ya Ligi ya Mabingwa?
UEFA Champions League
5 Karim Benzema (Real Madrid)
5 Dani Carvajal (Real Madrid)
5 Luka Modrić (Real Madrid)
5 Cristiano Ronaldo (Man United, Real Madrid)
4 Gareth Bale (Real Madrid)
4 Casemiro (Real Madrid)
4 Andrés Iniesta...
Mambo ni mengi ,binafsi nigeweka hivi: Front page (FP) na last page (LP)
FP: Watoto wasumbua likizo na wazazi wakitamani shule kufunguliwa (kana kwamba wao hawahusiki na malezi)
LP: Kiatu chavutwa nusura kichanike
Tiririka
MWISHONI kabisa tulimwona Kocha Nasreddine Nabi akitoa machozi. Ni nadra kwa mwanamume kulia. Tunaambiwa tulie kwa ajili ya kuipa mioyo yetu nafuu lakini hatufanyi hivyo. Nabi alilazimika kufanya hivyo.
Alijua ameshindwa kumalizia kipande kidogo cha historia kilichokuwa kimebakia. Matokeo ya...
Uwezi amini jamani, nina mdogo wa mwisho anamika 27 miaka mitano iliyopita alipata mtoto wa kiume. Ila aliyempa ujauzito baadae alioa mwanamke mwingine.
Mwaka jana mwezi wa 8 alimpata kaka mmoja hivi ni mzuri sana na anamaisha yake. Mimi nilimpenda sana yule kaka, mdogo wangu aliniambie huyu...
Pamoja na kaajira kangu ka kubangaiza mimi pia ni dereva bajaji huwa nikichomoka kwenda job asubuhi lazima niitumie bajaji kukusanya watu kituoni na kuelekea nao posta na nikirudi pia hivyo hivyo.
Katika harakati zangu za kipimbi kuna kitu nimegundua wadada wengi kipindi cha mwisho wa wiki...
Nimekuwa na madudu mengi katika idara ya elimu Ubungo baadhi kwa kutaja ni kama;
1. Kucheleweshwa kwa watumishi kupandishwa madaraja.
2. Kila mara kutolipwa au kukopwa posho kwa wasimamizi wa mitihani ya utamilifu (mock).
3. Kutokuwa na utaratibu mzuri wa mawasiliano na kutoa maagizo ya zima...
Kuna mambo mengine kwenye hizi simulizi za vitabu vya kiimani yanafikirisha.
MWISHO WA DUNIA! Dunia hii sayari yetu au?
Mifumo mingine ya ulimwengu ambayo ina mamilioni ya mifumo ya jua na sayari zake kama yetu na mamilioni ya galaxies nayo ambayo ndani yake Kuna mamilioni ya nyota na...
Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu huu mtandao kuibia watumiaji wake lakini hatuoni maboresho yoyote mimi leo nimelazimika kuandika uzi sababu nimeibiwa salio langu la tsh 300 na huu mtandao baada ya kujaza vocha wananitumia sms umekatwa sh 300 baada ya kujiunga na huduma ya "chekecha mkwanja "...
Ni dhahiri kuwa mwisho wa Museveni kutawala Uganda umefika. Hii ni baada ya Museveni kuingia kwenye mgogoro mkali sana na Marekani kuhusiana na sakata la LGBTQ.
Ukweli ni kuwa unapokuwa rais wa Afrika na ukawa na mgogoro na Marekani lazima wakung'oe madarakani ili wenye Demokrasia watawale...
TANESCO ilisema imeondoa service line lakini Cha kushangaza nimenunua umeme kwa miezi miwili wananikata Tsh. 6000, sijajua shida Nini, Ina maana siku hizi TANESCO haifuati miongozo ya wizara inafuata mambo yake?
Unajua Kuna vitu vingine tunaweza tukasema Magufuli alikuwa Bora upande wa matumizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.