mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini shughuli ndio imeishia hapa kwa Yanga

    Mtu yoyote anayesema bingwa keshapatikana naamini bado haujui mpira vizuri, ninaamini bado hajauona ubora wa Yanga. Zipo dakika 90 nyingine za kutetea hiki kilichotokea jana uwanja wa Mkapa. Njoo nikejeli, nitukane ila Jumamosi utakuja kusema nilitabiri. Naandika hivi nikifahamu vyema home...
  2. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Nimekuja kwa Mara ya mwisho kutafuta mke

    Wakuu bado Nahitaji mke. Niliwahi kuleta Uzi humu 👇🏾👇🏾 https://www.jamiiforums.com/threads/nahitaji-mke-wa-kuoa.2087011/
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi (PSG GUARDS) DSM General Manager, Marketing Manager, Accountant, Operation Manager ... mwisho Tarehe 5-June, 2023

  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Leo nasema kwa mara ya mwisho Shida Kuu ndani ya Simba SC na yasipotatuliwa Wahusika Watapigwa Ngumi

    Shida Kuu Simba Sports Club 1. Mwekezaji Mo na Uongo wake juu ya kuweka Tsh 20 Billion huku akifaidika zaidi na Timu kuliko Simba SC inavyofaidika nae 2. 90% ya Wajumbe wa Bodi ya Simba SC ni Wapigaji huku kila Mmoja akiwa na Mchezaji wake kwa ajili ya 10% na wasipoipata wanawalazimisha...
  5. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa dunia ukifika sasa hivi utaenda Peponi au Motoni?

    Yaani kila nikiwaza mimi na haya mazungumbaru yangu najiona moja kwa moja motoni tu, vipi wewe jirani utakuwa upande upi Peponi au ndio tutasindikizana motoni kuwa kuni za milele?
  6. carnage21

    JamiiForums Tanzania Je, huu ndiyo mwisho wa utawala wa "THE BAVARIANS"baada ya miaka 10 kupita?

    Baada ya miaka kumi kupita huku ikibaki mechi moja tu msimu wa 2022/2023 bundesliga kuisha mtanange wa kuwania kombe la ligi hiyo kati ya bayern munich na borussia dortmund umezidi kunoga. Dortmund akiongoza ligi na alama 70 akifuatiwa na bayern mwenye alama 68 bado mambo yamekua magumu.Ligi...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho kuamini kama Mwigulu atatumbuliwa

    Huyu ni miongoni mwa trusted lieutnants wa Rais Samia. Kuna sakata la wafanyabiashara linaendelea hapo kariakoo. Wafanyabiashara wametoa ya moyoni, wamemkaanga kisawasawa na kumtuhumu Waziri wa Fedha kama kikwazo katika biashara zao. Wafanyabiashara wakaenda mbali sana na kudai waziri huyo ni...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wamejitahidi kuficha mwisho wamekubali kuwa Patriot Air Defense System imeshachakazwa na makombora hatari ya Urusi

    Wiki iliyopita Ukraine walidai kuwa wamefanikiwa kuangamiza kombora la urusi (hypersonic missile), lakini baadaye ikaonekana kuwa siyo. Na leo mji mkuu wa ukraine ulishambuliwa vibaya na ukraine ikadai imetungua makombora 6 (hypersonic missile) ya urusi kwa kutumia Patriot air defense ya...
  9. OGTV

    JamiiForums Tanzania GTA V FINAL MISSION: Zijue mission za mwisho kwenye gta V

    Mission za mwisho kwenye gta v zinatokana na maamuzi yako utakayoamua kufanya kwa watu utaoamua kuwaua. Ukichagua kumuua Trevor Philips, mission inaitwa something sensible Ukichagua kumuua Michael , mission inaitwa Times Come Ukichagua kuwaua wale watu unaohisi watawau mission inaitwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania DAWASCO Kimara mwisho matangini sasa yatosha, tunakuja ofisini kwenu

    Kwa masikitiko makubwa sasa mmeamua kula nje ya kamba naona mnatunia mipira inayovutika. Hivi ni kwa nini maji hayatoko kwa siku nnee? Na hamtoi taarifa yeyote, hivi nyinyi mnatuchukuliaje sisi wenye nchi au mnataka tutanguilie mbinguni. Raisi wa nchi ini msimamizi na sisi ndiyo boss wakee...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya mwisho ya Membe akieleza sababu za kutoelewana na Magufuli

    Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (68), hatimaye amefichua mambo yaliyomfanya asielewane na aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli. Membe ambaye ni mmoja wa mashushusu hodari nchini, amesema Rais Magufuli, pamoja na mambo mengine, alimfitini...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Madale Mwisho ni mbovu sana

    Tunaomba Serikali itusaidie Barabara ya Madale Mwisho kwenda Mbopo kupitia Mikoroshini, Barabara ni mbovu sana na usafiri wa huko ni Bodaboda tu, wanapandisha bei mara iwe shilingi 2,000 mara shilingi 1,500.
  13. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Wachaga na kisa cha kurudi nyumbani kila mwisho wa mwaka.

    Wachaga ni kabila lenye asili ya Kibantu na mchanganyiko wa asili ya Kikushi wanaoishi kaskazini mwa Tanzania, Kilimanjaro mkoani Kilimanjaro. Kabila la Wachaga linatajwa kuwa la tatu kwa ukubwa nchini Tanzania, ambapo takwimu za mwaka 2003 zinaonyesha kuwa idadi ya Wachaga ni watu 2,000,000...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuwajibika kwa kiongozi siyo dhambi

    Uwajibikaji ni dhana inayochukuliwa kwa pande mbili katika viongozi mbalimbali wa umma na wale wa siyo wa umma kutokana na mazingira yanayoweza kusababisha viongozi kuingia kwenye hofu ya kuonekana kuwa ni dhambi na ni aibu kufanya hivo. Mosi,wanaona aibu baada ya kufanya makosa katika utendaji...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa kutoka kwa updates za version za Window 10

    Hatimaye Microsoft wamesema windows10 22H2 ndiyo version ya mwisho. Kuanzia Sasa akutakua na Tena na muendelezo wa window 10. Latest version ya 𝗪𝗶𝗻𝗱𝗼𝘄𝟭𝟬 ndiyo itakua ya mwisho akuna Tena window 10 nyingine itakayotoka au kupata feature mpya ambazo zinakuja na window ndani yake. October 2022...
  16. Desierto

    JamiiForums Tanzania Umewahi ishi na mtu ambaye akilewa ni Kiingereza tu?

    Kuna bwana mmoja nilikuwa naishi naye maeneo ya Msasani beach, akiwa hajalewa hajui kabisa Kiingereza ila akinywa anasahau kabisa Kiswahili!
  17. Russia is not your enemy

    JamiiForums Tanzania Tanzania elimu ni kipaumbele cha mwisho

    Elimu ni silaha namba moja. Lakini Kwa Tanzania sio muhimu, kuna matatizo lukuki lkn watawala wanaigilolizia. Unawezaje kumuacha mzazi asilipie hata huduma za mwanae huko shuleni. Fine basi msijishauri kumhudumia huyu mwalimu, mmemtupa. Emergine mwalimu ndio anamnunulia mwanafunzi mahitaji mzaz...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Takwimu Aziz Ki Vs Chama kuelekea mwisho wa ligi

    Statistics Stephen Aziz Ki Mechi 21 Dakika 1342 Magoli 9 Pasi za goli 4 CLatous Chama Mechi 23 Dakika 1836 Magoli 3 Pasi za Magori 14 Clatous Chama Yupi Yupo kwenye kiwango kwa sasa? CHAMBUA
  19. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho kupata new contact lini?

    Hellow african wote tuna simu wote tuna marafiki na wote tuna marafiki tofauti Je mara mwisho kusave namba mpaya ambayo ni muhimu sana ni lini? Au bado unasave namba ya single mother na videmu vya mtaani? Mimi yapata miezi sita sasa sijasev namba mpaya nyingi naziweka panding how about wewe
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Yanga isipojiamini kupitiliza itatoboa Fainali!! Gallants wapo nafasi za mwisho ligi kuu ya Africa Kusini lakini si wa kubezwa

    Yanga itacheza dhidhi ya Marumo Gallants FC ya Afrika Kusini katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Marumo Gallants ipo nafasi za mwisho ligi kuu ya Africa kusini ila imeweza kupambana mpaka kufikia nusu fainali, Marumo Gallants imeitoa Pyramids FC ya Misri kwa jumla ya...
Back
Top Bottom