mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Myebusi ni toleo la kwanza na la Mwisho la Mwanaume

    1. Myebusi siyo romantic. Huwezi mkuta Myebusi anabembeleza demu au anakuwa romantic. Yupo very strict and calm. Ila anajua sana kulea familia. 2. Myebusi hakimbii mtoto au mke. Myebusi unaweza mkuta anawatoto hata 10 wote atawahudumia vizuri na wake mke wake bila shida 3. Nlisema Wayebus...
  2. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Siku Kukifanyika mabadiliko ya sheria na makosa yote kua na dhamana isipokua kosa la mauaji, hio ndio itakua mwisho wa ofisi ya DPP.

    Hii ofisi katika period ya Samia imetumika kihuni sana..saiv hata wakiona unaisema sana serikali wanakusingizia kosa wanalojua halidhaminiki ili ukae ndani uumie then utoke uwanyenyekee. Siku kukifanyika madiliko nahisi kuanzia hapo DPP atakua anaenda ofisini na kwenda Shamba..
  3. kalooo 25594

    JamiiForums Tanzania Nchi Inahitaji mambo makuu manne, yaani ardhi, uongozi bora, siasa Safi na watu

    Ewe mama Peter uliye square Energy is contagious Shakira anasema,Ni kweli mtu hutiwa moyo hata kuungishwa kwa kile anachokifanya kwa maslahi binafsi hata hayo ya kulijenga Taifa kama tu hakuna baya liharibulo taswira ya nchi. Nchi Inahitaji mambo makuu manne, yaani adhi(1500miles times 1500...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Rais wetu Samia, RC Chalamila kupitia zogo hil la stendi ni mzani wake wa mwisho kwamba huyu hatoshi kuwa RC DAR (Tumbua mama)

    Naomba kufikisha salaam kwa Rais Samia kuhusu Sakata la stendi ya magufuli! Wamiliki wa mabasi wametumia kila njia kuomba kuonana na mkuu wa mkoa ili yafanyike mazungumzo kabla ya zoezi lakini ilishindikana. Wananchi pamoja na wamiliki wa mabasi tumetoa maoni kupitia vyomba vya habari lakini...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ule Mwisho Utakapofika

    ULE MWISHO UTAKAPOFIKA Anaandika Robert Heriel Mtibeli Nilipoanza kuhesabu siku zangu zilizobaki, niligundua kwamba nilikuwa nimeishi maisha yangu yote nikihesabu siku nilizokuwa nazo. Sasa niko kitandani. Mwili wangu umekuwa kama Gofu ambalo mwenyewe anajua i Limeanza kupasuka. Miguu haina...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya Mwisho ya MOU ya Iran/Marekani ya Siku 60 Imeisha. Nini Sasa kitafuata?

    Tarehe ya Mwisho ya Iran ya Siku 60 Imeisha. Nini Sasa? Tarehe ya mwisho ya Iran iliisha na Iran haikujisalimisha, haikufungua Mlango-Bahari wa Hormuz, na kulingana na ripoti ya Wall Street Journal ilitumia dirisha lote la mazungumzo kufanya jambo moja ambalo hakuna mtu huko Washington alitaka...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mpira wa Bongo sasa hivi brand kubwa inalipa; Fei anaandaliwa signing fee ya bilioni 4 na mshahara 120M, Okello kacheza nusu msimu tu kauzwa bilioni 2

    Mpira wa Bongo siku hizi unaonyesha wazi: ukijenga brand, fursa na pesa vinafuata. Fei Toto kwenye dirisha hili la usajili, dau la kuvunja mkataba wake lilifika hadi bilioni 3.5. Azam wameamua kumuwahi mapema wakijua amebakiza miezi 6 tu kwenye mkataba na timu zinaendelea kumnyemelea. Kuna...
  8. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: JayRutty kusitisha mkataba na Simba mwisho wa msimu huu

    Taarifa za uhakika ni kwamba boss Mo kaamua kukita mizizi pale msimbazi kiasi kwamba mzabuni wajezi kaona hakuna future nzuri. Atavunja mkataba kwa gharama zake na yuko tayari kulipa fedha ya fidia kwa Simba ili aondoke. Genius Mangungu unaupiga mwingi.
  9. Funny boe

    JamiiForums Tanzania Swali kwa mods; nyuzi ni nyingi na comments zinaongezeka, Je siku JF servers zikijaa itakuaje? Ni mwisho wa JamiiForums?

    kwa hii hali ya sasa nyuzi zinavyoanzishwa kwa fujo halafu bila mpangilio na maana yoyote halafu nyuzi zenyewe za hovyo nyingi zikiwa ni za wanafunzi walioko likizo na vijana wanaokaa kwa dada zao hali inayopelekea comments kuwa nyingi pia. hii hali si itapelekea siku moja servers za JF zijae...
  10. julaibibi

    JamiiForums Tanzania Zama za mwisho wa dunia? Mchina aja na teknolojia hii

    Mchina huko anafanya zoezi la kuzi train drone kwa algorithm ya kuua mbu kwa kuzichapa laser beam. Hii kwa jicho la tatu ni message kama tu ameshaweza kuya train ma chip ya AI ndani ya drone kuchapa makombora mbu kama mbu vipi kwa object kubwa kama binadamu na wengine. Message hio kwamba vita...
  11. britanicca

    JamiiForums Tanzania Leo nimeamua nikomae na kitabu cha MMEA MWANZO MWISHO “HEMP”

    Tusiogope kupata kitu Kuna watoto First born yeye ilikuwa sigara na safari larger Second born horizontal engineering Third born ilikuwa Kilimanjaro larger Fourth yeye music Kwenda mbele na totozi Fifth yeye alipiga sana HEMP yaan mmea kila siku juana mdomoni Sixth , K vant mwanzo Mwisho...
  12. Red black

    JamiiForums Tanzania Je, wakati (time) una mwisho au ulianza lini?

    Nimesoma Big bang ila sjapata majibu.
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ukimpangisha Mpemba nyumba yako, mwisho wa siku anainunua?

    Katika wapangaji wazuri ni wapemba maana kwenye kodi wanalipa kwa wakati. Ila najiulizaga na nimeona sana sehemu nyingi,Mpemba akipanga nyumba yako au fremu na kama kaipenda. Anakufikia dau mwisho unashangaa unaiuza. Na kama kapanga kwako mpaka uje mkutoa basi mpaka ufanye visanga sana.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Mpishi imetangazwa na Ubalozi wa Ubelgiji, mwisho wa maombi ni 21 Agosti 2026

    Tunatafuta Mpishi kujiunga na timu yetu 🇧🇪🇹🇿 📌 Tarehe ya kuanza: Oktoba 2026 📍 Mahali: Dar es Salaam Sehemu kubwa ya ukarimu wa kidiplomasia hufanyika mezani😋. Makazi ya Balozi wa Ubelgiji yanatafuta mpishi wa kuendesha jiko, milo ya kila siku, hafla rasmi, na menyu zinazowaridhisha wageni na...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Sauti Yako, Skrini Yako..!Je, Maandishi Ndio Mwisho wa Mawasiliano?

    Ulimwengu wa voice notes unatawala mawasiliano ya kila siku kwa sababu unampa mtumiaji uwezo wa kufikisha hisia na lafudhi halisi ya maneno, jambo ambalo ni gumu kupatikana kwenye herufi baridi za maandishi. Kurekodi sauti kunapunguza migogoro ya kuelewana vibaya na kurahisisha utumaji wa...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wazungu wakiendelea kukaza hivi hivi hadi mwisho inaweza kutuchukua muda gani kuingia katika total economic crisis?

    Economists, Planners, Financial analysts, Insiders, Strategists, JFers, Karibuni.
  17. B

    JamiiForums Tanzania DOKUMENTARI - Usaliti kwa MAGUFULI Hadi Saa Yake ya Mwisho

    02 Agosti 2026 Dokumentari - Usaliti kwa MAGUFULI Hadi Saa Yake ya Mwisho https://m.youtube.com/watch?v=de8Zv6MMh8c 🔴MUHTASARI WA VIDEO ▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬ Rais John Pombe Magufuli alikuwa nani, na ni nini hasa kilitokea katika siku za mwisho za maisha yake? Makala hii inachunguza maisha...
  18. L

    JamiiForums Tanzania CCM imefika mwisho, ndani ya miaka minne itaondoka,ikiondoka hairudi Tena

    Kwa Nini CCM imefika mwisho. Haitavuka 2030. Ongezeko kubwa la wanawake kua wapigania haki wakubwa hapa Tanzania. Ni kawaida wanaume kwa miaka mingi ulimwenguni ndio wamekua wapigania haki kwa jasho na damu. Zama zimebadilika,wanawake wamejiunga kwa wingi katika harakati za kudai haki,kwa...
  19. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Zama za mizaha ya Uhaini, Ugaidi na Uchochezi zifike mwisho!

    Katika injili ya Luka 14:28-30, twasoma; "Maana ni nani katika ninyi, kama akitaka kujenga mnara, asiyeketi kwanza na kuhesabu gharama, kwamba anavyo vya kuumalizia? Asije akashindwa kuumaliza baada ya kuupiga msingi, watu wote waonao wakaanza kumdhihaki, wakisema, Mtu huyu alianza kujenga...
  20. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Dunia bila uwepo wako. Wewe ni nani hasa? (Soma hadi mwisho, itabadilisha mtazamo wako)

    Wadau za wakati huu, Tuna muda kidogo hatujaonana uzi wangu wa mwisho wiki kama 3 zilizopita lakini katika kukaa kwangu na kufikiria nimefanya uchambuzi pamoja na utafiti mbalimbali kuhusu hii mada yetu hii ya leo. Mada hii ya leo imeibuka baada ya siku moja swali hili kutokea: "Kama...
Back
Top Bottom