mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Wanawake tuambieni kuhusu kauli yenu ya ‘Mwanaume hata umpe nini haridhiki’. Hiyo ‘nini’ ni kitu gani?

    Hivi Mwanamke akisema hata Mwanaume umpe umpe nini haridhiki, hiyo ‘nini’ humaanisha kitu gani? Tuambieni hizo nini ni nini basi. Kama hamsemi mtaendelea kuita wanaume wote ni Mbwa.
  2. Okrap

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kutomtegemea Mwanaume

    Kama mwanamke mpaka leo umebweteka unamsubiria mwanaume akuletee hela pole. Hela za wanaume zina manyanyaso sana pamba upate chako ujivunie usikae kumtegemea mwanaume akupe pesa please amkeni. Kuna wanawake mpaka hela ya pedi wanaomba kwa mwanaume ni aibu sana, inatakiwa ata mwanaume asijue...
  3. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Tambua sifa za mwanaume asiye na mvuto wa kimapenzi kwa mwanamke

    Wanaume wenye tabia/ aina hii hupata shida kwenye mapenzi. Wanaishia kuona wanawake ni wagumu/ hawaeleweki. Wanatumia muda mwingi kutaka kumridhisha mwanamke. Au atatumia mali kuficha udhaifu wake. Wanaamini akipata kitu fulani basi hatopata shida tena na wanawake. Anaweza pata mahusiano lakini...
  4. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hupata hisia ya ngono anapomuona mwanaume akiwa mtupu?

    Hivi kibailojia suala hili limekaa vipi? Ni kweli kuwa damu za wanawake huchemka wanapokutana na tupu za wanaume hasa za kushtukiza?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ni hali ya kawaida mwanaume kupenda kumuona mkewe akilia lia kila mara

    Waswahili wanasema mficha maradhi kifo humuumbua.Kuna kipindi hapo nyuma nilimpiga mke wangu vimatukio tukio akawa mtu wa kulia na kutoa machozi kila Mara Mbaya zaidi ameanza kuneneepa kufikia hatua ya ndani ya miezi miwili mitatu naye aanze kuitwa bonge Niwe muwazi wife wangu si mtu wa...
  6. plan z

    JamiiForums Tanzania Mwanaume usisikilize ushauri wa mapenzi kutoka kwa mwanamke

    Habari za siku nyingi wadau! Leo nataka kuwakumbusha wanaume msisikilize ushauri wa mapenzi kutoka kwa mwanamke. Hii ni kwa sababu mwanamke atakushauri kitu ambacho anakipenda yeye lakini kitu hicho hicho ukimfanyia yeye, atapoteza hisia na wewe. Mfano mwanamke anaweza akakushauri kwamba "ili...
  7. Rakims

    JamiiForums Tanzania Wewe ni Mvulana au mwanaume? | Maana halisi ya Umri ni namba

    Wewe ni Mvulana au Mwanaume.? Kuna ukweli mchungu inapokuja kwenye kubadirika kutoka Mvulana kwenda Mwanaume na umri hauhusiani na hilo. Ni ngumu katika kubadirika kutoka Mvulana na kuwa Mwanaume. Lakini pia jamii ya sasa inafanya hili kuwa ni ngumu zaidi. Jamii ya sasa inajaribu...
  8. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Wewe mwanamke unaetaka mwanaume wa peke yako tafuta mwanaume kapuku

    Nasema hivi wewe mwanamke unaetaka kuwa na mwanaume wa peke yako tafuta mwanaume kapuku huyo ndie atakaekusikiliza na kubembeleza. Mimi mwanaume mwenye future sina muda huo 😁😁 ninatafutwa na wengi. Mimi mwanaume mwenye assets na mwenye muonekano mzuri ninapendwa na wengi ukitaka niwe wa peke...
  9. Okrap

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ambaye wanawake wengi tunawapenda

    Mamboo Wanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman awe naye ni huyu hapa Mwanaume ambaye anajua kucare. Mwanaume ambaye anajua kupenda yaani anajua nini mwanamke anataka naye ana mtimizia kwa wakati Pia furaha mwanaume ambaye anampa furaha muda mwingi na pia hana...
  10. sanalii

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kupenda wanawake wazuri ni sawa, wanawake kupenda wanaume wenye uwezo ni kosa kwanini?

    Wanaume wanapiga sana kelele kua wanawake wanapenda wanaume wenye pesa/uwezo wa kuwahudumia, lakini kwa nini hatuwasikii wanawake wakilalamika kua wanaume wanapenda wanawake wenye muonekano mzuri? Wanawake wanauwelewa mkubwa sana na nature ya mwanadamu. Kama vile wanaume wanavyopenda wanawake...
  11. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Mwanaume asiyeweza kujilipia mahari mwenyewe anawezaje kulea familia?

    Nimeona taasisi moja ya kiislam imeazimia kuwalipia mahari wanaume 50 ili kuwawezesha kufunga ndoa. Nikajiuliza maswali kadhaa. 1. Hivi mwanaume kama hauna uwezo wa kulipa mahari unataka ndoa ya nini? 2. Hii taasisi imekaa na kuona namna bora ya kuwainua vijana ni kuwawezesha kuoa? 😀 Angalau...
  12. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya mwanamke na mwanaume nani anatakiwa kubadili dini ili aoe au kuolewa? Na kwanini?

    Naombeni mnisaidie kuna mdada nimempenda anakata kubadili dini anasema nibadili mimi .
  13. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu wa kuwa mwanaume

    Mwanaume unathaminiwa kutokana na uthamani unaotoa kwenye jamii. Harakati zako na mapambano yako vitaonekana vya maana pale tu unapofanikiwa. Lakini kabla ya hapo utaonekana tu kama kijana azururaye. Hakuna atakayekujali sana wakati unapambana kiasi gani. Hakuna atayesema ngoja nichukue...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Iwapo Watanzania wataamua 2025 twende na Mwanamke, mnaonaje tukiwashauri CHADEMA wasimamishe Mwanamke? Maana Mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu!

    Wanabodi, Nimekutana bandiko hili humu JF Mnyukano Chadema ,mbunge Aida amkataa Lisu Ushauri wa bure Chadema, iwapo Watanzania kwa kauli moja wataamua 2025 twende na Mwanamke kama nilivyo shauri hapa, Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule...
  15. Izizimba

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Ulimwengu mzima ikiwa kila Mwanaume ataoa Mwanamke mmoja, Wanaume milioni 65.51 watakosa wake wa kuoa?

    Hadi kufikia Mwaka 2021, idadi ya wanaume duniani ilikuwa 3,970,238,390 au milioni 3,970 au bilioni 3.97, wakiwakilisha 50.42% ya idadi ya watu ulimwenguni. Idadi ya wanawake duniani ilikadiriwa kuwa 3,904,727,342 au milioni 3,905 au bilioni 3.905, ikiwa ni 49.58% ya idadi ya watu duniani...
  16. marehem x

    JamiiForums Tanzania Nikutongoze tukubaliane, halafu nikukute na mwanaume mwingine uzuge zuge! Labda kama sio Makide mimi

    Nina mchumba angu wa tangia 2014. Ni single mother wa watoto watatu bado mbichi hajachujuka sana, ni kaunta Bar jina kapuni. Siku moja tulitofautiana nilikaa caunta nikala bia sana, namjua kitabia ukimpa upenyo anakuibia. Nilimpa Cash akanipa bia. Sikudai chench before hand. Akanipa larger...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kiislamu aliye tayari kuwa rafiki, mchumba hatimaye mume

    Asalam aleykum Nimekuwa single kwa mda mrefu nimeona sasa ni muda sahihi kuwa na familia Sihitaji Mtu wa kusumbuana nae tena Nahitaji mwanaume wa kuanzisha nae familia mwenye uhitaji navigezo ninavyohitaji naamini Kuna wanaume wema wenye uhitaji Sifa za mwanaume. -Muislam awe anafanya ibada...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza huyu mtangazaji nilihisi mwanaume

  19. M

    JamiiForums Tanzania Rombo: Miaka 30 jela kwa kumlawiti mwanaume mwenzie

    MAHAKAMA ya Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro imemuhukumu Valency Panclas Mtales (43) mkazi wa kijiji cha Mamsera chini, Kwenda jela miaka 30, kwa kosa la kumlawiti mwanaume mwenzie mwenye umri wa miaka 24. Hukumu hiyo ilitolewa na Hakimu Mkazi Mwandamizi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Regina...
  20. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Mshana Jr. ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JamiiForums

    Ramadhan Kareem. Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini. Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk. Mshana Jr ana post zenye wachangiaji wengi kuliko maelezo. Post zake zina madini makali, na amekuwa jukwaani...
Back
Top Bottom