mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wenzangu hii imekaje?

    Muwe mnawataarifu wake zenu mkiwa mnarudi kutoka safari inasaidia kuokoa ndoa .
  2. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kuna usawa hapo?

    Mwanaume akitembea na condom kwenye wallet anajikinga, mwanamke akitembea Nazo mnamuita Malaya kwanini?
  3. Ndondombi Mulin

    JamiiForums Tanzania Mambo unayopaswa kufanya mwanaume pale ndoa au mahusiano yako yanapovunjika

    Nasema na wanaume kwa sababu nimesikitika kuona wanaume wakiwa wanarudia makosa yaleyale mara pale mahusiano au ndoa zao zinapovunjika na kujikuta wanapoteza muelekeo wa Maisha yao. Listen; 1. Mwanaume hutakiwi kurukia mahusiano mapya kabla hujaacha 100% yale yaliyopita. Ukisha achana nayo jipe...
  4. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kwenu wanawake, njia pekee ya kugundua mwanaume anakupenda ni pale akili yake inapofanya maamuzi baada ya kupiga mshindo (post nut clarity)

    Si kila mwanaume anaekwambia anakupenda anamaanisha. Haijalishi kwamba kakufanyia kitu gani iwe kukupa muda wake, kukusaidia, kukupa furaha, kukujali, kukupa pesa, n.k, kuna wanaume ambao huyafanya haya wakiwa bado hawapo timamu. Kwa mwanaume ambae kamfata mwanamke kwa lengo la starehe huyu...
  5. Ndondombi Mulin

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, acha tabia ya kutembea na Wake za watu.

    Wanaume, Nipo hapa kuwakumbusha kukaa mbali sana na Wake za watu. Leave them alone. Haijalishi ni yeye ndio amekupenda au anakusumbua sana. Unapaswa KUACHANA NAE. hata mazoea nae yakatae. Bado kuna Wanawake wengi warembo/wazuri wako single na wapweke. Na wanahitaji sana Upendo, Mapenzi na...
  6. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Ramadhani ya mwaka huu imeanza na mimi. Kwani ni sheria kumnunia mwanaume ndani ya mwezi huu?

    Baada ya kumaliza sala za asubuhi naingia zangu kwa mama Pima kupata chai. Nakuwa mteja wa kwanza kufika hapo. Mama Pima anabaki akinikodolea macho! Namuuliza chai vipi? Au hauuzi? Anaamua kunichemshia kikombe kimoja cha chai ya majani machungu na kiporo cha chapati mbili. Nampisha afanye usafi...
  7. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Sababu Za Mwanaume Kuwa Na Wanawake Wengi

    Kila mtu na mapenzi yake apendayo. Kila mtu na malengo yake kwenye mahusiano. Mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni jambo la kawaida, pia ni vyema afanye hivyo. Lakini inategemea maamuzi ya mtu binafsi. Hivyo, wakati unaamua angalia sababu hizi. Twende nyuma kwanza, zamani utajiri...
  8. MAWEED

    JamiiForums Tanzania Vitu ambavyo sio vya kufumbia macho ukiwa mwanaume

    Salaam, twende kwenye mada, Ukiwa kama mwanaume hutakiwi kufanya haya; 1. Kutokuwa na pesa wala kazi yoyote ya kukuingizia kipato. 2. Kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja wakati huna kipato kikubwa. 3. Kumpondea mwanaume mwenzako kwa mwanamke. 4. Kutokuwa na manzi/kutofanya mapenzi. 5. Kutovaa...
  9. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wewe ni kichwa cha familia sio kila siri yako na madhaifu yako mkeo aijue

    Leo taasisi ya ndoa inapitia magumu mengi sana. Wababa hawajui wajibu wao na hawajui namna ya kuishi na mke kwa akili. Mwanamke ametoka kwenye ubavu mmoja tu wa mwanaume, hivyo basi mwanaume unatakiwa uwe kichwa hasa. Wanaume wengi wa leo wamelelewa na kina mama peke yao, hawajui kina baba...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mahakama Uganda, yamwamuru Mwanamke ( Slay ueen a.k.a Gold digger) Kumlipa Mwanaume (Sponsa) Kwa kosa la Kuvunja Kiapo Cha ahadi ya Kuolewa naye !!.

    Yaan ni kama Wee Jamaaz Umsomeshe Demu iwe kuanzia shule au Chuo Cha Kati au Chuo Kikuu Kwa ahadi ya Demu Kuolewa Nawewe. Alafu Demu baada ya kusoma ale Kona ... Dai chako !!!! Dai Chako.!! KATAA WIZI !!KATAA KUIBIWA !! Kuna kipindi nmewahi msikiliza Mwanasheria Mmoja akitoa Elimu ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayothibitisha ushamba wa Mwanaume mwenye miaka 30-45

    Kuna vitu ukivifanya au ukawa unaviongelea huwa vina proove ushamba wako na ulimbukeni, na kumbuka kila rika na umri una vitu vinavyopendwa kwa wakati huo, so ukifanya kinyume na hapo jua tu wanaokuzunguka wanakuona mshamba. 1. Kujisifu elimu au kazi yako, tunakula bia tumekaa tupumzishe...
  13. Execute

    JamiiForums Tanzania Wanawake mlioolewa kubalini jambo moja; mnaweza kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi lakini hamuwezi kukaa bila kuwa na mwanaume

    Dada zangu mlioolewa (hasa wenye kipato endelevu) ambao mpo kwenye umri kati ya miaka 25 na 40 naomba niwaambie hili jambo na msilisahau. Hii tabia ya kuamua kwenda kuomba talaka au kuamua kuachana na waume zenu kwasababu tu mnacho kipato inawatesa sana baada ya muda. Nimeumia sana kuona...
  14. abdulakilltz

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mwanaume huumia pindi anapogundua mke wake anasaliti ndoa?

    Ukweli ni kwamba ndoa nyingi za sasa hugubikwa na usaliti kwa pande zote mbili, na hii ni kutokana na maisha tunayoishi kwa sasa ya utandawazi. Lakini likija suala la usaliti kwa mwanaume linaonekana suala la kawaida ila kwa mwanamke bado inaonekana ni ajabu. Swali linakuja je? Ni kwa nini...
  15. Daktari wa Manchester

    JamiiForums Tanzania Kanuni 9 ambazo kila mwanaume inabidi azijue

    Habari za muda huu. Hizi ndio sheria 9 ambazo kila mwanaume inabidi asijue! 1. Mwanaume inabidi uweze ku control hisia zako. 2. Mwanaume inabidi uwe na uwezo kwa kuchanganua mambo kwa kutumia logic. 3. Mwanaume inabidi awe na uwezo wa kucontrol hasira zake. 4. Mwanaume hutakiwi kujieleza...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Kwa mantiki hii, Kila mwanaume amewahi kumnunua mwanamke

    Habarini wakuu nimekuwa nikifikiri deepdown kwa muda mrefu, ● Hivi mfumo wa ndoa kwa hapa Tanzania ni kama family ya kike inamuuza mtoto wa kike kwa mwanaume but wameifanyia camouflage iitwe kwa MAHALI ● Pili sidhani kama Mungu analiafiki hilo maana hata maandiko hakuna sehemu yamebariki hicho...
  17. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anavyotekwa kwa nguvu za mahaba na giza

    Dunia ni uwanja wa mapambano; unakuta huyu anataka kuwa na yule, na yule anataka kuwa na huyu. Sasa kumekuwa na mbinu kwa baadhi ya wanawake tunaotembea nao; siku ya kufanya tendo la ndoa, watakuja na kitambaa, kinaweza kuwa cha taulo au cha aina yoyote ile. Baada ya kufikia mshindo, atachukua...
  18. The Eric

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye pesa si wa peke yako wewe mwanamke

    Amani iwe kwenu! Rejea kichwa cha uzi hapo juu. Mwanaume mwenye pesa si wa mwanamke mmoja, si unajua pesa si nywele kila mtu anazo. Usikae hata siku moja ukaamini mwanaume mwenye pesa eti ana true love... Na siku zote ukiona mwanaume mwenye pesa hana mbamba nyingi yaani hana michepuko na wala...
  19. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Wanawake wameyageuza makanisa kuwa kimbilio la kupata wanaume wa kuwaoa

    Sio tu wa kuwaoa, bali hata wachumba, wapenzi au part time men. Na hii ndio sababu kuu ya kwanini wanawake wamejazana makanisani 90℅ kulinganisha na wanaume Akili za mwanamke zinafikiri kwamba, atakapokutana na mwanaume maeneo hayo ya kanisa, mwanaume huyo hatopata mashaka ama kujiuliza mara...
  20. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Amepata bahati ya mwanaume wa kumuoa, anaweka vikwazo vya mahari na kutambulishana

    Inashangaza sana kwa mwanamke mwenye ndoto ya kuolewa na kuitumikia familia yake kuanza kuweka vikwazo kama anavyoviweka huyu binti Amepata mwanaume ambaye yuko kwenye mstari mnyoofu wa maisha, ana biashara yake ya kukidhi maisha. Halafu anaambiwa aolewe naye anaanza kuleta vigezo vya umri...
Back
Top Bottom