mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanamke wa kufa na mwanaume mmoja wala mwanaume wa kufa na mwanamke mmoja

    aAshampoo jana nilienda kusuluhisha ndoa fulani huko sasa wakaniuliza ashampoo kama mjomba una ushauri gani nikajibu hakuna wakufa wa ndizi moja wala wa kufa na kitasa kimoja mvumiliane tu mrudiane. Sijui walinielewa hakunielewa nikakaa kimya Nisipotezee muda sana nataka niwahi...
  2. Bemendazole

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi ya kuepuka kupata watoto wenye ulemavu au kupata watoto haraka kwa mwanamke tasa au mwanaume mgumba

    It goes down in one word! ZINC... Kwa utafiti ambao nimeanza kuufanya, matokeo ya awali yanahusisha utasa au ugumba na upungufu mkubwa wa madini ya zinc mwilini. Pia matokeo ya awali yanahusisha upungufu mkubwa wa madini ya Zinc na uwezekano wa kuzaa mtoto mwenye ulemavu wa kudumu. Upungufu...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Inatambua kuwa Ndoa ni kati ya Mwanaume na Mwanamke

    WAZIRI DKT. DAMAS NDUMBARO - SERIKALI INATAMBUA NDOA NI KATI YA MWANAUME NA MWANAMKE Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro imesema kuwa inatambua kuwa ndoa ni kati ya mwanaume na mwanamke. Hayo yamesemwa leo Mei 22,2023 Jijini Dodoma na Waziri wa Katiba na Sheria, Dk...
  4. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukioa Mwanamke aliyekuzidi umri utajuta na kuteseka sana

    Kwa utafiti nilioufanya kwa miaka zaidi ya mitano japo utafiti huu si rasmi nimegundua wanaume wengi wanaoteseka kwenye ndoa ni wale waliozidiwa kiumri na wake zao. Yaani wanaume waliozidiwa umri na wake zao kiuhalisi hawana kauli ya utiisho mbele ya wake zao, hawana maamuzi ya peke yao...
  5. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Kwa wanandoa tu: Hivi mwanaume ( baba wa familia hula chakula cha siku anachokipenda yeye mwenyewe au anacho/ atakacho kitaka mke wake?

    Bila shaka title inajieleza, Najua wanaume wengi ni watafutaji, mara nyingi warudipo nyumbani hukuta chakula tayari kimekwisha kuandaliwa na msimamizi mkuu ni mama ( mke). Swali, je, nikweli huwa mwanaume unakula chakula unachokitamani kwa siku hiyo? Mara nyingi akina mama hata Kama...
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Dar: Ajaribu kuwakimbia polisi lakini aishia kukamatwa

    Hii imetokea mtaa wa Lumumba, haifahamiki kulikuwa na nini? Jamaa walikuwa wamekunjana kama ugomvi katikati ya kundi la watu. Hamadiii, difenda ya polisi yawasili na askari kuanza kupiga risasi hewani. Jamaa mmoja (mwanaume wa dar ) anakamatwa na kuanza kula makofi kisha anapakiwa kwenye gari...
  7. The Eric

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukiwa na pesa wanawake wote ni single

    90% ya wanawake huwa wanakuwa single mwanaume akiwa na mtonyo. Taarifa fupi ni hii.
  8. mangosongoo

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, Mungu akikupa uhai mpaka unafikisha miaka 35 hakikisha uwe na familia. Fedha si kitu

    Ndugu zanguni, maisha yanakwenda kwa kasi sana, na hatujui ya mbele yetu ni nini, yanaweza yakawa mazuri au mabaya japo katika kanuni ya maisha hatutakiwi kujitabiria mabaya. Katika mazuri kunakufanikiwa kimaisha, kiuchumi, kifamilia, elimu na afya njema lakini katika mabaya nayakusikitisha kwa...
  9. Surya

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mwanaume anayependa Ukaribu na Jinsia ya Kike na sio Malaya

    Fanya tafiti na anza na kujitafiti wewe Mwenyewe. Iko hivi. Twende moja kwa Moja kwenye mahusiano kati ya Mwanaume na Mwanamke ambao wapo kwenye rika linalo endana, wewe mwanaume unaweza tongoza yani anafaa kwa Kilimo cha mbogamboga. Binafsi huwa siwezi kabisa kudumisha urafik na mwanamke...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kupata mimba pasipo ridhaa ya mwanaume liwe kosa la jinai

    MWANAMKE KUPATA MIMBA PASIPO RIDHAA YA MWANAUME LIWE KOSA LA JINAI. Anaandika, Robert Heriel Sisi kama wanaume tumekubali kabisa kuwa Kufanya ngono na Mwanamke Chini ya miaka 18 hiyo itahesabika kama Kosa la JINAI, Kwa jina la Ubakaji, bila kujali hiyo Binti alifanya Kwa ridhaa yake au Kwa...
  11. Boqin

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mwanaume mmoja aokolewa kutoka kwenye kifusi miezi mitatu baada ya tetemeko la ardhi nchini Uturuki

    Picha moja iliyosambaa mtandaoni – ikiwemo hapa JamiiForums – inamuonesha mwanaume mmoja akiwa katika hali mbaya ya kiafya. Maelezo katika picha hiyo yameandikwa kwa lugha ya Kiarabu yakieleza: “Kutoka tetemeko la ardhi la Februari 6, leo ametolewa chini ya vifusi huko Antakya, Uturuki hai na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kumtegemea mwanamke kiuchumi ni ujinga mwingine

    Naandika haya hii asubuhi kwa sababu ya tukio nililokutana nalo asubuhi stand, nimetoka zangu ubaruku- Mbeya narudi zangu jombe, nikiwa naingia kwenye gari ya abiria nimekutana na rafiki yangu yupo na dada mmoja ambaye wayback alikuwa mteja alinijumlishia sana michele, baada ya stori za hapa na...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ewe mwanamke, ukigundua mme wako kapata mtoto huko nje na huna mpango wa kuondoka kaa kimya usimuulize, Ukweli utamuweka huru mwanaume sio wewe

    Hasa kwa wale vinganganizi kutwa nzima kufatilia kama mwanaume ana mtoto nje, ukiupata ukweli ujipange kisaikolojia!! ni heri ukae kimya umwache mme wako kama alivyo wewe kaa kimya tu maisha yaendelee (1) Mwanzo alikua anawasiliana na huyo Mama wa mtoto kimya kimya,hakutaka ujue, alikua...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

    Mtu yeyote anayefanywa nyuma anavunja sheria za asili na za Kimungu. Mwanaume anayefanywa nyuma na mwanamke anayefanywa kinyume nyume wote ni walewale, yaani wote ni mashoga. Kama mwanaume na akili zako timamu unaweza kumfanya mwanamke kinyume na maumbile usiwadharau mashoga wa kiume, hao pia...
  15. Okrap

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kutoka kenya kuja Tanzania

    Huyu mwanaume Paul Mackenzie anawapa wanawake huko Kenya usingizi wa usiku Nasikia najiandaa kuja bongo kuwapa usingizi.
  16. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Video za utupu na punyeto hupelekea mwanaume kupoteza ufanisi katika tendo la ndoa

    Kuna ukweli wowote katika hili?
  17. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Wanawake acheni ubinafsi, mwanaume kuwa na mchepuko inasaidia pande zote mbili

    Niliandika uzi fulani ndani ya huo uzi nikacomment mahala kwamba nina michepuko watatu. Baadhi ya members wameni-attack sana na wengine kuniita mkoloni, mbabe na majina mengine. Ila niwe mkweli, wanawake acheni ubinafsi. Takwimu zinasema wanawake ni wengi kuliko wanaume, tukienda mbali zaidi...
  18. Maleven

    JamiiForums Tanzania Licha ya uzuri na elimu, dada yangu hapati mwanaume wa kumuoa

    Namuona kabisa dada angu sasa anamawazo sana, anamiaka 28 sasa, kila anaemfata hayuko serious au ni mume wa mtu, wapo wengine sema sasa dada anasema anakosa hisia nao kabisa, anaogopa kujilazimisha. Alifikia hatua ya kutaka kupanga akakae mwenyewe, kitu ambacho baba na familia nzima...
  19. Ndondombi Mulin

    JamiiForums Tanzania Wanaume, Mitindo ya uchezaji na Uanaume

    Wanaume, Sherehe ni jambo lililowekwa na wanadamu ili waweze kufurahia mafanikio yao na wengine hufanya sherehe wakati wa kuomba Dua kwa miungu yao. Vilevile Sherehe ilikuwa ni swala ambalo hufanyika kuonyesha Mwanzo au Mwisho wa Maisha fulani au hatua fulani katika Maisha. Mfano; Kuzaliwa kwa...
  20. Official Mussa

    JamiiForums Tanzania Je, kama kila ukijaribu myamalize ila mpenzi wako haoneshi kutaka yaishe je kuachana hapo ni uamuzi mzuri?

    Habari zenu bila shaka hamjambo em tupeane fikra hapa kidogo Je mwanaume kuomba samahani kwa mpenzi wako hua mwisho mara ngapi? Je suluhu pia isipofanya kazi kuachana ni uamuzi sahihi ? Tumeishi kwa furaha kwa mda mrefu ila vikombe kugongana lazima kabatini ila huyu mwenzangu kila nikitaka...
Back
Top Bottom