mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia mwanaume anamuamkia mwanamke ambaye si ndugu yake kama tu amemzidi miaka zaidi ya 20 na si chini ya hapo

    Kama mwanamke amekuzidi miaka si chini ya 20 na sio ndugu yako usimuamkie mwambie tu mambo au za saa hizi imetoka hiyo Mwanaume wewe ni kiongozi na kusema shikamoo ni kama unamwambia nipo chini yako nakunyenyekea na wanawake ndo wanabidi wawe chini yetu. Usiamkie we jamaa utakosa mbunye hivi...
  2. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandamano Kenya: Mwanaume mmoja aandamana kwa kujifunga mnyororo kwenye nguzo na kutoa kero zake

    Mwanaume mmoja huko Kenya aandamana kwa aina yake leo kwa kujifunga kwenye nguzo na mnyororo na kuanza kuongea kero zake. Polisi walifika eneo la tukio na kujaribu kumfungua ili wamkamte huku watu wengine wakiwa wanarekodi tukio hilo. Polisi walipomuomba ufunguo, akasema mimi sina funguo. Kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

    Maisha yangu yote, toka naanza kujitambua mpaka sasa, nimekua nikivutiwa sana na wanawake walionizidi umri. Sijui ni kwanini au ni kivipi nimekua na hii tabia. Nilichokua nakifanya ni kupuuzia na kukandamiza hisia zangu, ikitokea nimempenda binti aliyenizidi umri, basi nafanya kumpotezea ama...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya wanawake kupenda wanaume weusi huku wakitaka kupata watoto weupe!

    Haya ni maajabu ya wanawake. Utasikia napenda mwanaume mrefu mweusi lakini cha ajabu wanapenda kuzaa vitoto vyeupe pee.
  5. JamiiForums Tanzania Rikkie Valerie awa mwanaume wa kwanza kuwa Miss Uholanzi 2023

    Huyu ndiye Miss Netherland kwa mwaka 2023 anaitwa Rikkie Valerie ambaye inasemekana ni mwanaume aliyejibadilisha jinsia.
  6. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kati ya mwanaume mrefu mweusi na wanawake?

    Kwa utafiti nilioufanya asilimia 90 ya wanawake wanapenda kudeti na mwanaume mrefu mweusi au mweupe. Wanawake embu tujuzeni sisi wanaume wafupi tunazidiwa nini na hawa warefu?
  7. JamiiForums Tanzania Nisaidieni kumuelewa huyu mwanaume

    Hivi mwanaume unakuwaje hueleweki, ulikua na crush na mdada wa watu mwaka mzima mkavunja ukimya mkawa kwenye mahusiano. Badae unaanza kubadilika unapunguza mapenzi, mwenzio anakuuliza kwanini unabadilika, unadai unaogopa udate naye hata miaka mitatu alafu usimuoe, na mtu hata hajakuambia...
  8. JamiiForums Tanzania Hii Imeenda: Aliyeua kwa upanga ameuawa kwa bunduki

    Wakuu hii tuiitaje hii? Dada kamchokoza msela kaleta dharau kageuziwa msala
  9. JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyekupendea hela unamfanyaje wewe kama Mwanaume?

    Kuna nyakati huwa tunapitia maisha magumu sana na shida zisizo simulika lakini haisababishi mioyo yetu kuwa na Ganzi katika mapenzi, bado tunapenda na kutamani kuwa na wanawake wazuri na mpenzi atakaekupa pole na shida zako. Miaka ya nyuma kidogo sikua vyema kipesa,nilimpenda binti mmoja mzuri...
  10. JamiiForums Tanzania Kubeba ujauzito na kupata mtoto hakumfanyi mwanaume akupende

    KUBEBA MIMBA NA KUZAA HAKUMFANYI MWANAUME AKUPENDE! Anaandika, Robert Heriel Nawakumbusha Dada zangu, Binti zangu. Usije ukajikoroga na kujichanganya, mimba na mtoto haibadilishi chochote katika mioyo yetu Sisi wanaume. Kama hatukupendi ni hatukupendi tuu! Kuna jinga moja litasema kama...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mdada usikubali hizi swaga za kwamba tutafute maisha pamoja. Mpaka mkayapate maisha utakuwa umechakaa, mwanaume ataoa kabinti ka darasa la saba

    Mwanamke ni kama ua, lisipotunzwa linapoteza mvuto kabisa. Hivyo usidanganyike kuolewa na mchovu akaanza kukulaza chini kwenye mkeka, mnakaa sakafuni, mnapikia kuni au jiko la mkaa mpk kucha zinajaa masizi. Saloon unakuwa unazipita tu kama kituo cha polisi maana wewe nywele husuki bali unakata...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ungependa kuongozana na mkeo akiwa katika mavazi gani?

    Ungependa kuongozana na mkeo, akiwa kavaa nguo ndefu zilizomsitiri mwili wake? Au ungependa kuongozana na mkeo, akiwa kavaa nguo zimembana au zimemuacha nusu uchi, huku wanaume wenzako wakimsifia?
  13. JamiiForums Tanzania Ni rahisi mwanamke kutaka wapime kabla ya sex ila ni ngumu kwa wanaume kupendekeza hivyo, tatizo ni nini?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Huwa ni rahisi sana kwa mwanamke anapopata mwanaume au anapotongozwa na mwanaume na kumkubalia kuomba kabla ya tendo la kujamiiana wapime kwanza hasa Ugonjwa wa Upungufu wa Kinga Mwilini(UKIMWI) ila huwa ni ngumu sana kwa mwanaume anapomtongoza mwanamke...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi kibongo bongo ni sahihi mwanaume au mwanamke asiye na degree kumiliki mtu mwenye degree?

    Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good? Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani? Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure, ampate...
  15. JamiiForums Tanzania Tofauti ya mwanamke na mwanaume katika kushughulika na mchepuko

    1. Mwanaume akifurahishwa na mchepuko, mara nyingi hakuna mabadiliko kwa mwandani wake. Inakuwa kawaida tu. 2. Mwanamke akifurahishwa na mchepuko, anazidisha furaha nyumbani na ana act unusual, too existed, extra caring and unnecessary story. Remember: few professional cheaters acts normal...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanamke ameumbwa na mali ndani yake ila sio mwanaume

    Siku hizi vijana wengi wa kiume wanaona ni haki yao kusaidiwa na mwanamke kwenye mambo ya kiuchumi, yaani mwanamme atafute na mwanamke atafute. Kuna wengine ndo wanataka walelewe kabisa yani wao ndo watafutiwe na mwanamke wapewe. Ila nawakumbusha. Mwanamke analetwa duniani akiwa na mali ndani...
  17. JamiiForums Tanzania Mume wangu mtarajiwa ni mwanaume katili

    Ndugu zangu, Ijumaa iliyopita mume wangu mtarajiwa alileta watoto wake (wetu) walale kwangu ili Jumamosi nikawafanyie shopping ya mavazi. Jumamosi nikawawafanyia watoto wetu shopping hadi hela yote alonipa baba yao ikaaisha na baada ya kuridhika kuwa watoto wamepata nguo za kutosha nikaona sio...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna kisa cha kweli kwa fumanizi ambalo mwanaume aliekutwa kalala na mke wa mtu aliachwa aondoke kwa amani, hali yake ilikuwaje?

    Huwaga naskia stori kwamba kwenye fumanizi ni heri upewe kichapo kizito sana kuliko uachwe uende kwa amani. Kuna kisa ambacho kimetamba sana ila nadhani ni stori ya kijiweni tu nadhani wengi mtakua mmesikia, Hapa tumiwite mwenye mke anaitwa Michael, sasa kuna siku Michael alistukiza kurudi...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanaume, kutojiamini ndo adui yako mkubwa kwenye mahusiano na sio pesa wala mwanamke. Kwanini?

    Kutojiamini inajionesha kwenye tabia yako. Hata kama ulijificha lakini matendo yako yataonesha tu hujiamini. Na kama ulipata mwanamke anaweza kukuacha au kukusaliti. Sababu unaonesha tabia za kutojiamini. Kwanini wanawake wanawaacha watu wasio jiamini? Kwanini kutojiamini ni adui yako mkubwa...
  20. JamiiForums Tanzania Hizi kazi akiwa nazo mwanaume anaweza kula tunda hadi kusaza bila kuhonga ama kutumia gharama ndogo sana

    wanaokula bila kuhonga Wachungaji, maustadh na waganga - Hasa kwa wadada wanaotafuta watoto kwa maustadh, wachungaji na waganga feki. Mdada anaambiwa dawa inabidi iingie kwa kuchomekwa, kuna pepo lipo ndani inabidi litolewe kwa **oo yenye upako, n.k. 😂 😂 Wanawake wengi sana wanatoa kwa hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…