mwanamke

  1. blogger

    JamiiForums Tanzania Ewe Mwanamke ambaye baada ya tendo tu unakurupuka na kushika simu yako

    Unamkata mmeo/mpenzi wako stim. Haiwezekani yani mwamba kajitahidi kusukuma mashine hadi jasho linamtoka. Wewe punde tu unakurupukia simu na kuingia kwenye makundi ya vikoba. Unakata stim. Walau pretend.. pitiwa hata na kausingizi kakinafiki...legeza sauti na legeza macho, hii itamfanya mpenzi...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kuna kijimstari chembamba sana kinachomtenganisha mwanamke anayevaa shanga kiunoni na tabia za umalaya

    Habari wakuu, Kuna observation nimekuwa naifanya, nimegundua wanawake wengi wanaovaa shanga kiuononi ni malaya waliokubuhu. Asanteni
  3. Martyr 360

    JamiiForums Tanzania Je, bora mwanamke achepuke au ajichue?

    Wazee wanawake wengi wamekuwa wakijichua hata wakiwa wameolewa, japo hili Jambo huwa wanafanya Kwa Siri Sana, hata hivyo ni kwasababu hawajui wataonekanaje na waume zao wakigundulika wanafanya hivyo. Mi naamini kuna mazingira mengi yanaweza kufanya mke wako asiridhike na aamue kujichua au...
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ewe mwanamke mumeo ukimkuta kwenye saloon hizi piga Makofi

    Hii ndo siri ya kambi kama hamjui nini huwa kinaendelea huko. Msiseme hamkuambiwa.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Habari naitwa flavian natafuta mke wa kuoa. Umri wangu nikati ya 36-39. Nimejiajiri, dini mkristu. Mke awe mwenye hofu ya Mungu, umri kuanzia 33 na kuendelea. Kwa mawasiliano zaidi PM au ni text kwa 0624942380. Nipo serious kwahili barikiwa sana kwa atakae jitokeza.
  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je katika historia za Dunia kuna falme yoyote iliyoongozwa na mwanamke iliwahi kusimama imara bila kuanguka?

    Tafadhari sana naomba tushirikiane kwenye mjadala kwa kuangalia nafasi ya mwanamke katika kupewa uongozi wa juu katika jamii zenye ufalme. Je mwanamke amewahi kuweza kuongoza falme yoyote hapa Duniani na ikasimama bila kuanguka?. Na ilikuwa ni falme ipi? Karibu kwenye comments natarajia...
  7. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Ukioa mwanamke wa kichaga unaheshimika sana mtaani

    i hope wazima wana Jamii forum Hivi kuna siri gani na nguvu ipi kwa wanawake wakichaga. kwanza ni wazuri wanajua kutafuta na washauri wazuri kwenye familia, na ni walezi wazuri kwa familia ukitaka familia yako iwe smart muoe mwanamke wa kichaga. Familia nyingi za kichaga zimejijenga vizuri...
  8. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tunawasaidiaje wapenzi wetu wanaotoa harufu mbaya ukeni wakati wa tendo?

    Niliwahi kuwa na mrembo fulani mzuri kweli kweli, lakini sasa wakati wa tendo ile harufu hata ukioga IPO tu. Mwisho wake niliamua kumuacha kimyakimya. Najua wako wengi wenye hiyo changamoto. Tunawasaidiaje?
  9. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

    Waslaam wakuu! Kwa kawaida penzi likiwa jipya huwaga linanoga Sana Yaani full kubebishana tu. Hapo hamkauki kupigiana Simu mixer kutumiana message za mahaba. Basi mwanaume ukitaka kujua kama huyo mpenzi wako anakupenda kiukweli bila kujali mapungufu yako basi subiri akuombe msaada wako hususan...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bibi Titi Mohammed, Mwanamke anayetajwa kumtikisa Nyerere na kupewa Kesi ya Uhaini

    Titi Mohammed Salum Mandangwa kazaliwa katika familia ya dini haswaa, lakini kapita vikwazo vingi. Amezaliwa 1926, Dar es Salaam na kufariki Johannesburg, RSA katika hospitali ya Net Care, Novemba 5, 2000. Aliishi miaka 74 ya machozi, jasho na damu. Alizaliwa kwa jina la Titi Mohammed Salum...
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na kiasi gani cha pesa kwenye wallet unakosa ujasiri wa kumtongoza mwanamke?

    Maisha ni pesa na pesa ni nguvu mojawapo ya ujasiri na kujiamini katika maisha ya mapenzi na mahusiano. Binafsi nikiwa na pesa pungufu ya Laki moja siwezi thubutu kumchokoza demu, hata kama ni mkali vipi ntamsomea ramani tu kinyele bila swaga. Nikiwa sina Laki moja na kuendelea kwenye wallet...
  12. Mwanga Lutila

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mwanamke akifiwa na mume wake anaanza kupendeza na kunawiri?

    Nauliza jamani? Ina maana wake zetu hawana furaha na sisi?...Ila wanatuvumilia tu
  13. marehem x

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aki squirt amekudharau au ndio anapata Raha?

    Kuna mwanamke ni mke wa mtu, anadai Ali squit mara moja tu katika maisha yake, kila nikikitananaye lazima godoro lijae maji kama ndoo yalita 10. Cha ajab kila tukimaliza lazima aombe msamaha. Japo Mimi nainjoi sana....nikikumbuka pressure ya maji yale nikama Bomba na yanaipiga mashine kama...
  14. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anayeomba pesa kwa mmewe mara kwa mara ni tapeli

    Wanaume wengi wana date na matapeli wakidhani ni wake au wachumba aidha kwasababu ya uzuri wao ama lah Wanawake hao wanakuwa wakiendekeza pesa kila wakati ila wanaume hao wanakosa ufahamu wakidhani sifa ya mwanaume ni kugharamikia. Ukweli ni kuwa pamoja na wanawake hao kupata fedha huwa...
  15. PromiseLand

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya mwanaume na mwanamke

    Zipo tofauti nyingi kati ya MWANAUME na MWANAMKE zinazosababisha migongano mingi kwa wahusika kwa kutokujua, laiti kama wangezijua tungepunguza migongano na migogoro isiyo ya lazima. 1) MWANAUME aliumbwa kutokana na udongo lakini MWANAMKE hakuumbwa kutokana na udongo yeye alitolewa kwenye ubavu...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amekuwa Rais wa kwanza mwanamke, Makamu wa Rais wa kwanza kurithi Urais

    Hayo mawili ya mwanzo yako wazi, ila hili tatu linahitaji watu wenye akili tulivu kulikubali na kulielewa. Hatakuwa rais wa kwaza kushindwa uchaguzi kwani wapo walioshindwa na kuendelea kubaki madarakani. 2015, 2020 ni mifano hai, ila kwa sasa hali imebadilika, atalazimika kukubali na kuyapokea...
  17. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Unataka mwanamke wa aina Gani?

    Kwa dunia ya sasa kuna wanawake wa aina mbili. 1. Muaminifu ila mkorofi, Wivu na mgomvi..... 2. Msaliti ila mpole anakupa amani muda wote...... 3. Ni mwaminifu ila Yupo bize na kazi zake za kutafuta hela...... 4. Msaliti ila kila anachopata anakula na wewe...... 5. Anaependa "Tit for tat" ...
  18. Adolph Jr

    JamiiForums Tanzania Nataka kuachana na mwanamke

    Ni muda mwingine tena. Anaomba ushauri huyu rafiki yangu mwanzoni alinishauri sana nioe tufanane ila nikamwambia mimi sina kazi na siwezi mtunza mke, leo yamemkuta. "Ni miaka minne sasa tangu ampate shemeji/wifi yenu ila kiukweli, mambo aliyofanya alipokuwa single ni makubwa na mengi kuliko...
  19. Kiplayer

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja kimwili

    Ndio hivyo, tunanafikiana tu eti mke mmoja! Uongo mtupu pisi zikikatiza udenda chini na kujikaza tu. Hii shughuli ni pevu mnooo.
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Moyo wa Mwanamke Shujaa Yafanya Kongamano na Kuiasa Jamii Kupinga Ukatili wa Kijinsia

    TAASISI YA "MOYO WA MWANAMKE SHUJAA" YAFANYA KONGAMANO NA KUIASA JAMII KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA TAASISI ya Moyo wa Mwanamke Shujaa yenye Makao yake Makuu Manispaa ya Morogoro chini ya Mkurugenzi wake, Dkt. Magreth Kongera, imefanya Kongamano la maombi na uzinduzi wa kampeni ya kupinga...
Back
Top Bottom