It’s a culture issue (watanzania tuna matatizo), kusema unampenda mwanamke wa mwenzako nchi za wenzetu it’s a very disrespectful situation.
Ni kwa sababu tunaishi Tanzania tu; nchi nyingine utaumizwa.
Halafu kuna watu wanasifia ujinga wa Harmonize; huwezi kumuimbia mapenzi mchumba wa mtu...
Ukihitaji salamu nenda kwa waswahili wenzio,kwangu utaambulia chuya tu!.
Kuna mambo mawili ambayo siwezi katakata na sitothubutu kuyafanya kwa kiumbe anayeitwa "MWANAMKE"
Mambo hayo ni :-
1.KUMSOMESHA
2.KUMNUNULIA NGUO YA NDANI (Waswahili huita "CHUPI")
Mambo mengine yote naweza kuyafanya...
Kuna mwanamke fulani nilimkuta baa fulani analewa nikaona acha nijisogeze, kweli nikafanikiwa kukaa naye hakuniringi.
Alikuwa analewa huku analia nikamuuliza Mbona unalia akagoma kuniambia ila baada ya kumbembeleza ili anijuze Sababu za Yeye kulia akaniambia ataniambia.
Muda ulikwenda na...
Ukihitaji salamu nenda kijijini kwenu, kwangu huo muda sina utaambulia chuya tu!.
Hivi nyie mashorobaro ni lini mtapata akili? Hivi aliyewaambia mwanamke ukimuudhi umpatie leso au tissue afute machozi nani?
Leo sina mengi,nadhani ujumbe umefika.
Sina muda wa kuandika nina muda wa kutumia pesa.
Wapo vijana humu wanaojiandaa na ndoa, nawaasa vijana wa kiume, usitumie nguvu nyingi Sana kumshawishi mwanamke unayempenda ili aridhie kuwa na wewe... unaweza tumia nguvu ya pesa kumshawishi ili umtumie kama part time, Ila kwenye swala la ndoa usidhubutu kabisa kuoa mwanamke asiyekupenda...
Ndio hivyo
Kwani uongo??
Tatizo hamtusikilizagi
Na wote mnaotusikiliza mnatoboaga Sana kimaisha
1 Peter 3:7-9 New Living Translation (NLT)In the same way, you husbands must give honor to your wives. Treat your wife with understanding as you live together. She may be weaker than you are, but...
Nilikuwa nimekaa sehemu ya kificho kidogo, sasa kuna demu alikuwa anaongea na simu. Kwa kuwa hakuniona alikuwa anajiachia tu alikuwa anaongea kwa hisia sana.
Maneno ambayo mpaka sasa yamekaa kwenye kichwa changu na nisiamini kama inawezekana ni
" Ustaaz nna miaka 10 sijatongozwa"
"Nikitaka...
Anaandika Robert Heriel
Chunguzi zangu zinaonyesha kuwa kuna uhusiano wa karibu wa Maumivu ya Mwanamke na upendo wake. Wanasema chungu tamu.
Chunguzi zangu zinaonyesha kuwa kadiri Mwanamke anavyoumia na kupata uchungu kwàajili yako ndivyo unavyozidi kuuteka Moyo wake. Yaani ndivyo anavyozidi...
Tunaona mfano mzuri kwa wanawake walioshika nafasi hiyo , they could not deliver to anybody's expectation!
Tulitegemea wangelifanya vema zaidi kuliko wanaume, maana wameshajua udhaifu mkubwa wanaume na hivyo wangelijitahidi kuonesha uwezo! Kumbe bado kabisa.
HILI LA SAMIA KUMVUA SLAA HADHI YA...
Kama.huamini katika limbwata na mambo hayo basi tafuta sentesi sahihi.amabayo unaweza kuitumia juu ya haya tunayotendewa na CCM.
Ukiritimba wa CCM kwa Watanzania umevuka mipaka na si wa kuvumilia......... Imagime hadi wanavunja sheria za nchi lakini wapi... tupo tumetoa macho tunalumbana...
Kwema Wakuu!
Bado nipo natoa mafunzo Kwa ninyi vijana wa Forex, Watoto wa kubet ambao Maisha yanawachanganya.
Vijana tatuteni Pesa kwaajili ya Wanawake wanaowapenda ili wawaheshimu na kuwatii. Elewa kuwa Pesa haimfanyi Mwanamke akutii (akupende) isipokuwa Pesa inachochea furaha ya mwanamke Kwa...
Nitoe mfano, majina yakiwa ya kutunga.
Mwaka 2008 Fred akiwa na miaka 26 alifunga ndoa na Recho mwenye miaka 25. Wote walikuwa bado ni vijana wabichi kabisa wanavutia.
Kufikia Leo Fredi ana miaka 41 huku Recho ana 40, unaweza kuhisi Fred alioa dada yake.
Fred ni rafiki yangu, anakiri kwamba...
Kumbe mabikra bado wapo?
Kwenye huu ulimwengu wa social medias na uzinzi na talaka na makasiriko
Sasa mwamba hapa anasema mwanamke mwingine haoi lazima awe Bikra Safi ( brand new) hata akiwa na Miaka 50 anatoa
Vigezo:
1. Awe muislamu
2. Umri miaka 20-26 au around that age.
3. Hakutakua na mapenzi kati yetu just need a child.
4. Mtoto akifika miaka 3 namchukua.
5. Malipo milioni mbili ukishika mimba. Milioni tatu mtoto akizaliwa salama. Milioni tano ukinikabidhi mtoto.
N.B. Mimi nimeoa na Nina watoto...
Nimetoka kusoma Biblia sasa hivi
Dah, kupunguziwa Miaka 5 nayo mbaya.
Imagine Mungu alikuandikia kuishi Duniani Miaka 100, lakini ukazini na mwanamke nje ya ndoa kama 10 ivi ina maana wewe tuko nawe Kwa Miaka 50 tu.
Jamani ACHENI uzinzi, tuishi milele
Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke...
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Leo rafiki yangu wa tangu tukiwa watoto alinipigia simu kwamba anataka tuangalie mpira pamoja na ana jambo ambalo anataka nimshauri, hivyo basi nitafute sehemu nzuri tulivu ili tuwe tunaangalia mpira na kuongea.
Basi nikamwelekeza sehemu jirani na...
Habari JF
Naona hivi visa vya mapenzi sasa vinakuwa vingi na vijana wengi wanapoteza maisha yao na ya wenzao kisa mapenzi
Naomba nisisitize tena, mchumba, mpenzi hasomeshwi. Labda kidogo kama kawa mke wako na usitumie sana nguvu pia maana mnaweza pia mkaachana kwa iyo iyo elimu ulio mpa...
MUHIMU: Sheria za Tanzania zinaruhusu kuao binti mwenye miaka 15
Kwanza kabisa nisema binti wa miaka 15 sheria zinaruhusu aolewe, ni kwa wakristo tu sheria za makanisa yaliyoanzishwa ulaya hayakuwa na budi kufata sheria za ulaya, kwenye biblia binti akifika miaka hata 13 mwanaume anaweka order...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.